HAJI MANARA: AMVAA AHMED ALLY, "MTU KASHIBA MAGIMBI ANASEMA HATUNUNUI TIKETI" | ALLY KAMWE ATIA NENO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 91

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 2 місяці тому +1

    MBONA MAJIMBI CHAKULA SAFI SANA ZAIDI YA CHIPS KAKA WEWE KULA CHIPS ZAKO TUACHIE MAJIMBI YETU

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 2 місяці тому

    Ewaaaaaa!!!!❤❤❤❤❤

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 2 місяці тому

    Ktk michezo hakuna kama wewe Bugat❤❤❤❤❤

  • @MussaKhan-b8f
    @MussaKhan-b8f 2 місяці тому +7

    Kama ni shabiki wa Yanga huwezi kumkosoa Manara inatakiwa tuwaunge mkono pamoja na Kamwe kwani wote wanafanya kazi kwa malengo sawa... Vishabiki vya simba ndo vinampopoa Manara kisa vinamuogopa

    • @catherineamiri9854
      @catherineamiri9854 2 місяці тому +1

      Hao ni simba ndugu hawataki kuachika😂😂😂

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 2 місяці тому

      Haji anatakiwa akosolewe kwa madhaifu anayoweza onesha yatayodhoofisha umoja wao yeye na Kamwe. Hiyo ni muhimu ili ajirekebishe na kurahisisha kazi ya Yanga kama timu! Unless otherwise Haji ni resource muhimu kwa Yanga!

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому

      @@checkchannel3876 punguzaaa kiherehere...... Wanafanya kazi kwa miongozo ya kazi zao
      ( job descriptions zao ) Manara sio mbugila mbugila anajua majukum yake na Ali Kamwe sio nzala nzala anatambua majukumu yake .... Wapo kwaajili ya kuisogeza yanga mbele

  • @mulhatramadhan1147
    @mulhatramadhan1147 2 місяці тому

    Wakereeeeee, manara mmj tu hapa

  • @hajikhalifa5082
    @hajikhalifa5082 2 місяці тому

    Huna mvuto brother ni Bora ukakaa kimya tu

  • @BABUWAYANGACHAMAZISHULE
    @BABUWAYANGACHAMAZISHULE 2 місяці тому +1

    Kwani Kuna shido

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 місяці тому

    MMEKOSA UBUNIFU.....
    Mnatafuta kuteleza kupitia WASANII....?
    HAMJIWEZI...
    AHMED ALLY IS THE BEST

  • @Dockbrand
    @Dockbrand 2 місяці тому +2

    Manara ushazeeka

  • @athumanindyema2302
    @athumanindyema2302 2 місяці тому +4

    Jamaa limezeeka alina ishu limeanza kua jekundu

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 2 місяці тому

    Miaka 54 bado unashindana kwenye mitandao 😂

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 місяці тому +2

    Huyu mzee manara hana issue amesha expire

  • @hajikhalifa5082
    @hajikhalifa5082 2 місяці тому

    Wasanii muwe makini na mademu zenu 😂😂

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 2 місяці тому

    Eti kuna mtu ana sema kuna mtu ana.... mdomoni jamanieeeeehhhh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @JacksonKilewo
    @JacksonKilewo 2 місяці тому

    👊👊👊👊

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 2 місяці тому +2

    Muachie Ally Kamwe usemaji wewe nenda kugombania mademu na dula makabila

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 2 місяці тому +3

    HUNA JIPYA WEWE ,TOKA KWENYE TIMU YETU YA YANGA

  • @abubakarjuma443
    @abubakarjuma443 2 місяці тому +3

    Wakati ahmedi Ali pekeake duh aibu ya mwaka mnatakiwa mjifuze kwake

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      Utumie akili .... Hiv taasisi kubwa kama Simba kitengo Cha habari na mawasiliano kiwe na afisa mmoja kweli ?? M najua duka la mangi pekee yake ndo linakua na muuzaji mmoja tu 😅😅😅 .... Ndo maana club yenu inafanya kazi zake kwenye frame pale ..... Mkiambiwa mmeachwa mbali kwenye uendeshaji hakuna ubinafsi huk kwa wananchiiiii,,,,

    • @saidrajab3808
      @saidrajab3808 2 місяці тому

      Kwan unaumia na nn?

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 2 місяці тому

      Kwenye Habari hakuwezi kuwa na mtu mmoja... umefeli..
      Na anafanya nini c comedy tu naona

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      @@saidrajab3808 ni Bora wangekuwa wanaumia ila ni uzezeta tu .... Club shughuli zake inafanyia kwenye frame 🤣🤣 wapo kimya
      Club Haina hata karani wa wanachama sio mkurugenzi wapo kimya 🤣🤣.. AGM hakuna mwaka huu wapo kimya 🤣🤣 ... Magungu ndo mshindi kwenye hili 😁🤣🤣.... Halaf unakaa una kurupuka kitengo kina mtu mmoja 🤣🤣 sasa itakua kitengo cha taasisi kubwa au Duka la mangi lenye muuzaji mmoja 🤣🤣🤣

  • @AbdallahMohd-c5w
    @AbdallahMohd-c5w 2 місяці тому +3

    Huna mpya tena

  • @MbendaHalfan
    @MbendaHalfan 2 місяці тому

    We hovyo unajipya

  • @mohamedsleyim-he7wd
    @mohamedsleyim-he7wd 2 місяці тому

    Eti nikweli una vidonda mdomoni😢

  • @sylvestermagnuss7022
    @sylvestermagnuss7022 2 місяці тому

    Hapana kaka apo umekosea tupo Yanga transit good Whatsapp

  • @Papycon22_
    @Papycon22_ 2 місяці тому

    Kanyaga twende Bugatti makolo hawana amani na furaha tangu urudi 😂😂😂

  • @amjadikihongosi1135
    @amjadikihongosi1135 2 місяці тому +3

    Supu tayari

  • @AmuorKing
    @AmuorKing 2 місяці тому

    Jamani tuambizane ukweli huyu si msemaji mropokaji halafu mjomba tatizo lako una roho mbaya etiy mie ndo namueza ahmed ali kwa usemaji unamueza kweli ila kwa roho mbaya maana mwenzako roho yake nyeupeee

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 2 місяці тому

    Mnatafta pesa kwa wasanii

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 2 місяці тому

    Wanachama Hewaa kununu ticket elf 60 majangaaa wnajaa 2 kwenye supu za vibudu

  • @jaytimo8668
    @jaytimo8668 2 місяці тому +2

    Hauna jipya

  • @JumaKibanduro
    @JumaKibanduro 2 місяці тому +1

    Kibayakipi hapo

  • @mosesjacksonkarashani2642
    @mosesjacksonkarashani2642 2 місяці тому

    Kanyaga twende Bugati tulichelewa sana😂

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx 2 місяці тому +1

    Umelazimishwa Nan kumskilize nenda ukamskili kolo mwenzio

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 місяці тому

    Manara hatukutaki yanga

  • @HamisMpauka
    @HamisMpauka 2 місяці тому +2

    auna baya mkuu

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 2 місяці тому +1

    Nyie utopolo bila supu ya mapupu ngumu sana kuitikia wito pumbazu zenu

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 2 місяці тому

    hana mvuto tena asilazimishe amuachie Ally kamwe

  • @BarakaLuoga
    @BarakaLuoga 2 місяці тому +3

    Mwamba amerudi kwa kas Sana Yuko vzuri Haji + Ali kamwe Kuna Mambo mazuri yanakuja mbele.

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN 2 місяці тому

    Wewe ni mjinga

  • @LeaMgaya
    @LeaMgaya 2 місяці тому +1

    Manara hakuna asie kujua kuwa wewe ni ndumilakuwili unatafuta ulaji tu wenye akili kama zako ndo watakuelewa

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 2 місяці тому

    manara hamnazo yanga wenye akili watu wawili tu. sande manara na jakaya wengene wote wamechoteka hamnazo kichwani

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 2 місяці тому

    Kwani hamjalipa LUKU?

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 2 місяці тому

    UMESHAZEEKA KAKA WAACHIE VIJANA HIYO KAZI

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 2 місяці тому

    Mavi ww mnafiki

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 2 місяці тому

    AHMED ALLY HAWEZEKANIIIII.......dunduka wewe

  • @LeaMgaya
    @LeaMgaya 2 місяці тому

    Aliy kamwe fanya kazi maana hata pesa ya ugali unamtegemea manara

  • @romimwalu
    @romimwalu 2 місяці тому

    Hana jipya?ok wait you will see

  • @MbendaHalfan
    @MbendaHalfan 2 місяці тому

    Unatumia nguvu kuilazimisha furaha unajipya

    • @yohanadavid8055
      @yohanadavid8055 2 місяці тому

      Hivi Makolo na wananchi upande upi unafuraha! 😅

  • @HubiriMwambene
    @HubiriMwambene 2 місяці тому +1

    Wewe mwamba kaka wengi wanakuchukia kwa kuxema ukweli

  • @emmanuelchamba08
    @emmanuelchamba08 2 місяці тому +1

    Umeshachoka we mzee kafanye kaz zingne

  • @donathkissoka3036
    @donathkissoka3036 2 місяці тому

    Manara tunakuelewa Mtaalam WA mpira wanaokupinda ni maadaui zako ambao hawaipendi Yanga

  • @VickEdson-z1d
    @VickEdson-z1d 2 місяці тому

    Uzee umeingia

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 2 місяці тому

    Huyu zeruzeru akili zake zipo matakoni ndo maana hata wanawake wanamkimbia

  • @LeonidasStephano
    @LeonidasStephano 2 місяці тому +2

    Niko pale 👉 tunawajua sana jumapili ni kufungulia mageti

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 2 місяці тому +2

    Yaliwashinda zamani iachie Simba itambe katika eneo Hilo

  • @MbendaHalfan
    @MbendaHalfan 2 місяці тому

    Mpango wenu tumeushtukia mnataka watu kuwaingiza kwa fungulia dog

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 місяці тому

    Muachie dogo kamwe ww umesha zeek bhna huna mvuto

  • @RafiuOmary
    @RafiuOmary 2 місяці тому +1

    Huyu mzeee mbona hajiheshimu kwenye ufalume kashatoka atulie akaangalie nin anazidiwa na semaji la caf

  • @AmaniLinda-j4g
    @AmaniLinda-j4g 2 місяці тому +1

    Ata wasemaji wakiwa 10 yanga bado Ahmed ally anamsha mpra wa bongo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      @@AmaniLinda-j4g Endeleani kufurahia huduma ya mangungu 🤣😂 ( mangungu 's services) ... Mwaka Jana kalaeta Manzoki 🤣🤣 mwaka huu kaja na SANDA 🤣🤣🤣 mwakan mtavaa shanga kike - kiume .....kama shughuli zinafanyika kwenye frame 🤣🤣🤣 mtawez kuajiri watendaji wa kutosha Kwenye kitengo Cha habari na mawasiliano? Watakaa wapi 🤣? ... Mwaka huu hakuna dunduka yeyote anaweza kusema habari za AGM 😜😜😜😜

  • @OmaryIssa-o2r
    @OmaryIssa-o2r 2 місяці тому +2

    Unafosii kulud lakin jua lishazama tafuta mambo mengne ya kufanya

    • @SeifAthuman-l6o
      @SeifAthuman-l6o 2 місяці тому

      Haji ni yuleyule hiyo ni chuki tu

    • @Yassirjuma-i1c
      @Yassirjuma-i1c 2 місяці тому

      Subri tuone hatukurupuk sis wnayanga utakja kubadilish mawazo yko

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 місяці тому

    Huuu mdomoo

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 2 місяці тому +1

    MTU mzima tena pumzika wewe manara huna hata mvuto waachie vijana wewe uzee huutani Bali ushakuwa Mzee hupendezi kujifanya kijana na mambo ya upuuzi Acha upuuzi huo

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      @@AllyHassan-e2m punguza hasira 🤣🤣🤣🤣

  • @indelectronicsmedia3760
    @indelectronicsmedia3760 2 місяці тому +3

    Wewe usemaji ungemwachia alikamwe tu ! umesha zeekeane na huna mvuto saiv , sasa hamasa za clab zinafanyajwe na wasanii tuwaache wasanii waitumikie jamii kwa ujumla sio kuwagawa tena kwa itikadi za vilabu vyetu , kuwatumia kwrnye matamasha kunatosha acha kutumia pua kufikilia wewe mzee

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 2 місяці тому

      Uwezo wake kufikilia umeishia apo .bora usaaf

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 2 місяці тому

      Hilo ni Bomu na leo nampoteza Rasmi katika ramani ya wasemaji Tanzania hatokaa asikike tena na atapotea kabisaa asave hii comment

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 2 місяці тому

      Manara ana force lkn kwakweli amepoteza mvuto

    • @ibrahimabdullah1887
      @ibrahimabdullah1887 2 місяці тому

      Mm simba ila uwepo wake hafla tu tiket zimenunuliwa tuache chuki broo

    • @aminakunja277
      @aminakunja277 2 місяці тому

      Sasa nyie makolo mnafuata nini umu wazee wa sold out mnaumia sana

  • @LeaMgaya
    @LeaMgaya 2 місяці тому +1

    Wewe huna lolote mwachie Aliy kamwe na Ahmed ally domo kaya wewe

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      @@LeaMgaya punguzaaa kiherehere dunduka mkubwaaaa

  • @FrancisShinji
    @FrancisShinji 2 місяці тому

    Komaaa kuisemea simba ndo ujue simba ni wajanja wanamwajali msemaji yanga anae wasemea simba hongere mzee