PART1:MCHAWI ALIETOBOLEWA SHIMO KIUNONI LINALOTOA USAHA KAMA AGANO LA KICHAWI/TULIIZINDIKA TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @saidiikola1801
    @saidiikola1801 Рік тому +1

    Thank br Davista mata Asante sana kwa kipindi hiki tupo Seattle WA,tunafatilia vipindi kwa ukaribu kabisa Asante sana kwa mafundisho tunajifunza mengi zaidi 🙏🏾

  • @peninahmwaniah9755
    @peninahmwaniah9755 Рік тому +2

    Tafadhali muambie azungumzie swala la Subukia shrine Kenya zaidi sisi wakenya twataka kuelewa zaidi. Asante Davista

  • @barick
    @barick Рік тому +3

    Namkumbuka sana ! Na nilidhani tutapata elim nzito kutoka kwake.
    Mi ni mfuasi wako davista,Kuna watu hua wanapita hapa na shuhuda nyepesi lakini namna wanavyoelezea kwa kina tunaelimika coz wanaeleweka ila huyu kijana ana shuhuda nzito na kubwa ila anaeleza kwa kifupi then imeisha hiyo.
    Kwa uzito wa shuhuda za huyu kijana inabidi aeleze kwa kina akieleza kifupi hataeleweka,elim haitawafikia wengi kwa maana ya uelewa

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 Рік тому +1

    Niko hapa mapema sana Mr davistar mata 🙏 thanks brother 🤝I learned a lot

  • @stevetyga5308
    @stevetyga5308 Рік тому

    Asante Mwenyezi MUNGU Kwa kutupa siku nyingine tena

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 Рік тому +3

    Kama sijasahau huyu niyule alipelekwa kuzimu na rafiki ya mamake ambaye alikua akimletea peremende

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Рік тому

    Ameen

  • @Patience.67
    @Patience.67 Рік тому

    Asante Kwa kumrudisha huyu mtumishi

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    True ndo maana lengo la shetani ni kuharibu vijana kupitia miziki

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 Рік тому +1

    Tunaomba maelezo zaidi kuhusu misukule

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +2

    Pana mwaka shetani alileta duniani makahaba wazuri milioni 30.wakasambazwa duniani pote.

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 Рік тому +1

      Kimsingi kaka nakuona katika Chanel's tofaut za mitandaoni kiukweli unavitu vingi Vya ziada unafaham nataman siku moja kama unamkasa hebu tukuone hata kupitia Davista tutajifunza vingi kutoka kwako but niseme hongera unavingi mnoo unavitambua salute kwako

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +3

    Mabinti wengi wazuri ni mawakala. Manesi wa leba wengi ni agent, ukiingia leba washirikishe waombaji wakuombee.

  • @khalidyasinkhalid5944
    @khalidyasinkhalid5944 Рік тому +3

    Naupendaga ushuuda wa huyu jamaa hauegemei upande wowote yeye ni maelezo ya kile kilichomtokea tu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 Рік тому +2

      Usisahau kwamba baada ya yoote amemkimbilia Yesu na sasa kaokoka. Bado wewe.

    • @khalidyasinkhalid5944
      @khalidyasinkhalid5944 Рік тому

      @@abbyadams8691 yeye ambaye alikuwa kuzimu mimi ninaye Mungu wa Yesu yeye hunilinda hata kuzimu isinikaribie tokea utotoni hadi sasa INSHALLAH hata mpaka mauti yangu

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 Рік тому

      @@khalidyasinkhalid5944 Km unamkubali Yesu sina nongwa.👏👏

    • @khalidyasinkhalid5944
      @khalidyasinkhalid5944 Рік тому

      @@abbyadams8691 naam ni nabii aliyetumwa na Mungu

    • @josephngunzu6473
      @josephngunzu6473 Рік тому +1

      @@khalidyasinkhalid5944 safi lakini unachobakisha ni kumkubali Yesu tu awe mkombozi wake kwa maana kupitia yeye ndio unao uwezo wa kufika mbinguni kwa huyo babake.

  • @petermwaibofu3260
    @petermwaibofu3260 Рік тому

    Florian amerudi tena, wekeni masikio sawa

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +1

    Mabinti wengi wa club ni mapepo

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Рік тому

    Sawa

  • @samwelipaschal6412
    @samwelipaschal6412 Рік тому

    Chawa Davistar nimefufuka

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +2

    Ngono ni ibada ya kuzimu

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    KWA shetani hakuna huruma wala msamaha, kule ni amri sio ombi.

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 Рік тому

    💪💪💪

  • @kefasonmahenga2917
    @kefasonmahenga2917 Рік тому +2

    siku yesu akilud hivi watoto wa msukule mbinguni wataingia na kama hawataingia ni kwanini huku hawana dhambi...

    • @heritier5119
      @heritier5119 Рік тому

      Misukule ni watoto wa shetani wataendaje mbinguni sasa. Hapo ni SAwa na kusema watoto wa majini wataenda wapi.

    • @kefasonmahenga2917
      @kefasonmahenga2917 Рік тому +1

      @@heritier5119 mmmmhhhh kwani misukule nimajini misukule ni watu sema wanatumikishwa kichawi na watoto wanaozaliwa wanapitia stage zote za binadamu sema wanapokelewa mikononi mwa wachawi

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 Рік тому

      @@kefasonmahenga2917 jibu ni jepesi na linapatikana kutoka 20:5

    • @kefasonmahenga2917
      @kefasonmahenga2917 Рік тому

      @@abdimohamed3953 anawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kikaz cha tatu na cha nne but hapo hapo yesu anasema waacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbingu ni wao

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 Рік тому +1

      @@kefasonmahenga2917 maana yake usimzuie Mtoto amfuate yesu kwamaana kushika neno la MUNGU,kuhudhuria ibada n.k, ulishawahi fuatilia shuhuda ya Aston Adam mbaya au hata Wa amieli katekela bas utatambua vema kuhusu hayo mzazi ukiwa nje nayesu possibility yamtoto kua nje na yesu nikubwa mnoo

  • @geez5076
    @geez5076 Рік тому

    Huo ulimi ni wanini kwenye cover ya story kubwa kama hii?

    • @lastbornsaadah7632
      @lastbornsaadah7632 Рік тому +1

      Alichanjwa kuzimu...pengine we malayako yakwanza kuona hii story ila angalia video zilizopita

    • @geez5076
      @geez5076 Рік тому +1

      @@lastbornsaadah7632 sio mara yangu ya kwanza ninacho uliza ni kwann ulimi kwny cover ya story hamna pic ingine ya kucover story? Labda kama hujanielewa

    • @lastbornsaadah7632
      @lastbornsaadah7632 Рік тому

      @@geez5076 okay

    • @emes602
      @emes602 Рік тому

      @@geez5076 mimi nlipoona ulimi nikakumbuka ushuhuda wa huyu kaka nkafungua kujua ni Yeye?? Bila ivyo nisingefungua

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 Рік тому

    Mbona wewe Bwana wavaa miwani nyeusi kama zao..hizo miwani hazileti show

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 Рік тому

    Mara ya pili anarudi tena