NCHI YA TANZANIA ILIFANYIWA ZINDIKO NA WACHAWI NIKIWEMO MIMI NA KAFARA YA DAMU TULITOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @KelvinSanga-yu8ck
    @KelvinSanga-yu8ck 11 місяців тому +1

    Ila aisee we shekhe omary hakika ulikuwa mtu hatari katika ulimwengu ule wa shetani naweza nikasema wewe ulikuwa mkuu Wawa chawi africa mashariki,ninawajua watu wengi waliookoka na walikuwa manguli wa uchawi ila nao wanasema wewe ulikuwa mwalimu wao aisee wewe mtu hatari mno Mungu akuinue hakika Yesu amejipatia Jitu la mbinguni

  • @Moteswa
    @Moteswa 2 місяці тому

    Mungu akulinde na homgera sana mtumishi

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 Рік тому

    Niko na Wachina hapa wanacheka kweli kweli

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 Рік тому

    Kwaiyo mwenye ungo mpaka afike ndo aamini amefika 🤣

  • @millotv8050
    @millotv8050 Рік тому

    Mnyeshani😂😂😂

  • @jonassilvester5910
    @jonassilvester5910 Рік тому

    Mnyeshani

  • @chuotv6719
    @chuotv6719 Рік тому

    wakwanzamo

  • @MohamedAfdhal-xq3jh
    @MohamedAfdhal-xq3jh Рік тому +2

    Muongooo

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 Рік тому +5

      Sasa na wewe c utoe yako nchi zipo nyingi, hayo yalikua maisha yake yaliopita unabisha .Kwenye ulimwengu wa kiroho kuna mambo mengi unaweza bisha kumbe wenzio wanakufa daraja usiku.

    • @MohamedAfdhal-xq3jh
      @MohamedAfdhal-xq3jh Рік тому

      @@andrewmhagama9816 uongo sio kweli usanii huo wanafanyiwa wakristo kila leo ujinga ujinga mara upumbavu,,,,,,kweli ni kondooo

    • @hope_402
      @hope_402 Рік тому +3

      Kama kawaida mkisikia mambo haya mnasemaga mtu muongo instead of learning 😂😂😂😂 huo ndo ukweli sasa

    • @kelvin_Songea2023
      @kelvin_Songea2023 Рік тому

      bc tupe wewe huo ukweli ndugu zake na majini

    • @sophiemsuya6507
      @sophiemsuya6507 Рік тому +2

      Naamini hayo yote sasa yame - expire baada ya MUNGU wa kweli kuonekana Tanzania. Waombaji tuzidi kuingia magotini ili shetani ashindwe kabisa.

  • @d15355
    @d15355 Рік тому +1

    BWEGE MMOJA WEWWE NJAA TU HIYO INAKUSUMBUA HUNA LOLOTE KAFIRI WA MWISHO

    • @MerickFanuel
      @MerickFanuel Рік тому +1

      Ongeza matusi ,hayo madogo

    • @jonassilvester5910
      @jonassilvester5910 Рік тому +2

      Udini unakusumbua pole kijana

    • @cyantess8423
      @cyantess8423 Рік тому +3

      afadhali kua kafiri na yesu kuliko kuabudu shetani

    • @hope_402
      @hope_402 Рік тому +3

      Kweli unaumaaaaa😂😂😂😂😂 ila ukweli utasemwa tu

    • @kelvin_Songea2023
      @kelvin_Songea2023 Рік тому

      ​@@cyantess8423jibu nzuri sana hilo linamtosha

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 Рік тому

    Niko na Wachina hapa wanacheka kweli kweli