one thing namkubali huyu pastor ni kwamba licha yaku hubiri kumjua Mungu lakini pia haachi kufundisha maisha ya kawaida na halisi kwa watu wake. God bless you
Mch. Dr. Kimaro, hakika sintaacha kukuombea kwa Mungu, pamoja na vipawa alivyokupa Mwenyezi Mungu, heaabu ya matunda yako ni mengi, na utazidishiwa katika.kipimo kimoja kwa mia. God bless you.abundantly.

Ahsante sana Baba Mchungaji. Uchambuzi mzuri sana, KAZI IENDELEE, hii ni kauli ya dhahabu kwa hakika.
Amina
AMIN
Mungu asikupungukie Nguvu,UVUMILIVU,maono na Upya Kila iitwapo Leo Baba Mchungaji
God bless you Man of God for your great wisdom
Kazi iendelee...
Daima mbele nyuma ni mwiko!!
😢God bless you Rev. Kimaro kwa kufanya kazi ya Mungu bila kuchoka kila leo kuliko jana haleluya🙏🙏🙏
Powerful lesson-Be Blessed ,Rev E Kimaro
God bless you man of God for you great job
Ubarikiwe mtumishi wa mungu roho mtakatifu akuongoze na akupe kibari mbere za mungu amina
Thank you very much for your positive and powerful teachings
Hallelujah