Asante Mungu kunena nami kupitia mtumishi wako Hakika nimeelimika sana,nimeonywa,na kurekebika barikiwa Pastor more grace upon you as you continue ministering in Jesus mighty name Amen
Kila siku ya kwanza ya juma, pa UAE na rizika na Mafungo ya Neno takatifu kutoka kinywa cha mchungaji wetu David. Mungu atuwezeshe ku miliki Neno hili kama langu binafsi.
Pr M.nahisi mimi na wewe roho zetu zinafanya kazi pamoja😅.Insta nilianza somo la unabii wa sabato na wewe ukafundisha somo la unabii.Nika gain vitu vingi na kunisaidia kujazia somo. Week iliopita nikaanza somo la ndoa kutokea eden,na wewe ukaanza somo la ndoa,nime gain vitu vipya,somo langu nimejazia naendelea fundisha😅 Mungu akubariki sana.
Naomba ushauri Kwa mwanamke ambaye yeye hataki kukuelezea ulichomuudhi Kwa mdomo bali anakujibu Kwa kukususa pekee, hata hasira zikiisha Siku nyingine ukitaka akuelezee mabaya na maudhi hataki kukuambia chochote jibu lake ni Moja tu ,hamna kitu , je hapo ufanyeje?
Exactly, to me is just like the messenger of GOD, sent from the kingdom heaven to the territory earth, to preach the everlasting gospel of the kingdom of GOD; May GOD, grant him a long living life.🙏 He's one of God's people that when I grew up, having sons and daughters, grandsons and granddaughters; while sitting on the table on one beautiful evening, I'll tell and teach them what I learnt from this man of GOD, together with pastor @ peter John and @ Dr Myles Munroe.
Asante Mungu kunena nami kupitia mtumishi wako Hakika nimeelimika sana,nimeonywa,na kurekebika barikiwa Pastor more grace upon you as you continue ministering in Jesus mighty name Amen
Kila siku ya kwanza ya juma, pa UAE na rizika na Mafungo ya Neno takatifu kutoka kinywa cha mchungaji wetu David. Mungu atuwezeshe ku miliki Neno hili kama langu binafsi.
🙏🙏
Glory to God the King of kings
Amina, Mungu anisaidie niweze kudhibiti hasiri na mhemko
Amen
Amen bwana asifiwe namshkuru Mungu Niko Salama happy Sabbath to everyone
7:31 Mungu atusaidie sisi watoto wake maana matatizo ni mengi katika ndoa
Happy Sabbath all over the world....Mungu atupe kuelewa na mabadiliko kiroho🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Amina nabarikwa san kwa somo hili nanizidi kujifunza🎉
Amina😂Amina zaidi zaidi kabisa kabisa wewe MUNGU amekufanya mchungaji utatue shida zetu Amina
Amen. Asante sana nabarikiwa na somo hili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pr M.nahisi mimi na wewe roho zetu zinafanya kazi pamoja😅.Insta nilianza somo la unabii wa sabato na wewe ukafundisha somo la unabii.Nika gain vitu vingi na kunisaidia kujazia somo.
Week iliopita nikaanza somo la ndoa kutokea eden,na wewe ukaanza somo la ndoa,nime gain vitu vipya,somo langu nimejazia naendelea fundisha😅 Mungu akubariki sana.
Ubarikiwe mtumishi, mungu azidi kukutumia
Tuna barikiwa sn na neno la Mungu.
Amen nimeelewa
Happy sabbath brethren God loves us
Barikiwa sana pr
Amen mungu atusaindie 🙏🙏
Barikiwa pastor
Pr Tunashukuru kwa somo la pekee mm nimeona niipakue niweke kwenye flash ili nizidi kusikia bila bando
Amen! Ubarikiwe
Ubarikiwe pst
Naomba ushauri Kwa mwanamke ambaye yeye hataki kukuelezea ulichomuudhi Kwa mdomo bali anakujibu Kwa kukususa pekee, hata hasira zikiisha Siku nyingine ukitaka akuelezee mabaya na maudhi hataki kukuambia chochote jibu lake ni Moja tu ,hamna kitu , je hapo ufanyeje?
Hakika Pr Mmbaga ni Dude kubwa mno lililojaa maarifa yasiyoisha,, ni mwaka wa tano Sasa bado nachota tu
Duuuh
Exactly, to me is just like the messenger of GOD, sent from the kingdom heaven to the territory earth, to preach the everlasting gospel of the kingdom of GOD; May GOD, grant him a long living life.🙏 He's one of God's people that when I grew up, having sons and daughters, grandsons and granddaughters; while sitting on the table on one beautiful evening, I'll tell and teach them what I learnt from this man of GOD, together with pastor @ peter John and @ Dr Myles Munroe.
Naomba email address ya mtumishi David Mmbaga