1. Michezo yenye presha kama hii kuingia kwa valentino mashaka kwangu haikuwa sawa, nafkiri ilikuwa mara yake ya kwanza yenye staili ile ya presha. its better angeingia Mukwala kwani ashawahi kucheza mechi hizi sio mara moja wala mara mbili pia ana kasi. 2. kwa winga tulizonazo its like hatujafanya maboresho, hata leo hii onana angekuwepo, Kwa ninavyoona Mutale asingeanza mbele ya Onana, hata angekuwepo Miquisone pia. kama wale tulowaacha wanakuwa bora kulziko tuliowasajili. ni sawa na hatujafanya usajiri
Oya wamejikuta wanaujua sn kumbe awajui maana ya ubaya ubwela, oya sim'me mpiga adi manula sasa tukutane kwalupaso oya weeeh simbaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥 🔥 🔥
Bonge1 la game....ila mutale ajiangalie aina yake ya uchezaji anapenda sana kukaa na mpira bila 7bu na kupelekea kuumizwa lkn pia anachelewesha shambulizi
Kipindi cha pili tulikuwa sawa na timu yenye kadi mbili nyekundu(mashaka na kibu) walitupa mzigo zaidi mashaka ni game yenye pressure sana kwake ila kibu sijui ni nn amedrop sana kwa sasa, mi na fikili Mukwala alistahili kuingia baada ya Ateba maana ana uzoefu kiasi kuliko mashaka
Tripoli ni wapovu sema wanaonekana bora kwa ubovu wa simba hii simba ni mbovu bora ya saidoo inajuwa inapishana na kila timu tripoli ni timu ya kawaida africa
Kocha awemakini na sabu sabu zake okojepha yeye na winga wap na wapi kibu Bora chasambi au kalabaka mashaka nibora aingie sabu mukwala kocha ajue uwezo mchezaji na Baati ao wakina mashaka na kibu wanabahati tu
Mimi niwaombe viongozi wetu muwe makini na mechi ya marudiano tena muwe makini mno tunamaadui wengi mno tuna hawa tripoli kuna nyuma mwiko kuna azamu yaani kile kiashimu ibwe na wenzake sio watu wazuri kwetu wanatamani tufanane nao na ule uwanja muwe makini nao maana nyuma mwiko wameufanyia matambiko mno
Mipira Mingi ilikua inapotea na kuaribika eneo la Kati na kusababisha mashambulizi nyuma ya lango la simba, Bado Kuna pengo la mchezaji Aina ya Chama, ambaye anauwezo wa kuwatuliza mabeki na kusogeza mashambulizi, hii imeonekana mfano Valentino mashaka alikua anashindwa kuwa pita mabeki, jambo lililosababisho kupiga mashuti ya mbali, kila la kheri Chama langu.
Chama langu la simba naipenda sana yaani hao wakija bongo tumewapiga goli ndogo 4 maana tuna visas viwili kurushiwa chupa na hatua kama hii simba anakuwa mtu mwengine kabisa yaani hafai hata kwa kulumagia watakuja kufa nyingi hao . Shabiki wa simba kutoka morocco Rabat hapa
Simba nguvu moja naipenda simba sc kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪 waarabu wakuje tz watapigwa kama ngoma
One love
Nyie si MMA for mahia jamani😂😂
@@mlelwatv5831 sijakuelewa text inamaanisha nini
❤
🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
mungu ibariki chama langu simba l love you so much ❤❤❤❤❤
Allah mlinde kipa wetu musa camara na majera,tunamuhitaji sana hakika yy ndo muokozi wetu kweny hii mechi ametubeba sana wallah
🦁yajayo yanafurahisha "nguvu moja
Simbaaaaaaa NGUVU Moja 🦁
Mungu ibariki simba mechi yapili tushinde na tusonge mbele
Mungo ibariki simba iweze kufanya vizuri mechi ijayo
Simba hii msimu ujao itakuwa ya moto sana
This is simba❤❤
Simba nguvu mojaa naipenda sana simba yangu
Mpira wajuuu nichangamoto kwabeki yasimba yotekwayote wameimbambania simba 🦁
ALHAMDULLILLAH RABIL ALLAMIYN,,sio mbaya tukutane kwa mkapa in sha Allah,,
Ubaya ubwela 👍
Simba nguvu Moja ♥️🇹🇿
1. Michezo yenye presha kama hii kuingia kwa valentino mashaka kwangu haikuwa sawa, nafkiri ilikuwa mara yake ya kwanza yenye staili ile ya presha. its better angeingia Mukwala kwani ashawahi kucheza mechi hizi sio mara moja wala mara mbili pia ana kasi.
2. kwa winga tulizonazo its like hatujafanya maboresho, hata leo hii onana angekuwepo, Kwa ninavyoona Mutale asingeanza mbele ya Onana, hata angekuwepo Miquisone pia. kama wale tulowaacha wanakuwa bora kulziko tuliowasajili. ni sawa na hatujafanya usajiri
Wakwanza hapa gonga like 😂😂
We si mwanaume kabisa jamani unaomba like 😅😅😅😅
Was a good Game❤❤❤
haalaaa simba
Simbaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿
Hii ndio gemu ya wanaumee
Oya wamejikuta wanaujua sn kumbe awajui maana ya ubaya ubwela, oya sim'me mpiga adi manula sasa tukutane kwalupaso oya weeeh simbaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥 🔥 🔥
Nguvu moja..💪
Simba nguvu moja
Tusubirie saa 4:00pm ya jioni leo
Simba wajifunze v pass
This is 🦁💪
Tukutane kwa lupaso kwa mkapa💪💪🦁🦁
Mapema tu
Mmh! Mwaka huu
Wana Lana ya gadaffy Hao awawez kum funga mnyama 😂😂 wame utaka watasema
Dsm.. Location
Mkapa stadium 😁 😁 this is simba
❤❤❤
Bonge1 la game....ila mutale ajiangalie aina yake ya uchezaji anapenda sana kukaa na mpira bila 7bu na kupelekea kuumizwa lkn pia anachelewesha shambulizi
Kipindi cha pili tulikuwa sawa na timu yenye kadi mbili nyekundu(mashaka na kibu) walitupa mzigo zaidi mashaka ni game yenye pressure sana kwake ila kibu sijui ni nn amedrop sana kwa sasa, mi na fikili Mukwala alistahili kuingia baada ya Ateba maana ana uzoefu kiasi kuliko mashaka
Upo sahihi🤝
Alie pewa kadi nyekundu nn au uliangalia mpira gn ww
@@selekizungu5348 soma vizuri uelewe.
Ni game plan ya kocha
@@MaulidMzaina Oooh...sawa ndugu.
Budo punguza kiherehere na papara plus kukimbia hovyo kama jinga huo mpira ungempasia ata balua angefunga kuliko kugawa pasi kizembe
Shirikisho limechangamka kuliko kuleee😅😅😅
Mechi ina inamvuto viwango vya clab bingwa. Simba nguvu 1
Shirikisho ni waliofeli tuh kutamani sio kupata tengeneza timu mzeee.
We ulio tengeneza ipo wapi
Sub ya Valentino mashaka ilikuwa ya uongo sana
🎉🎉
❤
🙏🙏🙏
Joshua +saido+miqson +,onana ma mpira Yao yanafanana ila yeye hata cross hapigi anaingia nao
Mashabiki walikuwa wengi😢😢😢
Tripoli ni wapovu sema wanaonekana bora kwa ubovu wa simba hii simba ni mbovu bora ya saidoo inajuwa inapishana na kila timu tripoli ni timu ya kawaida africa
Kuandika hujui ndo utajua timu nzuri na mbovu kweli?😅😅
Umeona ee😂@@jumamangombe6493
❤️ ALHAMDULILLAH❤️🇹🇿 🇦🇪
Mussa Camara atawakalisha makipa wote Bongo
❤❤❤❤❤
Emanuel mboi frome tz waarabu safari menu imeishia hapo kumbaf zenu
Kinyo wa bunju@
Mutale try to use v pass
🦁❤️❤️❤️👏👏👏💪💪💪💪
Mimi hizowinga sizielewi zipunguze mapepe mtale na balua kamakazi zimewashinda chashambi kalabaka wapewe nafasi
Hisimba hapa aijapata munganiko ikija kujipata hii simba itakuwa🔥🔥🔥
Timu za shirikisho ni za shirikisho tu the way wanavyocheza wanafanana kabisa
Mechi Kali hiyo huwez fananisha na Ile ya ukimbizin ethiopia
Malone leo katoa maboko mengi sana jamaa wangekua makini ingekua shida sana
Joshua akisababisha faulo nafurahi ila akiwa anachenga anarudi magolini kwake nachukia maana akipolwa hawez kukaba
Kazi ilikuwa siyakitoto hawa jamaa
REFERREE IS VERY MATURED TO PLAY SUCH MATCH WITH HIGH TENSION
Joshua simtaki anakaa na mpira nakuupoteza
Tukutane kwa mkapa
Hawa jamaa walijaza uwanja, kwa mkapa tufunike na sisi
Kocha awemakini na sabu sabu zake okojepha yeye na winga wap na wapi kibu Bora chasambi au kalabaka mashaka nibora aingie sabu mukwala kocha ajue uwezo mchezaji na Baati ao wakina mashaka na kibu wanabahati tu
Kwa mkapa hatoki mtu
Mimi niwaombe viongozi wetu muwe makini na mechi ya marudiano tena muwe makini mno tunamaadui wengi mno tuna hawa tripoli kuna nyuma mwiko kuna azamu yaani kile kiashimu ibwe na wenzake sio watu wazuri kwetu wanatamani tufanane nao na ule uwanja muwe makini nao maana nyuma mwiko wameufanyia matambiko mno
This is simba ni taifa kubwa
NGUVU MOJAAA TUKUTANEE KWA MKAPAA
حكم كلب
Waje lupaso😂😂
Nakwamby yang cy cba
Mipira Mingi ilikua inapotea na kuaribika eneo la Kati na kusababisha mashambulizi nyuma ya lango la simba, Bado Kuna pengo la mchezaji Aina ya Chama, ambaye anauwezo wa kuwatuliza mabeki na kusogeza mashambulizi, hii imeonekana mfano Valentino mashaka alikua anashindwa kuwa pita mabeki, jambo lililosababisho kupiga mashuti ya mbali, kila la kheri Chama langu.
The referee gave Simba a draw.
Very None sense!
😂eeeeh
Poor perfomance
Tuna wabonda
Waarabu tushawamaliza tuwasubili kweny shimo la moto kwa mkapa tuwabanike
Chama langu la simba naipenda sana yaani hao wakija bongo tumewapiga goli ndogo 4 maana tuna visas viwili kurushiwa chupa na hatua kama hii simba anakuwa mtu mwengine kabisa yaani hafai hata kwa kulumagia watakuja kufa nyingi hao .
Shabiki wa simba kutoka morocco Rabat hapa
حنفوز عليهم ف ارضهم وتشوف بعينك ي مروكي 💚💚💚🇱🇾🔥
Mabululu kakalia kitu cha ncha kali 😂
Kagoma
Bofya hapo kuangalia jinsi mashabiki wakileta vurugu ua-cam.com/video/B8wd3Ige0Lg/v-deo.htmlsi=1gnML4q1LpktuQZh
Simba nguvu Moja ♥️🇹🇿
Simba nguvu moja
🎉🎉
❤❤❤❤
Kinyo wa bunju@
Simba nguvu moja