Baba Mchungaji Mzee Magembe umesema vyema kabisa.Kanda ya Ziwa hadi Kigoma, Mpanda na Sumbawanga hali ni mbaya. Ukisikiza mauaji yanayofanywa ni huzuni kubwa.Yesu ni Jibu Baba.Congrats for thecGospel🎉.
Injili imenyoka kweli kweli nimekuwa kama petro aliyejitupa kwenye maji alipomuona yesu baada ya yeye kuvua samaki kwa wingina kumwambia yesu andoka kwangu mm ni mwenye dhambi🎉🎉🎉
Asante mchungaji sasa hoi ndo injili isiyo na mapungufu🎉🎉🎉
Baba Mchungaji Mzee Magembe umesema vyema kabisa.Kanda ya Ziwa hadi Kigoma, Mpanda na Sumbawanga hali ni mbaya. Ukisikiza mauaji yanayofanywa ni huzuni kubwa.Yesu ni Jibu Baba.Congrats for thecGospel🎉.
Injili imenyoka kweli kweli nimekuwa kama petro aliyejitupa kwenye maji alipomuona yesu baada ya yeye kuvua samaki kwa wingina kumwambia yesu andoka kwangu mm ni mwenye dhambi🎉🎉🎉
Niko mbali namini tatizo langu limeisha kwajina la yesu
Amen amen amen
kwa Yesu ni amani
Raha sana kuwa mkristo
Amen
ivi vitabu vya moses magembe vipo ..kwa wale wanao uza yaani soma biblia
Vipo vinapatikana kanisani T.A.G majumbasita