Hawa watu wanaopanga kumumiza Lisu wanafikiri wataishi milele au wanjisumbua tu maisha ni history nzuri. Maana kama sio wao watoto wao watuvuna wanachopanda.
Hao walioutaka uhai wake 07/09/2017 unadhani wanafurahi kumuona hai na siha njema ya upambanaji. Sii lazima kucoment kwa kila jambo. Kimya pia ni busara na HEKIMA ndugu yangu.
Labda agombee Boni Yai.hakutakuwa na kelele.kumbukeni sana kunawanachama wengi chadema sio viongozi lakini wanaijua na kupenda Chadema kuliko hswa hakina Boni,jifunzeni tupo yunaijua chadema tukiimuingiza bungeni Kabouru mbunge ws kwanza chadema.tunaijua chadema.
Lisu kwa hotuba ya jana ya katibu mkuu wa chama chako na Boniface Jakobo inaonyesha kabisa kuwa ni kama wamekutenga.Naona hata kaukabilakamo.Ila pambana bro,tutaona mpiga ngoma na mchezaji.
kuwa chadema si dalili wala ushahidi kama wewe ni mwanamapinduzi ila ni mwana kupinduliwa rafiki! vinginevyo mwambie mkweo aanzishe chama uwe mwenyekiti wa kudumu kama Mbowe na Chadema yake
Masudi mtanzania uko vizuri. Kaa uandike japo riwaya ya siasa za Tanzania
Dah! KP anauliza maswali strong na tricky sana
Hawa watu wanaopanga kumumiza Lisu wanafikiri wataishi milele au wanjisumbua tu maisha ni history nzuri. Maana kama sio wao watoto wao watuvuna wanachopanda.
Uoga wake tu nan amdhuru na kwa lip? Wanadhuliana wenyewe kwa wenyewe
Aiseee kwaiyo zile risasi alipigwa na mbowe au mnyika,,,wewe na kizazi chako mkawe na laana ya milele@@ndogoroedson199
Hao walioutaka uhai wake 07/09/2017 unadhani wanafurahi kumuona hai na siha njema ya upambanaji. Sii lazima kucoment kwa kila jambo. Kimya pia ni busara na HEKIMA ndugu yangu.
Nampenda sana Lissu, huyu Mwamba akipita akaja kuwa Rais nakula kiapo kw Mungu sitojarbu Wala kuhisi kucheet ndoa had kiama
Labda agombee Boni Yai.hakutakuwa na kelele.kumbukeni sana kunawanachama wengi chadema sio viongozi lakini wanaijua na kupenda Chadema kuliko hswa hakina Boni,jifunzeni tupo yunaijua chadema tukiimuingiza bungeni Kabouru mbunge ws kwanza chadema.tunaijua chadema.
Mh lisu na mbowe tunawahitaji zaidi kuliko mnavyofikiri,kuweni makini sana.
Huwa namisi interviews za namna hii, hongera TAL, hongera clouds... Aman Kwa wote,,,
Mhe. LISSU 👍
Huyu jamaa ni mwanasiasa nguli anajua anachofanya
Chadema kuna mawili yanayowasumbua, wanamfaidi mbowe kuwepo na mfumo wa serikali kutaka mtu anayezungumza lugha nyepesi na laini😂
Huyu ni jamaa hatari sanaaa msimamo wake awe rais au watu waingie vitani
Swali la mwisho la Lissu ulishaonesha jibu la swali uliloliuliza mwenyewe kabla ya la mwisho na ukajijibu.
Lisu atunzwe na alindwe .LISU USIHAME CDM BABA
Hapo mwisho Tundu ,umeupiga mwingi , ukorofi uanaharakati uchochezi kama alivyoitwa Mwl Nyerere na wazalendo wenzake wakati huo >TAJI LA DHAHABU.
Tunawahitaji kulika wakatiwote ule muachieni tunduiisu nae aongoze jamani waombaa
Mwanasiasa msubiri kule mwishoni. Hii lugha chama si mama yangu muielewe kwa nini wanasiasa wanaipenda na kuisema hiyo lugha.
Nimegundua kwa nini nchi zenye demokrasia zinafanikia,uhuru wa mawazo ni jambo muhim sana tuache uchawa tujenge taifa letu
Kura ni siri ya mpiga kura.
Mbowe tuachie Lissu. Heshima yako ni kubwa sana na inaishi mioyoni mwetu.
❤❤❤
Lisu kwa hotuba ya jana ya katibu mkuu wa chama chako na Boniface Jakobo inaonyesha kabisa kuwa ni kama wamekutenga.Naona hata kaukabilakamo.Ila pambana bro,tutaona mpiga ngoma na mchezaji.
kuwa chadema si dalili wala ushahidi kama wewe ni mwanamapinduzi ila ni mwana kupinduliwa rafiki! vinginevyo mwambie mkweo aanzishe chama uwe mwenyekiti wa kudumu kama Mbowe na Chadema yake
Kwa hiyo unataka kusema MBOWE hana msimamo wa kuaminika ?.😂😂😂kutachangamka tu ngoja tusubir
RIP Mh Lowasa na team yake walimpokeaje kama demokrasia ipo?
Huyo kama haja chungwa ata ingiiza nchi katika matatizo mkubwa sana
Kivipi ndugu?
Hafai kabisa ni mtu hatari sana
Wewe unafaa au
Ana mtazamo wa kulipa kisasi
Analipa kwani alifanyiwa nini na analipa kwa nani?
Ww huna msimamo wa kuaminika bhana ww unaweza kuuza nchi kwako cyo shida! Anayekuamini ww lazima apimwe amwe akili
Msigwa alisema hivyo hivyo
IQ ya lisu ni++
Et mwanamageuzi! Keenge unamgeuza nan sasa? Achana na nchi yetu bhana
Weeee akili unayoo
@ndogoro chawa mkubwa