KILICHOTOKEA WAKATI NDEGE YA RAIS SAMIA IKITUA UGANDA AIRPORT, ANGALIA VIDEO HII...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 57

  • @lusajooden5185
    @lusajooden5185 2 роки тому +5

    Iyo ndege si ndo zili alizokuwa akizipambania jembe

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      Jembegani lilikua liuji na utekaji wa watu limeshaenda kuzimu linaunguzwa mto

    • @hamadiayossy190
      @hamadiayossy190 2 роки тому

      Usishabikie kitu ambacho hauna uwakika nacho ndg yangu, mambo ya siasa haya waachie wenyewe, nadhani unaangaliaga movies, basi yale ya kwenye muv ndio kama haya yanaotokea kwenye jamii

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      @@hamadiayossy190 sante Hamadi

  • @selemanijulius881
    @selemanijulius881 2 роки тому +1

    Hatuna rais tanzania kazi kuzulula tuu anaona sifa sana tutaona 2025

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому

      Utamfanya nn na hao wanaekwa na Tume ya uchaguzi pmj na vyombo vya dola!

  • @lusajooden5185
    @lusajooden5185 2 роки тому +3

    Asante jembe la chato

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 роки тому

    Greatest

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 місяці тому

    Kwel tz hakuna rais

  • @stivenmasila9698
    @stivenmasila9698 2 роки тому

    Ana hamu ya kupanda ndege...mlisema za nn!!

  • @halifajuma545
    @halifajuma545 2 роки тому +1

    Yaani katika inchi iliyo filisika fikra naona kama Tanzani chá ajabu nini hapo

  • @airforce3343
    @airforce3343 2 роки тому

    Ndege iliyombeba rais samia au ndege ya rais samia?!!!!!!

  • @fatmamunde5543
    @fatmamunde5543 2 роки тому

    Anazurura tu mama etu.
    Misifa tu ya dunian tunasahau akhera.
    Wananchi huku taaban,
    Umeme, mafuta, chakula, Tozo, pango. Jamaan mama!!!

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 2 роки тому

      yes yes vipi nyinyi kazi yenu kutufanyia maisha magumu tu na Ahera yes

    • @fatmamunde5543
      @fatmamunde5543 2 роки тому

      @@eddynaeem6708 mmmmm!
      Acha tu

  • @paideacram
    @paideacram 2 роки тому

    Kwani ndege ya rais mbovu au?

  • @charlesmaghuha5853
    @charlesmaghuha5853 2 роки тому +1

    anatembea tu kwenye ndege walinunua wanaume,pumbavu

    • @fatmamunde5543
      @fatmamunde5543 2 роки тому

      🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣dah!!!

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому

      Hz ndege wamenunuwa watanzania wote .kwa kodi zenu na pssa za mikopo .Acha usenge huo eti walizonunuwa wanaume pumbavu

    • @emmanuelmasanja6040
      @emmanuelmasanja6040 2 роки тому

      Duh, kiswahili,kimekuwa nimesikia salami ya raisi heshima toa

  • @saidyoriyori9697
    @saidyoriyori9697 2 роки тому +1

    Ndege yamagu

  • @sammyibrahim6654
    @sammyibrahim6654 2 роки тому

    Huyo mama ni ngombe tu Hana Cha kuwaambia wanachi ndio maana anaogopaga kutembelea wananchi , akaona Bora kusurura masiku ziende lakini tutakutana 2025 ngombe ww , mbona huoni Maraisi wanaokutembelea kila siku mindege tu na watu Wana mashida kibao

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 роки тому

    Kama Mfalme Magu hakununua ingekuwaje

  • @happynesfesto5289
    @happynesfesto5289 2 роки тому +1

    R.I.P magu

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому

      Naww usimfanye magu kama alikuwa Mungu mtu kila kitu kwamba alikuaa anaweza .Alikuwa na style ya Panya anatafuna huku anapuliza

  • @allan3723
    @allan3723 2 роки тому +3

    Mama Anaupigwa Mwingi Dakika Zote Hachoki

    • @prosperitymaarifa1336
      @prosperitymaarifa1336 2 роки тому +1

      Hivi kuupiga mwingi ni kufanyaje? Au maanaake ni ufisadi uliopitiliza kiwango karibuni

    • @khadhiriramadhan5984
      @khadhiriramadhan5984 2 роки тому +1

      @@prosperitymaarifa1336 niufisadi wahali ya juuu sana 😠😠😠

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому

      @@khadhiriramadhan5984 Hakuna Rais ht mmoja alokuwa hakufanya ufisadi .Wote mafisadi kianzia huyo chongameno

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 2 роки тому

    Ndio ndege ya Raisi alioichagua tena na anaipigia misele haswa ya kujenga nchi. Hamtaki?😂😂😂😂

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 2 роки тому

    Hivi hii ni ndege ya rais au ya abiria

  • @sammyibrahim6654
    @sammyibrahim6654 2 роки тому

    Kako na masifa tupu hapa hakuna raisi

  • @emmanuelmaira001
    @emmanuelmaira001 2 роки тому

    Cha ajabu kipo, umeonyesha ukarimu wa Hali ya juu

  • @zarinaathuman4839
    @zarinaathuman4839 2 роки тому

    Nyie nanyi kama vile wasenge cha ajabu nini hapo au kushtua watu tu

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 2 роки тому

    Cha ajabu ni kipi ungetufafanulia hapo

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 2 роки тому

    Sijaona lamaana

  • @mkombostv3028
    @mkombostv3028 2 роки тому

    mama limbukeni sana ndio tatizo linapoanzia

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому

      Ndo tunapokwambieni hatutaki Muungano tuachieni Zbar yetu mchukuwe Mwinyi wenu maana huo Uchumi wa Buluu ushapiga weusi

  • @samsonmaiko6089
    @samsonmaiko6089 2 роки тому

    Ivi ile ndege ya mkapa ikowapi?

  • @mcgeemwamba9303
    @mcgeemwamba9303 2 роки тому

    Easenge nyie

  • @pascalkingu9570
    @pascalkingu9570 2 роки тому

    Cha ajabu ni majamvi

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 2 роки тому +1

    Vasko dagama

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 2 роки тому +1

      Mama anatalii tuu dodo chini ya muarobaini huna wasiwasi sijui ushawahi kufikiria hata kutembelea Hospital za ndani?

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 2 роки тому +1

      Hivi hii barakoa ni mashart uliyopewa na wazungu au unakorona yako tu Mama yangu kipenzi toa barakoa mrudishie mungu sifa na utukufu corona katuepusha au ile ulivyosema itakua kali kuliko zote bado tuitizamie mungu ni fundi imepotea njia

    • @jamesgidale7935
      @jamesgidale7935 2 роки тому +1

      @@meryshekoloa961 jamani

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 2 роки тому +2

      @@meryshekoloa961 otowe barakoa atawaeleza nini waliompa hela ya covid

    • @sharifuramadhani4506
      @sharifuramadhani4506 2 роки тому

      hata xijaelewa Nini ajabu

  • @williammwamalanga2000
    @williammwamalanga2000 2 роки тому

    hakuna cha ajabu chochote ilikuwa amani tu

  • @saidyoriyori9697
    @saidyoriyori9697 2 роки тому +1

    Ndege yamagu

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому +1

      Magu hana Ndegu mbona hawakurithi hao wanawe .Hizo pesa zenu pmj na mikopo alokopa Mwendazake baada ya kuizidishia Nchi deni la Taifa