PIGA UONE! Huu ndio mfumo mpya IRAN imeuboresha kujilinda na shambulio la ISRAEL na Maadui wengine

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 128

  • @ManirakizaOmar
    @ManirakizaOmar 4 місяці тому +21

    Wakwanza hapa munipe mauwa yanguu ❤napenda sana simulizi yasauti hakuna kipindi chochote mutatowa niyache kukifatiliya

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 4 місяці тому +22

    Nimefrah Sana kuona iinchi ya kiislam Ina tecnolojia kubwa namna hii

    • @godfreypaul251
      @godfreypaul251 4 місяці тому +3

      Huu udini ni tatizo kubwa sana ..mara uislam mara ukristo ni ujinga mtupu ndo maana vita haviishi

    • @homeboybeyondtheborders4935
      @homeboybeyondtheborders4935 4 місяці тому

      Mimi ni muislam ila Saudi Arabia ndo kibaraka mkubwa wa unyonyaji,nchi zinazojiita za kiislam ndo nchi katili zaidi.Tofautisha uislam na nchi zenye waislam,Iran ni sect ya uislam baada ya mapinduzi yani ni nchi ambayo inaingozwa na "Shia" tukija kwenye "Sunni"Iran sio nchi ya kiislam. Jifunzi au soma kabla hujatia hoja,kwenye mambo makini kua makini.

    • @YOUSUFHUGUGU
      @YOUSUFHUGUGU 4 місяці тому

      ​@@homeboybeyondtheborders4935hujielew ww

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 4 місяці тому

      Iran ni Waislamu mashia wanaoruhusu Wanawake kulawitiwa.

  • @user-xc6ls9xn8h
    @user-xc6ls9xn8h 4 місяці тому +13

    Iran upo vizuri huyo myaudi atafute pakwenda kuishi hapo alikaribishwa tuu

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 4 місяці тому +8

    Sky uko very smart ok take %100 nawapa ninyiii sns

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 4 місяці тому +4

    Safi Sana sky unazidi kwenda vailo ongeza bidii zaidi

  • @mkande
    @mkande 4 місяці тому +20

    Hii nihatari Israel watajuta

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 4 місяці тому +3

    Wenzetu wako mbele sana,sie huku muda wote "mama,mama aendelee,mama,mara ufisadi,wenzetu kila siku wanafanya vitu vya maana,dah sie ni hovyo sana

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 4 місяці тому +7

    Irani super power

    • @tommorara8031
      @tommorara8031 4 місяці тому +1

      wewe hivi unaelewa maana ya superpower

    • @fatumambaruku963
      @fatumambaruku963 4 місяці тому

      Jamn😂😂😂​@@tommorara8031

  • @mussawaziri4702
    @mussawaziri4702 4 місяці тому +4

    Huyu mwamba yupo vizuri zaidi kwenye kuelezea mada, hana michambo😅😅😅

  • @DavisEnglishTv
    @DavisEnglishTv 4 місяці тому +8

    Sisi bhana huku kwetu tunalindwa na mungu

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 4 місяці тому

      😂sure

    • @MariaDaniel-qj1eu
      @MariaDaniel-qj1eu 4 місяці тому

      😂😂kwakweli

    • @YOUSUFHUGUGU
      @YOUSUFHUGUGU 4 місяці тому

      Ulinzi wa Mungu kwa waja wake ni Bora na hakuna wa kuufikia ndiyomana tuma amani zaid yao.
      Tujifunze kumshukuru MWENYEZI MUNGU MTUKUFU kwa neema kubwa ya maisha yenye amani na furaha anayotuj

    • @YOUSUFHUGUGU
      @YOUSUFHUGUGU 4 місяці тому

      Anayotujalia katika nchi zetu

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 4 місяці тому +3

    Iran ndo nchi yenye wanasanyansi bora zaidi duniani.Afrika tumefumbwa snaa na washirika wetu wa ulaya na Marekani,Iran ni miongoni mwa nchi 5 hatari sana ktk Medani za kivita.Yaani Iran inaingia top 5 kwa nchi zenye uwezo mkubwa wa kivita duniani.

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f 4 місяці тому

      N🎉🎉🎉 🎉🎉 🎉 i

    • @tinejuxfrancis729
      @tinejuxfrancis729 4 місяці тому

      Haiwezi kua ya 5 Kaka.. namba 1 marekani 2 Russia Ila Kati ya marekani na Russia hapo sijajua kwa sasa Nani anakamata namba moja 3. China 4. Korea kaskazini 5. France 6. England 7. Germany ko huku na kuendelea ndo anaweza ingia Iran

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 4 місяці тому

    Ewe mwenyezi mungu azidi kuwangamiza waiziraili na washilika waoo pamoja sana kila aduwi waisilam amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @PatrickKagiraneza-ok8cw
    @PatrickKagiraneza-ok8cw 4 місяці тому

    Habari nzuri kwa irane.ila nami nafurahiya hiyo kujitaidi ya techilogies ya iran...

  • @AbdallahHassan-vq9wq
    @AbdallahHassan-vq9wq 22 дні тому

    safi sana Iran kama ulusi mpige uyo myaudi

  • @tsitingilembombo9995
    @tsitingilembombo9995 4 місяці тому +2

    Israel ni taifa la Mungu, hao Iran wataangamia.

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 4 місяці тому +1

    Iran sio waarabu hakuna nchi ya kiarabu zote ni wanafki,iran ni waajemi(Persians).wana historia ya elimu duniani kuna Dola iliitwa "Mesapotamia" teknologia nyingi sana na hesabu zilianzia Iran,kwa hiyo kahiyo kama ilivyo Israel ambayo sio waarabu hata Iran sio waarabu vilevile,waarabu kwa mashariki ya kati hawana historia ya tekinologia.

  • @chamyfx9377
    @chamyfx9377 4 місяці тому +2

    Hayaaaaa

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td 4 місяці тому

    From Bujumbura to ponanyi

  • @hamywaya3732
    @hamywaya3732 4 місяці тому +1

    🔥🔥

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 4 місяці тому

    Ok tuongelee kwetu na sisi

  • @frankrowland2884
    @frankrowland2884 4 місяці тому

    Km 75 ni sawa na miles 46.6 embu rekebisha hapo

  • @kingcole60
    @kingcole60 4 місяці тому

    Sawa endeleeni kumjaza yetu macho

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 4 місяці тому

    Jamani sis afrika hatuna silaha yeyote

  • @murtalla2826
    @murtalla2826 4 місяці тому

    Tanzania makomando wetu wanabeba kilo 70😅😅😅

  • @iroohassan8361
    @iroohassan8361 4 місяці тому

    Waiziraely watengwe Dunia nzima kw ukatily wanavyofa nya

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 4 місяці тому

    We mzee Acha uongo km75 zinakuaje mile200?
    Mile ni kubwa kuliko km

  • @AhmedAli-x8w9e
    @AhmedAli-x8w9e 4 місяці тому

    Sns Sina mpya

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 4 місяці тому +2

    Israel ngoja tuone sasa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 місяці тому

    Sio teknolojia bali Iyo inaitwa uchawi wa kidhungu

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 4 місяці тому

    Ulinzi wa uongo kaeni kimya ushabiki bila kujitasimini amepigwa amili jeshi haminei watu nikushangilia achen ujinga wapingwa iran watanza wameonewa acheni utani hakuna chochote

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 місяці тому

    Iran airbase yake zipo chini ya arizi ktk milima ndioko lran lnayokoficha ndege zake za kivita

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 4 місяці тому +2

    let wait and see maana mimi ninacho jua IRAN analeta siasa

    • @EmmyRowland-ir5gh
      @EmmyRowland-ir5gh 4 місяці тому

      True kabisa Iran inadanganywa na urusi 😅

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 4 місяці тому

      @@EmmyRowland-ir5gh USA kachezeshwa na USA ili apunguze kasi ya kuuza sirahaa URUSI na ndio maana kambi za iran zimepigwa na Israel kwa kushirikiana na USA ,na USA kaongeza Budget kwa Ukraine huu mchezo autaki hasira

  • @HassanBashir-qn5jh
    @HassanBashir-qn5jh 4 місяці тому

    Dunia ime badilika wale wanajuita police wa Dunia mambo yanaenda ku chenche

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 місяці тому

    👍👊✌️.

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 4 місяці тому +1

    Kwani Iran hana technology? Sisi waafrika tumeanishwa kila kitu ni mzungu ndio maana mnatia shaka kwa Iran lkn Iran ipo juu sana kwa technology kwa sababu wao hawana propaganda za media kama magharibi

    • @user-pd4rg7gb4r
      @user-pd4rg7gb4r 4 місяці тому +1

      Bro we unaelewa vizuri mjinga ni mjinga they don't understand we ..Iran ni moto bwana

    • @DafiMohamed-dz8xk
      @DafiMohamed-dz8xk 4 місяці тому

      @@user-pd4rg7gb4r unajua bro mambo mengi sisi tunaangalia juu juu tu kumbuka Iran wanatengeneza hata drones hatari sana duniani lkn hawasemi...siku hizi uongo umebadilika kuwa ukweli lkn ukweli kuwa uongo...Lkn kwa mtu mwenye akili anaona nani ni mkweli na nani ni muongo kila siku propaganda heti Israel ina mifumo ya kivita kuliko yote duniani kwa kuwa media zao ndio zinatusemea bila hata uhakika na pia tunaaminishwa sisi ni maskini wakati sio kweli mwisho wao ndio huo sasa

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 місяці тому

    Umelipuliwa

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 4 місяці тому +1

    Mnagundua kitu ambacho wenzenu washavuka iyo level

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 4 місяці тому +1

    IRAN AMNA KITU APO, NA URUSI SHOGA YAKE JUZI WAPEGWA BOMU KWENYE MAFUTA NA MFUMO UPO, WENYEWE WAKAE KWA KUTULIA KIPIGO KIPO PALE PALE

    • @user-hz3fv8fd1c
      @user-hz3fv8fd1c 4 місяці тому

      Kajifunze kuandika vizuri kwanza

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 4 місяці тому

      @@user-hz3fv8fd1c Nilichokiabdika kina maana sana ndomaana umekosa cha kujibu, Ukaingia kwenye makosa ya kuandika, Sawa nitajifunza ila ukweli utabakia ivo uwezi kusema unauwezo wa vita na ujawai kupigana vita, Ndo kinampoza Iran Baba yenu Wa Duniani

  • @BeatusKLeon
    @BeatusKLeon 4 місяці тому

    Mwaka 1991 tulisikia Iraq ikisifiwa hivihivi na makombora yake ya scud, kwamba Iraq ina uwezo mkubwa na askari wake Republican Guards eti walikuwa hodari kuliko jeshi lolote. Lakini walipoingia medani tulipata habari zote za kilichotokea, wakaufyata wakaondoka Kuwait.
    Mwaka 2003 Saddam akaja tena na propaganda zake tukasikia sifa nyingi za jeshi lake na silaha, lakini pale ndio akazimishwa kabisa.
    Vita ni mbaya. Ni bora wazungumze wayamalize. Lakini mazungumzo yakishindikana hakuna kiasi cha sifa kinachowezesha kushinda vita, meenye nguvu atashinda yatabakia madhara.

    • @cosmasjoshua1973
      @cosmasjoshua1973 4 місяці тому

      Sasa nchi moja inapigana na marekani na ulaya nzima we kuweza?Iraq lazima ishindwe .Silaha kubwa ya wazungu vitani wanaungana

  • @MfalancaMomade
    @MfalancaMomade 4 місяці тому

    Poa sana

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 4 місяці тому

    Convert ya Km Mile haiku ivo mkuuKm 75 haiwez kuw saw na mail 200 duh umetupiga hapo Mile zilitakiwa zines chin ya 75 bana

  • @raymrash
    @raymrash 4 місяці тому +1

    Iran anajitekenya. Yeye kapiga makombora yake zaidi ya miatatu yakawa neutralized kwa asilimia 99. Israel kapiga drones hazizidi 10 na zimehit ground tena Karibu na maeneo nyeti ya nyukilia. Iran aliahidi angejibu mashambulizi haraka kama Israel angeshambulia. Sasa mpaka saivi kimya Irani amesanda 😂😂😂😂

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 4 місяці тому

      Wew itakuwa hujielewi

    • @raymrash
      @raymrash 4 місяці тому

      @@JamesJastin-bg1rx tulia hivyo hivyo na kujielewa kwako

    • @JumaNgeni-ld5yb
      @JumaNgeni-ld5yb 4 місяці тому

      wasema 99% wameyazuia sasa unalipiza kisasi cha nini wakat hujapigwa

    • @raymrash
      @raymrash 4 місяці тому

      @@JumaNgeni-ld5yb hela imetumika kuzuia hayo mabomu

    • @kingcole60
      @kingcole60 4 місяці тому

      ​@@JumaNgeni-ld5ybakikuosa mmalize ndo wanachokifanya Israel

  • @shabanimgaya5621
    @shabanimgaya5621 4 місяці тому

    Awa jamaa ni hatar ila ngoja tuone matukio yajayo...

  • @Zenny89
    @Zenny89 4 місяці тому

    Wabongo ni mashabiki maandazi kwenye hizi comments 😆😆.. na sisi Tanzania tuna mfumo gani??? Sababu tunachoka kushangaa ya watu.

  • @TygaBusiness
    @TygaBusiness 4 місяці тому +3

    WaIran bhn sas ilikuaje waka ingiliwa ile majuzi😅 wanambwembwe kinoma

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 4 місяці тому +1

      Aujulizi idf yani jeshi la israel kudanganya dunia wawao wakubwa vita miezi kazaa tu msaada.

    • @TygaBusiness
      @TygaBusiness 4 місяці тому +1

      @@jumamussantuiche wa Palestine wanapigwa na hakuna msada unahisi nikwanini hakuna ane saidia😂 watoto wanavyouliwa kule gaza

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 4 місяці тому +1

      Kwani mmarekani mwenyewe hakuwahi kuingiliwa na magorofa yakaporomoshwa? Urusi Mwenyewe hakuwahi kuingiliwa Nyumbani kwake? Huyo muisrael hajawahi kuingiliwa na kikundi kidogo cha Palestina bila kukamatwa hadi Leo? Wewe amini wanayosema acha mbwa mbwa mbwaa

    • @TygaBusiness
      @TygaBusiness 4 місяці тому

      @@annassuleiman4508 mbona km umepanik hivi hata huelewek unaongea nn😂

  • @kkhalifairumba2932
    @kkhalifairumba2932 4 місяці тому

    Ww unaona hao wa iran wanaongeaga uwongo

  • @tolbartkishamba3772
    @tolbartkishamba3772 4 місяці тому

    Laminitis nanyie mnatudanganya sana katika Musiala ya kijeshi ni arepa I pekeyake ndo imebobea na nibajeti kubwa sana tusidanganyane wewe f35 umesikia lini imetumika katika mashambulizi maana ni Ndebele amblyopia haina Munda mrefu

  • @Michael-nl5nq
    @Michael-nl5nq 4 місяці тому

    Hakuna mfumo hapo ni.mabpmba tu.

  • @mbogelabairo4722
    @mbogelabairo4722 4 місяці тому

    Naitaji kuuliza hii mifumo ya kuzuia inapokuwa imetoa kombola kwenda kuzuia mashambulizi ya adui inazuia angazi yan kulipuka? Sasa baada ya kulipuka yake makombola siyanashuka chin ya Ardhini kwamba ayalete madhara kama chuma chakavu baada ya kulipuliwa kudongokea watu au makazi?

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 4 місяці тому +2

    Hakuna mfumo Bora hapa duniani zaidi ya iron dome,acheni upuuzi

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 4 місяці тому +2

    Naurusi ilipo ingia kwenye mtego wakuiingia urken ndio nikajuwa ndio mwanzo namwisho waukreni akuna misheni yoyote ambayo uingereza ilishawai kuikomaria ikashindikana maurusi imeingia kwenye 18 zafree mason uingereza na kitoto chake marekani ufaransa maujerumani Sasa apo razima urusi isambaratike TU ngojea mtaone wenyew

    • @wolinet1
      @wolinet1 4 місяці тому +1

      Hamna kitu kama hicho

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 4 місяці тому

      unaishi dunia ya zamani sana, Dunia hiyo ilishapita haipo tena, huoni afrika wanavyowatimua wamagharibi ..? Israel kuua raia mpaka leo hii miezi 7 kashindwa kukomboa mateka..😅

    • @MuasitiAboBakri-ew5mu
      @MuasitiAboBakri-ew5mu 4 місяці тому +1

      Unacheza na urusi wabaya kama jina lao wananyuklias hatari ya kuharibu dunia

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q 4 місяці тому

    Uongo tupu juzi ndo kapigua na israeli na awakijinu na walisema wakipigua watajibu kimya kimezidi

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 4 місяці тому

    Sio kaboresha kapewa na urusi

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 4 місяці тому +1

    Be blessed Israel

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 4 місяці тому

    Izi Irani cjui china nakorea izi kwamarekani nitaka takata TU cc hii urusi atuiachii ngo Tena ngo tukiisambaratisha izi punje punje nivitu vyakupangusa tu

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 4 місяці тому +3

      Sawa ngja nikuone ww na mashoga wenzako ila ni ivi the end of America and Israel and UN

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t 4 місяці тому

      Usijidanganye hata siku Moja urusi sio Libya Wala sio Iraq sawa wale ni hatar kwa kutengeneza silaha na pia ni wataalamu wa vita sio kama hao mashoga wenzio na wewe unaounga mkono uchoko

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 4 місяці тому +1

    Iran inanunua technology wkt Yaudi anatengeneza hapo ndo tofauti na utaona nani yupo na kujiamini na Yaudi amezuia na kupiga kirahisi na Iran amepata hasara haelewi ilivyokuwa

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 4 місяці тому

      Ndugu Yngu Umesahau Ata Makombora Ya Iran Kwenda Israel Ukuona Israel Imepata Hasara Viwanja Ndege Za Kijeshi Na Miundo Mbinu Yake Pamoja Na Kambi Za Kijeshi Zinapata Hasara Kwa makombora Ya Iran Ama Ukuuona Wacha Kutetea Mahayahudi Ili Hali Mayahaudi Ni Mpinga Kiristo AMA Ujui😂😂😂 Na Ata Makombora Ya Israel Yakisababisha Hasara Hakuna Anae Bisha Ilo Japo Kila Mmoja Hakupata Hasara Kubwa Ni Hasara Ndogo Ndogo Tu

    • @user-tm6gv9kp7v
      @user-tm6gv9kp7v 4 місяці тому +2

      Iran silaha zake nyingi wanazalisha wenyewe tofauti na Israel fatilia vzr kwa umkini

    • @hansiselemani8025
      @hansiselemani8025 4 місяці тому

      ​@@user-tm6gv9kp7v
      Hajui sisi tunaona ana vinu vya kizalisha ila anafany Siri sana

    • @RamadhaniJumanne-ox3pr
      @RamadhaniJumanne-ox3pr 4 місяці тому +1

      Ukiweza kukopi technology Kwa mtu yeyote jua una uwezo mkubwa sana. Note that

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 4 місяці тому +1

      Israil kama si marekani na jordan na uwengereza na ufaransa na ujerumani aaaa wewe acha kudanganya watu juzi hapa alisaidiwa na tena juzi iran alitowa stork ya zamani makombora ya kizamani 😂 na makombora matano yaliiingia

  • @user-mm4uy7cy9w
    @user-mm4uy7cy9w 4 місяці тому

    Sumbawanga watu wanalindwa nandumba

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 4 місяці тому

    Iran ni drama tu unawasifu bure hawana lolote, vitisho huwa vingi all those ballistic missiles, 5 countries wali targets Israel na waka fails wtf 😒🤣🤣🤣

  • @California9451
    @California9451 4 місяці тому

    Hauna maajabu

  • @zedekiahjulius6
    @zedekiahjulius6 4 місяці тому

    Hakuna mifumo ilio testiwa kama za israel

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 4 місяці тому +1

      Mifumo ya israil inatunguwa makombora local ya akina hamas😂

    • @kunuzaljannah506
      @kunuzaljannah506 4 місяці тому

      Kumalamamako wewe na Israel wako wauaji watoto kenge wewe

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 4 місяці тому

      @@kunuzaljannah506 nenda shule kwanza mmejaa mashetani nyie na mtapigwa tu kazi kuandamana na kupiga kelele kama mijinga

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 4 місяці тому

    Iran hamna kitu hapo izo na f 16 hazioni kitu

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 4 місяці тому

    Iran kwa Israeli ni kama mkojo tu....

  • @Michael-nl5nq
    @Michael-nl5nq 4 місяці тому

    Iran kelele wataendelea kupigwa kila siku na magaidi wake F.35, F.22 NA B2 Haziweziangushwa ma makopo hayo kwani s 300 ya urusi imefeli hata s 400 haiweziangusha us na israel made f 35
    Stealth bomber..

  • @user-mc2zl1gj6u
    @user-mc2zl1gj6u 4 місяці тому

    Hakuna kitu hapo mifumo yote ya ilani analetewa na urusi na ndiyo maana anakuwa jeuli mwache Irani ajitutumue ila siku akikung"utwa msianze kulalamika kuwa anaonewa nyie twendeni tu