CLEMENT MZIZE AMWAGA UKWELI | KUBADILI DINI | "NILIKATA TAMAA YA MAISHA" | MAMA MKALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 97

  • @hassankassim2463
    @hassankassim2463 Рік тому +6

    Hakika umekuja kwenye dini sahihi mungu atakusaidia mdogo wangu

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому +7

    Mdogo wangu Mzize kipenzi cha Wananchi.. Imani yako ndo Mtaji wako Mtegemee Mungu ili ugike Mbali. Tamaa ilimpoza Fisi hadi sasa kabaki hana la kufanya au Sungura sizitaki mbichi hizi kumbe anazitaka. Sasa me nimekuona unajiamini na unajitambua pambania Namba yako kwenye kikosi cha Wananchi ili Mama asie kua pia na Tamaa anaekushauri mazuri afurahie matunda ya Wananchi.

  • @mrx8608
    @mrx8608 11 місяців тому +2

    Pole sana kijana Kwa kuiacha kwelii ukafuata Giza Huwa nawaza km biblia imeandikwa kiswahili hujaielewa vpii hiyo ya kutoka kulia kwenda kushoto,,yesu mrehemu nitafute nikupe maandiko ya icho kitabu Chao ama trh 17 Kuna shughul pahala kubwa pole Kwa kumwacha yesu aiseeee lait ungejua moh alikabidhi roho yake Kwa yesu ukibahatisha kukutana na bi aisha mkee MDOGO WA moh jaribu kumuuliza

    • @muhamedkhatib4913
      @muhamedkhatib4913 9 місяців тому +1

      Pumba tupu pumbavu ww vp hicho kiarabu unakijuwa unaetaka kumuonesha ukweli? Huna ukweli ww ni mfuata mkumbo kama wakristo wote duniani

    • @Baba-JJ
      @Baba-JJ 7 місяців тому

      Kafuata wanawake 72 wenye makalio makubwa, Dar hadi Dodoma. Anataka akienda akhera akapewe dhakari ndefu isiyo na mwishoni. Wakiwa wanahudumiwa na watoto wadogo wa kiume wakiwa uchi. Kungonoka mwanzo mwishoni! 😂😂

    • @TatuHusseni-hs7mu
      @TatuHusseni-hs7mu 5 місяців тому +1

      Ukipenda na wew badili to hujakatazwa

    • @MakameMufadhil
      @MakameMufadhil 2 місяці тому

      Yesu muislam

    • @AbdusidMohammed-hi5ib
      @AbdusidMohammed-hi5ib 2 місяці тому

      Dini moja tu uislam waliobaki na makafili tu

  • @OmasBluys
    @OmasBluys 2 місяці тому

    Allah is the one and no one above....., may Allah b with you 🙏

  • @DevotaMafwimbo
    @DevotaMafwimbo 2 місяці тому +1

    Acha zako dini sahihi! wazazi wake wlimlea ktk dini isiyo kweli, , ujinga tu dume kubadili dini na mwanamke afanyaje

  • @aminakassim7486
    @aminakassim7486 Рік тому +1

    So humble

  • @bbccaa4156
    @bbccaa4156 Рік тому +4

    Mzize nakushauri kitu kijana walikuja vijana wengi wenye vipaji hapo yanga kina kamagi fei nk wakapotezwa na tamaa za madalali walaghai ili wapate kujaza matumbo yao wewe ni kijana makini nakuomba kua makini na kipaji chako mdogo wangu tuliza akili cheza mpira utafika mbali please usilewe sifa Pamabana kila siku kama ndio unaanza

  • @ElikanaBuhembo-su8um
    @ElikanaBuhembo-su8um Рік тому

    Hongera sana bwana mdogo

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Місяць тому

    Hakuwa na mizizi ya Imani.

  • @abdillahmchia8557
    @abdillahmchia8557 10 місяців тому

    Mzize hana shida ,..sy feisali huyo

  • @shaibumkullu4478
    @shaibumkullu4478 Рік тому +2

    Wasikukatishe tamaa, chamsingi hujashawishiwa.🤝

  • @ramadhanimpilipili9103
    @ramadhanimpilipili9103 6 місяців тому

    Hata yesu hakushushiwa injili KWA lugha ya kiswahili nikiarabu tu na yeye pia alikua muarabu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 місяці тому

      Unamshadadia mwenzio kujiunga kwenye dini majini pongo wewe

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 місяці тому

      ​@@robertphilip385Majini pongo sawa,hebu tueleze majini ni nini?na Je majini waliumbwa na nani?Je majini ni Waislamu tu au Wapo na wa dini zingine?toa majibu ili uwache kulopoka hovyo hivyo bila elimu na ufahamu!WAPO WANADAMU WALIOKUFURU WAKAUKATAA UISLAMU NA MAJINI WAPO WALIOKUFURU WAKUACHA UISLAMU WANAHITWA MASHEITANI!

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 2 місяці тому

    Kelele nyingi banaa

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 Рік тому +3

    Pambana shee waridi

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 9 місяців тому

    mzize Rudi dini ya wazazi wako utapotea huyo wakala kama hataki kukusaidia basi Mungu atakupa wakala mwingine sio huo anaye taka umpe rushwa ya kubadili dini

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 6 місяців тому +1

      wewe hujielewi ukijielewa uta acha huo uvundo wako

    • @YusuphMbwilo-xh9mu
      @YusuphMbwilo-xh9mu 2 місяці тому

      Dogo unauwacha mwanga unaifata giza kama leo umemuacha munguwako kwaulagaii watimu kesho autaona ajabo kuwapa mwili wako wauchezee kisa kuipigania namba yako

  • @mariaclaver7721
    @mariaclaver7721 Рік тому +2

    Kumbe ndio maana umebadili imani shauri ya ushauri.

  • @BON357
    @BON357 Рік тому

    Start

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 Місяць тому

    KULEKULE ULIKOTOKA NDIO KULIKUFANYA YANGA UKUSAJILI NA SI KUBADILI NA BIBLIA HUSEMA MTU ASIYEBEBA MSALABA WAKE NA KUNIFUATA HANISTAHILI

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 2 місяці тому

    Huyu ni ule ushamba tu unamsumbia itakapo fika wametengana in any way ndo ataona upimbavu wake

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 Рік тому +1

    Kijana Rudi kwa Yesu,kuhamia huko kwingne ni kumkana Yesu.Naamini ipo siku utarudi kwa Yesu

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 Рік тому

    Walid hapana labda eden,nasri,Abdullah nk

  • @mwlbarakambisetv8825
    @mwlbarakambisetv8825 Рік тому +4

    Njaa ni mbaya sana mtu asikufiche
    Najua pesa imemshawishi amkane Mungu wake but zitaisha atakumbuka Ukristo tu

  • @Alexanderlyimo
    @Alexanderlyimo Рік тому +2

    Huo upumbavu ndo sitokuja kuufanya maishani

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 Рік тому +1

      Sasa unataka na sisi tufate upumbavu wako wakuwa mkristo?

    • @Alexanderlyimo
      @Alexanderlyimo Рік тому +1

      @@kassimrajabu56 kila mtu Abaki kwenye dini yake aliyozaliwa ila kuja kubadili dini bora uniuwe sitokuja kufanya huo upumbavu

    • @hassaneddy5869
      @hassaneddy5869 Рік тому

      Ndo maana mungu kaumba moto

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 Рік тому

      @@Alexanderlyimo sawa baki na ukristo wako.

    • @jumasaid2792
      @jumasaid2792 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣na kama utatrace kizazi chako nyuma kidogo basi walikuwa wapumbavu pia au wew mpumbavu tayari maana wazazi wa wazazi wako au wazazi wao hawakuwa WAKRISTO pia sasa usimalize maneno kama hujaitafuta historia yako.
      Tanganyika UKRISTO ulianza 1886 sasa anza kutafuta asili yako wew mpumbavu(mjinga) tafadhali ingia GOOGLE 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 2 місяці тому +1

    Acha ujinga mzize, Mungu wa Yesu ndio alie kuinua.

    • @Khmediy3241
      @Khmediy3241 Місяць тому

      Mungu habagui uionua wote mpaka wanga,ma freemason ila kufikili kipi sahihi cha kuabudu juu Yako ata ukiabudu jiwe anakupa ila mtakutana mbinguni kwenye paper Yako uloshindwa kujua mungu nan shenzi ww

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 Рік тому

    Mwanamke ndo kambadilisha dini😁😁😁😁😁😁

    • @rashmaissac480
      @rashmaissac480 Рік тому +1

      Mtafute mwanaume akubadilishe dini na ww😂😂😂

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 Рік тому +1

      Yan mm mwanamke tu ety aje atokee aniambie nibadilishe dini yng ya ukristo ntamuona ni shetani kabixaaa, hata nipewe jumba kubwa kama meri magari sio gari moja magariiiii siwez kuacha dini yng leo hii ije kua mwanamke tu thubutun muoneeeee najitambua xana xana

    • @gracegofrey4677
      @gracegofrey4677 Рік тому

      @@rashmaissac480 hio kwangu ni ndoto my friend 😀😀😀

    • @gracegofrey4677
      @gracegofrey4677 Рік тому

      @@nestarnestar4520 kavutiwa sura yake😀😀

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 Рік тому +1

      @@nestarnestar4520 Kwani ukristo nao ni dini? 😂😂

  • @SilimaKhamis-sv9rd
    @SilimaKhamis-sv9rd Рік тому +12

    Priva walid anatakiwa ajifunze dini yake aspecial kusoma Quran Ali Kamwe msaidie dogo huyo is agood guy anaonekana

    • @asyashariffu7717
      @asyashariffu7717 Рік тому

      Eeh na mikato mikubw asipendlee inawez ikamueka mbal na vazi lke la kiislam..akate kiistarab Ata akichong isiwe kiviile cz yy saiv ni kioo baad ya kuslimu Kuna watu wengn nyuma yke wanamuangalia ambao na wao pia wanataman waslimu

    • @BenezethEmily
      @BenezethEmily 2 місяці тому +1

      Sasa Clement na Qur'an wapi nawapi

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 Рік тому

    Mnamhari u huyu mtoto

  • @webirowasira7920
    @webirowasira7920 Рік тому

    Why copy and paste other people work

  • @AmourSaid-p5q
    @AmourSaid-p5q Рік тому