CHINI YA JUA FILAMU YA BONGO MOVIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 809

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies  3 роки тому +16

    click here to watch Tanzanian films (African films) & bongo movie kovu jeusi full movie ua-cam.com/video/dhYfcRShMHM/v-deo.html
    moyo wa maumivu part one ua-cam.com/video/MDQunvN-Cm4/v-deo.html
    moyo wa maumivu part two ua-cam.com/video/WoF1f6glJWA/v-deo.html
    kahaba wa siri part one ua-cam.com/video/3geiL6EWPbw/v-deo.html
    kahaba wa siri part two ua-cam.com/video/Cz5JS3KnMXY/v-deo.html
    kovu la moyo part one ua-cam.com/video/6L-D-rLqcqM/v-deo.html
    kovu la moyo part two ua-cam.com/video/nM6s4XzF0fk/v-deo.html
    mauwaji ya siri part one ua-cam.com/video/ldVIHby2dfY/v-deo.html
    mauwaji ya siri part two ua-cam.com/video/0ITRDVqSOwA/v-deo.html
    bonyeza hapa kutazama filamu zetu nyingine
    damu yangu part one ua-cam.com/video/ccmkbvJDAPU/v-deo.html
    damu yangu part two ua-cam.com/video/tvNwyMcTRrM/v-deo.html
    kipofu wa mapenzi part one ua-cam.com/video/xQyh-o54LVU/v-deo.html
    kipofu wa mapenzi part two ua-cam.com/video/bD80hStzuDE/v-deo.html
    namzika mwanangu sehemu ya kwanza ua-cam.com/video/oFpQ8hdnpAQ/v-deo.html
    namzika mwanangu sehemu ya pili ua-cam.com/video/oFpQ8hdnpAQ/v-deo.html
    kidawa part one ua-cam.com/video/ZJjaEmnm5IQ/v-deo.html
    kidawa part two ua-cam.com/video/qysY1xR0mh8/v-deo.html
    mateso ya dhambi part one ua-cam.com/video/BlBWXVYRLKU/v-deo.html
    mateso ya dhambi part two ua-cam.com/video/JhfdYK4GC1c/v-deo.html
    hofu full movie ua-cam.com/video/CZiS-3CpwqA/v-deo.html
    mtoto wa kununua ua-cam.com/video/VVgnEVdQOKc/v-deo.html
    chini ya jua full movie ua-cam.com/video/QRBYtFnauAw/v-deo.html
    masumbuko part one ua-cam.com/video/p7l9O1r9FE0/v-deo.html
    masumbuko part two ua-cam.com/video/3bIfbjxP5JA/v-deo.html
    masumbuko part three ua-cam.com/video/xnj8PGFOvuA/v-deo.html
    huruma yangu full movie ua-cam.com/video/8GTZZ-FgjHU/v-deo.html
    vanila full movie ua-cam.com/video/XlFWmbeVV0w/v-deo.html
    kifafa full movie ua-cam.com/video/GNAqFAGyqos/v-deo.html
    kafara ya mwanangu part one ua-cam.com/video/awUB9Jmnh3Y/v-deo.html
    kafara ya mwanangu part two ua-cam.com/video/kHzdvJB-iM0/v-deo.html
    ridhiki ya fukara part one ua-cam.com/video/9c0QB4gbAPo/v-deo.html
    ridhiki ya fukara part two ua-cam.com/video/z5fzcvOEWbo/v-deo.html
    ummy part one ua-cam.com/video/IrnckuT28QM/v-deo.html
    ummy patr two ua-cam.com/video/99QOVfWU3Uc/v-deo.html
    mchuma janga part one ua-cam.com/video/4ye76ourG80/v-deo.html
    mchuma janga part two ua-cam.com/video/rCNZuTiL1Uo/v-deo.html
    gubu la wifi na mama mkwe ua-cam.com/video/h_fC4kw3bQA/v-deo.html
    vita ya familia part one ua-cam.com/video/VdV7t6kePRE/v-deo.html
    vita ya familia part two ua-cam.com/video/1Zf_Ok0vexA/v-deo.html
    akili ya dhambi part one ua-cam.com/video/V32q1YWJHi0/v-deo.html
    akili ya dhambi part two ua-cam.com/video/yUFjedwBkMU/v-deo.html
    siamini part one ua-cam.com/video/Mdcj4O8-Ed0/v-deo.html
    siamini part two ua-cam.com/video/IPjjcHp2zlk/v-deo.html
    vituko vya ukewenza part one ua-cam.com/video/vONj9dIxkyQ/v-deo.html
    vituko vya ukewenza part two ua-cam.com/video/mc4wBBgp76A/v-deo.html
    maisha yangu part one ua-cam.com/video/gTFzkhe1vzY/v-deo.html
    maisha yangu part two ua-cam.com/video/UJRGbTX3JXI/v-deo.html

  • @teklamatingu254
    @teklamatingu254 3 роки тому +8

    Huyu mama kichaa ajuwa kuigiza..halafu huyu boy ajuwa kuuguza mama dah! Hongera kakangu

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies  3 роки тому +18

    Filamu hii imewaliza maelfu ya watu Kama bado haujaitazama hebu itazame ni filamu nzuri sanaaa isiyoisha hamu kuitazama unaweza kuirudia paka Mara kumi kwa uzuri wake

    • @HappynessTemba
      @HappynessTemba 7 місяців тому

      Daa mungu atipiganie man wanaume Kam Hawa wapo weng

  • @davidalengairagro7295
    @davidalengairagro7295 3 роки тому +4

    Big up sana waandaaji WA bongo hyi mnajuwa kweli niko kongo drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ashurapandu7671
    @ashurapandu7671 4 роки тому +6

    Nice movie
    Ni fupi Ila inaeleweka👌 hata hivyo imegusa dhamira zilizomo katik jamii
    Hongereni sana

  • @hudamtumbo4790
    @hudamtumbo4790 4 роки тому +7

    Mpo vizuri sana tena sana mnachowapendea hamna maringo ya kurembua macho mala kubinua midomo mara ni ivo2 nawapenda sana%100 ila amuwezi mkasifiwa na wote cha muhimu pigeni kazi2

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mussamlewa2178
    @mussamlewa2178 4 роки тому +5

    Hongereni sana watabora wenzetu kwa kaz nzur naicheki hii move nikiwa Dubai najivunia kuzaliwa mboka

  • @annaki318
    @annaki318 10 місяців тому +1

    Bigup sanaa washiriki wotee mmejua kuiwakilisha vyema TABORA.🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 3 роки тому +9

    Nampenda sna mama mwenye ume act uwazimu unajua kuigiza nimekumbuka movie yko moja vituko vya uke wenza hongereni sna🥰🥰

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому +1

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mugarurafred4487
    @mugarurafred4487 19 днів тому

    Mimi nimeisha pendi filimu hii. Asante Ritah kwa kumkumbuka mwenye aliokoa maisha yako kijana huyo. Nangalia kutoka Jowhar, Somalia 🇸🇴🇺🇬🇹🇿

  • @mwaijasamatta4012
    @mwaijasamatta4012 4 роки тому +15

    Nimempenda bahat yupo very nice,yaan licha ya kuedit lkn uharisia ni mtu mwenye unyenyekevu pamoja na yote bg up sanau

  • @taitamsolid8341
    @taitamsolid8341 4 роки тому +12

    Am the one of Tanzanian Actor but am so exaited to reach Tanzanian People that this muvi is very Good it teach many things in our Community congrats may God bless all participants in this.😍😍😍

  • @imanipatric35
    @imanipatric35 3 роки тому +4

    Haha huyumama leo kaigiza kichaa havimufai kabissa ijapo ameweza

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 4 роки тому +6

    Nampnda sanaaa mama bahati na bahati mwenyewe Allah awabarik

  • @lydiamuli3328
    @lydiamuli3328 4 роки тому +17

    Duh! Maisha magumu yasikie tu na wengine na ukatili pia usikie tu🤔🤔hongereni nyote mko vizuri ila part ya Rita na Bahati yaitaji neema kando na kipaji.🙏🙏

  • @UpendoMichael-p1z
    @UpendoMichael-p1z Рік тому +2

    Ah. Mungu atuweke. Dunia hii. Kama wapo watoto wa aina hiyo mungu awabariki awatukuze leo na kesho na milele.

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 роки тому +13

    Sanau mnaweza Kwa kwel, hasa Huyo mama alieigiza kichaa namkubali sanaaaa

  • @yusuphchakupewa7273
    @yusuphchakupewa7273 4 роки тому +6

    Hongereni sana mungu azidi kuwainua hakika mnaweza pongezi kwa washiliki wote

  • @imanipatric35
    @imanipatric35 3 роки тому +1

    Sanau mumenifundisha kutaama movier za kibongo coz najifunza kila napo tazama movier zenu

  • @shakirah.bella.mu.promise2921
    @shakirah.bella.mu.promise2921 3 роки тому +7

    I dont know kiswahili but am enjoying the movies ,ohh my God mam is mam I have liked boys love to her mum

  • @ramaamani9106
    @ramaamani9106 3 роки тому +2

    Oya mwanangu umenifanya nilie jinsi unavoishi na mamaako, Big ap sana mmeweza sana hongela mwamba

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 роки тому +6

    Asante sana hongera muko vizuri

  • @mathiasmbogo-nl7bc
    @mathiasmbogo-nl7bc 9 місяців тому +1

    Huyo mtunzi wa filamu nampa kongole kazi Safi japo filamu nare sana

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +18

    Shukran Sana Kwa Movie nzuri Yenye Mafunzo, Hongereni Sana Washiriki, Asante Sana Sanau.

  • @joshuabarack6273
    @joshuabarack6273 4 роки тому +5

    Nawapata very nice from lsk Zambia

  • @zaynabmohamed3641
    @zaynabmohamed3641 4 роки тому +8

    jaman leo nimekuw wakwanz kuiangalia mv hii big up sana sanau nawakubal

  • @akinyililian767
    @akinyililian767 2 роки тому +3

    Avery nice movie endeleeni tunajifunza mingi sana

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @wineejercito9713
      @wineejercito9713 2 роки тому

      @@sanauswahilimovies inglish

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml Рік тому +1

    Wow mpo vizuri hongereni zaidi😅😅😅😅😅❤

  • @binuriathassan9969
    @binuriathassan9969 2 роки тому +2

    Duuh movie nzuri ongereni mpaka inanitoa machoz

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hawahawa4442
    @hawahawa4442 4 роки тому +3

    Dah sanau sijawahi kuwachoka hata siku moja nawapenda sana❤❤❤

  • @latifahshaban3385
    @latifahshaban3385 4 роки тому +5

    Nice movie hongereni sanaa💞

  • @samsonerick2345
    @samsonerick2345 4 роки тому +5

    Msumeno acha tabia ya kudanganya hauna mke. . . . . Mambo gan mpaka kwny gar sasa
    Hongeren

  • @leonardrafael4304
    @leonardrafael4304 3 роки тому +3

    Sanau movies mpo vzr sana✊

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      .masikini filamu hii ya mama wa kambo inayozungumzia maisha ya kweli ya watoto waliopitia maisha magumu kutoka.kwa mama yao wa kambo bonyeza maandishi ya blue hapa kuitazama ua-cam.com/video/rZPm_6Vrs2U/v-deo.html Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie

  • @lucykavundo9133
    @lucykavundo9133 4 роки тому +8

    Mama n mama jaman hongera sana bahat

  • @EzechielNIYOMWUNGERE-c3l
    @EzechielNIYOMWUNGERE-c3l Рік тому +1

    Eeeewooooannnn Nami Pia naipenda imenifunzisha makubx

  • @yvettemunezero5599
    @yvettemunezero5599 4 роки тому

    Wow filamu hii ninzuli sana, inafundisha watu wenye roho munyama. Asanteni.

  • @lovenessqueen3313
    @lovenessqueen3313 3 роки тому +6

    movie nzuri sana nimependa😍😍

  • @mariammussa4593
    @mariammussa4593 4 роки тому +7

    Huyu kaka ameniliza 😭 jmn ana mhudumia vzr mama yake daah

    • @isaackmkaka8697
      @isaackmkaka8697 3 роки тому +1

      Ni wachache mno wanaoweza kuwa na moyo kama wa uyo kaka katika dunia ya leo.

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 3 роки тому +3

    Mko vzuriiii 😋 nimeipndaaaaaa

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 11 місяців тому +1

    Kazi nzuri saana inamafunzo ndani yake ❤❤❤❤❤❤

  • @abdallahesika8407
    @abdallahesika8407 2 роки тому +4

    Ingependeza kama huyo mzee pindi anasimulia maisha yake ya ujana mandhari yangeonekana kuwa ya enzi hizo mfano, tv-ingekuwa ya chogo, sofa wangeondoa ziwe kochi za kawaida zilizokuwa zinatumika sana zamani

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 4 роки тому +4

    we mama kwei umejua kuigiza uchizi. mashaailaah

  • @annabellalameck6998
    @annabellalameck6998 3 роки тому +2

    Maembe makubwa kama kichwa hahahahahaaaa movie nzur sana

  • @hemedimandai2843
    @hemedimandai2843 4 роки тому +5

    Dah...!! Mko vizuri, ila kuna mpungufu, kipindi unamchiti mkeo gari ulilotumia kipindi iko hazukuwepo, plet namba c hazikuwepo na cm aliekua akitumia mama bahati pia hazikuwepo, mmeshidwa kutofautisha wakati na vitu, ila mpo vizuri, na yule mtoto polini alifuata nini wakati mauwaji yanafanyika..!! Ila hongeleni sana kwa hadic mzuri, hajika mmenitoa machozi

  • @mukaipeter2186
    @mukaipeter2186 2 роки тому +2

    Nimeipenda sana jamani wazo nzuri tu

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ashaally4570
    @ashaally4570 4 роки тому +3

    Daah we kaka umeniumiza sana ulipo enda kumsafisha mama ako amejinyea ukachukua shati lako ukaziba macho ili ucmuone mama maungo yake poul kweli imenitia simanzi sana

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 4 роки тому +5

    Mpo vizuri sana nipo oman

  • @cleophacegudo3117
    @cleophacegudo3117 3 роки тому +5

    Mama ni mama jameni ,,pia usidharau mtoto wako ila atakusaidia sikuingine ,,,

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      ASANTE SANA KWA KUTAZAMA SANAU SWAHILI MOVIES sanau Swahili movies tunakushukuru kwa kuwa nasi mwaka 2021 tunakuomba uendelee kuwa nasi mwaka 2022 wafanyakazi na viongozi wa Sanau Swahili movies tumejipanga kukuletea filamu zenye ubora na utofauti mkubwa Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @minnahlove7035
    @minnahlove7035 4 роки тому +2

    Yaan mnatoa vitu kila siku na vinakuwa konk kinoma noma yaan nawapendaga sana

  • @nuwayirally4727
    @nuwayirally4727 4 роки тому +5

    Big up sanau movie zenu nzuri sana

  • @imanipatric35
    @imanipatric35 3 роки тому +2

    Ila ningeshauri kitu kimoja sasa mtu ameonekana arifanya mauwaji ya ajabu kama hayo hata kuchukuliwa sheria hamna hapo mumecheza vibaya inamaana mumefundisha nini hapo kwa hakili yangu ya fasta Bahati arivotoka angekuja na askair ikaonekana mzee onchwi ameingia kwenye sheria afu movier ikaisha, Ila asante sana nimtazamo tuu💛

  • @nasrahozza9231
    @nasrahozza9231 4 роки тому +3

    Mmmm mov nzur sana

  • @bigstonemichanoclassibaby7989
    @bigstonemichanoclassibaby7989 4 роки тому +4

    Iko poa sana jamani, good gostei muito da história d Tanzânia obrigado pela ajuda.

  • @Ronnieibrahim-yk1mz
    @Ronnieibrahim-yk1mz Рік тому

    Kazi nzuri nayiomba mpakamwish

  • @anehtomary8487
    @anehtomary8487 4 роки тому +2

    Kaka unaigiza vizuri mungu

  • @habibtyismailhassanismailh714
    @habibtyismailhassanismailh714 4 роки тому +4

    Nice movie congratulations to u all

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 3 роки тому +1

    Jamani kichaa amepupuu🥵🥵😁😁😁haki mnajuaa aisee bahati n ww umejikaza sio bure

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +8

    Back groud xuri ila hii kali huduma mpka kwagari 🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐 hii tabia wanaume unadanganyaa huna mke halafu kumbe uongoo huyu baba jamani hanaimani mdada hana makosaa bs siumpangishie hata room jamani

  • @rispergwaro8817
    @rispergwaro8817 4 роки тому +3

    Congratulations movie nzuri hiyo

  • @MaryMary-ic8nt
    @MaryMary-ic8nt 4 роки тому +3

    Nice.. 🔥🔥🔥🔥 sana

  • @kananisarafe8582
    @kananisarafe8582 4 роки тому +3

    Sema kwa sauti,sauti nindoogo sana wakati mwingine. Ila film yenyewe inafundisha.

  • @richardjuma7708
    @richardjuma7708 4 роки тому +2

    Daaah hii movies nzuri sana

  • @zenasudishabani4179
    @zenasudishabani4179 4 роки тому +24

    Nampenda bahati daa nimekusahau kabisa umecheza karata yako kijijini uko vzr sana hongera washiriki wote kama unawapenda Sanaa gonga link twende sawa

  • @vitreenandeth3457
    @vitreenandeth3457 3 роки тому +3

    Daah wanaume wote walizaliwa na mama mmoja

  • @lindaziti7545
    @lindaziti7545 3 роки тому +2

    Sanau amjawai kukosea😍

  • @jokeableking7039
    @jokeableking7039 4 роки тому +8

    Wale wasukuma wa tabora kwa mstaafu mwaniri mkowapi ktk movie nzuri!!!

    • @theopisterrichard55
      @theopisterrichard55 4 роки тому

      Tupoo iko poa sn

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @youngflyswahili
    @youngflyswahili 4 роки тому +4

    nafuatilia kwa karibu @stonewakitaa

  • @Mhamadiikeresiandembejaikeresi
    @Mhamadiikeresiandembejaikeresi 7 місяців тому +1

    Jamani nakupenda

  • @sundaymsongera1785
    @sundaymsongera1785 2 роки тому +2

    2.5 M 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Noma sana

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie tunajivunia kuwa mwanafamila.wa sanau kwa filamu mpya endelea kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saburisaburi974
    @saburisaburi974 4 роки тому +4

    Kazi nzuri ila kuweni makini katika hitimisho. Picha za kibongo tunafeli katika hitimisho
    Baada ya kupatikana ukweli wa maisha ya mzee huyo tunafanyaje ? Lazima kuwe na kitu cha kufunza watazamaji, kuna watu wanasamehana kuna wanao/anaeadhibiwa kama kwenda jela.y
    Mwandishi wa filamu hii ulitakiwa utuitnyeshe mwisho wa huyo bwana mkubwa

    • @saburisaburi974
      @saburisaburi974 4 роки тому

      @@sanauswahilimovies mawasiliano yenu tafadhali, namba ya simu

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 роки тому +3

    MWISHO MBAYA. ALAU ASINGEHADISIA INGEGUNDULIWA KWENYE ILE SIMU INGEKAMATWA. ILA KASEMA MWENYEWE NA ASINGESEMA JE. MWISHO KBAYAAAAAAAAAA

  • @PAKA100STUDIOS.
    @PAKA100STUDIOS. 3 роки тому +2

    Kazi nzuri sana 🔥🔥🔥

  • @msisilionlinetv7622
    @msisilionlinetv7622 4 роки тому +16

    100% nimeikubal kama nawewe umekubal bila kuona kasor kwenye kaz au mov hii weka like yako hapa

    • @msisilionlinetv7622
      @msisilionlinetv7622 4 роки тому +1

      @@sanauswahilimovies nimesha fanya hivyo toka nione mv ya masumbuko iko poa san nimependezewa na nimependa mpaka natamani niwepo namimi kwenye kaz zenu

    • @msisilionlinetv7622
      @msisilionlinetv7622 4 роки тому

      @Odre Kudra sijakuelewa blod

  • @zenamuhammed4057
    @zenamuhammed4057 4 роки тому +3

    Big up sanau nawapenda sn

  • @mariettareonardituza5307
    @mariettareonardituza5307 4 роки тому +3

    Mpo vizuri sana

  • @gladyskiptoo692
    @gladyskiptoo692 4 роки тому +2

    Very nice part 2 please

  • @jovinathgrevas8409
    @jovinathgrevas8409 3 роки тому +3

    Dar hatariiiii nanusu🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +12

    Masikini kijana mwenye adabu anafunika usokisha anamuosha mama yake masikini😢😢😢😢

  • @upendomatinya6851
    @upendomatinya6851 4 роки тому +3

    Kweli sijawah kujuta kui subscribe hii sanau Swahili kiukwel mpo vizuri, mungu ma azid kuwabariki

  • @daniellapaul8255
    @daniellapaul8255 4 роки тому +2

    Nzuri xana👌

  • @IsackSalum-w5t
    @IsackSalum-w5t Рік тому

    Hongren san kwa kufunz jamii

  • @kaayalewis4795
    @kaayalewis4795 4 роки тому

    Yes bongo movie mnakujakuja vitu kama hivi sasa pamojaaa sana

  • @imanipatric35
    @imanipatric35 3 роки тому +4

    Hahahahaha kichaa amepona

  • @nuwayirally4727
    @nuwayirally4727 4 роки тому +13

    Maskini bahati😭😭unamuheshimu mamako hutaki kumuona ukimuosha

  • @fatomatanzania9676
    @fatomatanzania9676 4 роки тому +3

    nzur sana ongeleni sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +4

    Jamanii ndokupata picha sasa kumbe ndohuyu najima kauliwa hivyooo mzee mnyama kwelii jamani kaua wengi jamani Pamela kafa hivyoo

  • @emmysimon1362
    @emmysimon1362 3 роки тому +1

    Umeona mwenzio alivyouwawa ww unapata mda wa kulala bongomovie bhana mnafurahisha kwa kweli

  • @ibafeiyaou7480
    @ibafeiyaou7480 2 роки тому +1

    J'apprécie jeune,merci

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies tunajivunia kuwa mwanafamilia wa sanau Swahili movies hakika wewe niwathamani kubwa kwetu nakuomba uendelee kutazama sanau Swahili movies kwani tumejipanga kuweka filamu mpya kila wakati Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii +255658570788 kawaida na WhatsApp asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fantuskahindi9092
    @fantuskahindi9092 2 роки тому +1

    Ni baadhi yapicha zilizo bora sana

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 3 роки тому +3

    Nzuri sana

  • @Miltonmkali
    @Miltonmkali 3 роки тому +4

    Damu nzito kuliko maji💪

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      .masikini filamu hii ya mama wa kambo inayozungumzia maisha ya kweli ya watoto waliopitia maisha magumu kutoka.kwa mama yao wa kambo bonyeza maandishi ya blue hapa kuitazama ua-cam.com/video/rZPm_6Vrs2U/v-deo.html Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sundaymsongera3689
    @sundaymsongera3689 3 роки тому +2

    Hakuna kutia huruma 💪💪💪

  • @issakamangila9113
    @issakamangila9113 4 роки тому +7

    Bonge la movie nimeipenda sn

  • @gideonsupeetgideonsupeet8793
    @gideonsupeetgideonsupeet8793 3 роки тому +3

    Very nice,and emotional! Congratulations

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому +1

      Habari Asante Sana kwa kuangalia Sanau Swahili movies hivi karibuni tutaanza kurusha tamthilia nzuri Sana ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru watazamaji wetu kwa kutuwezesha kutapa tuzo Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe Sasa na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii kawaida na WhatsApp +255658570788

  • @jeremiakabelele8767
    @jeremiakabelele8767 2 роки тому +2

    Very nice,, great movie ✔️✔️

  • @martinwesonga6931
    @martinwesonga6931 4 роки тому +11

    Maboss acheni kutumia hawa vijana kama hivyo

  • @Fey-stephen
    @Fey-stephen 2 роки тому +2

    Following from now...
    💕💕

  • @amenahmmm2835
    @amenahmmm2835 Рік тому +1

    😍😍😍😍 from Uganda 🇺🇬

  • @westlife9026
    @westlife9026 3 роки тому +5

    Who noticed that this movie is the same being played in mr.Oji's Tv at 1:14?

  • @sophiamabula3897
    @sophiamabula3897 4 роки тому +1

    Daaaaa cmlizi hii mmm inatisha pole dada lkn uko vzr