Acha ujinga wewe. Mkumbuke baba akon. Ila u sound kama mzee ajaacha kitu like most african parents. Sasa jipambanie wewe na uzao ako chalii angu. Acha mentality ya kulaumu serikali utzeeka na lawama zako Agnes au tangaza dau tumbua iyo utapata wateja. Mteja Wa kwanza mimi
Hii ndio shida ya kutuletea wananchi viongozi ambao hatukuwachagua hawana uchungu na sisi wanaishia kutekeleza maslahi ya aliowachagua na sio wananchi wa sehemu husika.
Shida ni uongozi mbovu wanatakiwa waweke mazingira ya hawa wamachinga ndio wawafukuze hapa Arusha kuna uchafu mitaani sana especial mabomba mabomba ya maji taka
WATU WA ARUSHA NAWAKUBALI SANA 🙌🙌🙌. HUKU DAR KUNACHEMBA ZINAMWAGA MAVI HADI KWENYE MBOGA MBOGA NA WATU HAWAANDAMANI WANACHEKELEA TU 😢😢😢
Kwa jinsi tunavyoletewa migambo saa 12 kama tunaunza bangi😂😂. Arusha nchi yangu
mmmh kwa hiyo hali had nmesikia haruf kwa picha 🤣🤣🤣🤣
Is this what we call GENEVA OF AFRICA…omg what a shame😢Arusha pachafu jmn maeneo ya masoko yote sio samunge sio Kilombero ptuuuu
Yani Tanzania amna amani ata huku Dar ni hivyohivyo tuta mkumbuka sana Marehemu Magufuli mtetezi wawanyonge
Acha ujinga wewe. Mkumbuke baba akon. Ila u sound kama mzee ajaacha kitu like most african parents. Sasa jipambanie wewe na uzao ako chalii angu. Acha mentality ya kulaumu serikali utzeeka na lawama zako Agnes au tangaza dau tumbua iyo utapata wateja. Mteja Wa kwanza mimi
Hapo ni lissu 🥳🥳
Uwongozi ukibadilishwa atakuja kuongoza nabii..godfrey Tomas umeshindwa kujibu wali 😂😂😂
Hii ndio shida ya kutuletea wananchi viongozi ambao hatukuwachagua hawana uchungu na sisi wanaishia kutekeleza maslahi ya aliowachagua na sio wananchi wa sehemu husika.
😂😂😂😂unasemaaa kwaiyo akibadiliswa Atakuja Nabii😂😂😂
maisha magumu jaman halafu mtu anakuja kukuvuluga
Iv mikutano ya ccm wanasemaga tumeboresha uchumi na mbwanzinashangilia ..huwa naumia sana maana hualisia huku mtaan watu tunateaeka sana
juwa kuandika kwanza mengine yatafuata
Arusha... 😭😭😭🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kwa Hali hii tutaweza kukjitegemea kweli ?
Mmmmh alfu wanatoa ushuru wa manispar aisee
Aibu sana uongozi wa tanzania umekuwa mmbovu sana 😢
Jiji la wataliii tanzania
Mwandishi hajui kuhoji kabisa huyo mkiti anasema kilichotokea ni opereshen ilifanyika ya pt af mwandishi alitakiwa kuhoji why wafanye ivo???
Kwani pesa zinaendaga wapi kwann masoko yasijengwe ni ma mbaaooo tu 😮
Hatuna uongozi japo sio wote
Shida ni uongozi mbovu wanatakiwa waweke mazingira ya hawa wamachinga ndio wawafukuze hapa Arusha kuna uchafu mitaani sana especial mabomba mabomba ya maji taka
Viongozi hamna bali kuna watawala tu.
Huyo mwenyekit ni mlaku atollewe
Sikuiz atuna uwongozi kbsa
Makonda uko wapi sikutegenea haya
Nawapenda sana shabiki wa sanaaa twende kwenye page yangu Kuna movie mpya ❤❤❤❤
Leo hujatoka muvi
Movie yakunyengana au
Karne ya 21 hali ndo kama hivi.... Africa tunatia aibu sana
Aibu aibu eti jiji la utaliiii😢
Hatukutaki wewe mwenyekit...kwanza mtu akija na shida yke bila rushwa humsaidii
Washughulikie bangi waache kushigulika na wamachnga wanaotafuta rizk.Na nyie mwuache kudanganyika na vitu vidogo vinawatesa san.
😂raption disease