HAWA HAPA WACHEZAJI WATATU HATARI ZAIDI KATIKA KIKOSI CHA SIMBA KWASASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • Simba imefanya usajili wa wachezaji wengi wa kigeni na kwa kulitambua hilo Simba Pro tumefanya tathmini ya wachezaji watatu hatari zaidi ambao Simba wamefanikiwa kuwasajili katika dirisha hili la usajili
    Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuchek kwa namba 0626629644 ili tukupe utaratibu wa jinsi ya kujiunga
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 46

  • @HamisiMakela
    @HamisiMakela 26 днів тому +5

    Asante kwa usajiri bora mungu atupe nguvu na afya ya akili dhidi ya msimu mpya 2024/25

  • @JosephTimotheo-t4j
    @JosephTimotheo-t4j 16 днів тому +1

    Mungu ibariki simba mungu bariki wa hezaji wa simba mungu bariki wapenzi na mashabiki wote wa simba mungu wwpige laana wambea na mamruki wote wanao itakia mabaya timu yetu ya simba sport

  • @DaudiMkama-k6f
    @DaudiMkama-k6f 25 днів тому +2

    Mungu ainatiki Simba yetu na Mimi naomba mniunge kwenye group la Simba nguvu moja

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 21 день тому +2

    Watateseka sana sisi atusajli Tim tunasajili mchezaji moo amesha Sema ad watubu

  • @Mosesy_Bright
    @Mosesy_Bright 26 днів тому +3

    SIMBA FOR LIFE ❤

  • @ShadrackSonga-v6f
    @ShadrackSonga-v6f 26 днів тому +3

    🎉mungu tusaidie wanasimba tufikie malengo yetu kwny mpira

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 25 днів тому +2

    Damu ya YESU iwafunike Wachezaji na Bench lote la ufundi

  • @panyamadaniel9064
    @panyamadaniel9064 24 дні тому +3

    Simba itengenezwe na viongozi kwa nguvu ya mungu

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 26 днів тому +12

    MUNGU atusaidie wanasimba yanga wasituroge tuwe na msimu mzuri

  • @user-ol8xg4ez3i
    @user-ol8xg4ez3i 25 днів тому +2

    Maana kweli ynga wachawi mno,,tusiwasifu sna,,wakae wakijua wameajiriwa ,,tusiwasifu sna tusije aibika..mungu atusaidie.

  • @user-vt4bx1xl7j
    @user-vt4bx1xl7j 26 днів тому +2

    Mimi nahitaji kujiunga na gruop la simba

  • @zainabuShabani-x9c
    @zainabuShabani-x9c 21 день тому +1

    Mungu awe pamoja nanyi

  • @irfaanhasham1346
    @irfaanhasham1346 25 днів тому +3

    Simba tuliamini simba bila chama bila inonga bila manula siyo simba sasa wale waliamini hivyo walikosea tuombe uzima mtaiona simba mpya mpaka mtasahau kama tulikua na hao wasaliti simba nguvu moja

  • @allyrugaba
    @allyrugaba 8 днів тому +1

    Msimu huu ni wa simba

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 23 дні тому

    Safii bana niungeni kwenye group lá simbaa

  • @user-oi5zh5zh7j
    @user-oi5zh5zh7j 26 днів тому +3

    Mwenyenzi Mungu akawalinde wachezaji wetyu na utimamu wao ukawe na mwendelezo bora

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 21 день тому

    Dula nakuelewa kinyama wwe ni noma sana aisee

  • @thomasdesta939
    @thomasdesta939 23 дні тому +1

    Watu wa Mungu hawarogi wala hawarogwi hivyo tumuombe Mungu awe upande wetu

  • @IsakaMiseho
    @IsakaMiseho 11 днів тому

    Niunge kwenye group ya simba

  • @ErastoMapunda-rj1mj
    @ErastoMapunda-rj1mj 26 днів тому +1

    Naomba nijiunge😅

  • @user-hu3kb4qi2t
    @user-hu3kb4qi2t 23 дні тому

    Naitwa jonas zabron naomba na mm mniunge kwenye hilo grop la simba yetu

  • @MsingiNgusa
    @MsingiNgusa 26 днів тому +2

    mutuletee azizik na fei toto basi goma inatembea

  • @user-uj1pj3wr6y
    @user-uj1pj3wr6y 23 дні тому

    🎉 na wewe pia

  • @lucastungera4495
    @lucastungera4495 16 днів тому

    Kikubwa tuwaombee wachezaji wetu dua

  • @jumaMohammedi-rt2ys
    @jumaMohammedi-rt2ys 23 дні тому

    Haw wachezaj ni bor lakin yang wachaw san watashindw kwa jin la yes

  • @anyagenyekalangali-zt1xo
    @anyagenyekalangali-zt1xo 23 дні тому

    Nilikuwa napita tu

  • @gasparyeugene4855
    @gasparyeugene4855 26 днів тому

    safi sana

  • @IssaJumanne-gy8io
    @IssaJumanne-gy8io 24 дні тому

    Naomba kujiunga na group

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 26 днів тому

    Watuletee aziz

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 11 днів тому

    Zouzou na mzize wasajiriwa kolo, ni kweli?

  • @AbuuLugala
    @AbuuLugala 25 днів тому

    Mungu yup nas

  • @IssaJumanne-gy8io
    @IssaJumanne-gy8io 24 дні тому

    Simba mpya tunaitumaini Dana mola tusaidie

  • @ErnestFaraji
    @ErnestFaraji 18 днів тому

    Nahitaji kuunganishwa kwenye group la Simba

  • @MsingiNgusa
    @MsingiNgusa 26 днів тому

    niue gulupu simba

  • @user-pi4dv3oh1u
    @user-pi4dv3oh1u 26 днів тому

    Mm ni mnyama Nina kupongeza Kwa kutoa ufafanuzi

  • @browntv1119
    @browntv1119 21 день тому

    hatari mliwaona wapi acha tuwaone

  • @hamisnagave-bl1sq
    @hamisnagave-bl1sq 25 днів тому

    Group lenu la whatsapp mbona ukituma sms hamjibu

  • @vicengelime4580
    @vicengelime4580 25 днів тому

    Mziki mnene wenye kijan mjiandae

  • @EdigaKambimtoni
    @EdigaKambimtoni 23 дні тому

    najuwa Kijiji bala kichaa bado siyo Kijiji namabo ambayo ayakuusu ya nin utafatilie fata yako awa jamaa wanaizugumziya Simba siyo timu nyengine

  • @aishaomaryyousefomaryloiru1990
    @aishaomaryyousefomaryloiru1990 24 дні тому

    Wasiongee kusema Simba wamechukuwa wachesaji ambae wametoka kwenye timu ambae zimekuwa kwenye nafasi ya chini,mbona Simba amekuwa nafasi ya 3 lakin wamemchukuwa chama,

  • @BleanceKigwila-u2l
    @BleanceKigwila-u2l 25 днів тому +1

    Niunge