JEAN CHARLES VS STEPHANE AZIZ KI NANI BORA ZAIDI / JIBU HILI HAPA KULINGANA NA UBORA WAO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @stevenpetro2362
    @stevenpetro2362 Місяць тому +3

    Jamaa angu dulla wewe unajua sana mpira unatowa record za mchezaji bila kusoma kichwa chako kinafanya kazi vizuri unazungumza vingi sana bila kusoma sehemu kichwa ya boll hii🫡🫡

  • @hassantupa
    @hassantupa Місяць тому +1

    Asante sana kiongozi wangu dullah kwa ufafanuzi mzuri sana kabisa.👍👍👍

  • @KHALIDMULILO
    @KHALIDMULILO Місяць тому +1

    Sure hapa kweli tumelamba dume
    Kama ndizo records zake hizo uhakika sijui nini kitakacho tokea msimu ujao.
    Big up sana kiongozi uko vizuri sana
    Asiye kupenda huyo mchawi❤.

  • @hassantupa
    @hassantupa Місяць тому +1

    Tumwage makopa mengi kwa mchambuzi wetu dullah❤❤

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Місяць тому +1

    Uko vizuri bro ila takwim hizo tuone uwanjani sio maneno na kama mzuri wanasimba watafrahi sana japo jini ni la kawaida sana

  • @thelesiagabriel7379
    @thelesiagabriel7379 Місяць тому

    Jenshazi zaidi

  • @DavidKibaha
    @DavidKibaha Місяць тому +1

    Sijawai kua na vibe la ku changia mawazo ila leo lala dura unyama sana🔥🔥🔥🔥

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Місяць тому +1

    Kija mtanashati Dulla
    Unatukosha unatushawishi na tunakuelewa

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Місяць тому +1

    Lazima uangalie na Tim yenyewe aliocheza

  • @gatsonmatiko8000
    @gatsonmatiko8000 Місяць тому

    Simba nguvu moja

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Місяць тому +1

    Umejitahidi upatu ngoja tuone

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Місяць тому

    Mchmbuzi nimpendae nyuma ya Mbwaduke

  • @kristofuraha
    @kristofuraha Місяць тому

    Huwa hujawi kuni boa! Nakupenda bure tu!

  • @PeterJacob-ji7fo
    @PeterJacob-ji7fo Місяць тому

    Aah, kaka unajua kuchambua soka vibaya mno

  • @Prosperkaluta
    @Prosperkaluta Місяць тому

    Yaani huyu jamaa ni mjinga kweli kweli daaaaaaaaaaaaah, takwimu za kipumbavu sana hizo.

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 Місяць тому

      Sio za kipumbavu, sema wewe ni mshbiki wa yanga ndio maana unalipuka

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Місяць тому

    Niunge

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 Місяць тому

    ❤❤❤❤ good explanation, its very comprehensive for sure!

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 Місяць тому

    Naskia asha baraka anaanzisha redio yake..mzee utakuwa mchambuzi

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila Місяць тому

    Tutajua msimu ikisha anzaa

  • @Prosperkaluta
    @Prosperkaluta Місяць тому

    Huyu jamaa, bahati yake mbaya amevalia jezi ya Simba, sasa nahisi kila mchezaji aliyesajiliwa simba kwake atamshinda kila mchezaji wa Yanga.
    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 Місяць тому

      Lakin si anatoa takwimu?.kama ni uongo ingi ili uthibitishe

  • @FatumakunemkaKunemka
    @FatumakunemkaKunemka Місяць тому +1

    We mwanangu ufai kwa takwimu nibalaaaaaaa hakuna cha Hans Wala Ambangile

  • @Prosperkaluta
    @Prosperkaluta Місяць тому

    Hiyo siyo Comparison bali ni advocacy ( utetezi ) kwa mchezaji waliyomsajili Jean Ahoua ambaye hajafikia hata robo ya kumkompea na Stephane Aziz Ki.
    Huyu jamaa ni shabiki tu.

  • @kristofuraha
    @kristofuraha Місяць тому

    Ila wewe jamaa ningependa kama ungekua unafanaya hizi fafanuzi kwenye luninga kubwa kama WASAFI TV