WANACHAMA WA CHADEMA MBEYA WAMTAKA LISSU, WATAKA MBOWE APUMZIKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 19

  • @starlily07
    @starlily07 15 днів тому

    Lissu 💪💪

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 15 днів тому +1

    Lisuuuuuuuuuuu

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 16 днів тому +3

    Bg up mbeya na manda ya ziwa ndio tunawahitajia sana

  • @deushosea
    @deushosea 15 днів тому

    Twende na Mh, Lisu wajumbe msituangushe

  • @godfreyzambery8790
    @godfreyzambery8790 15 днів тому

    Uko vizuri sn

  • @MaryamAlly-b7s
    @MaryamAlly-b7s 15 днів тому

    🎉

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 15 днів тому

    Bigup

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya 15 днів тому +1

    We ni mvuta bangi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 15 днів тому

    Huyu katumwa msaliti sio kila mtu umwamini

  • @festofute58
    @festofute58 15 днів тому +1

    Wakunja ngumi tumekuelewa broo.

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 15 днів тому +1

    MAIkO. Hausikiki

  • @JosephatiKisinda
    @JosephatiKisinda 16 днів тому +1

    Fanta ikikulewesha wafwaa

  • @wolframkifaru1226
    @wolframkifaru1226 15 днів тому +1

    Umeongea vizuri SNA.Kunamtu inaonekana kijani wapo nyuma yake.Toka lini kijani wakawa na UPENDO na chadema hii ambayo kila Siku watu wake nod WA hangar?Inatia hasira SNA.Mzee ameyumba SNA..Aavhe kukaza UBONGO.Ataud

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile 15 днів тому

    Mbowe mbinu zimeisha kabisa,kazungukwa na machawa wa Ccm hapa hakuna ubishi.

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 15 днів тому

    Umeongea vizuri ndugu,usisome comments za wapuuzi wasemao "bangi sijui nini"kumbuka humu mitandaoni vichaa wapo wengi pia ,ni heri wapatikanao majalalani kuliko hawa wa mitandaoni ambao hata mtu ukiongea point basi yatatukana weee,yaani mpaka aibu

  • @BashirMatora
    @BashirMatora 15 днів тому +1

    Acha ushamba wako unamtaka wewe pumbavu

  • @vickytorry100
    @vickytorry100 15 днів тому +1

    Wewe mpigie debe lissu ya Mbowe hayakuhusu kama humtaki. Democracy inataka watu wapigiwe kura, wewe unataka Mbowe aachie ngazi kienyeji🤷Mwenyekiti haku ‘disclose’ familia ilisema nini usimwekee maneno mdomoni🤷

    • @vickytorry100
      @vickytorry100 14 днів тому

      Eti watu wa Mbeya! Mbona upo peke yako?

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 15 днів тому

    SI MBEYA TU UKIONGEA NA WATU TOFAUTI TOFAUTI NI WENGI WANAMKUBALI SANA LISU, WANASEMA PAMOJA NA SIFA NYINGI WANAZO MPA LISU NI MSAFI, HANA TUHUMA YOYOTE YA KULAMBISHWA ASALI N.K!!!