WAZIRI SILAA TUNAFUKUZWA KWENYE MASHAMBA NA BUNDUKI | TUPO RADHI KUFA KWA AJILI YA ARDHI ZETU NA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @zenakassomo
    @zenakassomo 5 місяців тому

    Mungu alinde waziri wetu

  • @khamisjuma1278
    @khamisjuma1278 5 місяців тому +1

    God bless Jerry slaa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 місяців тому

    Ipo siku hawa wanao lalamika na nyinyi MTA walalamikia gem litageuka hamta amini

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 місяців тому

    Ccm ndio Wana uza harafu wanajifanya Wana suruhisha

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 місяців тому

    Bunge Lina KAZI gani mbona hamueleweki Kuna bunge kweli mtakosa NCHI harafu mtajuti tutakosa wooote

  • @seemanishekiao
    @seemanishekiao 5 місяців тому +2

    Ma shaa Allah anajitahidi sana.
    Viongozi wangefanya kama afanyavyo huyu Wazir tungekuwa vizuri sana.
    Allah ajalie asibadilishwe

  • @ullymwaipopo398
    @ullymwaipopo398 5 місяців тому

    Hongera Mkuu wa Wilaya kwa maana umepata wasaaa wa kumwambia huyo binadamu ambaye ni kiongozi wa watu. HAKIKA ANAMTENDEA HAKI MTU ALIYEMTEUA. Busara zake ni za hali ya juu.

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 5 місяців тому +1

    Waziliwangu slaa uko vizur sana na unapendeza kua rahisi WA taifa na Kuna sifa ya Kila kitu nakwambaaaali kama mwalimu nyelele

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 5 місяців тому +1

    Waziri Jerry Mungu akuepushe na wabaya umeheshimisha serikali na aliyekuteua

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 місяців тому +7

    waziri wangu.....Mungu asikuache..... Kuna mengi najifunza kwako....kesho Yako ni njema.....iwe heri hata uwe Rais

    • @Tutsi-b8s
      @Tutsi-b8s 5 місяців тому +1

      Jelly? Ni nani huyo 😢

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 5 місяців тому

      ​​@@Tutsi-b8sjery😅😅😅😅😅 sio jelly😅😅😅😅😅

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 5 місяців тому +6

    After mama Samia kustaaf huyu jamaa anafaa kuwa president wetu

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 5 місяців тому

      Kabisa akachukue form kura atapata na waziri mkuu awe bashungwa.hawa mawaziri wanajituma sana

    • @shabansumaiya4770
      @shabansumaiya4770 5 місяців тому

      Uraisi sio lele mama

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 5 місяців тому +2

    Nduguyangu mh waziri sijutii kupoteza bando langu kwenye hutuba zako Mungu akulinde zidi ya mijitu yenye roho mbaya

  • @HassanNdarama
    @HassanNdarama 5 місяців тому +2

    Silaaa kweli 😂 big up ❤

  • @muhsiniissa8151
    @muhsiniissa8151 5 місяців тому +1

    Watu wanaonewa Sana,,sisi tulivunjiwa mbogo Yani nchi hii Kuna watu hawamuogopi Mungu

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 5 місяців тому +2

    Jamani maguful amerudi Jerry slaa.. anafanya kazi nzuri sana

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq 5 місяців тому +3

    Jamani jery slaa atakuja kua rais was nchi tumuunge mkono hana janja janja ananyooka vizuri

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 5 місяців тому +2

    Nakuombea dua miaka ijayo Uwe Rais wetu 🙏♥️

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 5 місяців тому

    Watu wa Alizi majambazi wa mueza Hutashangaha walibifu wezi baada ya kufukuzwa Watabadiliswa mkoa kuedelea na wizi na Ujambazi 😂😂😂

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 5 місяців тому +6

    Slaa mauwa yote Tanzania yakatwe apewe.....kama mtu anabisha anyooshe kidole

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 5 місяців тому +1

    kazi nzuri Jerry mwanasheria ninaye mwamini kasema uko sawa,good job sir keep it up,I

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 5 місяців тому +5

    Jamani nchi hii Kila mahala kilio Cha arithi tatizo ni nn

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 5 місяців тому

    Hongera sana msemaji munayo haki ya kuishi mnavyotaka nyingi ni Watanzania

  • @Lidyakagondi-h9b
    @Lidyakagondi-h9b 5 місяців тому +1

    Huyu jamaa tuache siasa ni mzalendo kweli

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 5 місяців тому

    Tatizo laviongozi kama hawa mawaziri wakishaapishwa wanaanza vizury baadae huaoni

  • @raphaelonyango703
    @raphaelonyango703 5 місяців тому +1

    Heri yako mkuu wewee unawatetea wanyonge wakuu wengine wanapambana kumkabili mnyonge mfano makala na gondwe wanajua ni wapi na mbunge wetu kashindwa kututetea wapiga kura wake tutakutana mbele ya safari.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 5 місяців тому +4

    Hata lukuvi alifanya sana akiwa na magufuli

  • @mrnassorali667
    @mrnassorali667 5 місяців тому

    Mh waziri upo vuzuri ila magodani kuna iyo shida tangia 2017 na magufuli alsema wapewe ardhi yao akipo kufa tu wamepora kwakweli ukawasaidie washauliwa watu wengi na wengine ni wakemavu sasa kuna muekezaji ndo amewazulumu ivo

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 5 місяців тому +3

    Bwana Jerr slaa huku kwenye aridhi upo vizuri ila nakuomba ukafute utetezi wako wa uuzwaji wa bandari zetu kwa Dp Word

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 5 місяців тому

      Pimbi wewr

    • @adanfarah2080
      @adanfarah2080 5 місяців тому

      DP World is owned by emanates, it controls many ports including Yemen, Bosaso & Berbera, Djibouti etc, their biggest objective is to undermine their growth so that they don't take business away from Dubai, Dar is lucky because in other countries they corrupt officials and at times use violence, in Yemen and Somalia they have formed mercenary armies made up of Chadians, Colombians etc

    • @hildagabriel1003
      @hildagabriel1003 5 місяців тому

      😂😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 5 місяців тому

      ​@@salehesalehe2967. Na wewe pimbi

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 5 місяців тому +4

    Piga kaz kaka

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 5 місяців тому +1

    je Lukuvi haya alikuwa hayaoni kweli ?

  • @issackmganga4600
    @issackmganga4600 5 місяців тому

    Jpm.wapili.j.silahaoye