Maashaallah sheikh Muhammad ❤ Allah akupe umri mrefu uzidi kututoa kwenye giza Maashaallah ✍️💓 Nakupenda sana kwa ajili ya Allah Allah akuhifadhi na fitna zao majahil 🤲🤲🤲
Masha Allah ndugu yangu mm nakufahamu vizuri sana ilii mtuu akufahamu ww anatakiwa awe na akili kubwa sana Allah akuzidishie elimu pamoja na sisi shukran sana kwa elimu
Shukran jazakallahukhair sheikh mohammad bachu Allah subhannahu wa taala akuhifadhi na zaidi tunafaidi hata hawa wachawi wakayafanya cc faida kubwa tunapata ili tuweze kuepukana nao inshaallahu taala
Afu eti anasema UNAANDIKA NIA YAKO KTK KARATASI , Wakti Nia ya Mtu ktk Kitu/Jambo huwa/hutakiwa (inakuwa) Moyoni/Nafsini Mwake na si Kutamkishwa/Kutamkiwa, wanaotakiwa Kutamkiwa Nia ni Watoto Wadogo na huwa hivyo Kwa lengo/Kusudio la Kuwafunza/Kuzowea (Kukariri/Kujuwa) Matamshi ya Nia Moyoni/Ndani ya Nafsi. Mfano wa Baadhi ya NIA; Swaumu/Funga ya Ramadhan, Swala yeyote (Faradhi/Sunna) nk.
Bachu Allah azidi kukupa nguvu na uelewa zaid ili tufunguke vichwa tumekuwa nyuma sana kiiman na kiuelewa tunasombwa mno na washirikina hasa sisi wajinga tusiomuamini Mungu tunayumbayumba kila mganga tumo
Allah akbaru wamashallah sheh ss elim tunaipat napia naiman huyo jamaaa ataelewa 2 halafu huyo qweli nisheh au mwanafunzi kama mm qwako anapotosha watu waziz epukeni kumpelekea watot huy jamaa atawapotosha
Safar hii lazma watu wa bida'a watii amri maandiko mezani shukran sheikh wetu Allah akuhifadhi na akupe subra kwani hyo ndo kazi iliyo ngumu zaidi hapa duniani kutangaza tauhid na kumpinga shirki lazma uwe na subra na Allah akujaalie thabat kwa hyo kazi tunazidi kuelimika alhamdulillah na sisi na vile vile onyo kubwa kwa ah lul bida'a
Nyinyi mnaokomenti kunpinga shkh bachu msikilizeni mpaka mwisho hayo anayoyasema na sio munamsema vibaya wala hamujasikiliza alichowakilisha mcheni Allah
Wallahi mm nackitika sn kuona kua IKHTILAFU zimefikia kutufanya tuache kuheshimiana na badala yke tunahacmiana, yule Diwani anamwita mtoto wa Bachu eti n MWANAHARAMU😢 Astaghfirullah😢 na Muhammad Bachu nae anazidi kumtia tempa Diwani kw kumwita tapeli, mwizi, mshirikina lkn pia kumsonya. Rai yangu jamani tuhitilafiane pasi na kuvunjiana heshima na kuhacmiana... Huwa nataka kumpa Diwani pia USIA huu ila yy anaondoa kabisa uwanja wa comments😢
Kilamtu Hana uhakika kama yeye yupo sawa kikubwa usimzalilishe mtu kwa pale alipo kosea Bali muelimishe kwa njia ya Siri baina Yako ww nayeye kama kweli unafanya kwa ajili ya Allah . Ilahawa wasomi wa Sasawanaharibu dini na mifumo ya watu ya faham kwani wanatuchanganya
Wasomi mnatumia mitandao vibaya kwa kua mnachafuana kwa njia za itikadi zenu sisi wa tz hatuna udini Wala ukabila ila nyinyi mnatupeleka kwenye matabaka ...tuelimisheni sisi hatutaki mabishano..jifunzeni kwa othuman maalim
Al ilmu walmaarifa Sivo hivo mtawatoa watu kwenye Uisilamu Mtume hajasema mutukananeni Sheikh Bachu Rudi kwenye maadili ya kiisilamu na ya kizanzibari kwa ujumla utaeleweka
Marafiki zangu wengi kawalia pesa eti anawafanyia kisomo ili wapate kupona kutokana na maradhi yalokua yanawasibu akawachinjia hadi wanyama na hakuna aliepona hata mmoja na baadae akawakimbia
Allah atuongoze Shekh Mohammad Allah azidi kukupa subra, kisha ndungu nakutumia message kwa whttp hanijibu naomba unisaidie na mm baadhi ya maswala ya dini mm ni mwanafunzi wa Shekh Yusuf mamburui
Yaan nyiny mashekhe baada ya kukaa kujadili mambo ya msingi munakaa kukosowana mitandaoni acheni ujinga kaeni kitako chini murekebishane na sio mukaanza kuanikana mitandaoni huo ni ukafiri
si saizi yake majambo anayoyafafanua kwa dalili za vitabuni dhidi ya muwasilisha mada kwa ufahamu usio na ushahidi ulionukuliwa kwenye makaratasi aliyoyaandika mwenyewe?
KİUKWWLİ HAWA MASUUF Nİ WAGANGA DHAHİR KABSA İLA İBN BACHU UNAWANYOOOSHA , SASA HİVİ WAMEANZA KURUDİ NYUMA KİDOGOO BAADA YA KUWAĞELEKEA MOTO İBN BACHU ALLAH AKUHOFADHİ YAANİ BİLA KUWA PİGİA KELEL GAWA WANGEZİDİ KUWADANGAMYA IMMA ZAOD NA ZAIDİ WALİKUWA WANAZAMA KWRNYE ISHIRIKINA KABSAAAAA
Hawo siwachatu kama hizo ndawa zao zina fanyakazi tanzania tungekuwa hatuna maradhi walamajini kwatwa tuna kweda kwenye visomo vyao natuna tumiya hizo ndawaza hazisaindi chohote labda kuzindi mashaka nibiasharatu
Sheikh Mohammed Bachu Allah akuhifadhi kwa kupambana na washirikina
Maashaallah....allahu yahfidhuka yah akhy Muhammad bachu
Sheikh Muhammad, Allwah akuhifadhi na akupe umri mrefu. Unawafungua watu macho dhidi ya matapeli
Shekh bachu wapige nyundo hao waganga ❤bachuu
Shekhe bachu Mimi nakuombea dua tu alah atupe mwisho mwema endelea kufundisha wataelewa tu inshaa allah
MAA SHAA ALLAH ALLAH Akubaarik shekh MUHAMMAD BACHU uzidi kuwabainisha hawa wazushi katika dini wanaopotosha watu
Maashaallah sheikh Muhammad ❤
Allah akupe umri mrefu uzidi kututoa kwenye giza Maashaallah ✍️💓
Nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Allah akuhifadhi na fitna zao majahil 🤲🤲🤲
Sh Mohammed bachu Allah akupe umri mrefu wenye kher uzidi kuwa piga vita waganga hao wakinaa diwan na doctor sule
Wallahi sheikh muhammad bachu mimi nakupenda kwa jili ya allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba number zako.
Masha Allah ndugu yangu mm nakufahamu vizuri sana ilii mtuu akufahamu ww anatakiwa awe na akili kubwa sana Allah akuzidishie elimu pamoja na sisi shukran sana kwa elimu
Nimeamini mawahabi wote akili hawana
Kaague ukoe@@SuolFat
@@SuolFat ni kipi kisichokuwa sawa hapo anachofundisha Sheikh Bachu(hafidhahuLLAH)?.
@Tandalesse bachu chuki imemtawala
@@SuolFat chuki hana ila anasomesha kwa dalili kutoka vitabuni na si kubeba makaratasi ya kuandikwa kwa mikono(summaries).
Alafu oooh comments zote ni simu za Bachu,mimi Niko Saudia na nafaidika kupitia mawaidha haya ya kijana mwenzangu Al Akh Muhammad Nasor Bachu❤
Sio kweli mimi nipo Nederland
Nasema
Muhammad Bachu
Allah amzidishie kutuelimisha
@@hawakiza6067 achaujinga we mtuhaelimishwi kwamatusi bachu anatukana halafuunasema unailimikaa😂😂😂😂😂😂😂
youtube.com/@qanat_bin_isa?si=xDk5hXS6kqGMBpqF
@@hawakiza6067youtube.com/@qanat_bin_isa?si=xDk5hXS6kqGMBpqF
Kwaivo ukiwa Saudia unasaidia nini?
Safi sana sheikh Bachu,biashara tu,ujanja ujanja
Nakukubaok sana sana sheikh Muhammad Nassoro Bachu
Allah akuhifadh Sheikh Muhammad
Subbhana Allah 🙏 yani mtu ata haoni aibuu eti uganga ni suna na unamsingizia Mtume kua amefanya Subbhana Allah.
Shukran jazakallahukhair sheikh mohammad bachu Allah subhannahu wa taala akuhifadhi na zaidi tunafaidi hata hawa wachawi wakayafanya cc faida kubwa tunapata ili tuweze kuepukana nao inshaallahu taala
Yaani uyu jama kachekesha muhamed nassor allah akuzudishiya ilmu❤
Nakufata kutoaka Goma drc 🇨🇩
Hii dini kwakweli mtihani.
Shekh nassor Bach jaribu sana kuwafahamisha ila c kuwapasha kwa maneno machafu hata wao wakisema kwa kukutusi.
Wapige spana shekhe Allah akuhifadhi
Yusuph diwani ni mpotoshaj mkubwa Sana Allah amuongoze
Afu eti anasema UNAANDIKA NIA YAKO KTK KARATASI , Wakti Nia ya Mtu ktk Kitu/Jambo huwa/hutakiwa (inakuwa) Moyoni/Nafsini Mwake na si Kutamkishwa/Kutamkiwa, wanaotakiwa Kutamkiwa Nia ni Watoto Wadogo na huwa hivyo Kwa lengo/Kusudio la Kuwafunza/Kuzowea (Kukariri/Kujuwa) Matamshi ya Nia Moyoni/Ndani ya Nafsi. Mfano wa Baadhi ya NIA; Swaumu/Funga ya Ramadhan, Swala yeyote (Faradhi/Sunna) nk.
youtube.com/@qanat_bin_isa?si=xDk5hXS6kqGMBpqF
BARAKALLAH FEEK SHEIKH ,,,,,,,,, balsam imewazalilishaa
Mashekh wa twarika wengi washirikina
Sheikh bachu huyo jamaa ,atakukimbia na wala hatotia mdomo tena katika mawaidha yako ,umemgaragaza vibaya sana ,duu AIBU
Allah akuongoze shekh kwa kutupa elimu nzuri
Allah akuhifadhi na shari za wanganga kama hawa
Kwa iyo nikisema mwanga mfawidhi ndio ishakuwa zambii hio
Amen yaa rabbi
Hamataperi ni wengi sana. Endelea kutuelimisha. Allah atuifadhi bachu
Safari hii watu wa bidaa na washirikina watajibeba vitabu mezani wasome dini yao waache shirki wafundishe sheikh wetu Muhammad bachu tawhid waijue
ManshaaAllah, wambiye sheikh uwo ni wutaperi.
em mjibu tena jmn kachafua hali yahewa yaakili yke kajiradi pia bila kujitambua mradi kwafaida si kwaushabiki Allah akutie wps❤
Bachu Allah azidi kukupa nguvu na uelewa zaid ili tufunguke vichwa tumekuwa nyuma sana kiiman na kiuelewa tunasombwa mno na washirikina hasa sisi wajinga tusiomuamini Mungu tunayumbayumba kila mganga tumo
Amin
Mashallah wakumbushe hakika ww nimkumbushji
Ivi neno mganga pia hamjui maana yake
Sharti usimshirikishe allah@@SuolFat
Namshkuru M'mungu sipatwi kwa style hii,watu mazunde wanaenda kama Nyumbu
Shukrani shekh kwa kutuelewesha
Allah akbaru wamashallah sheh ss elim tunaipat napia naiman huyo jamaaa ataelewa 2 halafu huyo qweli nisheh au mwanafunzi kama mm qwako anapotosha watu waziz epukeni kumpelekea watot huy jamaa atawapotosha
Barakallah fiika
Kwani neno mganga Lina shida gani
Sheikh anafunga comment watu wasimkosoe akitoa matusi yake cjawahi kuona sheikh kutoa matusi, namuelewa sheikh Muhammad
Allah akuhifadhi
Ndio kazi za masufii na twarika Shekhe wa alfatiha
😂😂😂 Wafuasi wa Masih Dadjjal Sasa Wanaumbuka Kwa Uganga wao wa Uchawi Ushirikina (Kufuru Kubwa) na Utapeli Mtupu 🙌
Diwani hebu tumuogopeni “ALLAH “kwa haya mambo yenu mnayofanya kwa kweeliii kuna adhabu kali siku ya malipo
Shukran ❤❤❤❤❤❤❤
Masufi yanafunga koment hayajiamini na uchawi wao
kweli wamezuia comment hawajiamini
Naam hata channel ya huyu yusuph diwan amefunga koment😂
Ndio huyo jamaa channel yake anafunga comment ili asione comment zinazompinga
Baaraka llahu fik
Twarika mnashangaza sana.
😂😂😂😂 Unawanyoosha kweli
Safar hii lazma watu wa bida'a watii amri maandiko mezani shukran sheikh wetu Allah akuhifadhi na akupe subra kwani hyo ndo kazi iliyo ngumu zaidi hapa duniani kutangaza tauhid na kumpinga shirki lazma uwe na subra na Allah akujaalie thabat kwa hyo kazi tunazidi kuelimika alhamdulillah na sisi na vile vile onyo kubwa kwa ah lul bida'a
Kweli mawahabi ni wapofu wa akili na maarifa
Wapofu wa maarifa na akili ni hao waganga washirikina na wafuasi wao kama nyinyi hivyo
@SadickMussa-g6h tokeni na fitna zenu wahuni nyie mawahabi
Mchawi wewe, support waganga kisha ingia na wao motoni@@SuolFat
Wahabi ni miongoni mwa majina ya Allaa maana wew hata Dini yako huna ilimu nayo umekalia waganga wako hao tu
Sheikh Muhammad endelea kuwachapa ukweli ili watu wazinduke tatizo japo ni njaa tu na kwabahat mbaya waislam wengi hawajui iitikadi sahihi
"Wallahi wanabii "
SUBHANNA LLAAA
Sheikh Bachu waraddi mpaka wakome na "ndonga" zao
Maashaallah
Hao ndo wanaibia wenzao hakuna dawa ya mvuto ALLAH ametupa mvuto
Mvuto upo. Wanaadamu wameangamia kwa kukosa maarifa.
Uyu bachu anaakili sana hao hawamuezi
@HemedSerious mushazoea kutukana
@@SaidMadai Sasa ndio mutukane mtu akicomment munatukana kwani si Kila mtu na mawazo yake au vipi
Mushazoea matusi na hao mashekhe wenu masufi
Ana akili kivipi
Nyinyi mnaokomenti kunpinga shkh bachu msikilizeni mpaka mwisho hayo anayoyasema na sio munamsema vibaya wala hamujasikiliza alichowakilisha mcheni Allah
😂😂😂Diwan ikapatikana
5.27... sikizeni haya maelekezo.. yaki ramli ramli mganga mkubwa wwe.. nmecheka sana hapaa 😂😂😂😂
😂😂😂 mganga mkubwa. Diwani ameishaa mazee .
Wallahi mm nackitika sn kuona kua IKHTILAFU zimefikia kutufanya tuache kuheshimiana na badala yke tunahacmiana, yule Diwani anamwita mtoto wa Bachu eti n MWANAHARAMU😢 Astaghfirullah😢 na Muhammad Bachu nae anazidi kumtia tempa Diwani kw kumwita tapeli, mwizi, mshirikina lkn pia kumsonya. Rai yangu jamani tuhitilafiane pasi na kuvunjiana heshima na kuhacmiana... Huwa nataka kumpa Diwani pia USIA huu ila yy anaondoa kabisa uwanja wa comments😢
Hakuna mambo ya ikhtilafu hapa ni baina haki na batil lazima waislamu wahadharishwe na hawa wachawi wana kuja kwa uso wa uislamu.
We wajua maana ya ikhtilaafu kweli wee?
Sheikh Yusuf Diwani anafunga "comment" kwenye "channel" yake kwa kuwa hayupo kwa ajili ya elimu.
Kilamtu Hana uhakika kama yeye yupo sawa kikubwa usimzalilishe mtu kwa pale alipo kosea Bali muelimishe kwa njia ya Siri baina Yako ww nayeye kama kweli unafanya kwa ajili ya Allah . Ilahawa wasomi wa Sasawanaharibu dini na mifumo ya watu ya faham kwani wanatuchanganya
Wasomi mnatumia mitandao vibaya kwa kua mnachafuana kwa njia za itikadi zenu sisi wa tz hatuna udini Wala ukabila ila nyinyi mnatupeleka kwenye matabaka ...tuelimisheni sisi hatutaki mabishano..jifunzeni kwa othuman maalim
Al ilmu walmaarifa
Sivo hivo mtawatoa watu kwenye Uisilamu
Mtume hajasema mutukananeni
Sheikh Bachu Rudi kwenye maadili ya kiisilamu na ya kizanzibari kwa ujumla utaeleweka
Ww ujui Radi kaakimya.
Nawewe kama ni mteja wa Huyo mganga utajijua
@@Bmsecret mm siyomshilikina Allhamdulillah. Nasifikilii Allah aniepushe nakuwabaokalibu washilikina
Shekh umeharibu hapo mwisho, uta waambiaje waoge balsam na waombe dua ya ngamia kisha allaah atakubali dua zao pasi na wao kujua.
Watanyoooka tu,wezi hawa
Dahhh shekh wetu unajitahid kuelezea ukweli lkn mijitu haifahamu
Ipo siku wataelewa
Marafiki zangu wengi kawalia pesa eti anawafanyia kisomo ili wapate kupona kutokana na maradhi yalokua yanawasibu akawachinjia hadi wanyama na hakuna aliepona hata mmoja na baadae akawakimbia
Yusufu diwan sio shekhe muhuni tu
Muulizeni kakusudia uganga upi msihukumu tu
Ye mgaga tu si anajitangaza wazi kabisa
@@SuolFat MAELEZO YAKE HUJAYASIKIA
@@SuolFatFitna ni mwislamu awe katika hali akashindwa kupambanua baina ya Haqi na baatili
@NoorAli-vj4gn nyie mawahabi ni waongo wakubwa na wazushi
Akhy sijuwe ndakulipa nini kwaiyi kazi uko mufwaswaha na umesoma kweli uko mwalimi wa diwani
Na mwenye akili timamu atazingatia na kujitoa n wachawi hawa waelekee kwa Allah subhannahu wa taala ambae yeye ndo mwenye qadar
Hahahahahaha😂
Balsam
Nakuomba uanzishe kufundisha Kitab yako cha al tawheed fafanua cha sheikh Salih Al fawozan please
Hili diwani ni tapeli mkubwa saana. Kiweni nae makini. Diwani ni mchumia tumbo tu
Allah atuongoze Shekh Mohammad Allah azidi kukupa subra, kisha ndungu nakutumia message kwa whttp hanijibu naomba unisaidie na mm baadhi ya maswala ya dini mm ni mwanafunzi wa Shekh Yusuf mamburui
hunijibu message naomba tusaidiane
Hawa ndio wanaofanya cc sote waislam tuonekani wachawi
Kumbe ndio maana wanakuchukia huwa unawatumbua washirikina hawa
Diwani ni taperi kubwa
Watakuroga wachawi hao diwan wa ikhwaatihi
Wakishashindwa ndivo wanavyo fanaya
Angekuwepo Omari bunulkhatwab shingo ya huyu mshirikina ilikuwa ni halali yake
😂😂😂Dua ua ngamia
Hapo unaingilia kazi za watu sasa kama unamchukia mtu asimuingilie katika kazi zake. Maana hazikuhusu
Kazi Gani za watu wenye kujificha kwa dini kutapeli watu?
Niwakwanza leo
Hawa hawastaili kuitwa waganga bali jina lao hawa niwachawi
Sema washirikina
Bi Asia wachawi ndo jina sahihi
Mnauharibu Uisilamu
Mnawapa Faida wasiokuwa waisilamu
Uisilamu hauko hivo huo ni ukafiri
Naomba mujitathmini
Hamupo sawa
Toka apa jahil we
Kwa iyo aachwe afanywe ushirikina
Yaan nyiny mashekhe baada ya kukaa kujadili mambo ya msingi munakaa kukosowana mitandaoni acheni ujinga kaeni kitako chini murekebishane na sio mukaanza kuanikana mitandaoni huo ni ukafiri
Ante kwa kutufungua wengi. Niwengi sana ha mataper pamoja na fidausi kongowe nimataperi yakufu mtu
Diwani ww mzee wamako na matalasimu
Umetoka kwenye utatu emeenda kwenye uganga duh,
Lete hadith inayofundisha utatu!.
Eti wanasema anajikoment mwenyewe wakati mm niko mbali san na africa na nakoment kila sk tupo sambamba mwalimu
Kwa iyo mawahabi hamujui hata maana ya neno mganga
Mupunguze ubishi tizama aina ya uganga
Sio mawahabi soma kwanza
Diwani ni ji shirikina la nguvu jahil khurafii mkubwa, ajifanya shekhe kumbe mchawi wa
ki khurafi . 😂😂😂😂
Amakweli mchawi sikuzote hakubali kuitwa mchawi huyu diwani nae ni mchawi
Anarudisha bahati 😂😂😂
Wewe bachu tafutamambomengine uzungumze hayo huyawezi nawalasisaiziyako usipotezemudawako bure
si saizi yake majambo anayoyafafanua kwa dalili za vitabuni dhidi ya muwasilisha mada kwa ufahamu usio na ushahidi ulionukuliwa kwenye makaratasi aliyoyaandika mwenyewe?
Hahaaa mganga huyu hana ataibu anadhirika mchana kweup jaman tusomen hawa kina diwan watatupotez wapo weng hawa pamoja nakina doctor sule
Kwenda Kwa Yusuf Diwani Sawa Sawa na kwenda Kwa mpiga ramli
Tuachane na uganga tuje hapo kwa vifaa miaka nenda rudi mnaomba camera,laptop acheni utapeli
KİUKWWLİ HAWA MASUUF Nİ WAGANGA DHAHİR KABSA
İLA İBN BACHU UNAWANYOOOSHA , SASA HİVİ WAMEANZA KURUDİ NYUMA KİDOGOO BAADA YA KUWAĞELEKEA MOTO İBN BACHU
ALLAH AKUHOFADHİ
YAANİ BİLA KUWA PİGİA KELEL GAWA WANGEZİDİ KUWADANGAMYA IMMA ZAOD NA ZAIDİ
WALİKUWA WANAZAMA KWRNYE ISHIRIKINA KABSAAAAA
Kwa iyo neno uganga ndio Lina wapa nyie kwikwi
@@SuolFat mwambie Sheikh Yusuf Diwani afungue "comment" kwenye "channel" yake ili watu waweze kuchangia mada.
YUSSUFU DIWANI MGANGA WA KISHIRIKINA,KUTOKA KIGOMA ,MBONA KAFUNGA COMMENTI HATAKI TUANDIKE CHOCHOTE, UOGA ELIMU NDOGO
Huyu bwana mganga Ana system ya kiyahudi, kiyahudi.
Hawo siwachatu kama hizo ndawa zao zina fanyakazi tanzania tungekuwa hatuna maradhi walamajini kwatwa tuna kweda kwenye visomo vyao natuna tumiya hizo ndawaza hazisaindi chohote labda kuzindi mashaka nibiasharatu
😅mganga jamani nakuomba ufungue acaunt ya ku comments tukupe zawadi mbona umefunga nikwamba hujiamini au vp
Assalam alaykum unaonaje sheikh ukaandaa tiba inayofaa na yupi sheikh mzri kwa dawa kwa hpa zanzibar
jitib mwnyew
Ww mohamad bachu huna akili ww
Hapa umempata diwan mana wizi wa wazi
Tapeli mkubwa uyo mtoe midamu chekhe
Jiulizeni kakusudia nini
Shekhe uyu msanii anatakiwa ashulikiwa kikwelikweli mganga ovyo
😂😂😂
shirki lazma ipingwe kwa nguv zote
@@HemedSerious wewe Pinga lakini usitukane au ndio unawafuata masheikh zako
Kwa iyo nikisema naenda kwa mganga mfawidhi ndio ishakuwa shirki hio