AHSANTE SANA ZAMARADI TV, NILIKUWA NASUBIRI KWA HAMU SEHEMU YA PILI YA INTERVIEW HII. MOJA KATI YA INTERVIEW AMBAYO INATUPA HAMASA YA KUPAMBANA SANA SISI VIJANA. BIG UP
Kwani hujui kama aliwekwa.mahabusu kwanye kufungwa happy sina Shakira napo ila najuwa mzee wa majipu alimshighulikia na tangu kipindi Nicholas mpaka sasa sijajuwa yupo.wapi mana sijasikia tena habari zake
Ni kwel kabisa da huu Husna ni mtu poa sana.Jose Mara Hana ushirikiano kabisa saa zingine Jose mara akununie eti umeingilia zilizokiki .Jose Mara mbinafsi sana mi nawasikilizaga .
Kulala na mtu kitanda kimoja haimaanish kumjua kwa kila kitu, kuna watu katika jamii ni watu wazur lakini majumbani kwao ni wakatili sana, baba yako utakavyomueleza sio sawa na mama yako au watu wengine
Mwijaku heti mwambino anatoa nyama uku kaibiwa bilioni nne 4😂😂😂😂😂😂
AHSANTE SANA ZAMARADI TV, NILIKUWA NASUBIRI KWA HAMU SEHEMU YA PILI YA INTERVIEW HII. MOJA KATI YA INTERVIEW AMBAYO INATUPA HAMASA YA KUPAMBANA SANA SISI VIJANA. BIG UP
Pole Sana Kaka angu
Wao zamaradi hatimaye part 2 nlokua naisubiri nimeipata 🎉🎉🎉🎉
Sauti imetulia sana.. hongereni
kumbe huyu fala huwa mtulivu mara nyingine 😂😂😂😂
Mbn hapa anaongea kama aana stroke au ndo mtaniambia nunua simu😅😅😅
Kumbe mwijaku sio muongo ile B1.2 ni mbwembwe tuu za mtandao 😂
Et lidubwashaaa😂😂😂 yaanii mwijaku umenifanya siku yaku imeenda vizurii❤❤❤❤
Hii ni Mashine .. unaweza kumchukulia poa tu lakini duh…
Mwijaku nimecheka sana tabia zako za ukorofi😂😂
Makini Sana
Mashallah mashallah
Pati 3
Mwijaku namuelewaa Sanaa ....piga kazi
Sheria haina kunulikana mwijaku sheria ingekuwa kujulikani Kangi lugoda Asingejikuta mahabusu ya mudra mrefu.
Huyu ni Mpumbavu sjui ni Msomi wa aina gan
Ivi kangilugola amefungwa?
Kwani hujui kama aliwekwa.mahabusu kwanye kufungwa happy sina Shakira napo ila najuwa mzee wa majipu alimshighulikia na tangu kipindi Nicholas mpaka sasa sijajuwa yupo.wapi mana sijasikia tena habari zake
Nmejifunza mengi baada ya interview ya mwijaku....
Wakwanza🎉❤
Ww inaonekana ni Mtu wa Hovyo tokea zamani. Unawauzia Wenzako Magodoro ya chuo
Sasa tishu aliyofutia makamasi ndo apanguzie machoni apo apo😢
Kuna kitu cha kujifuza hapa
Asante Ruge utakumbukwa na wengi.
❤❤❤❤❤
Ni zaidi ya mahojiano
Daa good interview inaelimisha Sana nimepata kitu
Hiyo ya kaka ake imemuumiza hadi ametia huruma
😂😂😂😂😂😂😂mwambinooooooooooooo wangapi walitaka kujua maana ya mwambinoooo😅😅
Ni kwel kabisa da huu Husna ni mtu poa sana.Jose Mara Hana ushirikiano kabisa saa zingine Jose mara akununie eti umeingilia zilizokiki .Jose Mara mbinafsi sana mi nawasikilizaga .
Mwija ana akil sem bs tu
Its white collar job and not white colour job
Mwijaku anamuelezea zamaradi kuhusu ruge nawakati zamaradi ni mtu aliyekuwa analala nae kitanda kimoja😂 anamwangalia tu anavyoongea kuhusu ruge😂
Kulala na mtu kitanda kimoja haimaanish kumjua kwa kila kitu, kuna watu katika jamii ni watu wazur lakini majumbani kwao ni wakatili sana, baba yako utakavyomueleza sio sawa na mama yako au watu wengine
Mwizi wa magodolo😂😂😂😂
No maana ya mwamnino,nimtoto mdogo, mwijaku chukua hiyo nauliza hasa wasomali watakwambia nini maana ya mwambino, mtoto (mdogo)
Bambino ni Kitaliani cha neno baby. Kama wasomali wanalitumia ni kwa sababu walitawaliwa kwa muda na Wataliano
Zama you real love the father of your two kids! I love that!❤
Big up Mwijaku, MUNGU akutunze❤
Pole sana mwijaku
Mwinjaku ameongea kwa isia kubwa
Nawe mtandazaji na kipaja chakoo mmm
Ukorofi tuuui😂
Asate Dada zama
Nimesikia huruma sana alivyotoa machozi 😢😢
Makini Sana