JOANNA | SIMULIZI FUPI | ALIKATALIWA TANGU ALIVYOZALIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 тра 2024
  • Jamani huyu mtu anaejiita mume wangu ndio naniii,nilitoka na kurudi ndani kisha nikachukua sm nikapiga haikuwa ilipatikana kama kawaida yake nilivurugwa na kushindwa kuelewa huyu ni nani na anafanya hivi kwann .
    Ukweli niliogopa hata kulala nikihofia huenda anaweza kuja na kunifanyia kitu kibaya
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 71

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 місяці тому +7

    Usiya wa bi pendo
    1. Kumtanguliza MUNGU kwa Kila jambo yeye peke ndo hujuwa kesho ya Mtu
    2. Kuwa mkarimu kwa Kila mtu Ila kwa kiasi
    3. Kufanya kazi na kukata uvivu na tamaa mbaya
    4. Jifunze kusameh msamah huleta Amani
    5. Usi endeshwe na Pesa na kubadili utu wako...
    6. Kuwa makini na mapenzi maana yanaweza kubadili hatma ya maisha yako kuwa nzuri ao mbayaaa
    Shukran Lucas na mtunziiii wa simuliziiiii❤❤❤❤

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 2 місяці тому +18

    Mashabiki mm wakwanza mapema sana nione like zenu asante Kaka Lucas kwa simulizi ulikua umetubania sana🎉🎉❤

  • @user-sq3pn4ef9g
    @user-sq3pn4ef9g 2 місяці тому +5

    Namie nimewah san wa5 mashaallah 🥳🥳🥳🥳

  • @user-ql7hy5cs7v
    @user-ql7hy5cs7v 2 місяці тому +8

    😂😂 watu hamlali mnachungulia tu Lucas kama kafanya jambo😁😁❤❤

    • @MwanakomboMangwe
      @MwanakomboMangwe 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂 mim kwanza Niko machungu tokea juzi Sina internet

    • @user-ql7hy5cs7v
      @user-ql7hy5cs7v 2 місяці тому +1

      @@MwanakomboMangwe 🤣🤣🤣 hata mimi nimeona kwakwel lucas katulaza njaa siku 3 zote🥲 sema tu tunampenda atuwez muadhibu ila asirudie🥰🥰

  • @NailatYahayamkova-yu9qu
    @NailatYahayamkova-yu9qu 2 місяці тому +5

    No Caption ❤❤❤ kaka wa mboga saba

  • @user-fp8gf3ik8p
    @user-fp8gf3ik8p 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤nimpenda. Ikikisa. Chauyu. Bidada. JOANNA. Daaah. Inamafunzo🎉🎉🎉🎉

  • @user-hd6nt2yz9g
    @user-hd6nt2yz9g 2 місяці тому +2

    Naitwa Jackson naishi kibaha vijijini pwani napenda sana kuzisikiliza simulizi zako kwa sababu zinafundisha jinsi ya maisha yalivyo na kumtegemea mungu na simulizi zako zina uhalisia kongole

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 2 місяці тому +3

    Lukas lumbasinice job pamojasana brootùnakupenda sana❤❤❤

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 2 місяці тому +2

    Thank you bro nilimiss xn simulizi jmn

  • @Lovelovely660
    @Lovelovely660 2 місяці тому +6

    I'm the first one today❤

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 2 місяці тому +7

    Thank Lucas umekuwa wapi tulikumiss sana ❤❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 2 місяці тому

    Nice story be blessed ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mwanaibrahim3288
    @mwanaibrahim3288 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉wow thanks Kaka Lucas❤❤❤❤

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 2 місяці тому +1

    Usitukawizi lakini niombi Lumbasi utatuwuwa mana nikimariza Siku mbiri nasikiyaga Niko Niko ceko sauti weacatu🎉🎉🎉🎉🎉💪💪

  • @Eshaomar-ge2nf
    @Eshaomar-ge2nf 2 місяці тому +3

    Ndio naamka😢

  • @user-pj5zp1zr4o
    @user-pj5zp1zr4o 2 місяці тому +2

    Tumekumiss lucas❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +2

    Rachel alionesha ushetani wake toka zamani kwa tamaa mbaya,hakuna tabia halisi ya mtu inayoweza kubadilika ghafla,hapo ni tahadhali

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 2 місяці тому +2

    Kuamka t jmn kitu hicho had raha❤❤🎉🎉😂😂❤

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 2 місяці тому +2

    Waoooooh

  • @user-cw4mv3kw7y
    @user-cw4mv3kw7y 2 місяці тому +1

    Asante sana kaka Lucas Lumbas ❤❤❤❤. Allah akujaalie kila la kheri Inshaallah

  • @Ivyagua
    @Ivyagua 2 місяці тому +4

    Kaka ukulala

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 2 місяці тому +2

    Afazali jamani tulikuwa wapweke sana

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 2 місяці тому +1

    Yaan Joana mungu amekulipa Kwa ulichomfanyia, x wako ,, uliahindwaje mpenda mwanaume anakupa Kila kitu anakupenda vizur, unajiendekeza eti moyo haumpend, ukome tu

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 2 місяці тому +1

      Ali mfanyia vibaya na malipo n Dunia

    • @scollamwanisisi2739
      @scollamwanisisi2739 2 місяці тому

      @@FatumaRamadan.Mwalim watu wengne bana mtu anakupenda Kila kitu anakupa, huwa unapenda mbona moyo wenyewe unamkubali , tatizo wanajiendekeza tu na fikra Moja mda wote

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 2 місяці тому

      @@scollamwanisisi2739 😀😀😀

  • @user-ud4lu7um5k
    @user-ud4lu7um5k 2 місяці тому +2

    Hatimae umetukumbuka😊

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 2 місяці тому +1

    Asante sana broo

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 2 місяці тому +1

    Asantee

  • @user-kf8yl1lc4m
    @user-kf8yl1lc4m 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂eeehn hamulali watu kumbe

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 2 місяці тому

    Mashaal asant sana kwasimurinzi

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 2 місяці тому +2

    Mi ndio maana sitsk marafik .
    Marafk mbwaaa

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Asante San

  • @Angela-ng5bn
    @Angela-ng5bn 2 місяці тому

    Plz na omba seemu ya pili ❤❤

  • @user-kl1cx7sm8i
    @user-kl1cx7sm8i 2 місяці тому +6

    Wakwanza leo ❤❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому +1

    Mhm, Joana huyo siyo rafiki hilo ni bonu,tamaa mbele mauti nyuma kwani ukifa tajiri kuna faida gani humo kaburini kuna tofauti kama ukiwa tajiri au maskini,upumbavu tu,mjanja ni anayetafakari uhusiano wake na Mungu

  • @user-nt3cl5ng3q
    @user-nt3cl5ng3q 2 місяці тому

    Mungu akutunze wewe na mtunzi 🙏

  • @AsiyaMangaza54-qr1kk
    @AsiyaMangaza54-qr1kk 2 місяці тому +3

    🫶🫶🫶🙏🇨🇩

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 місяці тому

    Mbona mbilinge bayoyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnethKabogo-so1qw
    @AnethKabogo-so1qw 2 місяці тому +1

    🎉🎉❤❤

  • @teddysananga
    @teddysananga 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉

  • @AmosyMgahe-bz7vo
    @AmosyMgahe-bz7vo 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 2 місяці тому +2

    🌹🌹🌹🏃

  • @user-bq3rw2el5v
    @user-bq3rw2el5v Місяць тому

    💯

  • @FatumaRamadan.Mwalim
    @FatumaRamadan.Mwalim 2 місяці тому

    Ina Uma sana Pole daa

  • @user-wc7md9nu4v
    @user-wc7md9nu4v 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @AnnaKayumba
    @AnnaKayumba 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 місяці тому

    Waganga wa kwenye simulizi niwakweli sana😂😂😂😂😂

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 2 місяці тому

    🥰🥰🥰

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 місяці тому

    Unaroga mtu hadi kufakisa humpendi jamani binadamu kazi hadi mtoto amekua amekujakutafuta baba lkn kwakua walimlisha madawa hata hakutambui..huku nako marafiki wengine loo unauzaa mwezako kisa pesa jaman majanga tele ww nawe pia ulitegamtu mwenyewee hukuhumpendii sasa kama hupendi mtu kwann uishii naye kama sio tamaaa ndonaww ukapigwaa tukio na huyo fatuma nasijui kama nayy alimlishamidawa huyo jamaa mana alikupigaa hadi mimba kutoka lkn hakujali.

  • @user-cr8js2ic7n
    @user-cr8js2ic7n 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 4 дні тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 2 місяці тому

    Hakika kumtegemea MWOKOZI ni jambo la heri mnoo na kunafaida ingawa kuna mitihani ila amani yake haipimiki furaha ndio kama yote

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @judithminyoso429
    @judithminyoso429 2 місяці тому

    Umekua wapi kala Lucas mbona kututia hofu hivo

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 2 місяці тому +1

    HahHH Yan nilikumaind

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 2 місяці тому

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 2 місяці тому

    🧎🏻‍♀️🙏🥲🥲🫣

  • @user-si6rf5wv8g
    @user-si6rf5wv8g 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @user-xq5vs9it5k
    @user-xq5vs9it5k 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @user-yk8em1bh8g
    @user-yk8em1bh8g 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @user-oj3hg7ti5n
    @user-oj3hg7ti5n 2 місяці тому

    ❤❤❤