aloo nimewahii kinyama nikiwa naisubiri SIRI YA HUBA.... em gonga like hapa kama na wewe ulikuwa waingojea kwa hamu series yetu tamu kutoka MO TOWN💯❤🔥💥🔥🔥🔥🔥
Rk kakaangu ujue move zako ninzur Sanaa kunamafunzo makubwa nayapata nikizitazama lakn unachelewesha sana kutoa licha yakuchelewesha vipande nivifupi Sanaa angalia kuhusu ilo utapoteza mashabiki brother
Hii series ni story fulan ambayo haichoshi ni reality ya relationship Nyingi kwenye mapenzi ya Sasa RK nakubar sana mwanza tutajivunia kipaji chako kaka.
RK bhana Leo nimetogwa sana au kwakiswahili nimeflai sana chukuwa 🎉🎉🎉🎉 na uko vzr sana mdg Wang hv ulixomea et
Sisi wa congomani tuna mi fwata 10/10,n'a omba liké zeni👉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nous sommes là 😂
aloo nimewahii kinyama nikiwa naisubiri SIRI YA HUBA.... em gonga like hapa kama na wewe ulikuwa waingojea kwa hamu series yetu tamu kutoka MO TOWN💯❤🔥💥🔥🔥🔥🔥
Achia k2 bri
Haya kazi njema
Uyu kaka mungu kampa kipaji
TUNAOMBA like kwenye kazi za wenzio acha Fanya kazi zako
Kaka yupi mana Kuna wakaka Wengi hum😂😂😂😂😂@@KhadijaKisinga-rw4ds
@Rk mwendelezo hutakuwa linitena ebu tuheleze tuwenafaahamu cause mnakawa jay from malawi🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Je t'aime beaucoup mon frère RK courage 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Rk kakaangu ujue move zako ninzur Sanaa kunamafunzo makubwa nayapata nikizitazama lakn unachelewesha sana kutoa licha yakuchelewesha vipande nivifupi Sanaa angalia kuhusu ilo utapoteza mashabiki brother
Kazi nzuri alafu boss mchawi aliendapi ama mlimuua ndio asiwasumbue😂😂😂from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂 from kenya also
😢😢😢😢😢😢😢alike yule jman🇰🇪
Kila siku like Mimi tu Leo naombeni like zangu jamani from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏 please RK
Wanawake kwenye hii movie ni extraordinary 😍😍😍😍😍😍.......wazuri balaaa
Bna eee 😂😂😂😂
Rk naikubali séries yako king of love uko vizuri ❤❤🎉
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😅😅
Amina
Walkm msalam warahma thulah wabarakatuh na wewe pia 😂😂😂😂🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Amina 😂
Nani anamkubali rk🎉🎉
Hii move mzuri sana sema tuongezeeni muda maan haiishiwi hutamu
Wewe patam apo Rk Pls yagupata pia usikaizi ❤❤❤❤❤
Watu wako fasta kinoma 😂😂😂 TK wadau wanakuelewa mwamba usituangushe 🫡
Nipe like zangu kutoka Germany 🎉Rk good job
kz nzr sana hongera sn RK
Daa ila hii Siri ya huba inawarembo wazuri sio siri❤ira jitahidi muzidishe dakika
Rk kweli nimeamini umeskia maombi yetu usiduchelewe tena kudupa muzigo ili tubuludike 😅😅😅twende na like sasa na watu wamefulahi kama mimi hapa ❤❤❤❤❤
Kabisa 😂😂🎉🎉🎉❤❤
Mtaka vyote hukosa vyote nani anaona benlee akikosa Kila kitu alfu Irene kua n msimamo s Kila mtu akikucall uko tyr kumtafuta😂love from 🇰🇪🇸🇦🥰
😂😂😂 kweli 🎉🎉🎉
Wanawake bhana 😂sijui mmerogwa na nani maana ugonjwa wenu ni 1
@@NshimirimanaHussein-s3t 😂😂tuache
Boniface
Benlee kwisha wewe
Ila Irene na bibi ya doctor mnafanana kiukweli ....nawapenda buraa❤❤😂🎉
Masha Allah ingekua mna fanya ivi ingekua vzr nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Aminia kaz nzuri from Dodoma bungeni ushindi
Nmefurahi kuona episode 14 Asanteni sana kwa Wana huba wote Benlee tafadhali like comment yangu ❤
❤ na kope nimekupa
@@Benlee2709 💕💕💕
Toka drc uvira eneyo za kahororo tunawapenda sana
Mimi ni wa Kwanzaa kutoka kenya 🇰🇪 naomba likes zenu❤🎉
Nafuatilia kutoka Saudia Arabia mnipee like zangu hapa
Pia Mimi Nko Saudi Chukua 👍
Thanks@@FlorenceNdeti-p9d
❤❤❤❤❤🎉
❤@@pilicharo4123
njoo Tanzania
Irene na huyu mdada wa dactari ni madungu ama😂😂😂❤
Ni siri ya hubaa😂😂😂elewaa
Nikajua nimeona pekeangu😂😂
Umeona eeee
Ak nyinyi watu mko vizuri kwa kweli aaah.Hizo sauti ni nzuri mashaallah ❤.
Jamani wanaotaka RK atowe nyimbo ya siriya Huba tujuwane kwa ku like ❤❤
alitoa sindio hauja ipata😅
Ingia You Tube ipo
@@pilicharo4123inaitwaje
@@pilicharo4123na ameimba nani
Atowe
safi sana kazi nzuri mno nimependa mno safi sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Great Job Kaka RK kila mda naiangalia kazi zako
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 ❤️❤️
Mimi ni wakwanza kutoka Moçambique nipe lik
Mm nd wa kwanza kwasabab imefika saa iliyo pangwa nd nikacomment nyie mliocoment haijaachiwa wote mpo nyuma yangu😂😂😂😂😂😂😂achen upishi
Asante sana kazi mzuli 🎉🎉🎉🎉
Ushaur wangu episode mnafany fupi xnaa ongezen dkka zicpungue chin ya 20
Nikupongeze sana RK kwani umejitahidi kupost kwa wakati......
Wanaoungana nami kuwa awe anapost kila siku like plz🎉
Watu wa kakonko kingoma tujuane hapa rk ❤❤
Naisubir apa leo niwewah like zang jmn
Mimi siombi like 💪
Sawa😂
Unaomba nini 🤣🤣
Napenda hizo love songs tazipata wap jaman❤❤
You tub
Andik siri ya huba by Rk tunga utayipata
Oi
njoo kwangu 4:54 uta injoi mam serious
UA-cam 😂
WA 2 kutoka Mz give me like 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nasubir sir ya huba hapa
Daah jaman RK mbna dakka chache hvo sijapenda 😅🥳🥳
Oyooooooooo mungu abaliki sana kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤kaka naomba iyonyimbo
Wakwanza mim like❤❤❤❤
Nafuatilia nikiwa Kenya ❤❤ nipeeni likes zangu
wanaosema waendlee na mtindo huu wa bandika bandua gonga 👍👍 hapa
RK baba hujawahi kuniangusha
Unyama ni mwingi 🎉🎉🎉
Tujuane kwa like unatoka wapi na umefikia wangapi froma Oman 🇴🇲
Dada naitwa reira naomba namba zako
Kwan RK upo upande gan jaman mbona ckuelewi yaan unampenda nan haswa
Ye mwnyw hajui
@@aishaomar2287Safi sana😂😂😂😂😂😂
Ila hii movie Iko n wanawake warembo mashaallah 🥰🥰
huyu doctor nilipuuzi kweli
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
dkt hamna kit
Suam
Wakenya nipe like jamani❤❤❤❤
Napende sana movie zake RK from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇹🇿🇹🇿😊
Tunaokubali siri ya huba gonga like
Kazi nzuri. Great if you gona be consistent like this you will capture alot of majority
Salute japo sijaelewa kitu😂
@@Benlee2709 😂It's Normal bro but kwenye kazi una misemo ✊. Neat
@@AMELYEKISESE-uy8jh Asante kaka
@@Benlee2709 kaza kiongozi unajua.
Wee balii 💥💥💥weee unasema ama una sema tu mwenza ko anisamehe
Mimi ninaitwa Van Niko musician Kutoka Malawi lakini nikipenda Crue yote ya Siri ya huba kazi unaijua Sana unafanya vizuri kabisa Movie ya mzuri Sana
🎉🎉🎉🎉🎉hongera bro dont give up utayafikia malengo
Rk nipe like zangu Leo I'm from moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kaka ulisikia ombi langu umejitahidi KUTOA MAPEMA muenselezo❤
Rk KAZI nzurii Sanaa❤️❤️❤️ much love from mee
RK nikuombe kitu iyi movie niya romantique tunayipenda sana❤❤ hapa burundi🇧🇮🇧🇮 musije munahikaiza
Safi sana mambo ni bulbul,
Naombeni likes likes jameni naitazama kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Am in love with your movies Rk 🎉❤
Amen 🙏🙏🙏🙏
Nimewai Na Mimi Leo kutoka 🇰🇪 naomba like hata Kumi pekee🎉🎉❤
Berlin anajuw kuigiza sana big brother 🎉🎉🎉🎉 mauwa yako upewe😂😂😂😂
Asante sana❤
Haki from Kenya 🇰🇪 nimependa sana tena sana kuwahi kutoa onother episode
Yan Leo Rk kanifulaisha San Ayo ND mamb Sasa 🎉🎉
Jamaniiiii rk ata nlkua nmesahau 😂😂wacha izo my dear but imekuja moto sanaaa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nakupenda sana rk❤❤❤ much love from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Siri y huba bonge movie wanao kubaliana n mm npee like jameni
Kazi nzuri mkiwa mnaendelea hivi bx mtanifurahisha sana mimi pamoja na wengine wanaowafatilia
Saiz Munawahisha Sanaaa Nimeipenda Sanaaaaaaaaaa
Mashallah leo nimefrahi sana,, na nimependa pia ❤
Kazi nzuri nawapenda nyote watching from kenya 🎉🎉🎉❤
Ongezeni muda please 👐 show iko lit nikiwaona mu wazima ndo furaha yangu, much love ❤❤
Iop sijachelewa sna all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi Nzuri Rk na Benrli🎉🎉🎉❤❤❤
Mia blood
Safi xan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉jamn hii movie inakoelekea mmmmh mmbo mbaya ❤❤❤❤❤❤❤❤jamn taamuuuuu
Nakubali sana rk from mozambicann
Hongera sana RK leo umejitahidi kuwahisha cha kukuomba endelea kila baada ya siku uwe unaachia hii ni kazi nzuli sana
Maneno ya mm mtazamaji wa siri ya huba yanasema hv, muwe mnawaisha kutoa episode,
SAWA dada 😂😂😂😂
Kutoka kenya 🇰🇪 team hamamu tujuane Kwa likes ❤
Naona mmejilekebisha sas haya mwendelee hivyo hivyo sio mnatufurahisha alafu mnatutelekeza tena
We wasifu tu
🤣🤣🤣@@aishaomar2287
@@aishaomar2287😂😂😂😂
@@SharifaRashid-tg9kx kweli vile
❤❤❤❤ kutoka Kenya nmengoja Sana Siri la huba
Am waiting for 15❤❤❤RK hizo n mawhat 😂😂😂😂❤❤❤ nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri sana chukueni maua yenu 🥰🥰🌺🌷🥀🌹💕❤️💐🇸🇦🇰🇪
R.K upewe mauwa yko🎉🎉 Allah akuongoze🙏💯🤗
Mungu awabariki sana jamani leo mmenifurahisha ingekuwa hivyo kila baadae ya siku kaza tungefurahi zaidi lakini pia nawapenda ❤❤❤❤❤
Hii series ni story fulan ambayo haichoshi ni reality ya relationship Nyingi kwenye mapenzi ya Sasa RK nakubar sana mwanza tutajivunia kipaji chako kaka.
Nawafatilia sana Rk na team yako ❤❤congratulations kaz nzur musikawie sana
Finally hatutangoja kwa muda tena kazi nzuri Rk
Nimetazama tuu ep moja tuu nikaipenda bana kutoka burundi napenda san
Kazi mzr sana Rk ubarikiwe zeen tuwekea kwawakatiii kaka❤❤❤❤🙏
Hivi ndo inavyotakiwa mefrah sana❤❤
vizur sana vile mmewahi kuwachia siri ya huba kazi nzuri mubarikwe kwa kweli ❤❤❤