Time RK mbn kazi yenu mwapenda sana kuichelewesha utafikiri mnalazimishwa kufanya hiyo hiyo kazi hebu katazameni akina boncena akina clam vevo watazameni hao wapo kibao hebu kueni chap chap
Mnachelewesha sana hadi tunasahau tuliishia wapi..hamtundendei haki kabisa mashabiki wenu..ila sawa tu tuko pamoja na hatukati tamaaa..maana hatuwezi jua mmepitia changamoto gani..😮😮
Atimae mmeileta sehemu ya 24 hata nilikua nimeulisia lakini nawe Ben ushoki kushonganicha mausiano ya watu tambia ka zakike vile kaah from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪....like zenu jamani nitafuraii🎉🎉🎉
Mimi napenda hiyo kuongea yenu tena muana mafuzo tamu hku🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunawapenda sana rk you are best natamani siku moja ni jion kipindi moja yako,,,,,,,,,thanks fell much
Ushauri wangu kwako RK, mwachelewesha sana kuutoamwendelezo wa hii tamthilia kiasi ya kuwa muiendelezapo tumepoteza kumbukumbu ya kipande kilichopita. Zingatieni hilo tafadhali.🇰🇪
Yn munakaa san adi tunajua move imeisha kukaa cku zote izo na dakika pia chache sana angalau mungetutia moyo kwa kutuwekea dakik nyingi Kiufupi munaboa
Mara nyingine mjaribu kuwahi, mumechelewa hadi nikahisi iliisha... Kama unasapot neno langu gonga like tusonge mbele
Wanazingua sana
wanazingua pia mm nlidani iliisha
Babayangu kipofu
Wrong house iliisha au sio wanasinya sana
imagine aah
Mnaboa sana,, mnachelewesha sanaaa, anaekubaliana na Mimi gonga like❤
Nipitie nikupitie 😊
@@felistafelis567 sawa
Nilisha isahau ujue hii move 😝
Hongera RK na wenzako. Mungu awazidishie kibali🙏
Nyie watu mnajiita sjui sjui kutoka Kenya mara Mozambique haya na mm naombeni like zangu Niko Tanzania
Tumekupa and am from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Chukua iyo Moçambique
🧭🤳 wala usikasirik nimekwisha fika alô 😂😂 kutoka Msumbiji Mozambique 🇲🇿 mkoan Cabo Delgado mjini PEMBA Cariaco
😂😂😂😂 tupo ata ss watanzania
oa familia
Time RK mbn kazi yenu mwapenda sana kuichelewesha utafikiri mnalazimishwa kufanya hiyo hiyo kazi hebu katazameni akina boncena akina clam vevo watazameni hao wapo kibao hebu kueni chap chap
24 ime chelewa san😢
Mungu awabariki wote mnaotazama hii siri ya huba sasa mfanikiwe daima
Mnachelewa saaaana jmn mnaboo noma en way tunapenda team Rk 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🥰
I have been waiting for so long, thank you for coming back guy's
Mnachelewesha sana hadi tunasahau tuliishia wapi..hamtundendei haki kabisa mashabiki wenu..ila sawa tu tuko pamoja na hatukati tamaaa..maana hatuwezi jua mmepitia changamoto gani..😮😮
Wale tuliosahau tuliko achia makofi 👏👏👏👏😂😂😂😂
👏👏👏
👏👏👏👏
👏👏👏👏👏
Nipitie nikupitie ❤@@zuenakhassim
Komaaa 🤣🤣 ila nipitie nikupitie ❤
Jhmn kila kz inachangamoto zake msilaumu msicho kujua 👌🏾bg up Sana sir ya uba from Mbd/kndn
Asante sana❤
548,RK unafeli sana.mnaposti mnavyo jisikia daaa.Aisee mnakera sana😢😢😢😢😢😢
Daaah mmetuweka sana jaman mpaka mnabowa msitufanyie ivo jamani pleeees🙏🙏🙏🙏🙏
Kama ulisubiri kwaham hii move gonga like hapa tujuane🎉🎉🎉❤😂😢
JAMANI MINAOMBA MUWE MNATUWAISHIA MOVIE AU KAMA MNACHELEWA BASI VIPANDE VIWE VILEFU KIDOGO KAMA UPO PAMOJA NA MIMI LAKE APA❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿✅🙏
Kweli mm niko na ww 💯 kabisa
Pengine munatutesa mashabiki RK
Nipitie pia plz 🙏🙏
Iishe tu sasa maana kazi ngumu❤
Atimae mmeileta sehemu ya 24 hata nilikua nimeulisia lakini nawe Ben ushoki kushonganicha mausiano ya watu tambia ka zakike vile kaah from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪....like zenu jamani nitafuraii🎉🎉🎉
Am 15minutes late guys❤❤❤much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪📌
Ei long awaited episode enjoying from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️
Jamani mnachelewesha sana kutowa naomba likes ata 3 from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kama wakubali team Rk gonga like tukosonga much love from Kenya
Wakwaza leoo nipe like zangu jaman Froom Moçambique 🇲🇿🇲🇿
❤🎉
Obrigado broo
Mnachelewa sanaa jamn duh
Nipitie nikupitie 😊
Rk umeweza ila chado ni master much love from Kenya
Watu wa zakayo haroo❤😂
ZAKAYO ASHUKE
Nimekuwa wa kwnz kazi nzr sana Rk❤🎉
Yanii mpka tumesahau tulipoishiaaaa mnakaawiaa sanaaa 😅😅😅😅😅
Tumengoja sana lkn siku n leo❤❤❤❤❤
Kanzi nzuri mubarikiwe. Ila sio fresh. Kutukawiza
Rk nipe like zangu kutoka Moçambique ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mnachelewa sana wakuu....
Nilikuwa nadhani iliisha...
Kazi safi sana tupo nyuma yenu,,tunawasupport kinoma sana
Ni wangapi wanakumbaliana n Mimi kuwatinisha kidogo mbon wanakalisha kipindi mbaka hivo mbaka tunasau tulikuwa tumeajia api😢😢😢😢😢😢
Nipitie nikupitie 😊❤
Wakwanza kutoka kenya nipeni like zangu
Bom trabalho família 🇲🇿🇲🇿
Wakwanza leo mwatucheleweshea jamani Hadi twasahau 🎉🎉🎉❤❤❤
Nipitie nikupitie 😊❤️
Sema inachelewa sanaaaaa ad inapoteza ladhA
Rk kwema kaka naomba bas kaka nafas kwenu yakuigiza napenda sana sanaa kaka ang nipo kahama brother Ang
Better late than absent, much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Watching from 254 good work RK
Hongereni sana kwa movie nzuri ila jitahidin mnachelewesha sana🙏
Upcoming UA-camrs, tupitianeni hapa pia sisi tufaulu pamoja ❤❤❤❤
Nyie mnazingua bhana,yaan epsode 24 imechukua mwezi m1 kutoka kweli mnatuchosha bhna sie mashabiko zenu
Nipitie nikupitie
Kwel tunafatilia wat weng hii movie at dk 5 azijafika viewers na likes znazid tu CONGRATULATIONS.🎉
Dah aixee Rk unachelewexha xana yan mpk nilikuwa nimexha xahau nilipo ixhia naomba uwe unawaixha bana good jobu
Nimefurah Sana sema mnazegua Sana nawapenda❤
Hi kali ya mwaka, kiukwel mm nilikuw nilish isahau hi movie
Kazi zuri ila mnatushelewesha ❤❤❤❤❤
Mnachelewesha sana series,tunasubili ,tunahisi ilisha Isha kumbe Bado,afu nifupi sana,muongeze dakika, gonga like kuniunga mkono.
Ila jaman huu wa siri ya huba unanikosha sana aliyeimba tumpe mauwa yake🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nizuri Ila mumechelewesha sana masikini RK kazi unayo
Poleni kwa changamoto 🎉 like kwangu jamani
Asante sama
@Benlee2709 sawa kaka kazi nzuri
Nipitie pia plz 🙏🙏🥰
@@Phoebenafula nikupitie wapi
na mimi leo nimekua wa kwanz kama unamkubali Rk like na tusonge mbele 🎉🎉
Mmmh rk mpaka2 likua2naixahau kaka ilaxi0mbaya unyama mwingu
Mnachelewesha sana kutoa movie bhana mpaka mna boa
Kube Bado haijaisha Makubwa, Mnachelewa sana
Mimi napenda hiyo kuongea yenu tena muana mafuzo tamu hku🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunawapenda sana rk you are best natamani siku moja ni jion kipindi moja yako,,,,,,,,,thanks fell much
Uwakika sana master movie ❤❤❤😊😊😊😊😊😅😅😢😊😢
Wa Kwanza Leo like zang kutoka USA 🇺🇸🇺🇸🎉
Hm
Nakubali
Mnachelewa sana kutoa..
Kazi nzuri sana,inamafunzo mengi kama mtu akiifutilia kwamakini nakuvishika vilivo ndani yake,hongereni wote🎉🎉🎉🎉
Sema mke wadoctor nimzur jaman nimempenda
Ushauri wangu kwako RK, mwachelewesha sana kuutoamwendelezo wa hii tamthilia kiasi ya kuwa muiendelezapo tumepoteza kumbukumbu ya kipande kilichopita. Zingatieni hilo tafadhali.🇰🇪
Yaani nilikua nimesahau siri ya huba Asante sana kwa kudukumbuka ❤❤
Rk unachelewesha sana kaka mwendelezo
Kazi nzuri sana Team RK much love❤❤ maua yenu hiyo 🎉🎉🎉
Rk...unachelewesha kazi zako sana mpaka tunakusahau.bure kàbisa
Nipitie pia plz 🙏🙏🥰
Shida mnatutupa sana mashabiki zenu mpaka tuna wasahau kweli?
ila kazi nzuri rk
Awwwwweeee hii movie tamu jamn nilikuwa naingojea jmn🙌❤️
Wa kwanza Leo mnipe likes🎉🎉
Mnafeli mnachelewesha sanaa
Kweli wanachelewesha
Wa ndugu zangu mutu saidiye mututumiye ep 25 haraka kila kitu ni Safi kwenyu kabisa , asante sana Rk
Twende mbele nakubari Hii movie 🇲🇿👍🇲🇿
Kqzi nzuri sana love you watching from Kenya 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Finally, everyday I was visiting rk movie to see episode 24
Number 1😊
Daaaah sasa kweli siku 14 zimepita alf mzigo una dakika 18 hadi tunasahau tulipoishia zingatieni mda plzzz🙏👏
Faida yakuchepk ..huu mchez mwanz mwish kuchitian2
Jaman maiwe mnatukawiza bas❤❤❤❤ congratulations kwa kaz nzuli nawapenda
Bom trabalho❤
Jameni mnachelewesha sana na vile movie ni tamu sana msituweke sana the next episode plz❤❤❤❤
Kazi safi mabraza ❤imekubaliwa
Nipitie pia plz 🙏
Jaman mbona unachelewesha sana Kaz ni nzuri tunaipenda lakn inachelewa sana kutufikiaa
Mnajisaau sana jamani km mnakuwa mumepata na tatizo mnatoa taharifa watu tunakuwa tunajuwa maana mpk tunasaau hiIipoishia khaaa
Alll the way from kenya
Wa kwanza leo naombeni likes zangu
Hapa Kenya 🇰🇪 twawapa hongera,movie zenu ni kali na za pendeza ❤❤❤❤, kama tuko pamoja nipeni likes wakuu.
Mnazinguwa bro mnakawiya sana
Tatizo wanakawisha sana movie lakini kazi nzuri
Nipitie pia plz 🙏🙏🥰
bro nakubali kazi zako kutoka DRC
Lakin mmetugawa saana 🇨🇩
Nice movi rk tixha xana famili movi
Movie tamu sana hii ina mafunzo mazuri sana mwenyezi Mungu awazidi kuwapa maarifa mfike mbali, much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii movie episode 24 ndio mwisho ama inaendelea
Rk kimemramba wanaachwa wote😮
Rk wewe uchelewe mpaka nisahau kua kuna diri ya huba jaman 😂😂 kazi nzuri sana ❤❤❤❤
Diri ya huba got me down 😂😂😂😂😂
Waaa maajabu Leo na mimi nimewahi ile mbaya alafu muache wivu mpite n likes 😂❤
Wa kwanza mimi, nipeni like zangu
Siku hizi mnachelewesha aky❤❤❤❤
Yn munakaa san adi tunajua move imeisha kukaa cku zote izo na dakika pia chache sana angalau mungetutia moyo kwa kutuwekea dakik nyingi
Kiufupi munaboa
Nmewah nipen like zangu
Jmn. R.k unaichelewesha sana hadi tukajua ishaisha dah!
RK unachelewa sana kwachia Episódio 🦾🦾🦾🦾👊👊🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 pamoja sana
Vitu nzuri na mnachelewesha😢😢
Nipitie nikupitie ❤
Duu yan had tunasahau Kam Kun Siri ya Huba mjitahid bas kutuwahishia nawapendaaa waigizaj wot wa Siri ya Huba♥️❤️❤️❤️