Movie za RK ni nzuri sanaa , ila anachelewa sanaa hadi tunasahau , tugonge like tukisonga km twakubalian , alaf waongeze dakika jaman team RK twende kazi ❤❤
Jamani R....k kajipata pambaya lakini huyu dada anaemimba ya r..k sipendi anavyo mfanyia r..k maana guys simunakumbuka yeye die aliye mlasimisha R..k washenze huo mshenzo timu ya R....r joo hapa kwenye comment na pia like from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉
Hapo sawa unajuwa mnapo tucheleweshea tunakosa mvuto wa kutizama sinema zenu nyingine ila mkiwa Active hivi tunapenda na tuna pata moyo wakutazama sinema zenu nyingine hapo gudiiii..tumeludi upya kwenye Siri ya Huba
Huyu mke wa dokta ataniua mm, nimevumilia nimeshindwa,, RK mpe salam zang sana, yani yupo cool na akili na urembo juu hadi raha, nimempenda kiukweli kweli😍😍😍😍😍😍😍😍,, kiujumla kazi ni nzuri, tunaelew changamoto ktk kazi ni nyingi ila tunaomba mjitahid kutochelewesha sana, maan inafikia wakt mpak tunasahau iliishia wapi
Uyu benlee aghalau ametulia Sana na uyo mpenzi wake ila baada ya kugundua kuwa mpenzi wake kuna veny anamcheza akamua kuanza umalaya tena....😅...mambo ya rk sisemi kitu..... ma heartbreak Tu kila mahali...😢
Ila huyo kaka ambaye anatuma Rk anaonekana mbaya kwa mpenzi wako sababu niko mbali ninge mpiga 😂 So mimi wakwanza naomba like zangu I'm from Burundi 🇧🇮
uyu benlee wallai anadanganywa tu uyu dem yuko na jamaa mwengine na ndo benlee kajiingiza mzima mzima kama mko pamoja na mm gonga like hapa
Usishangae huyo mwanamk wa benlee ni mchongo wanataka wamtaper huenda huy dad ypo pamj na penson
CY mwanaume huyu ni mume kabisa hyu lazma ameolewa tulia utaona
Mhm umejuaje
Zamu yake naisubili sana shubamiti huyu
@ScholaMalale 😂😂😂
Movie za RK ni nzuri sanaa , ila anachelewa sanaa hadi tunasahau , tugonge like tukisonga km twakubalian , alaf waongeze dakika jaman team RK twende kazi ❤❤
Ninan
Wakenya wenzang mnaomkubali RK weka naombeni like ata 5 jamn
Namkubali sana😊
❤@@NuruNdegwa-yg2bm
@@AllyThobias 🙏
Mimi Niko Moz.
Mke wa doctor mzuri jamani 😍😍😍😍😍akiiiiiiiiiiii
Uyo mwanamuke na Hélène, niwazuri kweli
Hujakosea n kazur sana jmn
Uko vizur R.K nakubaliiiiii movies zako nzuri sema mna Chelewa kutoa vipande mna chukua muda sana !
Movie nzuri xanaa Jaman na mm leo cjachelewa nam naomben like kutoka TANZANIA ❤❤🎉😂
Napenda sana upole wa huyo mke wa doctor jaman
Me too🥰
Sanah😍
Huyuu dem wa benelle ni mdangaj anaonekana ana mwanaume mwngne gonga like apa kamaa upo pa1 nami
Kazi nzuli sana ,rk, pambana baba uwaonyeshe watuuuuu kuwa ww unaweza kaka
Me nampenda huyu Mke wq Doctor😊😊
Mzuri na anaigiza vizuri
Ww upo km mimi nampenda kweli alf kazuri❤
N mrembo Alafu mpole❤
Yaan mm ndy nampend mkewe dokt natamn ata angekuwa dad angu❤❤❤
Oy tupo wengi,, mm yani dah, cjui hata nisemeje nataman angekuw wang dem, dah❤❤
Wangp wametegea siri ya huba 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦❤️
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@highlights picha zenu mwaboesha mko slow yaani mnakawia kutoa
@ThomasNgala-pw5os kwanza wake wrong house
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
Mmmmmmh
Haya ndyo mambo sasa sio tunasubiri had tunachoka. Good work keep it up 🎉🎉
Waaah siri yahuba inawarembo hii heee ❤❤I like it
Jamani R....k kajipata pambaya lakini huyu dada anaemimba ya r..k sipendi anavyo mfanyia r..k maana guys simunakumbuka yeye die aliye mlasimisha R..k washenze huo mshenzo timu ya R....r joo hapa kwenye comment na pia like from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉
Kabisaa alisema atapata hamu m ele ya safari😂😂😂😂😂
@@MwanaMwana-f8f😅😂😂😂 swadakita
@@cheskongwavi4564 kwanza amwambie ukweli hakua anampenda alitumwa tuu na yeye kumbe kazimia mazima
@MwanaMwana-f8f 😅😅😅kweli nakishukia
@@cheskongwavi4564 aswaaaah
Congratulations 💐👏👏👍 sasa hamjachelewa kuachia mwenderezo jitahidini kua ivi
Mwalim wangu beni nakubali sana na najivunia kuona unasumbua bay Alex kontena
sema mwamba kampa maua yak malikia nimependa big up
Sio mnatufanyia mbwembwe mwanzo ivi alaf mje mkae miezi mitatu bila kutoa muvi mbk mnaboa anaeungan na mm tia like
Nampenda hy mdada mwenyewe mimba ya Benson jamani mpeni salama zangu nampenda kiukweli ❤❤
Kumbe tuko wengi tunaempenda
🎉🎉🎉ni mkweli sana hata kama alichiti
😂😂😂😂nlijua niko mwenyew,, huyu mdad ananivutia sana yani mpak najikuta nampenda bure tena vibaya mno❤😂😂😂😂😂😂
Hello princess
@AlfayaKoech hello are you
Nakukubali broooh unyama gonga like kama unakubali Rk
Ahh haaa benlee wewe benlee sijui kama utaiona pepo kwa hizo tabia 😄😄
Anajua 😂😂😂😂😂 atakuja tongoz majini
😂😂😂
@MwanaMwana-f8f 😂😂😂😂
@@Benlee2709 umeua kaka sikwakupenda madem uko broo utakuja okota màjini
@@Benlee2709 anyway uko vizuri sana Kwa part yako
Daktari anikabidhi mkewe walai❤❤nimempenda huyu binti
Benlee wewe mwisho 😂😂😂😂nkukubali sana duuuh unamwanga mavoko mbaya 🎉🎉❤❤ nimependa hio
Wakenya tujuane tukisonga ,pokeeni maua ynu team strong
Walai tena
Mmmmmh
Kkkkk😅😅😅😅😅
Kaka RK production management Yako inatukosea sana mashabiki zako mnachelewa sana!!!,,,
Wakenya mko wapi, wapi wapi wakenya mko wapi bàdo mapambano mapambano mapambano 😂😂😂 Zakayo anawapelekaje mkifuatilia hii Siri ya huba😂
Tunaipenda xana kazi yako bro na atuwezi kukosa kufatilia kazi yako❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅😅😅
Rk kimekuramba jamani,,,,mtamani vyote,,,,,,,😂,,,Benlee naye kaigia qwenye mapezi kichwa adi miguu ila unachezwa kakangu😂,,,kazi nzuri lkn❤
Umetisha sana beni kwa izo voko na mtoto mzuli
kama uko mwaume kabisa,siyo vizuri kuwa mchonganishi kama benlee ana ombeya na kuigiliya ndowa ya watu🇨🇩🇨🇩 a m congo lushi
Yes suis nande depuis durba
Arakei uko vizuri 😮😅😅😊
Noma sana watu wamejua kuwahi lkn na mm leo nipewe like zangu dk ya 3
Rk uliambiwa mudi utampata mbele ya safari ukakubali kuanza safari ona sasa mudi uliyempata mbele ya safari 😅😅😅😅
Hapo sawa unajuwa mnapo tucheleweshea tunakosa mvuto wa kutizama sinema zenu nyingine ila mkiwa Active hivi tunapenda na tuna pata moyo wakutazama sinema zenu nyingine hapo gudiiii..tumeludi upya kwenye Siri ya Huba
Huyu mpenzi wa benlii namshuku atakuwa ameolewa au anambaba,alafu vile benlii anadeka...aai..say😍
😂😂😂😂
Ndomaana benlee kaamua kutafuta ps nyingine kaona uyu anamzngua🎉
Kazi nzuri sana Rk Tunga🇹🇿
M sijawai kucomment hata mara moja bt leo imenibidi hemu nipen like jaman for my fast time
Kama unampenda Rk weka like 🎉🎉🎉
Wangapi wanataman benlee kimkute kitu kizito❤
Peke yako
@@Benlee2709😂😂😂
@@Benlee2709😂😂
Kwanza mm
Benleee.. benleee.. benlee nmekuita mara ngapi kwa kweli unankosea
Hiii pisi ya daktari ni pisi kwelikweli
Huyu mke wa dokta ataniua mm, nimevumilia nimeshindwa,, RK mpe salam zang sana, yani yupo cool na akili na urembo juu hadi raha, nimempenda kiukweli kweli😍😍😍😍😍😍😍😍,, kiujumla kazi ni nzuri, tunaelew changamoto ktk kazi ni nyingi ila tunaomba mjitahid kutochelewesha sana, maan inafikia wakt mpak tunasahau iliishia wapi
Tulio Subiri hiki Kipande Kwa Hamu Sana Hebu tujuane hapa guys. 😂😂😂🎉🎉
Tupo
nipo ndugu
@@LilOmmyCrazyOfficial nikweli lambu r..k wametusheleweshea hile ingine ya wrong house ulikua unangalia hiyo pia
Tupo @🇰🇪
@@SyombuaMuvengeiNdio Mkuu 😂❤
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo ewahi jamani nipeni lake hata tano tu😂😂❤❤
Rk umeyatimba haaaa sio kwa demu uyu😂🤣😂
Vihi huyu demu wa benrii nyinyi munaisi ana sili gani? Maan like apo kama umekubali 👊👍
Uyu benlee aghalau ametulia Sana na uyo mpenzi wake ila baada ya kugundua kuwa mpenzi wake kuna veny anamcheza akamua kuanza umalaya tena....😅...mambo ya rk sisemi kitu..... ma heartbreak Tu kila mahali...😢
We kwanza leo nipee I like watching from Saudi 💪
Benlee tupo pmj mpk sku utongoze jini😂😂😂😂😂😂
Sawa kaka😅
Ooii jamani
Ila huyo kaka ambaye anatuma Rk anaonekana mbaya kwa mpenzi wako sababu niko mbali ninge mpiga 😂
So mimi wakwanza naomba like zangu I'm from Burundi 🇧🇮
Anaeukibali urembo wa mke wa doctor,gonga like
Benilii bhana ety kisasi chako kimelipwa na dogo nakupenda bule
Asante
Jameni mpenzi wangu benlee,achana naye njoo kwangu
Hawa kazi zao n nzuri ila shada yao n kuchelewesha kazi hawana habari kua ham inatuzidia
Wee ben uko na mdawa sio bure yani ukiongea na mwana mke anajileta mara hiyohiyo maua yako kaka❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂 maneno matamuu humtoaa nyokaa pangoni😂😂 ndoo benleee sasa
Halafu sasa huyu benlee atafanyaje huyu R.k😂
Mmekua wazembe sana saiv amtoi kwa wakat adi tunasahau kuwafatilia
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎆 Mwanetu Rk Wewe na team yako lakini ongezeni dakika kwa kila episode
Kbs dakika ni chache sana
Hongereni wote kwakaz nzuli mnayo ifanya mngu awatangulia sana
Jmn naomba mtu a like comment yangu
Walai Kwanza mke wa doctor ❤❤❤
Kiukweli nampenda sana jaki sababu ametulia sana❤❤❤❤
Waooooo i like it 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Dah!! Benlee mtoto wa watu 🤔 utawakusanya kina dada mpaka lini na bado unaendelea tu jameni 🤣🤣🤣"🇰🇪🇰🇪🇰🇪 my finest but love tz movies
Duh,Benlee ipo siku utamtongoza jini maana so kwa umalaya huo
😂😂😂😂😂😂aaaah jamani
😂😂😂aki
😂😂😂wer nawe
😂😂😂😂😂 si anayo
😂😂😂
Uzuri hawa sio wakenya ... Ukipata mimba hivyo ndio unakula block 😅.
Haya ndo mambo sasa sikunyingne muwai alaf benlee uache umalaya we jamaa
Fani yakee anawezaa hatarii 😂😂😂😂
Fani yakee anawezaa hatarii 😂😂😂😂
aaaaah benlee weeeeeh sema nini my brother japo unatamaa ila unaswagaa mwanangu💪💪💪💪
Benlee anagongewa na sio mlango😂😂
Na sio mayai😅
@Benlee2709 gosh!!polee lakini Kuna new catch ameiva 😋😅
Doris mzuri jaman😊😊😊
No one Rk much ❤️❤️❤️
Ailin ww muzul❤❤❤❤❤
Kaz nzuri sana rk uwe unawaisha mapema watching from🇰🇪
Rk hongera kwa kazi nzurii wa Wanaoo mkubari AR k naomba achia leks 🎉🎉
Duhh benlee cjui unatafuta nn boy naic kwa mchezo unavo enda uyo dem ulochukua no yake ni mdg wake na dem wako 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😢😢😢😢😊@@Benlee2709
@@Benlee2709acha umalaya benlee😂😂 utakufa vibaya mbwa wewe😢😮
@@Lizahtranquil09 nitakufa na ww
mnaendelea vizuri rk
Mapema saan❤❤❤❤
Wanaoamini kwamba mpenzi wa benlee amaenza cheating tujuane kwa like apaa ❤👍👍👍👍
Ira benleee ndo kaka wawatu wenye dharau
😂😂😂😂
@Benlee2709 uhakika man
𝐵𝑒𝑛𝑙𝑒𝑒 𝑢𝑛𝑎𝑑ℎ𝑎𝑟𝑎𝑢 𝑤𝑒𝑒 𝑚𝑘𝑎𝑘𝑎 𝑗𝑎𝑚𝑛 𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑦𝑜 𝑚𝑎𝑐ℎ𝑜 𝑦𝑎𝑘𝑜 𝑠𝑎𝑠𝑎 𝑛𝑑𝑜 𝑘𝑎𝑏𝑠𝑎 𝑦𝑎𝑎𝑛
Kazi nzuri sana 💕 💕💕💕
Rk wewe ni to much umewai xana ila ukichelewa kamakawa tunakulaumu au mnasemaj gonga like hapo basi🎉😢😂
You looking so good ukiwa kwenye hair style hy benlee surely ❤
hayaaa baba kutongoza katongozaa tenaa huukuuu jamniiiiiiii
😂😂😂😂😂 mapema tu
Sema belii unamachomazr ❤❤
Rk kaisha jaman duuuh 😂😂😂😂❤
Huyu Irene anampelekesha vipi RK, amesahau yy ndo aliyemulazimisha RK akimwambia utapata mood mbele ya safari, ananikera😏, alfu Benlee na ww umepata wa kucheza na hisia zko ulivyo kua unawachezea wadada😂😂
Uyu demu wa benlee atakuwa na mume au bwana mana cmwelew ben kitakulamba
Hata mie nahs hvyo😂
Vile tu nafikiria
Nkuonea huruma Rk😂😂😂 irine Hana mchezo,,,love you guys am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii series kila mwanamke ni pisi...
😂
Mke wa doctor ndo pisi namba moja❤😊
Nan mwingine amewatch on Sunday at 8pm ,say HI, 👋👋 Together 🙏 guys bt mjue Kuna kugongeana kumbafu zangu umbwa sisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Irene tulia si ulisema mud atapatikana mbele ya safari sasa kaa kwa kutulia😂😂😂😂😂😂😂
Oya mzee wa totos Kali umu ndani nan???
Lalut kwako Ben lee unajua vibaya mnooo tunainjoy sana mzeee
Hebu tujuane hapa guys🎉🎉😂😂😂🇸🇦🇸🇦
Sasa benlee anapenda sekeche kweli😂😂😂😂Yani vitu vyeupe vyeupe waaah it's ok Ben leee
❤my best move ❤️
Jamani ndio geti linagongwa na mguu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤
Ila benriii kwamba umesahau chenchiiii🤣🤣🤣 braza nakukubali kinyama yan oa umetisha bhna ila toeni vipande ving ving
Jamn R.K wangu we Irene unamuonea ulitaka mwenyew 🤣🤣🤣
Kama unaangalia kutoka Tanga gonga like hapo jmn