Makamua feat Enika - Rudi Nyumbani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • CLASSIC SONG......

КОМЕНТАРІ • 97

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 Рік тому +39

    Napenda unavyonipa mi, chocolate kadi na pipi, lakini una Acha Roho, Muda wako na mapenzi, ndio vikubwa kwangu mi, umesahau kwamba mi ni wako, harufu yako inachange, sipati yako mapenzi, kumbatia teddy bear wangu, mi nakupenda sana , bila we ntakua kichaa, lakini madhara nimeyakubali,

    • @bakarywaziry8985
      @bakarywaziry8985 Рік тому +1

      dah hapo kwenye neno "Teddy bear" ndio najua leo (October 5, 2022) kuwa anatamka hilo neno, hebu nipe na Lyrics za Chorus mzee maana inawezekana nasikia vitu tofauti

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 Рік тому +3

      @@bakarywaziry8985 haahaahha wengi hawajui ni yule mdoli mkubwa wa dubu wadada wengi wanapenda kua nayo

    • @boeihongoa1436
      @boeihongoa1436 Рік тому

      @@bakarywaziry8985 😂😂🤣🤣

    • @NgassaJr
      @NgassaJr Рік тому +1

      Ahsante sana nilikua nasema nakupenda kila kukicha kumbe bila wewe ntakua kichaa

    • @mainamaseeti
      @mainamaseeti Рік тому

      Best part of the song

  • @alexleo4863
    @alexleo4863 Рік тому +13

    Ukatili ambao hii Nyimbo imefanyiwa sio wa kusamehewa
    Hii ni Masterpiece, Classic, Phenomenal
    Daah

  • @sifunikamwela2299
    @sifunikamwela2299 22 дні тому +1

    one of the best, dah, still listening 2024

  • @shabanilubandamo8806
    @shabanilubandamo8806 6 днів тому

    Walitupaga sana brudani yn raha sana kizai chetu watoto wa 20007 watuache kidogo

  • @mustafaabasi6368
    @mustafaabasi6368 Рік тому +6

    Enzi hizo tunawahi kwenye mabanda ya TV kuangalia trailer za nyimbo Yan we acha tu maisha yanaenda Kasi sana

  • @osca_kitomari_journalist
    @osca_kitomari_journalist 5 місяців тому +4

    ENIKA Alikuwa na sauti tamu Sana🔥

  • @olivierniyonsaba3980
    @olivierniyonsaba3980 3 місяці тому +1

    Only lord knows how i looked for this song😭😂....big Love from Rwanda #childhood_memories

  • @user-du4wc7ui1k
    @user-du4wc7ui1k 9 місяців тому +4

    The quality of song never get old I listen times it's a contemporary talent we want in our region to lift up our artist

  • @VenanceGilbert
    @VenanceGilbert 2 місяці тому

    Hapa Makamua pembeni Enika na biti kali la MJ Records, noma sana watoto wa Amapiano hawawezi elewa 🔥

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 20 днів тому +1

    Sijui wako wapi hawa😮

  • @radhiamussa7955
    @radhiamussa7955 Рік тому +3

    Brother ngoma mzuri Sana mungu akulinde Sana

  • @johnmoffat8162
    @johnmoffat8162 7 місяців тому +1

    Hiko kipande kidogo alichoimba makamua kweny hiyo ngoma ya niite basi aiseee huyu jamaa ni talent sana

  • @gwakisaeddie4856
    @gwakisaeddie4856 2 роки тому +4

    Hivi kwa nini msirudi tena,ulikuwa muziki nzuri

  • @herrysimonmakandi9337
    @herrysimonmakandi9337 Рік тому +4

    I'm here watching this masterpiece in2023. This was the real RnB. Mbona uliacha kuimba man?

  • @vedastomfilinge3583
    @vedastomfilinge3583 10 місяців тому +1

    Makamua daaaah 🔥🙌😀 thank God Kwa kipaji hiki!

  • @NabakiZanzibar
    @NabakiZanzibar Рік тому +9

    2022 and still loving this song, inabamba sana. Hizo melody, beats na ujumbe.

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 3 місяці тому

    Mimi nikienda bar kubwa tabata lazima dj aningongee hiii vinginevyo ntaondka tu.ila washanijua wanaipiga kila ijumaa tabata pale kaz moto yaaan naipenda mpaka nife ❤❤❤❤❤

  • @collyalinani2407
    @collyalinani2407 Рік тому +2

    hii sauti ipo tena katika wimbo unaitwa Changanyachanganya na ule wa Hawatuwezi, Nako2nako souldiers.

  • @gerrywin2194
    @gerrywin2194 2 роки тому +2

    Mlifanya kazi kubwa sana, hope still u got talent guys, come again

  • @baluhyajr.913
    @baluhyajr.913 2 роки тому +10

    Those days when music was memorable.

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 20 днів тому +1

    2024😢

  • @musaseule279
    @musaseule279 5 місяців тому +3

    Muziki Bana ❤

  • @mickyplanmaker9053
    @mickyplanmaker9053 8 місяців тому +2

    Nzuri Sana❤

  • @kuryaphotography8838
    @kuryaphotography8838 4 місяці тому

    Enzi hizo nina Radio yangu ya Sony MHC GN 1200D speaker 6 inapiga kambini had jiran wakawa wananishushiaaa meter umeme unakata kiukweli wee Macamua umetutenda sana huu wimbo remix hamna na mpaka saiv SONY yangu ipo sebleni ya milion moja laki 8 from malashia jaman rudia hiii ngoma Hapo Enika alikuwa ukiitikia kama malaika saut nyororo

  • @masuseleman978
    @masuseleman978 Рік тому +1

    Enika alikua na saluti mojo very unique man. I can't say

  • @rimp3452
    @rimp3452 Рік тому +8

    Still a banger in 2023💥

  • @severinndunguru6270
    @severinndunguru6270 Рік тому +1

    Whawww love you this song old is gold

  • @user-xk8dy7kq6q
    @user-xk8dy7kq6q 3 місяці тому

    Ebu mwagia makopa for this song

  • @SayiMugana
    @SayiMugana 3 місяці тому +2

    2024...

  • @lucymgina8093
    @lucymgina8093 Рік тому +1

    ZAMANI HAT BEAT NI KALIII BURUDANI TOSHAAA...MWAKA 2023 MPOOOOO

  • @zaqwishashaban
    @zaqwishashaban 4 місяці тому +1

    2024 still listening to this song

  • @MichaelStewart-cl3fo
    @MichaelStewart-cl3fo Рік тому

    Kwann wote wawili waliacha kuimbaa dàh!!

  • @user-so6uz6bj2m
    @user-so6uz6bj2m 11 місяців тому +1

    Zaman kulkuwa na mzki sio Sasa hakuna kitu cha maana

  • @felixwasig7460
    @felixwasig7460 7 місяців тому +2

    2024 still a banger nouma sana

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 Рік тому +1

    Noma sanaa

  • @fadhilinzano5840
    @fadhilinzano5840 Рік тому +3

    Hii ndio RNB ya Tanzania diamond ndio ameharibu mziki wetu kwa kukopy Nigeria mara mapiano sasa hivi asili ya mziki wetu bongo fleva imepotea tumekuwa watumwa wa kusapoti vya wezetu na kuzarau mziki wetu. Naamini kama hii midundo ya kitambo kama mtu anarudi nayo wote wanakaa maana kwa sasa hakuna mziki ila ni bigG ikiisha utamu unatema

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 10 місяців тому

      Kweli kabisa

    • @user-rm3qx8jw5b
      @user-rm3qx8jw5b 7 місяців тому

      Diamond na hiyo miwasafi inaimba upumbavu pumbavu ndio wameharibu muziki kabisa vipaji kama hivi vimepotezwa na media pia😢

    • @SululuZungu
      @SululuZungu 3 місяці тому

      True story mshamba sn yule diamond

    • @AdamAnthon-ht3ur
      @AdamAnthon-ht3ur 3 місяці тому

      Nikwel kabsa mziki ndo huu mengne makelele

  • @maryamfareed6609
    @maryamfareed6609 Рік тому +1

    Aseee hakuna na hautatokea mzir mzur kama huu...sasa hiv nyimbo inatoka leo wiki ijayo hutaman hata kuuskia

  • @Bremenlife
    @Bremenlife 4 місяці тому +1

    2024❤

  • @joshuamakota6714
    @joshuamakota6714 Рік тому +4

    Pata picha hiki kipande cha enika akapiga abbychams

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 3 місяці тому

    Huuumziki hauwez kuja kutokea tena mimi hata wangefanya tamasha ningeenda sasahiv unasauti tamuuu

  • @juliomario8649
    @juliomario8649 10 місяців тому +1

    2023 - still the best ❤

  • @user-rm3qx8jw5b
    @user-rm3qx8jw5b 7 місяців тому

    Bonge la ngoma❤

  • @richardchimba3800
    @richardchimba3800 10 місяців тому

    Kaka makamua unatisha sana

  • @user-ok2hb1es4x
    @user-ok2hb1es4x 10 місяців тому

    your songs lives bro

  • @chardtalent8191
    @chardtalent8191 2 роки тому +3

    2022 till watching

  • @eleanorreuben4986
    @eleanorreuben4986 2 роки тому +6

    On those days 💕💕..still listening June 2022

  • @ZondoMartine-gy7yi
    @ZondoMartine-gy7yi Рік тому

    ngoma kali Naiskiza 2023

  • @abdallahmhando5107
    @abdallahmhando5107 2 роки тому +1

    Umetisha!!

  • @mgenisulaiman6310
    @mgenisulaiman6310 4 місяці тому

    She pass around in my brain

  • @mremakavishe8715
    @mremakavishe8715 Рік тому +1

    🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊

  • @rashidkayugwa7109
    @rashidkayugwa7109 2 роки тому +4

    2022 June My Jam

  • @almostcomic
    @almostcomic Рік тому +1

    Makamua Joselin

  • @mwanampotevudigital9884
    @mwanampotevudigital9884 7 місяців тому

    2024 still a banger!

  • @victorsizya4470
    @victorsizya4470 2 роки тому +2

    August 2022 nipo hapa

  • @charlespatrick4859
    @charlespatrick4859 2 роки тому +1

    Real music

  • @P4Principle
    @P4Principle 2 роки тому +1

    yo back in dayz hommie

  • @KautharIssaNassor-gx8qh
    @KautharIssaNassor-gx8qh Рік тому

    August 1st 2023 still watching this song

  • @dannigoldmusic
    @dannigoldmusic 2 роки тому +1

    Great work

  • @alfayorgodfrey6089
    @alfayorgodfrey6089 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @khalidllukanda
    @khalidllukanda 11 місяців тому

    wakali

  • @mgenisulaiman6310
    @mgenisulaiman6310 4 місяці тому

    Where is she

  • @hassansimba2002
    @hassansimba2002 7 місяців тому

    Aisee huyo video vixen Selina Yuko wapi mzee?

  • @hussenlingula8518
    @hussenlingula8518 Рік тому

    🎉🎉🎉

  • @El9a
    @El9a 5 місяців тому +1

    2024 nmekuja kusikia sauti ya Enika

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 9 місяців тому

    Nice

  • @mansourmkanakuta6641
    @mansourmkanakuta6641 Рік тому +1

    Vokolist

  • @nasrujuma7306
    @nasrujuma7306 Рік тому

    Classic

  • @robertmgulunde5069
    @robertmgulunde5069 Рік тому

    2023

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 3 місяці тому

    @joshuamakota 6714 walahi nimependa ulivyotiririka cjui nije uniimbie ❤❤❤❤❤❤❤

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 3 місяці тому

    @joshuamakota ❤❤❤❤❤