Steve nimesubscribe tokea ulivyokuwa na ac ya you tube lakini hii ngoma cjui kwanini ckuipata notification,ngoma nilikuwa naitafuta sana hii #asante__sana #ngoma__ni__kali_$mnooooo #BIG__UP_2U #R.I.P NGWEA
Hii ngoma ilikuaga ringtone kwenye smart phone yangu ya kwanza kabisa kumiliki. Ilikua nikipigiwa simu nyumba nzima wanajua. Mpaka dingi likaujuaga huu wimbo, unalisikia kwenye korido linapita linauimba au linapiga mluzi
Ngoma zilikuwa mbele ya muda sana 🙆🏻♀️🙆🏻♀️🙆🏻♀️
Ngwair alikuwa ni time traveler
Hahahahaha hakika bro. Ni 2022 ila Muda wake bado upo mbele
Hakika zilikuwa za masafa marefu✊
Kabisa Yan kaka Wala hujakosea👊
@@gambalesmanoni9399kabisa ya ukisikiliza umetulia unaelewa uyuu jmaa ni jini
This DUDE was Ahead of Time... Now 2023 Still is on Fire 🔥🔥🔥🔥🔥
Zaman! Ila zamani kulikua na Ngoma za moto wallah! Sichoki kusikiiza❤❤❤❤❤❤❤
Steve R & B King of R & B misic Bongo🙌🏾🔥
Bado ipo on fire 🔥🔥🔥🔥 kama unaikubali gonga like year 2022 ♥️♥️♥️♥️ TZ Moja
Nisipo kuona I fill sik like maralia daah wadau walikuwa wanaandika sana melody Kali rip ngwea ulikuwa inspired kwa vijana wengi🔥🔥🔥🔥☺️
When music was music 😢
R&b bongo imekwenda na maji kabisa rudisheni r&b tuinjoi good music
Kwa rnb kweli namkubari Steve
Steve A boy from Bukoba Haya Land wana wamepotea kwenye game nahis Management ila Rnb ilkua kali baada ya Ngwair kutangulia ilipotea
Jamaa hajapotea Yuko Germany anafanya kazi zake za muzik
Kuna ile she drive me crazy ya suma Lee, dah noma
Fire sana hili goma, best ever R&B song my all time favourite song.. 🔥🔥🔥
Selemani ❤
Hatariiii huuu ndo mzk wa ma genius sio ngoma za vibwengo
Mangwair alikuwa mnyama sana.....
Unaweza Sema hili dude limetoka jana
Wazeya mnanikumbusha sana mbali RIP Cow obama. Stive achia dude Tz imemiss RnB
Ngoma kali sana ilitakiwa ndo itoke kipindi hiki aisee. Wakati mwingine ngoma nzuri zinautangulia muda
Rest In peace Mangwair...
🇰🇪🇰🇪 💯 🙏
2024 tunaishi nayo RIP mtumzima mangwair
Stil be my favourite song in mind for more than 10yrs stil rockin it
Ngoma plus video imejaa unyama sana 😂🥰
Yan nilikua simuerew mtu kipind hiko aisee ila watu wanatarent sana r I p ngwear
2023 Continue Resting in peace 🕊️ 🕊️ Ngwea
2023 still sound better than current music
Hii Ngoma imenizibua masikio .. nilikua nalala na headphones masikioni daah 😢
Hatari ngoma Kali Sana yaani kinyamwezi
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Balaaa sana enzi zetu
Rip. Cowbama🙏🏽
Good music. R.I.P to Ngwair. 14/05/2022
How comes people don't come here to listen😢
Steve nimesubscribe tokea ulivyokuwa na ac ya you tube lakini hii ngoma cjui kwanini ckuipata notification,ngoma nilikuwa naitafuta sana hii #asante__sana
#ngoma__ni__kali_$mnooooo
#BIG__UP_2U
#R.I.P NGWEA
2024 and it’s 🔥🔥🔥
January 2023 like this song its so hot...kutoka Geita
Hii ngoma ilikuaga ringtone kwenye smart phone yangu ya kwanza kabisa kumiliki.
Ilikua nikipigiwa simu nyumba nzima wanajua.
Mpaka dingi likaujuaga huu wimbo, unalisikia kwenye korido linapita linauimba au linapiga mluzi
😂😂😂😂😂
😂😂
😁😁😁😁
Sikuhizi hakunawaimbaji kunawapiga kelele
Hii ngoma ni zaidi ya ngoma za leo. Dogo wa leo wajifunze kwako steve R.I.P Albert mangwea.
Kbs
2024 we're here ❤❤
nomaaa sanaa
Ngwair went HAM on this one!
RIP man.
🙏
Stivu pole Sana kaka ngwear amekutoka pole sna nasikiliza hii ngoma mpaka Mda huu tr 14/10/2022 Niko pamoja na wewe
Wats Ham
О.
Л
Ngwair is the TZ B.I.G 🙏🏽
Aisee
Sei noma sana huu mdundo
Yuko wapi huyo sei siku hizi
Mangwea ft Steve & sqeez
Much love from Rwanda
🇹🇿❤️
2024 bado inakubalika
Mangwair 😭😭😭
Ngwear baba kizazi sana mkubwa r.l.p man
Ngwea 🥰🥰😭
Nipo hapa 7/1/2024
R I P ngwea huuu muziki wa kiume sio akina umeroa ameroa
😅😅😅😅😅
My all time favorite song🎶
Steve huu ni muda wa macollabo nakubali sana kazi zako Rnb mabeganii
Jamaa yuko wap mzik mxuri san
Missing u Ngwair.....rest easy
Wajina wangu nakuomba ufanye ngoma back 2 back ziwe nyingi mbona bado uko vzr sana kimziki zaidi ya wao nakukubali sana Wajina wangu🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah huu wimbo noma
2024 jamani ngwair😭😭😭
Gold is gold this song lives #RIP ngwair you made a hit in this one
2024 we here🥳
🔥🔥
❤❤
Ngwair was one off all time Hata kama hayupo Tena jamaa anaweza
Still a jam 2024
Dah! Bonge ya track. RIP Albert
Mh r. I. P mangwea
2023 still here with this hit 🔥🔥
Rest in peace cow weezy my all time best singer we miss you men dah. This song always hits differently. Beautiful song
Steve mnyama sana
2024 we're here
Dah mimi naona kama bado yupo ameacha nyimbo zinaishi hadi leo😥
ALIKIBA MUDA JANNY ENJOYING FROM UGANDA KAMPALA BIG UP MY NUMBER ONE IN AFRICA.💥💥💥💥💥💥💃💃💃💃💃💃💃
Its 2023 still vibing it ❤
Bonge la nyimbo tutaishi nayo milelee r.i.p.mangwair
Mkali wa rnb 👊
ua-cam.com/video/R2Ge-qzZzLs/v-deo.html
fire
Nice song 2011 🙏🙏🇹🇿🇹🇿💯💯
Ngoma kama imetoka jana hii.
kuna kipindi mziki ulitangulia mbele kuliko mda,
Uko sahihi kabisa
Amaizng song %
2024
Good music i miss this old bongo flerevar 😪😪😪 23.5.2023
#2024
Rip mangwea,,,,RIP R&B
R.ip Ngwair dhaaa ur remember forever😣😣😣10/07/2022
R. I. P ngwair
Hii Ngoma naikubali miaka yote
My favorite artist
Kwenye hii video namuona dj ally B au sio yeye 🤣🤣
When music was music..
Legendary
Daah
Rest in paradise Cow boy
R. I. P ngwea
ua-cam.com/video/R2Ge-qzZzLs/v-deo.html
Kak msaada wako kushare
amazing
This song still drives me crazy
RIP ngwear aisee😭😭😭
r i p ngwear,
2022❤
Cowbama ngwair..RIP
Albert 😭😭😭😭😭
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌