KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SGR MAKUTUPORA - TABORA, KIWANDA CHA MATARUMA ITIGI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 4

  • @Adrenaline_chaser
    @Adrenaline_chaser 3 місяці тому +1

    TRC, tafadhali zingatia kuongeza manukuu kwenye video zako zote ili hata watu wenye matatizo ya kusikia waweze kupata taarifa hizi muhimu zinazohusiana na maendeleo ya taifa letu. Asante.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 місяців тому

    Hiyo formula inatumika kwenye ujenzi wote na inapendezesha inatakiwa wananchi waielewe ni nzuri Sana japo unatumia machine

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 6 місяців тому

    Ziara nyingi kundi kubwa la watu waangaliaji ni rasilimali muda Na rasilimali pesa inapotea na muda ni uzalishaji , hii concept ya kuwa time conscious ni dhana geni sana kwenye jamii ya watanzania na wanaendelea kufanya mambo yao kwa kimazoea na kuchelewesha maendeleo yao.