Iliishia Dino nae alikuwa chizi family ya mzee simba ilienda kijijini kuona kaburi la bi sharifa sheikh masudi kaanguka kapararaiz na mke wa Dino pia kapararaiz huo ndio wake
Lkn kwenye wake wenz mume tukera kweli timejitahid kuweka bando zetu muda wot tuko pamoja ,lkn imefika ya mwisho haitoki kisa 2000. Ina maan itafika ahadi tusiwafuatilie ten
MashaAllah ni nzuri kwa kweli...ila jitahidini kuongeza muda kidogo....mchumba.
😂😂😂😂😂eti afisini😅😅😅hatari
Hiiii imeenda kaka umetisha sana 🎉🎉🎉
Kazi nzr muendelez
New one ❤❤❤❤ wake weza imeenda kwao 😅😅😅
Good job dihno much love kutoka kenya ,tupe vitu baada ya siku mbili usitukalishe sana
Muendelezo naona nizuri MashaAllah❤❤
Mchumbaa motoooooooo dinho uko vizur
Kazi kazi 🎉 Uko vzr Dinho 😍 Love from 🇸🇦
Bora 2 iendele mana ni motoooo😂😂
Mbona sioni mwendelezo jaaaaaaaaaaan
Umorogoro ndio ugani tena😂😂😂 ati upandaji milima,daah! 🙌 🙌
Dinyo umeupiga mwingi chukua maua yako 💐💐💐💐💐💐💐🌹 🌹🌹🌹🌹nasubiri muendelezo kwa hamu ❤
Haaa broo Acha kusema wa morogoro wasamba apo ndo una alibi sema namkubali sana dinyo yani duu llove you dinyo
Nimeipenda next mijitahid
Kwa mchumba niko saw muenderezo🎉🎉🎉🎉
mtuletee muendelezo mapema jaman🎉
Nzur nimeipenda haswaa❤️
Kaz,nzuri❤❤❤❤❤
Nawapenda sanaaa❤❤❤❤
kazi nzuru sana ila mue mnaito kwa wakati msiicheleweshe
Timetable kwenye ukewenza sasa tunaenda kwenye mchumba 😊😊raha sana
Mwendelenzo basi nzuri sana
Tumuombe sn mungu anusuru kizazi chetu yaraab simama na waja wako
Kazi nzuri mwendelezo tu
Nzuri sana ila mtuletee recho wetu isije kuwa alikufa vya ukweli😂😂😂 dah mlete lecho wetu
❤
😂😂kwa kweli watuletee bi fatma wetu
Mbona haiendelei jamani
Wa mariyamu ulewa
Unamujuwa😂
Safi sanaaaaaaaaa❤❤❤❤
Congratulations brother Dinho ❤
Kazi nzuri ❤❤
Ndo naingiya kwa Kaka dinho 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Mashallah Allah awaongezee ujuzi ila Dah mmechemka kidgo
Ety baba ndevu mtoto ndevu kwan mmekuwa kambare😂😂e
Kaz nzuri ❤❤❤❤❤
Dihnoo umeaza vizur
Jaman mchumba mbn ni tamuuu sana 😂😂😂😂🎉🎉
Kazi nzuri sana
Kazi kazi ❤❤❤
Mwajua kuigiza bt mliniboo kwa fila ya mke wenza mlimaliza ndivo sivo
Mbona wametoa final na imeisha vizuri tu
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Kwan reachel alikufa kwa ukweli sijwai mwona ata😅😅😅😅😅😅😅😅
Nimemuona kwa doko kwenye move ya kikongwe😂😂😂
@@saumbliz8983 oooh
Kazi nzuri sana ❤❤
Akuna part nyengne n hii moja ti
Kazuli masha allah❤❤❤❤
Nzuri sana kabisa 🎉🎉🎉
Nziriiiiiii kama maryam
Jamani tuna sapoteni master wetu ukitowa hela naukiwachangia nikusmama kwa master nawao wanawapa mayatima mkono kwa mkono hadi peponi
Leta muhenderezo niziri hiyoo movi
Good job mashaAllah🎉❤
Mnaleta vitu vizuri sana ila ikifika mwisho ela amna
Kabla sijamaliza kuangalia nauliza naomy yumo😊
Wakwanza mim
Mchumba tena? Na my love iko ap
Wowowo♥️♥️♥️
Pamoja mpaka mwisho wa mchumba🇰🇪
Nampenda uyo issa
Kazi nzuri dinho
Big bro Dinho🎉🎉🎉
Hii hatari yaan kali ❤❤❤❤
Ni nzuli sana kbs
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
Wooi mariam anakaa mgeni kwa hiyo part hadi anaogopa
Nawaona vile jamani 😂
Mwatuboesha tusibir mpak lini iyo mchumba 3
Next iko wapi jmn😂😂😂
Mwendelezo jamn
Kaz nzur
From Burund ❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂dinyo kashanogewa umbwa yeye😂😂
Safi sana mpendwa musichelewe Tafadhali maan patamu apo 😂❤❤❤❤❤
Na muimalize sio inafika mwisho mnarulipisha zengine toeni sadaka bhn😢
Hapana kulipisha walishaa acaaa tukiona kwa bure
Kwa kwel , tumelipa alf badae wakatoa yan loooo😢
Kazi nzuri sana hongera zenu 🤣
Duuh EP 2
😢😢😢😢😢 aasaaa
Dinho owa weweeee
Hiii iko saw inakubalika
❤❤❤❤❤tupe vitu dinyo
Mbona kari❤
Mwendelezo please
Mtuache jaman wa morogoro na milima yetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Wow🎉🎉 yupo pamoja
Dinho congratulations san naon Yani vitu nisaw
Hua kla ntu kwenye comments eti wa kwanza kwan hua mwalipwa ana, aii mwaudhi bana
Next part jamani 😢🎉❤
Msichelewe🇮🇶
Wachumba washaonana bila wazazi kujua😂😂
Kazi safi ❤❤❤❤
Mzuri sana hii
C cool 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mna roho mbaya San kwahy. Wake wenza final mmetukauxhia
Mmmh mbona mm nimeiyangaria jmn
Daaah we huko dunia yngapi? Wenzio nakuisahau tushaisahau imeishaje maana utamu ulinoga mpaka ukaishia juu kwa juu😅😅
Iliishia Dino nae alikuwa chizi family ya mzee simba ilienda kijijini kuona kaburi la bi sharifa sheikh masudi kaanguka kapararaiz na mke wa Dino pia kapararaiz huo ndio wake
Kazi nzuri sana next
Kaz nzur sn Ila wake wenza mbon haijnifkia uku nilko?🇰🇪🇸🇦
Mtumalizi movie iyo mambo ya kulipia eifu mbili akuna apa mna tuchosha sie
Lkn kwenye wake wenz mume tukera kweli timejitahid kuweka bando zetu muda wot tuko pamoja ,lkn imefika ya mwisho haitoki kisa 2000. Ina maan itafika ahadi tusiwafuatilie ten
Waliileta lkn
Aaaah ulikuwag wap tena mbon movie wametowagz
😂😂😂😂😂Hawa malaya wanichekesha
Mko vizuli sana nawakubali
Nice 💕🇹🇿
Mchezo safi sa ❤❤❤na
😢ndo atupewii mke mwenza 😢
Mariyamu nimdangaj wanishakutana 😁🇧🇮