Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MCHUMBA 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 кві 2024
  • #dinho#mariam#comedyplus#bhailam

КОМЕНТАРІ • 293

  • @Dinhoactor
    @Dinhoactor  3 місяці тому +11

    MNIVUMILIE FAMILIA YANGU NIMESHINDA KUPOST LEO EP 3 KUTOKANA NA SABABU ZISIZO NA UWEZO WA KIBINAADAMU MVUA IMEFANYA KAZI ISIISHE KWA WAKATI KESHO MUNGU AKIPENDA MAPEMA 🙏🙏🙏🙇‍♂️

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 місяці тому

    Mko vzr yaani filamu nzuri sna❤❤❤

  • @ramadhaniabdulabdul
    @ramadhaniabdulabdul 2 місяці тому +1

    marafiki pia wanatoa ushauri mbaya kwa dinho

  • @user-yl4bj7yi2v
    @user-yl4bj7yi2v 4 місяці тому +3

    Dinhoooo kazi unayooooo mkeeee kigego huyoooo😂😂😂😂😂

  • @user-uv8uc2dv5u
    @user-uv8uc2dv5u 3 місяці тому +2

    Film nzuri sana ❤❤ mungu awasaidie mufike mbali❤ mtupe kipande kingin basi🥰🥰💯💯💯

  • @MaA-kn9ty
    @MaA-kn9ty 4 місяці тому +13

    Mm leo nimewahi wa kwanza naomba like zangu hata 10 😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera sana bwana dhinyo kazi nzuri sana

    • @MohammedKhamis-bx6td
      @MohammedKhamis-bx6td 3 місяці тому

      Jamn mnatoa Lin sehem yak y 3 mda hakun mnatutoa kwwny mudi et

  • @hassankalu540
    @hassankalu540 4 місяці тому +12

    Mwanangu dinho apo umecheza mwamba,one love from mombasa

  • @VanillaVictor
    @VanillaVictor 4 місяці тому +4

    Me nmeipenda mno co mfanye mtoe nyingine jaman

  • @user-st2ig6ds3f
    @user-st2ig6ds3f 4 місяці тому +24

    Hapo sijapenda hakuna katika uislam unaoruhusu eti uchumba huo wakuishi nyumba 1 kama mke na mume subhanallah hapo mnapotosha jamii

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 4 місяці тому

      Nakwambia hadi huruma

    • @MwanajumaDot0-ej6jy
      @MwanajumaDot0-ej6jy 3 місяці тому

      Kuish pamoja kwa dinyo n mariam nikujuan tu wazungu wanaita come we stay

  • @user-nf6wj1xn8o
    @user-nf6wj1xn8o 3 місяці тому +2

    Thanks for the good information you giving to people about marriage may Allah gives you reward and Allah protect you all inshallah

  • @MariamuRajabu-el9ev
    @MariamuRajabu-el9ev 3 місяці тому +1

    waoooh imeishia patamu jamn tuwaishien ayo mambo mazur❤

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 4 місяці тому +2

    Hiii ndo movie yako ya kwanza kuielewaa hongera sanaa🥰🥰

  • @CuteMaryam818
    @CuteMaryam818 4 місяці тому +2

    Mimi mpya hapa movie nzuri❤❤love from Zanzibar

  • @kelvinfficial
    @kelvinfficial 4 місяці тому +23

    Team Dinho sisi awa munipe ata like 20 tu

  • @ginafaruque5335
    @ginafaruque5335 4 місяці тому +2

    Mapenzi Ayo dinho nawapenda sana❤❤❤ EP 3

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 4 місяці тому +3

    😂😂😂😂 mwapendana

  • @madymag6926
    @madymag6926 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana Dinho❤❤❤

  • @mrsfahad5693
    @mrsfahad5693 3 місяці тому +1

    Bdo tu next episode jamani

  • @chidimsafi1279
    @chidimsafi1279 4 місяці тому +3

    Kazi nzul sanaa dinho

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 4 місяці тому +1

    Wew tenaaa wampenda banah maryam huyo dinyo

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 4 місяці тому +2

    Uwiiii 😂😂😂Huyo ndo mchumba 😂😂😂😂

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 4 місяці тому +43

    Film nzuri ila maudhui mabovu... wazazi wenye akili timamu hawawezi kusema wakae chumba kimoja kama mke na mume wakati hawajaoana... Haya ni maigizo tu ndiyo. Lakini sanaa ni kioo cha jamii. Ujumbe ni mbovu 100% ktk jamii. Wapumbavu wamejaa kwenye comment wanasherehekea tu kuonesha hayo ndiyo kaisha yao. Ndinyo jitahidi kutengeneza maudhui mazuri. Wazazi wangwkuwa walevi hapo sawa. Lakini kwa mavazi hayo waongee upumbavu huo!?....

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 4 місяці тому +2

      Ndio uislamu wa kibongo bongo huo ndugu hatari tupu

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 місяці тому

      @@alhimnamussasaid3619 sio uisilamu, hakuna mzazi mwenye akili timamu hata kama sio Muisilamu akaruhusu mwanae akaishi na mwanaume mwezi mmoja eti wachunguzane kisa wamekataa kuoana... Aidia hiyo ni kuipotosha jamii. Wangetumia aidia nyingine itakayofunza jamii.

    • @HamadyMahindukila-dx8ey
      @HamadyMahindukila-dx8ey 4 місяці тому +2

      Sawa kabisa ,ushenxi mtupu..mtunxi umefeli saanaaa

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 місяці тому +2

      @@HamadyMahindukila-dx8ey inatakiwa wawe makini katika kuandaa film. Jambo hilo wangefanya wao kama wao hapo sawa. Lakini wazazi tena wanne wanashauliana wazo la namna hiyo bila kuuliza sababu ni nini? Eti wakae chumba kimoja kama mume na mke...

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 4 місяці тому

      ​@@alhimnamussasaid3619hakuna uislaam WA bara hiyo ni movie

  • @everdhekay4924
    @everdhekay4924 4 місяці тому +2

    Bila shka Leo mmefanya Jambo 🔥🔥🔥, from 🇰🇪🇰🇪

  • @DeborahFuraha-ho4yk
    @DeborahFuraha-ho4yk 3 місяці тому

    Neno hii mama iliwajuwanne nawanajuwa sasa sema wasameheane kuatabia zawo chafu kisha wajenge bunyumba waaache buying a

  • @user-nk6vz2qs2h
    @user-nk6vz2qs2h 3 місяці тому

    Vip mbn mpka Leo hamtoi kipande kingne

  • @mrsfahad5693
    @mrsfahad5693 3 місяці тому +1

    In love with this love story film🥹🎉🎉

  • @hghh6056
    @hghh6056 4 місяці тому +1

    Kiukweli movie nzuri saana ila wazazi kama Hawa wanaleta ishu mbaya hakuna mke kutafutiwa mume na hakuna mume kutafutiwa mke nyakati za Sasa but nazikubali munatufunza kitu sisi kma wazazi na sisi Kama waschana na wavulana inaingia akilini ou vip mashabiki wenzangu 🤝❤️❤️❤️😂❤️❤️🥰🇰🇪🇰🇪

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 3 місяці тому

    Mnatucheleweshea jmn uo muendelezo haaaaa

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 3 місяці тому

    Movie mzuri sana

  • @user-by6bg2fq6b
    @user-by6bg2fq6b 4 місяці тому +1

    good job jaman next pleaz msi2chelewesheee ivyo

  • @HamisiMpondi-br8wz
    @HamisiMpondi-br8wz 3 місяці тому

    Mbona munacherewa sana muenderezo jaman

  • @user-zg5rr8qy7b
    @user-zg5rr8qy7b 3 місяці тому

    Sem moja wamekosea kukaa chmba kimoja

  • @princesstvonline6488
    @princesstvonline6488 3 місяці тому

    Dinho acha uongo weeh kupika hujui kweli?😂😂😂

  • @komlaakomlaa7465
    @komlaakomlaa7465 4 місяці тому +1

    Naona Mariam ameanza kumpenda Dinho🤣🤣🤣🤣

  • @HusnaShaban
    @HusnaShaban 4 місяці тому +1

    Wallah bhna hii ni bomba❤

  • @nasraemmanuel
    @nasraemmanuel 3 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana bro

  • @Veronica-xe3ss
    @Veronica-xe3ss 3 місяці тому

    Kazin endelee

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 4 місяці тому +1

    From Pakistan kazi nzuri sana

  • @FavourTemu-cm6hp
    @FavourTemu-cm6hp 4 місяці тому

    D, hongera sana kazi nzuri basi tuongezee japo muda kidogo alafu usicheleweshe sana bwana maana imenivutia sana ❤

  • @user-cp6xm8nz1e
    @user-cp6xm8nz1e 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri maua yenu 💐💐💐

  • @Fatma-to6rq
    @Fatma-to6rq 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂dinyo na uyoo mke mwanipunga

  • @user-xm5lr1zg4r
    @user-xm5lr1zg4r 3 місяці тому

    mnaruhusu zina hazarani 😅😅😅😅😅😅

  • @DdfDe-fk3xy
    @DdfDe-fk3xy 4 місяці тому

    Ndinyo umenichekesha mumenikumbusha utotoni kuwekeleana kindle.bawapenda mbure❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 3 місяці тому

    Hongereni sana nawapenda sanaaaaaaa ❤❤❤❤

  • @AsiaSaid-tq4yw
    @AsiaSaid-tq4yw 3 місяці тому +1

    Ht mimi sijapenda hakuna Wislamu.kuhalalish zinaaa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 місяці тому

    Nakwambiya mutanyooshana mmekutana😂😂😂

  • @user-ko7pw4ct7e
    @user-ko7pw4ct7e 4 місяці тому

    Good work,congratulations to you dinho💪💪💪💪

  • @Godfrey_lusekelo
    @Godfrey_lusekelo 4 місяці тому +4

    Hii imeenda kaka

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 4 місяці тому

    Wow so mwaaaa I like it kitu kiko poa hichi

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 4 місяці тому

    Mwaomba like hamuangalii move ,,,angalieni move mujue mwajifunza nini

  • @SowetoFamily
    @SowetoFamily 4 місяці тому +2

    Leoo wakwanz🎉😂

  • @user-je7no7lq7d
    @user-je7no7lq7d 4 місяці тому +2

    new super star in town

  • @everdhekay4924
    @everdhekay4924 4 місяці тому +1

    Sasa uchumba 😅umeaza 🎉🎉🎉

  • @user-tc5le7sv7t
    @user-tc5le7sv7t 3 місяці тому

    Sijapenda wazazi unatoa ruhusa watoto wafanye zinaaa kwa mtihani 😢😢sasa Duuuuh dunia inamambo 😮😮

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 3 місяці тому

    Wazazi wa hovyo

  • @user-zz9uy8xo8i
    @user-zz9uy8xo8i 4 місяці тому +1

    Muko vizuri sana lakin siyo wazo nzuri kukaa wote kabula ya ndoa

  • @Habiba-tq8jm
    @Habiba-tq8jm 4 місяці тому +5

    Mmekosa wazo

  • @jacquelinebongo9238
    @jacquelinebongo9238 4 місяці тому

    waooh nimefurah kumuona Mariam tena jamn mnaendana

  • @OrestaSamson-ne5yb
    @OrestaSamson-ne5yb 3 місяці тому

    Usiwe unachelewesha Sana dihno unaweza kupoteza mashabiki ivo

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 3 місяці тому +3

    Hii film inaenda kua Kali sana bg up

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 4 місяці тому +1

    Ndinyo umependwa Mariam anajifanya tu❤❤❤❤

  • @user-up9gz8ij1s
    @user-up9gz8ij1s 3 місяці тому

    Waongo nyie muwape chumba wakae mwezi mmoja watu ambao awajaowana

  • @alish2182
    @alish2182 4 місяці тому +1

    Nzuli jamani😂😂😂😂😂😂

  • @user-fl2fy6xr9p
    @user-fl2fy6xr9p 4 місяці тому

    Hi ndoa ita dumi 😂😂😂kahaba na play boys 😂😂😂 hua zina dumu hizi ndoa😂😂😂😂

  • @AstridaJumanne
    @AstridaJumanne 3 місяці тому

    Wazaz wanazngua

  • @agnesmuangi911
    @agnesmuangi911 4 місяці тому +2

    Noma 😂😂😂❤

  • @user-rq5hm1jw4q
    @user-rq5hm1jw4q 4 місяці тому +1

    Mke mwema anataka binti akae namwanaume apo ajatufundisha bary mmepotosha wa2 😂😂😂😂

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 4 місяці тому

      Heri nyumba moja,chumba kimoja😮

  • @candiesalm8995
    @candiesalm8995 3 місяці тому +1

    Kam nia yako kuolewa na waarabu 😂😂mwarabu mwenyewe sas😂😂

  • @mariamsungura1664
    @mariamsungura1664 3 місяці тому

    Mwendelezo pliizi

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 3 місяці тому

    Nyinyi mapenzi nikama kikohozi😊😊😊 acheni kuwasumbua nakuwaboa wazazi wenu😅😅😅❤

  • @jeandezanzibar
    @jeandezanzibar 3 місяці тому +1

    Big up dinyo 🎉🎉🎉🎉

  • @zenasalumu8570
    @zenasalumu8570 4 місяці тому +1

    jamani dk chache jamaniiiii mbona hvyooooo

  • @bintathman3926
    @bintathman3926 4 місяці тому

    Jamani mnaweza kuact iko sawa

  • @zuanshimchina2278
    @zuanshimchina2278 3 місяці тому +1

    Wanasema dinyo kakosea ss yeye kakosea ikiwa ni siries je yule ambaye kamzihaki mungu je hao wanawake wanaovaa uchi acheni mambo yenu kila kukicha Mashekh wanasema maadili je lini ulisika msaani mkubwa kaacha mziki na kufata kila mmoja na imani ukitaaka maudhi kuna kaseti za enzi hizo zipo zina maudhui dinyo gonga ngoma

    • @Dinhoactor
      @Dinhoactor  3 місяці тому

      🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @KingaluSalumu-yv2vu
    @KingaluSalumu-yv2vu 4 місяці тому +1

    Iyi lovie kubwa

  • @user-qx3ce4rz2x
    @user-qx3ce4rz2x 3 місяці тому

    Ila Mariam mrembo sana bila ushungi

  • @SandrahVictor-yz9ph
    @SandrahVictor-yz9ph 3 місяці тому

    Filam. Nzurii sana please tunaomba ep 3

  • @user-rt3zu3iw3n
    @user-rt3zu3iw3n 4 місяці тому +1

    K😂😂😂😂😂 maliam shart gan iloo bna acha wivuu

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q 3 місяці тому

    😂😂😂😂😮😮 mulisikia wapi watu hawaja oana alafu eti wakae kwenye chumba kimoja

  • @user-rt3zu3iw3n
    @user-rt3zu3iw3n 4 місяці тому +1

    😅😅😅😅 pole deinyoo umepatikan

  • @user-pf8yt8mh4r
    @user-pf8yt8mh4r 4 місяці тому

    Congract daa Maryam

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 4 місяці тому +1

    Noma😂😂😂❤❤

  • @SummaiyaKassim-zv5nt
    @SummaiyaKassim-zv5nt 4 місяці тому +2

    Dinho waambie wazazi wako kua huyo msichana anajiuza ushawai mnunua

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 4 місяці тому

      Alikua anafosiwa na marafiki lakini sio kutaka kwake angalia pale alipokua afatwa na dinyo kule pori, na alivyo enda akasema ataki tena

    • @user-cp6xm8nz1e
      @user-cp6xm8nz1e 4 місяці тому

      Pia asisahau kusema yeye ndiye mununuzi

    • @SummaiyaKassim-zv5nt
      @SummaiyaKassim-zv5nt 4 місяці тому

      Yeah nliona ndio aseme ukweli venye ilkua

  • @KingaluSalumu-yv2vu
    @KingaluSalumu-yv2vu 4 місяці тому +1

    iyi movie naona itakuwa nzuli

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 4 місяці тому

    Aya Mambo ya Kukaa pamoja kwanza , Wanacheza sana wa Nigeria 🇳🇬

  • @user-zj3hm8wm5f
    @user-zj3hm8wm5f 4 місяці тому

    Yaani nimeipenda saaana ❤❤❤❤

  • @user-gg5ow9bg6y
    @user-gg5ow9bg6y 4 місяці тому +1

    Mariamu wivuuuu utakubali tu

  • @mwagombebakari
    @mwagombebakari 3 місяці тому

    Mtoto wako utamuachaje na mume mwezi mmoja

  • @JascoIbrahimo
    @JascoIbrahimo 4 місяці тому +1

    Kwan mukiwa Muna toa Kila siku Kuna k2 itaenda mbayaa

  • @khadhalmpemba1398
    @khadhalmpemba1398 3 місяці тому

    We dinho wewe jamani kesho Si tayari imefika weka bahn 3 tunaomba

  • @HapenedJuma
    @HapenedJuma 3 місяці тому

    Nakumbenda

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂❤❤❤ nafulahia hivi ndiyo wewe utaona

  • @safiasafiya7904
    @safiasafiya7904 4 місяці тому

    Wallah ni katamu 😊😊😊 aiseee❤❤❤

  • @user-vq6de7rg8y
    @user-vq6de7rg8y 4 місяці тому

    Kazi nzuri ila muwe mnawahisha kutoa jamani

  • @DorcasAlii-eu9vu
    @DorcasAlii-eu9vu 4 місяці тому +1

    Kazi poa ilha mnatake long kutoa jamani mzigatie ilo

    • @DdfDe-fk3xy
      @DdfDe-fk3xy 3 місяці тому

      Ndo hapo sasa wanachele sisi tumenogewa

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 4 місяці тому +1

    ❤❤❤Dinyo hongera sana kwa kazi safi

  • @user-gg5ow9bg6y
    @user-gg5ow9bg6y 4 місяці тому +1

    😂😂😂patamu hapo

  • @user-xh1ff7zf6p
    @user-xh1ff7zf6p 3 місяці тому

    Nikweli kk

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 3 місяці тому

    Kenya Watching

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 3 місяці тому

    Amazing ❤❤❤