MWABUKUSI AFUNGUKA BAADA YA KUSHINDA URAIS TLS, ATAJA SABABU ZA USHINDI WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +6

    Hongera sana Mwabukusi kwa ushindi.Ulipitia Magumu mengi kama wale viongozi wa Senegal Rais na waziri wake mkuu waliofungwa gerezani na baada ya kutoka wakaibuka na ushindi.

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 2 місяці тому +1

    Mungu akisema ndiyo Nani avatar. Hongera sana Rais wetu msomi wetu

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 2 місяці тому +1

    Hongeraaa sana mh mwabukusi

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 2 місяці тому

    Hongera mwambukusi

  • @widimaelimushi
    @widimaelimushi 2 місяці тому

    Ongera Sana mwabukusi utatusaidiya Sana

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому +1

    Mwabukusi Mungu akutie nguvu sana

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 2 місяці тому +1

    Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

  • @GABRIELGAVU-vf7cn
    @GABRIELGAVU-vf7cn 2 місяці тому +6

    Tanzania chombo pekee kilichobaki na uchaguzi huru ni TLS. Lakini kazi zake huingiliwa na selikari. Ndiyo maana watu wengi hawakijui chombo hiki. Kimekuwa sehemu ya chama tawala. Ndiyo maana kimekuja kujulikana kidogo kwa watu wakati wa Tundu Lisu, wakati wa Fatma Karume na sasa Mwabukusi naamini kitasikika. Chombo hiki kinatakiwa kusimamia haki za nchi na raia wake. Miaka yote kimefeli kusimamia uchaguzi. Jirani Kina sauti. Malawi upinzani walikata rufaa na ikashinda uchaguzi ukarudiwa na upinzani ukashinda Baada ya uchaguzi hakimu aliyesimamia shitaka alipewa cheo ndani ya selikari akakikataa kulinda taaluma ya wanaxheria. Yapo mengi. MWABUKUSI. ongoza TLS kwa kusimamia haki. Hongera sana.

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 2 місяці тому +1

    Mungu ni mmoja tu

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 місяці тому

    GOD has heard the prayers of Tanzanians by appointing Boniface Mwabukusi God lead you and give you straight to lead TLS and having countability for leaders, Big up Boniface Mwabu Guy, Hongera sana najua issue ya Bandari imembeba sana huyu jamaa na nimejua kumbe watanzania siyo wajinga, wako makini sana maana wengi waliwaambia watoto wao wanasheria wampe kura mwabukuzi-hongera sana Bro.Mwabu Guy.

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 2 місяці тому +2

    Hakika mwabukusi ww ni mwamba kweli kweli hongera xn raisi

  • @samrecordvwawa9133
    @samrecordvwawa9133 2 місяці тому +3

    Mtu wa maana sana huyu

  • @EmanuelElphas
    @EmanuelElphas 2 місяці тому +2

    Nilikua nina imani utashinda

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 місяці тому +1

    Mwambukusi alistahili sana kua rais wa TLS

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤oyooooooo

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 2 місяці тому +2

    Bonifasi kajunjumele Mwabukusi

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 місяці тому +1

    Utende haki zote kama ulivyojinadi

  • @JamesNzunda-x1g
    @JamesNzunda-x1g 2 місяці тому +2

    Tumeshnda

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 2 місяці тому

    Daaa yan tuache utan leo nimefurahi sana uyu mwamba ni fundi ile mbaya namkubali kinomaaaaaa woyoooooooooooooo

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 2 місяці тому

    Ni kweli maombi ya watanzania, vyama vvote

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 2 місяці тому +1

    Ww ni mwandshi mpya wa #milardAYO, cndy

  • @gabrielsanga5313
    @gabrielsanga5313 2 місяці тому +2

    Serikali wamekwisha 😂😂

    • @StevenSanga-n3n
      @StevenSanga-n3n 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂 uyu mwamba ni fundiii mi mwenyew nimependa

  • @catherinemhule6519
    @catherinemhule6519 2 місяці тому +1

    Boniface anyisile kajunjumele mwambukusi hoyeeeeee

    • @MWAMPAMBA
      @MWAMPAMBA 2 місяці тому +1

      Wanyakyusa oyeeeew

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 2 місяці тому +3

    Asajili chama cha upinzani uyu mwamba anabeba mchana kweupeeeee ila so kwa katiba hi😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @HabibuSaid-up5sn
      @HabibuSaid-up5sn 2 місяці тому +2

      Mpe moyo

    • @mapinduzisylvester1903
      @mapinduzisylvester1903 2 місяці тому

      Huyo ni chadema pure from nccr

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 2 місяці тому

      @@mapinduzisylvester1903 chadema aifai ishakufa,inabid chama kingine ,chadema washafeli pakubwa ...wamekosa ushawishi, usaliti, kashfa, nk.

    • @StevenSanga-n3n
      @StevenSanga-n3n 2 місяці тому

      @@FreeGod368nakuunga mkono kabisa

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 2 місяці тому +1

    Chama tawala kimejifunza nini kupitia uchaguzi huu wa TLS?Je wanafikiri kuwa wanasheria wa hapa TZ wako pamoja nao kulingana na nchi inavyoendeshwa?