KANISA LINAELEKEA PABAYA/LINAJIPENDEKEZA KWA KAISALI - ASKOFU DR. CEASAR MASISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #SaaYaNeema #UkweliKuhusuKristo
    Follow us:
    FACEBOOK: / spiritwordministrytz
    INSTAGRAM: / spiritwordministry
    WHATSAPP: +255 753 999 989
    Email: spiritwordministry@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 28

  • @hanangmanyara2334
    @hanangmanyara2334 Рік тому +2

    Pole sana bishop umepambana sana!.

  • @samwelshiwa1627
    @samwelshiwa1627 Рік тому +2

    Kristo wewe ni baraka ya ulimwengu milele

  • @joseph-cu6cy
    @joseph-cu6cy Рік тому +3

    Pole sana pastor ceaser...piga kazi unatuponya wengi Kupooza hutapooza ata kidogo hilo nijaribu tu,Kristo yu nawe.

  • @joseph-cu6cy
    @joseph-cu6cy Рік тому +4

    Pastor hili somo nimuhimu sana liwekee part 2 yake tafadhali unaweza ukaona umehubiri kidogo lakini nimaneno makuu yakuhuisha tena kilichokufa

    • @hanskidd2290
      @hanskidd2290 Рік тому

      Dah channel ndo imefungiwa ivoo tunakosa madini meng sanaaaaaaaaaaaaaa

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 Рік тому +4

    Unaongea juu sana, sio rahisi wengi kukuelewa kwa sasa!!

  • @williamoleleina4284
    @williamoleleina4284 Рік тому

    Pole kwa kupotea asubuhi atendae dhambi ni washetani maana shetani alitenda dhambi toka asili na ni baba wa uongo acha upotoshaji

  • @PaulPoh-d8h
    @PaulPoh-d8h 7 місяців тому +1

    Nimefurahi, 😅😅😂

  • @AmosMwashigala-yt1qf
    @AmosMwashigala-yt1qf Рік тому +1

    Huu ujumbe umewapasua vichwa dini za kishenzi, hahaha!? Dini Ni laana

  • @maotolalumbe2411
    @maotolalumbe2411 Рік тому

    Tunashukuru Mungu kanisa hili kufungwa na lisifunguliwe teeeena

  • @emmanuelkilembe8366
    @emmanuelkilembe8366 Рік тому +1

    Ninyi watu, ni mawakala wa Shetan,.Mnatumia makanisa kueneza uovu, mnadiliki Kusema Biblia ni kaburi!!! Mnataka watu wawe mashoga na wasagaji..!! Hivi ninyi mnafahamu kwamba mnamwisho !! Hiyo agenda Yenu na watu wa mataifa yaliyo haribika mshindwe mshindwe mshindwe tena..!!!

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      Wanampa Kazi huyo Yesu atakuwa na Kazi sana ya kumjibu Yesu. Hivi haya wayasemayo na wafundishayo ndivyo Mungu alivyomtuma Yesu Kuja kufundisha haya?!

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Рік тому

      😅

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 Рік тому

      @@alhadajjmohammedsmith9042 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @TheGospel137
      @TheGospel137 Рік тому

      injili bila kupingwa ni maneno tu

    • @asonandimile5343
      @asonandimile5343 Рік тому

      Neema Kwa wasenge imefungwa

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 Рік тому +1

    Naomba namba za dr roja

    • @joseph-cu6cy
      @joseph-cu6cy Рік тому

      Aisee pole sana Pastor,,,mimi niseme bado umebeba kusudi kubwa la Kristo kwaajili yawengi huwezi kupooza hiyo nimitego yajaribu tu....piga kazi unatuponya wengi.

  • @paulosulley4600
    @paulosulley4600 Рік тому

    Muuza sabuni na mahubiri wapi na wapi? Endelea kuuza zoazoa huku mnadanganya watu wa Mungu

    • @salumurembo6525
      @salumurembo6525 Рік тому

      Naziogopa hata vile vipodozi vyake isije akavichanganya na vinasaba kama zile dawa za mswaki za mashuleni

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 Рік тому

    Hiyo ni onyo badilisha mitazamo yako unamaanisha sio dhambi kanisa lisikemee

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому

    Huo ni mtazamo wako vijana ulaya na USA Hali ni Mbaya mnaongea kwa lengo gani vijana wanatoka ktk. Jamii yetu Sasa wewe una maanisha nini? Hao wazungu wanatamaduni zao hawana dini Sasa sisi tuna abudu sijakuelewa kama una maana ni haki kuwepo na ushoga utaeleza vizuri maana kiswahili lugha huwa watu wanaacha hewani ongea waziwazi.

    • @kristofuraha3369
      @kristofuraha3369 Рік тому

      Kwani toka kanisa linakemea hiyo hali inapungua au inaongezeka mara dufu?!

    • @josephkaveya4284
      @josephkaveya4284 Рік тому

      Wewe ulikuwa njee ya kanisa hujasaidia kanisa

    • @The1979bornagain
      @The1979bornagain 5 місяців тому

      Pole sana. Ila ni wazi kuwa hujamwelewa kabisa mchungaji. Hajasema kuwa anakubaliana na ushoga na usagaji. Anasema mashoga na wasagaji wote wanamhitaji Yesu Kristo maana alikuja kwa ajili yao pia. Sasa kwanini kanisa la Yesu Kristo liwatenge? Ili uwasaidie wasagaji na mashoga, wapelekee habari njema za Yesu Kristo juu ya upendo na msamaha wa dhambi. Ukiwakataza kuingia kanisani kwa kuwaona najisi, maana yake nyie mliomo humo kwenye kanisa hilo mnakuwa mnajihesabia haki na kuwahukumu wengine kuwa ni wenye dhambi. Kabisa la Yesu Kristo halifanyi hivyo!!