Kazi safi sana, KMK tafadhali onyesheni jina lake padre Renatus Rwelamira, kwa kweli amefanya kazi kubwa na safi sana kuutunga wimbo huu... Wimbo wenyewe ni asali 🍯 tu
Aleluya Aleluya mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.Hongereni sana kwa utume. Bwana wetu Yesu Kristo mfufuka awajalie Neema tele
Hongereni san san kwa utume always mpo vizuri na hamjawai kufeli kanzuri sana na Mwenyenzi azidi kuwabariki na kuwamiminia wingi wa baraka zake ktk utume wenu.
I can't stop singing this song,Its a beauty. God bless u guys and I pray for yur everlasting success,u know yur my best. Plus am grateful that am the wife to my sweet husband who worked on this piece,am proud of u n ur HT team.God bless u..Keep Going KMK..💥🤛
🎉🎉 to the choir you never disappoint the there is an input of Dr Bongole making it more beautiful. Continue entertaining us and most all praising God in Song.
Wow 👏👏👏one of my best compositions from Fr.Renatus Rwelamira I was really waiting for this peace to be given justice it deserves and you guys did it well done you never disappoint God bless you people
Wooow,KMK u don't disappoint oooo,I really love the way u present urself, may God bless you for me🔥🔥🔥🔥🔥🔥keep the fire burning dear ones...much love and blessings from above
We love you KMK always spreading the word of God through Wonderful Melodies and gorgeous voices congratulations.Mmefanya zaburi hiyo ikawa tamu zaidi Happy and Blessed Easter of the Risen Christ 🎊🎊🤍🤍🤍🤍🤍
Be first to comment when you are live!!!!!!! Like za KMK tuziweke hapaa
Kazi nzuri..tuzidishe subscribers wakafike Laki moja🙏🙏🙏🙏nipe like kama unaamini wanafaa kufika na kupita laki
Nilikuwa nasubilia siku moja huu wimbo urekodiwe na hatimaye umerekodiwa ,,hengereni sana jamani
Nimeusikia kwa mara ya kwanza nikaupenda ghafla,wimbo unamaasha hisia za upendo na shukrani, kwa kusikiliza napata kuona ukuu wa Mungu👏👏
Kazi safi sana, KMK tafadhali onyesheni jina lake padre Renatus Rwelamira, kwa kweli amefanya kazi kubwa na safi sana kuutunga wimbo huu... Wimbo wenyewe ni asali 🍯 tu
Limeandikwa Angalia Mwanzoni kabisa upande wa kulia chini
Kazi njema sana video ya kutisha
Kazi safi Wana makuburi..kuweni na paska njema. Heko kwa mtunzi, kaka Pd. Renatus Rwelamira..
Well done. Thank you
🔥
Beautiful piece Fr, well-done to you too
Bless u fr
We very proud of u 🙏🏼🙏🏼
taken long without seeing these faces.... thanks for showing up again
Fr Renatus Rwalemira naona umefanya Mambo yako.congratulation
Aleluya Aleluya mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.Hongereni sana kwa utume. Bwana wetu Yesu Kristo mfufuka awajalie Neema tele
Amina wana KMKM...Mungu awabariki kwa Zawadi ya Pasaka. Tena jioni ya Ushindi.
Sitakufa nitaishi nami nitasimulia matendo ya Bwana
Halleluy mshukulun bwana
My favourite kmk
Mziki sanifu ,ladha zakipekee 🙏 💯
Fr.Rwelamila huu wimbo aisee ulitulia mnooooo... hongeren wanakwaya wa Taifa
Nashindwa hata niandike nini au basi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘
Hilo cover tu lazima video imekaa sawa sawa.
Hongereeni KMK, HT na Fr Renatus🔥🔥🔥 kazi nzuri
Nawapenda Sana mnaufanya moyo wangu utulie
As always wapendwa wa KMK have done it! Hongereni sana na Asanteni kwa kutubariki kwa maneno haya. Always my favorite choir. God bless always
I feel like lam in heaven
Mmmmmh iv Makuburi jamn mbn mna tisha, nahc kwangu ndio kwaya no 1 TANZANIA
Na niya kwanza kweli
Hongereni san san kwa utume always mpo vizuri na hamjawai kufeli kanzuri sana na Mwenyenzi azidi kuwabariki na kuwamiminia wingi wa baraka zake ktk utume wenu.
Have been checking for KMK channel for any new updates and finally it came.
Alleluia alleluia alleluia Amefufuka.... Alleluia
Hongerini Sana barikiwa Sana
Hongera sana kwa zawadi ya Pasaka. Wimbo mzuri sana, na Video kali
Kimya kingi kina mshindo. Wimbo mzuri na posture nzuri
Pongezi, twafurahia tukiwa Kenya, ningepenga music score
Aisee hongereni KMK. Am sure Fr. Renatus Rwelamira must be smiling when watching this. You guys did justice to this piece. Keep up the good work.
Our very own
Hongereni sana kwaya ya mt kizito makuburi ,wimbo mzuri san
Wimbo mzuri huu...barikiweni
Nice song, Hongera KMKM kwa kazi nzuri ya kueneza injili kwa njia ya Nyimbo.
Kazi tamu KIZITO CHOIR na mtunzi RENATUS
Congratulations for such kind of work pray more makuburi never drop plz komaenii
My all time kwaya. Bro Akilimali hongereni sana
Asante sana Bro. Tumshukuru Mungu
You're best all the time much congratulation KMK
I can't stop singing this song,Its a beauty.
God bless u guys and I pray for yur everlasting success,u know yur my best.
Plus am grateful that am the wife to my sweet husband who worked on this piece,am proud of u n ur HT team.God bless u..Keep Going KMK..💥🤛
Holy trinity ur the best. U did it again. Hongereni saana maproducer. Ukweli huwa nawaelewa sana.
Tunamshukuru Mungu, na asanteni kwa kutuunga mkono
Kmk 🔥🔥
Tulikuwa tunangoja kwa sana
Hongereni sana Wapendwa... you're inspiring a lot of us...❤️❤️❤️
Safi sana kwa kazi nzuri
Kazi nzuri sana
Mungu mwenyewe awajaze Kila aina ya baraka zake💪💪💪
From Uganda kampala my best choir always to watch and inspiring
Waiting
You are always the best,
Hiyo ndiyo Catholic melody tunayoihitaji .Thanks for changing
Hongereni sana KMK kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu
Wimbo nzuri kabisa..
Na warembo sana
Tunasubiri kwa hamu kuuubwa.
Hongerenii kwa utume
Hamjawahi kosea hongereni kwa utume🙏🙏🙏🙏
Please please. I hope you will be singing this masterpiece in the KMK GALA on the 5th of June. Really looking forward to seeing you perform it live.
Nasubiri kwa hamu...
You never disappoint guys💋💋💋. Jina la Bwana mfufuka lisifiwe daima na Milele. Amina.
Asante! Mungu awabariki
This is so cool. God bless you
Beautiful melodies. KMK you've done it again! Hongereni sana.👏👏👏
The heavenly feeling is realized listening to the song
My all time. Congratulations 👏👏
Hongereni sana kwa utumishi uliotukuka🙏🙏🙏
Joyeuses fêtes de Pâques
🎉🎉 to the choir you never disappoint the there is an input of Dr Bongole making it more beautiful. Continue entertaining us and most all praising God in Song.
Wimbo mzuri sana
Good piece by Rev. Renatus Rwalemira
Kmk hongera sanaaa kwa wimbo mzuri
Congratulations kmk. This very good.
Let's continue to praise our God.
Wow 👏👏👏one of my best compositions from Fr.Renatus Rwelamira I was really waiting for this peace to be given justice it deserves and you guys did it well done you never disappoint God bless you people
Mbarikiwe sana.
Hongereni kwa Utume. Mungu awabariki sana
Thanks for this beautiful work ..we had missed u
Just very touching....my favorite one...
Bwana asifiwe
Wimbo mzuri.
This is how it's done! Well done guys.....
Wooow,KMK u don't disappoint oooo,I really love the way u present urself, may God bless you for me🔥🔥🔥🔥🔥🔥keep the fire burning dear ones...much love and blessings from above
Mungu awabariki
Love this choir,always at point,God bless you.
Kazi nzuri jamani 🙏🏾
From DRC i love this choir , what an institution ! Dieu vous benisse , j aime ce que vous faites, qu il vous bénisse abondamment!
Bien sûr, Monsieur
🔥🔥🔥🔥 Amazing
C'est plus que la musique 🥰🥰🥰
Happy Easter
Always the best voices
Asaante Organist..
Another wan... blessed choir indeed... already downloaded
Huyu so relenzina
🔥🔥🔥🔥🔥✔️
Wonderful 👍. Happy Easter 2022
Naingojea sana
Nice song congratulations, may God strengthen your faith to countiue priseing.
Waaaaooooo very nice ❤❤
My favorite choir lots of love ❤️🌹🙏
What a heavenly hymn👌👌 I'm blessed.
We love you KMK always spreading the word of God through Wonderful Melodies and gorgeous voices congratulations.Mmefanya zaburi hiyo ikawa tamu zaidi Happy and Blessed Easter of the Risen Christ 🎊🎊🤍🤍🤍🤍🤍
My favorite choir🥰
Amazing😋😋🔥🔥😋
Good job
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nice one
Very nice.
Lovely music
Sinaga ubishi na nyinyi nicolaus kakola kahama
Ma best song
KMK 🌹🌹🌹💓