Nakumbuka kipindi nipo shule ya msingi kuna mwanafuzi tulikuwa tunasoma naye kuna muda anawakusanya wanafuzi wa madalasa tofauti tofauti na madaftali yake yapo ovyo ovyo ila Kwenye mitiani huwa amefeli sana nafasi ya tatu shati lake kupigwa pasi lilivyo toka dukani yaani mpaka tunamaliza naye shule tatu bola hakosi ndiyo hawa sasa akina Leonardo
Ukiwa na akili Kuna raha sana. Hivi hamuoni kuwa Kuna mtu ambaye anaongea kutoka huko alikoyoka Robot Eunice? Tz bado sanaaaaaa. Na wakoloni watarudi Tena . Niko paleeeeee nimechil Kwa gogo
Hawa ndowale walikuaga wanavituko darasani wenzie wanabaki kuchekaaaa halafu mtihani ukija anawabwaga wote, na hamjawahi muona akijisomea
Kweli
🤣🤣🤣🤣
Ana vipaji vingi huyu jamaa.Shenziiiii😂😂😂
Shenziii 😅
Nipeni like zng nawakilisha wa Congo 🇨🇩 wotee 🎉🎉
Hatuja kupa hio kazi babuuu.
Maana kila 🇨🇩 anaji akilisha hapa kuona😊😂
Kwani upewe likes wewe ndo umeweza hesabu? Likes ni za Leonardo acha ushamba
Huyu jamaa ni genius.🎉
Bro ww ni genious sana
Leonard ni fire
MaashaAllah may Allah keep you unajua saana dogo
Waulizaj wenyewe hawajui😂😂😂😂😂
Upo vizuri aiseeee😂😂😂
INABIDI KUFANYIKE SHINDANO AU TAMASHA LA MATHEMATICS ILI KU INFLUENCE VIJANA NA WANAFUNZI KUPENDA HESABU ITAKUWA BÏĞ UP SANA 👍🇹🇿❤️
hongera asee😂ningekuwa mm apo duuh
Leonard. Mungu akutunze. Nlihisi tu kua number kwako utakuwa vizuri... Mungu akutunze
Ongera😅😅😅😅😅😅
Itakua upo na Malima pembeni hapo sema tu sisi hatumuoni🤣🤣🤣
Hahaha malima kipofu mtaalam wa nguvu za giza
Naam, nguvu za giza anazijua vizuri maana hajawahi kuona mwanga🤣🤣🤣
Uko vizuri kaka
Kama unaludi kwenye kalkuleta kuhakiki acha like yako hapa
Genius huyu jamaaa😊
Manuel akanji wa man city noma. Huyu jamaa genius sana
So talented
We noma
Tunamshukuru mama samia kwa kukuwezesha kujibu maswali ya hesabu kwa haraka
😂😂😂😂😂
😂😂😂, how?
Mwee!!!!
Na serikali ya chama Cha mama
Nipo kazini comment hii imenichekesha kinoma maana siyo kwa sauti niliyocheka nayo
huyu anaakili jamaa
Salute kaka kumbe hata hilo unalo sio lile tu
Genius Leonardo🙌
unaonaje ukiwa CAG wa taifa
Huyu kumbe ni shenziiiii
We leonard uko vizuri sana
kaka ni genius huyu 🙌🙌🙌
multplication made easy
Mimi leo wiki ya tatu najarubu kufanya 105×59 bila kamamu bado cna jibu😢
Genius🍻
Huyo Dada ameng'ang'ana na uchawi...Leonardo mbona hujamwambia "Shenzi kabisaaaa"😂😂😂😂 arafu umpeleke kwa Mzalendo Agencies😅😅
😂 we jamaa ulisoma mpaka level gan
Bro apo umetisha
Jjiniii 🔥🔥
Jamaa kweli engineer
Upo good bro
Huyu jamaa watafute sehemu ya kumweka.anaweza saidia kitu kwa taifa
Huyu jamaa nomaa sana shenziiiii kabisa😂😂😂😂
Huyu Leonardo ni mtu na nusu. Nilisikiliza interview yake ya English ni noma sana utadhani wa mbele anamwagika sio mchezo.
Nakumbuka kipindi nipo shule ya msingi kuna mwanafuzi tulikuwa tunasoma naye kuna muda anawakusanya wanafuzi wa madalasa tofauti tofauti na madaftali yake yapo ovyo ovyo ila Kwenye mitiani huwa amefeli sana nafasi ya tatu shati lake kupigwa pasi lilivyo toka dukani yaani mpaka tunamaliza naye shule tatu bola hakosi ndiyo hawa sasa akina Leonardo
Daa mi jumlisha tu inanishinda hili jamaa mhh
Genius 💯
Ukiwa na akili Kuna raha sana.
Hivi hamuoni kuwa Kuna mtu ambaye anaongea kutoka huko alikoyoka Robot Eunice?
Tz bado sanaaaaaa.
Na wakoloni watarudi Tena .
Niko paleeeeee nimechil Kwa gogo
Umemzidi hadi akanji wa man city
Kichwa hichi...
Mmmhhh huyu mbwaaa🙌🙌🙌mi lbda wanpe ya 1
Yaani hicho ni kipaji sijui kutoka wapi
Yess
Ni simple km ulikua umekalili tebo ata kw bakola hasa zile tebo ngumu sio tebo ya 2,3,4,5 hata ww unaweza
Shenzi😂shenzi kabisaa😂👏
Hiyo njia kiboko kuna mzee alinifundisha lkn ikadunda
Jamaa Mwanga huyu 😂😂😂😂
Comedians wengi huaga na akili sana, sema ndio hivo
Genius 🎉
Wewe ni noma lakini nilimuona tu hata vichekesho vyake anatumia akili
Mwamba huyu hapa🙌🙌🙌
Mmesahau Rais Magufuli alikuwa ansjua mpk idadi ya samaki baharini na mayai yake
Acha bhn😂😂
true🙌
😂😂😂😂😂😂😂
Namkubal sana leornado
Huyu jama hana akili kabsa 😅😅
Sahiz mi kuzidisha ata 10 mara 10 navuta kikokotoo😂
Mm tatu mara tatu navuta calc hahahhahahahhaa
Nime subscribe kwa sababu pia unajua hesabu!, big up!!. 👏
Leonado shenzi kabisaaaaaaaa😅😅😅😅😅
we munoma😅😅😅
Bora agombee urais tu 2025 yupo vizuri
Duu kwa kupiga he's hesabu tu😂😂
Dhuuuuhh!!🤣🤣😆😆
Hawa ndio wale wanasema wahuni hatusomi halafu usiku anapiga msuli
🔥🔥🔥
Sheziìi kabisa bila D mbili hutoboi apo
Leonard umenitisha bana wee
geniuss
😂😂😂 shenzi
We ninomaaa "acn
Hatari
Bring mange kimambi Tanzania 😅😅😅😅😅
Mwamba hata upande wa kutema lugha ni mnyama sana
Dogo nime mpenda sana
Math Genius in TZ
Duh!!!
Hanifikiii akijibu hiiii bas.1111222655555553333333×22225555233338888600822222=?ukijbu anatakia ananifikia kidogo
Ushaambiwa injinia hesabu nilazima
Abucus anatukuwa alifanya
HUWEZ KUELEWA KAMA HUNA D MBILI SHEZI KABISAAA
Huwezi kumuelewa kama huna D mbili😂😂
Hicho kipaji balaa
MUNGU AZID KUMLINDA
Dogo anajua tuseme ukweli
😂😂😂 mpaka uwe na D mbili utaelewa.
Siyo uchawi ni akili
Bipa d moja uwez zidisha
Daah huyu ni umbwa sio mbwa kabsaaa 😅😅😅
Hahhahahhashshah
Huyu mwamba anajua na anabalaaa
Da vinci😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nuomaaaaaaaa
Anza kufanya interview na wazungu ww mnoumaaaaaaaaaa
FACT
Atakuwa amejitofautisha sana
Kwenye English yuko vizuri sana
Siamini saaana
PCM....
Very talented😅
Hiki kichwa balaa
Hatari