NJE NDANI BEHEWA ZA GHOROFA ZA TRENI ZA UMEME ZA SGR TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +6

    Mbona katika kichwa cha habari mmeweka picture tofauti aisee mnapenda sana mambo ya uwongo uwongo

    • @Ibrahmagesa_tz
      @Ibrahmagesa_tz Рік тому +1

      Bro unalalamika nn mbona vedio haidanganyi au we nikipofu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Місяць тому

      Kipofu mimi au wewe kuma la mama yako , kwasababu wewe mshamba kila kitu unachukulia poa poa mkundu wewe ​@@Ibrahmagesa_tz

    • @Essau-si4wz
      @Essau-si4wz 24 дні тому

      Âa​@@Ibrahmagesa_tz

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt Місяць тому +2

    Mimi wasiwasiwangu ni kwamba mnapambana sana lakini shidayangu ni kuhujumiwa na wenye mabasi

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 Місяць тому

    Kazi nzuri nashauri TRC wawe makini sana na wachafuzi mtu akiwa na nguo chafu asiruhusiwe kuingia kwenye treni pia watoto wa shule hutembea na kaputura zilizovujia wino wa peni matakoni na kuachia rangi kwenye VitiTRC angalia hili pia.

  • @MohamedChilllo-ru8vg
    @MohamedChilllo-ru8vg 7 місяців тому +1

    Katika mabehewa yenye viwango yaliyoletwa Tanzania ni haya ,naipongeza Serikali ya mh Samia kwa hiki ninachokiona ,ila ninashauri kutanua usafiri wa treni za daladala ndani ya Dar kwa route za Gerezani ,Ubungo ,Kimara ,Mbezi hadi Kibaha ,nyingine route ya Mbagala

  • @user-lz7sd1vd2e
    @user-lz7sd1vd2e Місяць тому

    Hongera sana jana nimepanda Kwa Mara ya pili nimefurahi sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +3

    Wasafiri msije kuyachafua.mabehewa.Atakayechafua alipe faini tena kali.Tuende na wakati uchafu ni hatari😮

    • @JenafaTV
      @JenafaTV  8 місяців тому

      😂😂😅tumecheka wote hapa ofisini hii coment yako.. ahsante @gracekagoma

  • @abdullahhilalabdullahalmug3168
    @abdullahhilalabdullahalmug3168 Місяць тому

    Mabehewa Mazuri sana Hongera Tanzania. Kuhusu Air Condition Madirisha Hayafunguki je bahati mbaya kama Aircondition imeharibika Safarini

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 Місяць тому

      As Si itakuwa Imeharibika!!😂

    • @SakayaG
      @SakayaG Місяць тому

      Kwenye ndege madirisha hayafunguki

  • @BarakaRobert-j7g
    @BarakaRobert-j7g Місяць тому +1

    Jamani TRC kwenye upande wa Rangi wanatuangusha kiukwel

  • @jacksonninde8971
    @jacksonninde8971 8 місяців тому +1

    Yatapita kwenye maandaki na ulefu huo kwenda juu

  • @tillionsmon6131
    @tillionsmon6131 Рік тому

    Inapendeza sana

  • @benosilwani5208
    @benosilwani5208 5 місяців тому

    Mabasi ya Mwendokasi tuliambiwa hivyohivyo, tutaona muda utaongea

  • @ramadhanmohamed3261
    @ramadhanmohamed3261 Рік тому

    Inaanza lini kufanya kazi jmn,,miaka inaenda,,kama reli mpaka Kilosa mmemaliza,kwa nn isianze iwe inafka tuu kwa kuanzia mpka kilosa kule??

  • @bagaileshabani3179
    @bagaileshabani3179 Місяць тому

    Kumbe ni malichakavu !? Yalishatumika kwenye oparetion ulaya Kwa mujibu wa maelezo ya ingenia

  • @mushtaqakram9843
    @mushtaqakram9843 Місяць тому

    Sasa muhimu Cha kufanya ni kuzingatia usafi na kuyatunza yasiwe kama mabasi ya mwendo kasi

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 Рік тому

    Pc yenyemmeweka inabendera ya usa simnadanganya hapo achen ujanja

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Місяць тому

    Akina KATARAMA mtapata tabu sana

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 4 місяці тому

    Sasa msijaze abiria kama panzi kama ni abiria 150 basi iwe hivyo na msizidishe bali ongezeni treni ziwe nyingi.

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 Місяць тому

    Haya mabehewa n mapya sheria yetu ya manunuzi inasemaje ? Mungu ibariki Afrika

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 Місяць тому

      Wee bwana kabla hayajaja ulidhania siku moja tungekuwa nayo? Hata kama makuukuu ingekuwa rahisi sana basi tungekuwa nayo siku nyingi shukuru kwa hicho tulichopata angalau

  • @jumas.sendekwa2788
    @jumas.sendekwa2788 Місяць тому

    Haya yanafanya kazi wapi sasa

  • @williammwaisunga3407
    @williammwaisunga3407 Рік тому

    Mnatuchanganya tu

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 Рік тому

    TV mbona hakuna

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Kaziiendelee.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Рік тому

    mabehewa sita tayari yamefika, kichwa kimoja kilisemekana kufika mwezi wa saba na sasa mwezi wa nane unakaribia kuisha, je wapi kichwa hicho?

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 Рік тому

    Mbona TV hakuna

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 8 місяців тому

      Utaangalia kwenye simu yako

    • @JenafaTV
      @JenafaTV  8 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣 tv zipo nadhani hajazingatia vizur huyu mtazamaji