Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 1
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
Ilinichukua muda mrefu kuweza kupata nafasi ya kuongea uso kwa macho na Charles Hillary, maana toka enzi za Mkasi nilikua natafuta mwanya wa kuweza kukaa nae chini walau kwa hata nusu saa tu. Sikuwahi kukata tamaa badala yake nilikua kama chui kwenye mawindo yake, na mwisho wa siku kwa uwezo wa Mungu, binti yake Faith, Ivona Kamuntu na Mama kule nyumbani waliniwezesha kushinda mechi hii hatimaye. Mungu anajua tabasamu lilikua la ukubwa wa kiasi gani, na pengine hilo linaweza likawa limefanya niwe excited sana mpaka mengine nikayasahau kuyauliza, au kujua naulizaje, au kushangaa sana? Ushawahi kukutana na mtu alafu ukasahau yote ulotaka kuyasema, au kufanya. Ukabaki tu umeganda kama sanamu? Bado? Basi we ngoja tu.
Simkumbuki Charles Hillary wa Radio Tanzania (RTD), namkumbuka wa Radio One zaidi. Wa taarifa ya habari, wa kipindi cha charanga, wa kutangaza mpira, huyo ndo ambaye alinifanya mimi nipende Radio, nipende kuskiliza mpira na pengine kuutangaza. Sauti yake tamu na lafdhi ilonyooka ilikua inakufanya uone kama unaona haswa anachokiongea. Kipaji cha kipekee kabisa. Kipaji kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambacho pia kilihitaji kujituma na kujitetea na kujiamini sana. Kutimiza ndoto si suala la kulala na kuamka tu, suala la kukosa usingizi. Suala la kutokwa na jasho, suala la kulia kwasababu tu unadhani hakuna anaye skiliza mawazo yako na ndoto zako... Mpango ni kutokata tamaa kamwe! Hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo yeye alipitia na akaja akawa Lejendari huyu tumpendaye na kumheshimu wote.
So nlitaka kumfahamu zaidi, na huwezi kumfahamu mtu kama hujauliza maswali, so tulianzia kwenye asili yake na elimu, na kwa Mama yake ana Baba yake, kwenye kazi yake ya kwanza, vipindi vigumu katika maisha yake, transfer za kazi. Pia jinsi alivyokutana na Mama wa watoto wake, na zaidi tulimzungumzia Mama wa mtoto wake wa pili, wa kwanza hatukumzungumzia, skuona sababu ya kufanya hivyo maana alikua excited zaidi kumuongelea Sarah, ambaye anampikia wali na njegere zilizonyooka zaidi dunia nzima 😄. So alikutana naye vipi? Mwaka gani? Pia tuliongea kuhusu teknolojia na jinsi ambavyo yeye anaenda na wakati. Mahusiano yake na Ivona Kamuntu na AzamTV kwa ujumla.
Kama nilivyosema mwanzo wa story yangu hii na Charles Hillary, naomba ufahamu kwamba hii ni moja ya interview nilizokua natamani kufanya na natumai pia uta enjoy na pia utajifunza chochote kitu kwenye suala zima la utafutaji, malezi, ndoto na mipango maana binafsi nimechota kadhaa. Lejendari akija mezani unachotakiwa kufanya ni kuskiliza zaidi na kuongea kidogo.
Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Asante kwa kutuletea mmoja wa magwiji katika utangazaji Africa mashariki Salama. Sasa basi, kuna Tido Mhando, nadhani ni mwingine aliyeipa sura utangazaji ukanda huu. Nawazia tu, ikiwepo nafasi atafaa pia kutuchorea taswira akilini ya zama zao na sasa. Kazi nzuri. 🙌🏿
Waoooo...
Baba yupo vizuri kwakweli...
Kwa mujibu wa maelezo ana miaka 61 sasa.
Mungu azidi kukupa afya njema tuendelee kupata uliyonayo mazuri.
👏👏👏👏👏
Thank you SALAMA
Sauti nzuri na anavyoongea Kwa ufasaha haswa..... Kazi nzema sanaaaa Salama
Salama njoo nizibe mdomo ,mana meno yote leo yaponje mwanzo mwisho,Ilike it mmwaah
Hongera kwa Charles Hillary kupata nafasi Ikulu Zanzibar,he deserve that
Role model,mwl,legendary.Namuelewa sana mkuu wa kitengo.
Thanks Salama bado Ay
Wow!!!!Bint Jabir hujawahi kutuangusha......love you
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
jamaa anaongea kiswahili kizuri bila kuchanganya changanya na kingereza! safi sana
Mzenji huyo
Hii ni pamoja na kuienzi kuipenda na kuiheshimu lugha hii adhimu
Tuipende lugha yetu
"Kama kila siku hutaki kujifunza utadumaa"
Nawaheshimu sana Anko Charles na Salama ila mimi nina stori tofauti kuhusiana na neno UINGEREZA. Kwanza hakuna neno la karibu la kiswahili linalomaanisha Britain au UK(United Kingdom) badala yake neno Uingereza hutumika kumaanisha Britain, UK na England pia. Neno Uingereza linatokana kutoholewa kwa mara mbili kwa neno ENGLAND, waarabu ambao walikuwa ni wafanya biashara kwa ukanda huu wa pwani waliita England kama IINKILTIRA au IINJILTIRA, kutokana na wepesi wa matamshi sisi waswahili hatukuita vile wanavyoita waarabu ila tulitohoa tena maneno hayo ambapo II ikawa UI, NKI/NJI ikawa NGE na LTIRA ikawa REZA na hiyo kwa ufahamu wangu ndiyo asili ya neno UINGEREZA. Kwa kifupi Uingereza ni England na siyo Britain au UK yote, sema kwa kuwa hatuna neno mahsusi kumaanisha Britain au UK ndiyo maana tunatumia neno hilohilo Uingereza.
Kwaiyo anayesema EPL ni ligi kuu ya Uingereza amepatia zaidi ila na anayesema British Prime Minister ni Waziri mkuu wa Uingereza pia hakosei.
nimefurahia sana mahojiano aya...🥰 Hongera sana Salama
Siyo aya ni haya. Weka h
Salama looks excited kumhoji Chaz Hillary😄 dope interview💯
Usiwasahau mama zetu waleee wa taifa. Tunahamu ya kuwasikiliza na kujua tausi wao wanaendekeaje. Hapo umeelewa.
Kwa kweli nikiangalia hbr akiwa huyu mzee n ivona naenjoy sana nagapende. Wakiwa hawapo ktk kipindi sina hata ham yakuangalia
Mzee namkubali Sana Charles Hillary ana vocal balaaaaaaa
Hii Sauti Iko Moja Tu Tanzania nzima..🔥🔥🔥
Ila hizo Picha ndo style hiyo..
Au tangu mafuriko hamjarekebisha..
Wazanzibar mmekutana hapo basi balaa
Uzeeki kweli me Napendaga sn sauti yako
Hakunaga kazi ngumu kama kumuhoji mtu ambaye ana level kubwa
Leo ni siku yangu ya furara sana! Maana ni mara yangu ya kwanza kumuona mtangazaji bora na mkongwe wa Tanzania. Kwani nilipokuwa huko Tanzania miaka 25 iliyopita chalés ndio alikuwa ni mtangazaji favority wangu. Na miaka hiyo nikisikiliza taharifa ya habari yaani hata kama sijakula basi huwa nashiba kabisa. Thanks salaama kwa kuturetea chalés. Appreciate
Hahahaha, salamaaa umezimwa leo!
Bro kasema yeye sio mzee na tena sikuizi hakuna wazee! Ishia hapo,,,
Waaooo niceee...kipindi kipo vizuriiiiiiii
Naomba kupitia hii interview watu wakiheshimu kiswahili na waache kukichukulia poa. Kiswahili kidumu!
Hao wote ni Wazanzibar ndio mana kiswahili wanakijua sana
I like this program very good salama
Nampenda Charles Hillary akiwa sipoeki saudi nzuri
Interview kali hii🔥
Nimependa muulizwaji anavyo mpa tabu muuliziji kwa ubingwa wake wa kuzungumza kiswahili. Nimemsikia mara moja tu kutaja neno la kizungu tena kwa mfano tu.
Duuu dingi anamatambo uyooo
Azeek sababu, alipi ada adaiwi kodi hivyo furaaa any time 🤣🤣🤣🤣🤣nimeipenda hii
Sanaaaaaa 🤣😂🤣😂
Tafuta hela 😂😂😂😂 ili uone kuwa hajigambi
acha wivu
mie chef mzuri karibu zanzibar nitakupikia best food from zanzibar
Dada, unaniburudishaga sana 😍🙏🏽
Salama tuletee masoud masoud
Charles na Ivona 🔥 🔥 ,nice interview
I know im randomly asking but does anyone know a trick to log back into an Instagram account..?
I was stupid lost the login password. I would love any tips you can give me.
@Max Alfonso Instablaster :)
@Jabari Jabari thanks for your reply. I found the site thru google and im waiting for the hacking stuff atm.
I see it takes a while so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@Jabari Jabari it did the trick and I now got access to my account again. I'm so happy:D
Thanks so much, you saved my account!
@Max Alfonso No problem :)
Jamani huyu baba kwa kweli ana rafudhi nzuri sana huchoki kuisikiliza.
Dada. Salama, tunakupenda sana, mwenyezi mungu aendelee kukupa ubunifu mpya kila siku. Interview ni nzuri sana
Mzee wa Charanga!! ❤❤❤
Charanga🔥🔥🔥👌
Umetukumbusha magwiji ya utangazaji RTD. Hongereni sana.
Salama tafuteni Pima maji/ leveller iwasaidie kutundika picha..manake picha zimekaa utadhani studio imepigwa na Tetemeko.
Huenda huo ndo ubunifu wamefanya hivyo makusudii tu, kuweka level picha ni suala la kuona kwa macho tu
hehehe
Umenitajia *Ahmed Jongo* nimeshtuka , nimemkumbuka Ashely chelewa, *Salum mbonde* Dah! Maisha haya.
Hongera umenikumbusha sana nilipokua mdogo tarifa ya habari ikisomwa nafurahi sana na hutulia kuskiliza vile ulivyokuwa ukisoma habari
Huyu mzee alitumia ujana wake vizur ndio maana sasa uzee hasumbuki
sio mzee kamrekebisha Salama kasema maisha haya hakuna mzee yeye ni m2 wa makamo
Ipo siku salama utanihoji mm, tutakaa meza moja kama hivyo asee
Ameen
AMEN.
kila la kheri!!
Mzee Nkwanga bana! Hahaha ! Great Interview!
Alianza kazi wakati mimi bado sijazaliwa, hongera babangu
Phillips sauti safu sauti kubwa. Hongera.
Namuomba TIDO MUHANDO pamoja na PIUS MSEKWA
Hapo umene. Aongeze pia Mama Makinda na Mama Mongela
UGONJWA WA KISUKARI
Ugonjwa wa kisukari ni nini?
Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili
nguvu. Ugonjwa wa kisukari hutokana na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa.
DALILI
Dalili za ugonjwa wa kisukari
• Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
• Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.
• Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati..
Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.
• Kusikia njaa kila wakati na kula sana.
• Wanawake kuwashwa ukeni.
• Kutoona vizuri.
• Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake
• Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu na vidole.
• Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
• Vidonda au majeraha kutopona haraka.
• Majipu mwilini.
Wenye dalili hizi wanashauriwa kupima sukari ili kubaini kama wana kisukari. Kumbuka: Watu 9 kwa kila 100
ya Watanzania wenye umri wa miaka 25 na kuendelea wana ugonjwa wa kisukari. Hata hivyo kati ya hao 9 ni
wawili tu wanaojijua kuwa wana kisukari.
MADHARA YA KISUKARI
Sukari ikizidi kwa muda mrefu husababisha madhara mengi mwilini. Athari za ugonjwa wa kisukari
• Magonjwa ya moyo huwa mara mbili zaidi ya watu wasio na kisukari
• Shinikizo la damu na kiharusi
• Kuharibika mishipa ya damu na mishipa ya fahamu husababisha ganzi, vidonda na hata gangrini ya
miguu: kisukari ni sababu moja kubwa ya watu kukatwa miguu
• Kuharibika figo: duniani kote kisukari ndio sababu kubwa ya figo kushindwa kufanya kazi
• Kuharibika macho: duniani kote kisukari ni sababu kubwa ya upofu kwa watu wazima
• Kupungua nguvu za kupambana na maambukizo: maambukizo ya fizi, ngozi, njia ya mkojo na ukeni na
kifua kikuu huwa zaidi ya mara mbili kuliko watu wasio na kisukari.
• Kupungua nguvu za kufanya kazi.
• Kupungua nguvu za kiume na hivyo kuharibu mahusiano ya ndani: karibu robo ya wanaume wote
huwa na tatizo hili wakishindwa kudhibiti kisukari.
• Kuathiri uchumi kutokana na matibabu ya muda mrefu: tiba ya kisukari ni ya maisha. Mahitaji ya dawa
peke yake hayapungui shilingi za Tanzania laki nne kwa mwaka kwa mgonjwa anayehitaji insulini.
SULUHISHO
Pambana na kisukari kwa kufanya mazoezi, punguza uzito, usitumie madawa makali
sana, pata mda wa kupumzika na unywe maji ya kutosha lakini pia pambana na kushusha sukari kwenye damu
kwa kutumia virutubisho vya glogogone na gluco bloka tea vinasaidia sana kuweka msawazo wa sukari mwilini.
(kama utahitaji tuwasiliane kwa simu 0743138294 au 0625132485.
MAELEZO YA TIBA
Glugogone ni bidhaa ilitengenezwa kwa matango poli inayosaidia kusawazisha sukari iliyozidi kwenye damu
lakini pia inaongeza ufanisi wa kongosho kufanya kazi yake vizuri.
Salama ame-blush😊
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good
Charles Hilary moja kati ya watu walionifungua sikio la muziki wa LATIN. Salsa,Merenge,Charanga,Kumbia.
Umemikumbusha mbali sana baada ya kumtaja Askofu Doglas Toto. R.I.P
😃😃😃 "Nazeeka lkn sichakai" nimependa hiyo kauli
Umesikia njegere tashatasha sio shatashata!😁😁
Salama ubarikiwe dada yangu umefanya mahojiano na nguri
Nakumbuka udogon kwakua niliitwa charles bas nikawa naitwa charles hilary bila kujua bmni nan mpka nikaja kumjua aiseeee nilifurah kumjua kaz nzur baba
Usifananishe mama na mkeo mama kitu kingine hakuna wakufanana na mama hafai kumwita mkeo mama acha hvo
Nice nice.
umetish sana
Ahsante Salama kwa kutuleta Babu Charles
Salama mtafute Zembwela ufanye naye mahojiano
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ataki uzee,,😃😃
Ecejay nliteee Hassan MWAKINYO
Nilikuwa nafurahia saana alivyokuwa anatangaza mpira wa ligi kuu ya uingereza ...
Charles Hillary
Wapi Sara Dumba!!!!!
Mwaka 88 ndio nazaliwa 👌
Salama ni 80's kumbe aunt
Yeah ni wa 81
Dada iyo ya kujisikiliza Ni kweli maana Hata Messi anasema hapendi Sana kuangalia mechi iliyo pita Ambayo inamarudio yake
Tuletee masoud masoud manju wa muziki
My future wife get prepared kuitwa mama by me
Salama tunakuomba umlete na sirjeff Denis
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha sk hizi hakuna wazee😃😃😃
"NATAMANI HUYU CHARLES HILARY AWE MUISLAM PAMOJA NA FAMILIA YAKE YOOTE NA WEWE UNAYEISOMA HII"...NAWAOMBEA KWA MUNGU.
Kwa nini wewe usiwe mkristo?
@@aichaabdul5844 Swali zuri,Nilikuwa Mkristo na kubatizwa kisha nikiwa naendelea kufundishwa Dini,Ghafla Uislam ukanipatia Majibu mengi sana,nililidhika na kuifuata.
@@shenjamamzingi7950 asante ndugu kwa jibu lako, hata sisi wakristo tumeridhika ndio maana tumeamua kuufuata ukristo wetu. Kwa hiyo hata huyo Charles Hilary ameridhika na anafurahia dini yake ndio maana kabaki na ukristo wake mpaka leo.
@@aichaabdul5844 je wewe umeusoma Ukristo na ukauelewa?au umeridhika kwasababu Wazazi umewaona wakiabudu huko...sababu hakuna ndani ya Biblia palipo andikwa Ukristo ni Dini...ila ni jina la Mtu
@@shenjamamzingi7950 kabla hatujaingia kwenye maandiko matakatifu, neno Dini lina maana gani? Lakini pia Kristo maanake nini?
Aunt cheupe tuletee Ally kamwe
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Salama tuletee Kalapina
Dah leo kubwa kuliko hii!!
namba 1
Saut nzr haichoahi na haija zeeka
🙏🙏
Kumbe ulisoma Kinondoni Muslim hadi raha, kumbe tumesoma shule moja........wale wa Kinondoni Muslim tujuane jamani
Siabonga Numvete au Siabonga M'bongo...Mwaka gani ulisoma Kimbweru sec...mm wa 1994 form1
Tuletee Ally Choki mzee wa farasi
Salama hicho chakula chako kinabadilika majina mara Arusha leo ni Pemba sema kikubwa mnakula wawili
🤣🤣🤣🤣 kila siku kina jina jipya, kinazingatia mteja katoka wapi.
Umetukumbusha mbali. Nini kiliuwa idhaa ya biashara jamani? Hivi leo hatuitaji jamani? Tuko uchumi wa kati.
ua-cam.com/video/wRPhZP2M9WQ/v-deo.html
👆👆👆👆👆👆
Mfahamu shujaa aliekimbia Tanzania na kwenda kuiongoza Zimbabwe kivita nimekuwekea video 👆
Salama hicho kichwa ulicho kifanya ume fanana na shetani
Hatatokea mtangazaji mpira mzuri kama wewe England kwa lugha ya kiswahili
Sauti yake tu, haizeeki huyu mzee tangu nimeanza kumsikiliza enzi hizo
Kiswahili titi la mama.
Ni kabira gani uyu jamaa maana kasema kalelewa zanziba je ni zanzibar
Ni mluguru ila zanzibar alienda coz baba ake alikua anafanya kazi Kule
@@asiajuma8342 sio alienda kazaliwa hasa na mpk leo anakuja Zanzibar sana
Kiswahili kidogo mmeteleza
Siyo kabira ni kabila
Siyo ake ni take
Kiswahili ni kitamu sana
Siyo ake ni baba yake
Vijana mpopo? Pendeni kiswahili kama huyu mzee.
Salama Yuko wapi Jacob usungu wa radio free africa
Salama naomba tuletee rollymsouth...a.k.a Madenge..
Tuletee chidi benz dada
Ligendary
Tangia Charles Hilary aache kutangaza ligi ya Epl sijawahi kuskiliza tena
Mimi pia,.... Nilikuwa napenda kusikiliza vile vistori vyake akiwa Salim kekeke enzi izo
Wali njegere kwa nazi na samaki. Nchi nzuri
Inabidi umpate Millard
Kipindi kizuri
Aro habar yakooo haaaa
Tuipende lugha yetu
Pia chibu dangote
Kama mkude
Hizo sharubati tunywe basi
Nilijua tu umezitaman 😂
@@highthemetv7857 😅😅😅😅😅😅😅
Aliye muona Jeska ni mzur