SHEIKH MZIWANDA AMRIPUA MTOTO WA BACHU "YULE AMESHAKWAMA , UNAMKOSOA BABA YAKO MITANDAONI,

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 246

  • @hassanhussein2422
    @hassanhussein2422 Рік тому +2

    Masha Allah shukran

  • @MussaKyemo-bf3me
    @MussaKyemo-bf3me Рік тому +2

    Mashallah

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 Рік тому +3

    Mashaallah allah akupe umri wenye baraka

  • @salehemohamed2937
    @salehemohamed2937 Рік тому +3

    MashAllah

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ Рік тому +3

    Ma shaa allah maneno ya busara kwa kweli

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 Рік тому +7

    mohd bach Allah akulind na mahasid

  • @issicajosefu9681
    @issicajosefu9681 Рік тому +3

    Allah awaongoze hawa masufi
    Jambo ambalo Allah alilonifahamisha
    Hawa masufi shk wetu Mohammad nassoro bachu
    Dawaa unazotoa zimewaingia
    Allah akuhifadhi
    Uendelee kuelimisha ummah
    Hizi chuki zao
    Wewe mziwanda ndoo umekwama
    Mtawadanganya hao wajonga ambao
    Hawataki kuitaguta haq
    Sisi tunamuomba Allah awaongoze kwenye haq

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 Рік тому

      Hizo dawa anazotoa hivi unajua kubwa anasema kuna tawhid 3 ili hali kuwa hakuna sehem mungu mtume wala swahaba aliyewahi kusema kuna tawhid 3 soma acha kukalili masufi ni watu wa bidaa na mawahabi ni watu wa bidaaa pia

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 Рік тому +1

    Wallahi Wasomi utawafahamu tu kupitia Maudhui yao Allah Akubariki Sheikh

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Рік тому +2

    Wallah nafurahi kuona wanatapatapa dalili ya kwamba kidogo kidogo wanaelewa reaction is just natural ones the truth is revealed and inshallah Haq will prevail, hawa watu wametupotosha siku nyingi mno hoja wameshindwa kujibu wameenda kumattack yeye personal

  • @muftishaban.a.musamombasak6577

    ماشاءالله

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +8

    Jamani hizo nafasi nlizopewa na Bakwata zitendeeni haqi kwa kuelimisha Watu yaliyo ya kweli na si kutuma nguvu kuubwa Ku tete a bidaa.

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому +2

      Kuna bida zaidi ya tauhidi tatu bachu kazitoa wapi mtume hakuna nao wala maswahaba hawajagawanya tauhidi tatu

  • @abdulmalikmohamed732
    @abdulmalikmohamed732 Рік тому +11

    Daaah mziwanda nilikuwa nakukubali but kwa hili la kuacha uovu au jambo baya liendelee et kisa tu alifanya ni baba mzazi, hapo shekh c sawa, unaonaje uovu hilo alilosema marehem kuna watu ni wafuas wake wanaliendeleza, so unataka kutuambiwa hao waczinduliwe, hv unadhan utakuaje hali ya maiti wetu huko kaburin kwa hilo jambo lake alilowaachia watu, kipi bora shekh wangu, kati ya kuwaambiwa watu kuwa halikuw sahihi au watu waendelee kushika aliyoyasema mait ilhali maiti wetu awe na la kujibu mbele ya Allah siku ya siku. Tumche Allah jaman

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Рік тому

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 Рік тому +8

    Shehe Kidogo Nikupe Nasaha xenye hekma Kwanza Tuwache na muwache na wenza wenu Chuki Binafsi au vijembe Shehe Bachu Alimkosoa Baba Yake mitandaoni Si kwa chuki wala Dharau alitaka Umma uelewe kwamba Mzee alikosea na akamuombea dua Pale Baba Yake na aliweka Sawa maneno kwa Elimu Ya Kiislam Dua ya mtoto uliemzaa ni nzuri kwa mzaz ambae tayar alitangulia mbele xa Hakki..... marehem Sheikh Nassor aliacha Sadaqatul Jaariya na Hiyo Sadaka Kubwa Kuliko Ni mtoto wake ambae ni Sheikh Muhammad Bacho aliweka Sawa kauli Ya Baba alietangulia... Kwa kuweka Sawa Kule Kutafananishwa ni Sawa na Sheikh Nassor sbb Sheikh Muhammad yy mwenyewe alisema aliemtoa tongo tongo za Ujinga na kumpa elimu ni Baba yake huyo aliemkosoa.... turud na Hadithi sahihi sema kwel japo kuwa Chungu .... Ni chungu sana Kusema Ukwel kwa kukosoa pale Baba alikosea...... Mashehe mnaelimu Kubwa sana Ila Hazijawaathiri mnasoma Vitabu na matabu ila Hamuelewi nini mnakisoma Msimuonee chuki Bacho Ukwel Upo wazi kabisa mchango wa Yule Kijana Ni Mkubwa sana Tafauti na Umri alioishi..... nakazia Kwa Kusema Rudi tena Darasani mjifunze Kitu Kimoja Maarifa Ya elimu mliosoma nimemamiliza

  • @mustafahkapopwa5239
    @mustafahkapopwa5239 Рік тому

    Hekma imekujaa sheikh ما شاء آلله

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 Рік тому +1

    Mashallahu Maudhui safi kabisa hii ndio Faida ya kusoma zikasoma kwa lengo lakunufaisha sio matusi kelele na kutusi waliokutangulia kielimu almradi usifiwe nop Msomi hawi Fidhuli

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 Рік тому +10

    Sheikh Mziwanda mtoto wa bacho hanaga weledi kesho atakuporomoshea nyundu nzito labda asiione hii clip yako

  • @KhadijaNampilikana
    @KhadijaNampilikana Рік тому

    Swadaqtaa hakika kakwama Allah atuongoze kwenye kheri

  • @allyjuma9669
    @allyjuma9669 Рік тому +8

    Sheikh muhmmad bachu allah akuhifadhi masufi kazi yao ni bidaa na hawaa za nafsi zao

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 Рік тому

      Unaongea nn unamtetea mpumbv mtupa kitabu kibri na chuki zenu nd zitakaz kuingizen motoni ndmn nyny nd mnaorejesh nyuma uislam kW chuki zenu

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm Рік тому +3

    Shida ndungu zetu waislam acheni mazoea ktk mambo yabidaa zilizo anishwa na muulamaa na mazushi mengine niuongo ktk dini ya allah

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +3

    Makosa ya Mzee mtatuaji mwana au mtoto wake sheikh Muhammad bachu Alichofanya huko sawa ili wafuasi wa baba ake wasije wakafuata kauli Ile.

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 Рік тому +2

    Mtume Muhammad. Alisema. إن ابي وابك في نر.

    • @azmam53
      @azmam53 Рік тому

      ua-cam.com/video/iqQOYwNt8NY/v-deo.html&feature=share8

    • @azmam53
      @azmam53 Рік тому

      Ingia hapo ueleweshwe

  • @saidfikirinidundo1998
    @saidfikirinidundo1998 Рік тому +3

    Huyu mziwanda anapotosha ummat Muhammad

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +7

    Sheikh Mziwanda ayo ni matusi akifanya Sheikh Muhammad bachu mnasema anatukana wanachuoni

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu Рік тому +2

    Shekhe maneno yako mazur Lakin kwaza tutafute msingi wa maneno yako

  • @Kalaharidesertstorm
    @Kalaharidesertstorm Рік тому +2

    Dini haijui baba wala mama hakki ni iliyo thubutu wanao dai elimu ni nyinyi akina yahe kila siku kubuni kwenye dini ya Allah wapi usomi hapo, jama hata firauni hakua mjinga wala shetani hakuwa mjinga ujinga ni kiburi pale unapo bainishiwa hakki na hakki wanaitambua lakini kwa kiburi na kufata vyama ,na kuogopa nyuso za watu mka ikana hakki basi msichomeke wakati ummah inabainishiwa hakki

    • @FatmaHamid-uj7bj
      @FatmaHamid-uj7bj Рік тому

      Kwaiyo ww unapingana na hadithi ya mtume kutoyasema mabaya ya ndugu zenu

    • @Kalaharidesertstorm
      @Kalaharidesertstorm Рік тому

      @@FatmaHamid-uj7bj Qurani imetaja wafu wangapi wanatajwa kubainisha kosa sio kuthibitisha ukosaji wao illa kubainishia watu lipi la sawa tofautisha. Tena kwenye malengo ya dini sio kwa lengo la dunia

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 Рік тому

    MashaAllah mtoto wa Bachu amewatandika mashehena ubwabwa wote wamebaki na porojo tu.

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 Рік тому +6

    Mbona Kwenye Niqaash Haukuwepo Kwenda Kumtetea Mtume na Mawlid. Allaah Akuongoze.

    • @abkichwa1118
      @abkichwa1118 Рік тому

      Wanaojua nafasi zao ndio waliofuzu

    • @abdallahhalifa5860
      @abdallahhalifa5860 Рік тому

      C wote walozowea kujibizana wengine na Heshima zao Walisoma kuleta natija sio kufarikanisha Maudhui yake tu tosha mashallahu kuonyesha ni Msomi

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Рік тому +2

    Kiufupi sheikh Mziwanda ulikuwa au mlikuwa na mambo yenu moyoni tu dhidi ya Sheikh Muhammad Bachu,ila M Mungu ndo ashamjaalia,kuna chuki tu na choyo vinawasumbuwa,kwasababu hayuko upande wenu wa ki khurafi wa kutetea mambo ya uzushi,mafumbo mingi..ila umeeleweka,M Mungu akutoeni huko kwenye mambo ya Husda,choyo,chuki na roho mbaya.wabillahi Tawfiq

    • @azizihfarijala5307
      @azizihfarijala5307 Рік тому

      mbona mnamtetea bachu ebu sikilizeni hoja na elimu anayotoa Mziwanda. huyo bachu naye anayo elimu lakini sisi hatutakiwi kubeua masheikh tuangalie pale alipomkosea baba yake je marehemu ni kweli alikosea?;tufungue vitabu na tusome

    • @thefoodshaikh811
      @thefoodshaikh811 Рік тому

      Kweli kabisa maneno ya masufi ubwabwa yamejaa husda nyingi.

    • @mikekhalifaali7510
      @mikekhalifaali7510 Рік тому

      ​@@azizihfarijala5307hajaongea lolote lenye manufaa

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому +1

    Nasaha mzr mashaallah

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +6

    Sheikh Muhammad bachu Alichofanya ni haki Kwa baba ake.kwa sababu ana wafuasi wanaofuta na Ile kauli ya baba ake sio ya haki Kwa mujibu wa kitabu na sunna.Ikisha mziwanda ujielewe ukiwa na kosa kubali kosa

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому +1

      Subhanallah saa Hivi dini imekua kama simba na yanga kumbe

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa Рік тому

      We nae kama senge amefanya Haq kwa maudhui gani hali ya kuwa hiyo Qur'an imekufundisha kuwa mwema juu ya wazazi hautakiwi hata kusema neno aah ww unamponda mbele za watu inamaanisha nini acha upimbi wewe

  • @FarhatSeif-p3t
    @FarhatSeif-p3t Рік тому

    Waislaam acheni kulumbana nchi makafiri wanaivamia hii.

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +1

    Hawa wapotoshaje wa dini bado wanatetea kuwenye kutetea uongo na ushirikina, hutamona anajibu hoja za nukta 19, ndio inayowaletea hawa wapotoshaje ukhurafi zao.

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +7

    MBONA MLISHINDWA KUPOST NIQASHI YA SHEKHE SABAS AL KUBRA KAMA KWELI BACHU KAKWAMA😂😂😂😂 MZIWANDA AOMBE NIQASHI TUONE ELIMU NA MAARIFA ITAVYO FANYA KAZI. AACHANE NA MAWAZIRI HAWAJUI KTU WAO NISIASA TU

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      Wajua usifanye dini ni siasa unaelekea pabaya mziwanda ameongea pont ila mnakasha ameitishwa na shekhe said wa mambrui bachu anapotea na qnapotosha watu

    • @hassanhussein2422
      @hassanhussein2422 Рік тому

      Sasa una weza liganisha bachu na sheikh muharab kaka yangu mupenduwa

    • @feysalsalum2018
      @feysalsalum2018 Рік тому

      Yani ww ndo hamna kitu kabsaa yani unamlinganisha mziwanda na huyo bachurooo.....😂😂😂

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Рік тому

      Mziwanda unataka dogo akurekebishe

    • @issaabdallah1205
      @issaabdallah1205 Рік тому

      Hayo yote ni kwa sababu ya barzanji uwongo wa barzanji mumeshindwa kuutete sasa munamchafua bachu
      Kuna kosa gani kuhadharisha kilicho kosewa ili watu wasifate
      يستمعون القول فيتبعون أحسن......
      Hii aya mziwanda haijui inakazi gani mbona watoto wadogo tu madrasa wanajua

  • @rashidinjoe8167
    @rashidinjoe8167 Рік тому

    Ndugu zangu tujifunze dini.Muhammad Bachu kajitahidi kusahihisha pale alipoteleza Sheikh wetu kama binadamu.

  • @AbdullaSaidAli
    @AbdullaSaidAli Рік тому +8

    Wewe mziwanda nilikua nakuona mtu wa mana kumbe ni wale wale tu wakuendeshwa na matamanio, si uisikilize iyo video ya Al Akh Muhammad akimzungumzia Shk Nassor sio uhadithiwe tu kisha kukurupuka mitandaoni kutaka umaarufu na kiki, alizongumza ktk mzani wa haki kwamba Shk alikosea kama binadamu na kubainidha kua itikadi ile haikua sawa ili wengine wasije wakafata kwa madai kua Shk alisema kisha akawa na dhimma, kwaio yy alifanya jambo muhimu na kuonyesha mapenzi ya dhati kwa Sheikh Nassor Allah amrehemu kwa kuwabainishia watu ili kumvua baba yke ktk dhimma..... Nyinyi masufi akisema Sheikh ndio hapingwi yy hata kama alikosea mtatafuta njia msime yalikua majazi.
    ALLAH ATUONGOZE SISI MA NYINYI KTK NJIA YA SAWA

    • @hamisimwagarashi9501
      @hamisimwagarashi9501 Рік тому +1

      Hivi wewe Muislamu mwenzangu Kaka na dada unaye mkosoa Muislamu mwenzio mitandaoni hadharani awe yuko hai au amekufa....nauliza MAKUNDI YAKO 72 JE KUNDI GANI LIKO SAWA Kwa ALLAH?
      Maoni ni haya ukiona mapungufu ya alioko hai au mapungufu alioyatenda mwenda zake,, vyema tafuta wakaribu yake hata japo alo kua rafiki yake umuombe akukutanishe au mkutane mkumbushane kinidhamu koliko kuonesha umaarufu wa kodini mitandaoni,ikiwa hivi naona twampa nguvu shaithwani.
      ALLAH ATUPE SOTE MWISHO MWEMA NDUGU ZANGU.

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Рік тому +1

      Amekurupuka apo Mziwanda yan wao walitaka Muhammad akae kimya, amesahau kua Nabii Ibrahim pia alimkosoa babake

    • @NurudinYazid
      @NurudinYazid Рік тому

      We ni fyat kwel watetea nin kwamb akukosea au ajitia ujuaj

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 Рік тому +1

    Jibuni hoja kuhusu Barzanj..... Acheni kututoa nje ya mada.... Kwenye hili shk mziwanda huna jipya... Kwenye kukosoa hakuchagui

  • @HarrisOthman-p7i
    @HarrisOthman-p7i Рік тому

    Waislam tunafel hapa tu,tunaangalia kweny makosa,,,ustadh huyu kasema point nyingi Sana nzur,,,waislam wengi wa Tanzania hatujielewi,,,,tusomeni

  • @abuunufaysah5328
    @abuunufaysah5328 Рік тому +8

    Huyu Mziwanda anahitaji nasaha za kielimu, vinginevyo atapoteza watu wajinga wasiojielewa kwa sababu huwa anachanganya mambo akidhani anapatia, نسأل الله أن يهديهم إلى التوحيد والسنة

    • @Mumewangu
      @Mumewangu Рік тому +2

      Acha ushabiki amekosea wap

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому +3

      Kaka, ilmu iloyojaa hapo kifuani kwa sheikh Mziwanda ni bahari, usiiogelee utazama. huyo Mohamned Bachu haingii hata theluthi ya ilmu aliyokuwa nayo sheikh Mziwanda..

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 Рік тому

      Kwly wajinga kma ww ndo amewapoteza bi maana hujakua mfuasi wake sbbu ya ujinga wako yy hufuatwa na wenye akili zao na elimu sio watu km ww na bachu

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Рік тому +2

      Kweli huyu jamaaa mtupu mihemko ndo inamfanya aonekane kuwa ana elimu kumbe kitambaa cheupe

    • @mzamilomocho6531
      @mzamilomocho6531 Рік тому +2

      Hiki chuma tena chuma kweli mziwanda Allah akuzidishie kher.

  • @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
    @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Рік тому +3

    Mh yani huyu kila jambo hujifanya anaufundinalo kumbe anajidhalilisha2 tumechoka na maneno yako ya kujifanya unajuwa kumbe unaungua na jua unatia haibu sana muite kwenye niqashi tetea hoja sio vijembe

    • @SelemanMakau
      @SelemanMakau Рік тому

      Wewe pia Ni minafiki,ulitakiwa uanze wewe Kwanza.

  • @alimasiga8422
    @alimasiga8422 Рік тому

    Babake Muhammad Bachu km alikosa mahali na ikaenea ulimwenguni, Je hafai kusahihshwa tena mtandaoni ndio marekebishi ifahamike.

  • @saidkondo5112
    @saidkondo5112 Рік тому +2

    Mziwanda jaafari kaacha uzushi na nyinyi mnaufanya huo uzushi ni dini lazima usemwe ,na kama baba yake alikosea kwenye dini na kafundisha watu hayo makosa ,kuyasema ndio usahihi ,kunyamazia makosa kisa baba yako ndio makosa,mziwanda unapoteaaa hiii dini si ya mtu ukikosea lazima uwambiwe ,usinye kupoteza watu

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 Рік тому

      Mziwanda anatetea hawaa za nafsi yake tu! Sasa cjui kwa nn huwa anafanya kama kudokoa tu mambo haya. Kama kweli ana hoja za kutosha kwa nn asiandae mada kamili ajibu hoja zote kwa ukamilifu wake au afafanue maswala kwa kwa urefu zaidi!

  • @kitosio
    @kitosio Рік тому

    Sh. Mziwanda tunapenda sana daawa zako lakini usijewatetea wahuni wa Madufu na pia Maulidi maandiko elezea wazi kuwa mapungufu ktk barzanj yapo mengi ila labda tuyafumbie macho. Usijetetea batili utakuja shusha elimu yako chini. Pili Seculer education iangalie tena maana yake sio hiyo. Seculer education means education zio inayofundishwa mashuleni. Review Dr. Zakir Naik Genious katafsiri Nini Seculer education.

  • @saidrutunga756
    @saidrutunga756 Рік тому

    Waambie ukwel maulid mashairi ya miaka 800 baada ya mtume kufarik kama kuna makosa yanayo pingana qurran nasuna wazi wafahamishe ujitoe dhima kwa mungu sababu unagroup kubwa ktk nchi hii

    • @SelemanMakau
      @SelemanMakau Рік тому

      Iyo Ni juu yake,na wewe unayako zidisha ibada ukaishi firdaus

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Рік тому +2

    Ni kweli bachoro kakwama maana anaogopa hata majadiliano mombasa ndio maaana anatoa masharti yasio na msingi nenda kapambane na kijana mwenzio yule hajasoma google yule kasoma atamnyoosha bacoro

    • @husseinibrahim5470
      @husseinibrahim5470 Рік тому

      Lazima kuwe na makubalino ili munaqash ifanyike. ILI IMESIPATE SABABU ITAKAPOSHINDWA AU KUMKANA TWARIQA MWEZENU.

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Рік тому

    Huyu KIJANA huwa adabu yake kielimu huwa iko CHINI sana...anakosoa sheikh huyu kwa kunukuu kitabu Cha sheikh huyu anamkosoa huyu

  • @tawheedmotivationalspeech2023.

    Watupu sana Hawa watuu

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 10 місяців тому

      wewe unaelemu gani kwanyi acha ujinga kuwatusi mashekhe zetu wajinga wakubwa

    • @shabanimussa4269
      @shabanimussa4269 10 місяців тому

      nikuuliza ww wahibi uliekuwa huna akilyi mtupu ninn?

  • @mbjunior166
    @mbjunior166 Рік тому

    Uzuri ni kwamba anakiri kua Sheikh Barzanji alikosea! Kama ni hvo basi sio vibaya watu wakiyabainisha makosa yake ili umma uelewe kwa sababu madhara yake bado yanaendelea mpaka leo. Na pia hakuna ubaya wowote ikiwa baba yake kuna maswala fulani ya kielimu aliyaelewa tofauti akayaeleza tofauti labda kulingana na elimu yake kuwabainishia watu kwa sababu elimu ni bahari.

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 Рік тому +7

    Dawa imewaingia , fundisheni watu haqi na muache bidaa

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt Рік тому +3

    Mjibuni bwana mdogo Kwa hoja,
    Hoja huna unabwabwaja bwabwaja tu.
    Kawashinda mwenzenu yule

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому

      BACHU KADANGANYA!!
      Bachu hana hoja, ila kwenye ule mjadala wa Tanga alimchezea rafu mwenzie kwa kumchomekea hoja ambazo Sheikh Barzanji ktk kitabu chake halisi maneno yale hakuyasema, Bachu asilimia kubwa ya hoja zake amemsingizia sheikh Barzanji hayakuwa maneno yake ila mchapishaji wa kitabu alikusanya vitabu vya watunzi wengine akaviweka kwenye kitabu cha barazanji na kukichapisha kama kitabu kimoja huku kichwa cha kitabu kikisomeka kama Mawlid Barzanji, jambo ambalo enadapo utakurupuka hautaelewa kama maneno mengine sio ya Barzanji mwenyewe. Kwa Bahati mbaya awali Bachu hakukisoma nukta kwa nukta na kulijua hilo, badala yake kuna hoja za jamaa alizofanya ghushi akijifanya kumkosoa Sheikh Barzanji kwa kunukuu maneno ya vile vitabu vyengine vilivyokusanywa ndani ya kitabu cha Barzanji akidanganya kuwa eti ni maneno ya Barznji ilihali sio kweli. Bachu alikurupuka akaziichukua zile hoja kama zilivyo na kuanza kumshambulia Barzanji, hata hivyo baada ya kukisoma na kujua ukweli kwa yaliyo ndani ya kitabu cha Barazanji alichokitupa kwa dharau na kubri ndani yake kuna maneno mengine ni aya za Qur'an ameomba radhi.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 10 місяців тому +1

    Hebu msikilizeni alichozungumza kuhusu baba ake kama kuna sehemu aliteleza asiweke sawa?

  • @suleymanislam4015
    @suleymanislam4015 Рік тому

    Yaani hawa masufi hapa ndipo walipo feli, katika mambo ya dini haijalishi nani ni yeyote yule akikosea mahali afaa awekwe sawa kielimu. Ndio nyie masufi ndio mulifeli mukaacha watu wajisemee watakavyo wajifanyie watakavyo kisa na maana haifai kukosoa sharifu

  • @adamumnyeto6040
    @adamumnyeto6040 Рік тому +1

    Tumuombee kwa Allah amuongoze

  • @ummy-vo6sp
    @ummy-vo6sp Рік тому

    Hii dini ya Allah si ya baba wa mtu wala mama wala mwana
    Nyinyi hamuuogopi Allah Bali rais au watu ndio maana hamuwezi kuisimamisha haki

  • @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
    @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Рік тому +1

    Mzee wa kiki huyooooooooo

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 Рік тому

    Sasa tunahukumiana kwa madh-heb na manhaji uislamu hausemwi tena! Ni huyu kujibu hoja ya yule na yule ya huyu! Rejeeni maneno ya Jibril alipomtokea Rasulullah na yale maswali aliyuuliza. Uislamu ni nini? Imani ni nini? Ihsani ni nini? Kama umeona mtu kakosea, aelimishwe kwa hekima. Kwani si tumefundiswa tuwasemee marehemu wetu vizuri!!!

  • @kimchinakucha834
    @kimchinakucha834 Рік тому

    Kwahiyo uovu akiufanya baba tunyamaze kwakua nibaba subhannallah muogope mungu usizungumze ili mradi uzungumze2 hii nidini sio kabila ndugu yangu

  • @husseinibrahim5470
    @husseinibrahim5470 Рік тому +1

    Hajamukosoa baba yake ila amesawazisha .Wacheni chuki kwa kipinga haki. BARZAJI IMEJAA USHIRIKINA NA UWONGO.

    • @hassanhussein2422
      @hassanhussein2422 Рік тому +1

      Hiyo ni maoni yako na wachabiki yako indiyo wame Nena lakin Wacha tu matusi tafadali

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Рік тому +1

    Anaonekana alipewa nafasi kwa ajili ya kumshambulia Muhammad Bachu

    • @mshamuabdallaah6142
      @mshamuabdallaah6142 Рік тому

      Yaani huoni nasaha alizotoa unasema kamshambulia?

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 Рік тому

      Mawazo yako ww ndio yameishia hapo

    • @ummy-vo6sp
      @ummy-vo6sp Рік тому

      Haki na batili ikiwekwa haki itasimama batili itasambalatika

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 Рік тому

      @@ummy-vo6sp batili kusema ukweli kuwa muislam hufai kusema wenzio ambao wameshakufa ndio batili hiyo….????

  • @nurdenmubaaraka4995
    @nurdenmubaaraka4995 Рік тому

    NLICHO JIFUNZA NIKUWA MZIWANDA KWENYE HII CLIP KABORONGA.TENA HUYU MTUMAJI NAHISI ANAONA HADI FEDHEHA MAANA NI AIBU CHANEL YAKO LKN KILAMTU YUPO KINYUME NA FIKRA ZAKO.ALLAH ATUONGOZE SOOTE.

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 Рік тому

    Mm nqkuombaa mziwanda ukasikilize alichosemaa bachu hakusemaa hayuko sawaa amesemaa kunasehemu kwwnye dawaa zake alikosea nasio sawa nahiyoo alikuwaa anatakaa kumtoa baba yake katika dhambi hiyo kwasababu watu wakiendelea kufuataa baba yake atakuwa kwwnye shidaa sasa msitafute mambo ambayo hayanaa mashiko jaribuni kutete maana anazoleta bidaa kwenye maulidi jaribu kutetea hapo nassi tupate elimu

  • @mohwaamohwaa
    @mohwaamohwaa Рік тому

    Mmefeli kwenye sauti mawimbi mengi sana

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 Рік тому +1

    هؤلاء يسمون الصوفية، والتصوف الذي أحدثه هؤلاء بدعة في الدين، وكان أصل ذلك أنه وجد في المسلمين زهاد وأهل ورع وزهد يتعبدون ويحرصون على العبادات والقراءة والذكر في المساجد والبيوت حرصاً منهم على الخير، ثم تطورت الأحوال حتى حدث هؤلاء الذين أحدثوا بدعاً ومنكرات في الدين، منها هؤلاء الذين ذكرهم السائل، الذين يتعبدون بالطبول والدفوف والأناشيد والأغاني وآلات اللهو، هذا منكر من القول وبدعة.
    وقد أنكر ذلك العلماء، وأطال في ذلك العلامة ابن القيم رحمه الله وغيره من أهل العلم في كتابه إغاثة اللهفان، وأطال غيره فيها من أهل العلم وبينوا بطلان ذلك وأن هذا منكر عظيم يجب تركه، ولا يجب أن يسمى هؤلاء علماء ليسوا بعلماء هؤلاء، بل هؤلاء جهال في الحقيقة، وليسوا بعلماء بل أضلوا الناس ولبسوا على الناس، فلا يجوز اتباعهم في هذا الأمر، ولا تقليدهم في هذا الأمر بل يجب أن ينصحوا وأن يوجهوا إلى الخير، وأن يحذروا من هذه البدعة المنكرة.
    وأشنع من هذا وأكبر دعاؤهم الأموات والاستغاثة بالأموات، هذا شرك أكبر، هذا شرك الجاهلية شرك أبي جهل وأشباهه، دعاء الأموات كـالعيدروس أو الشيخ عبد القادر الجيلاني أو البدوي أو الحسين أو غيرهم من الناس هذا شرك أكبر، هذا مثل فعل المشركين الأولين مع اللات ومع العزى، ومثل فعل النصارى مع عيسى وغيرهم فهذا شرك أكبر.
    فإذا قال: يا سيدي فلان! اشف مريضي، أو رد علي غائبي، أو اقض حاجتي، أو أنا في حسبك، أو المدد المدد يا سيدي! سواء كان هذا مع النبي عليه الصلاة والسلام أو مع الحسين بن علي بن أبي طالب رضي الله عنه، أو مع الشيخ عبد القادر الجيلاني، أو مع العيدروس أو مع البدوي، أو مع الست نفيسة أو الست زينب أو غيرهم ممن اشتهروا في مصر وغيرها، وفي الجنوب العيدروس وناسا آخرين، وفي العراق الجيلاني وأناساً آخرين.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +3

    Makosa ya bharazanj watoto wake wameshindwa kumuweka sawa baba Yao ndo maana mpaka Leo baba Yao anaonekana hayupo sawa na majazi yake

    • @rashidswalehmwanjama3404
      @rashidswalehmwanjama3404 Рік тому

      Sas unaamaan kitbu ndiocho chenye makosa lkn maulidii yafaa??
      2.mtot wa bachu akiandika chake atakubal maulid sas pale kwenye makosa arekebishe alfu ndio tuanze kusoma maulidii vzr na wasalafi

  • @mohammedlipindula5415
    @mohammedlipindula5415 Рік тому +1

    Wewe sheikh mziwanda usilete mambo yakisiasa ktk dini nakutumia jina la mtume kwasababu unachanganya khabari kati ya dini naselikali mbona haueleweki point yako ama umetumwa na ccm

  • @UB40X1
    @UB40X1 Рік тому +1

    Makhurafi wanatapatapa sasa. Usiku no Bachu mchana ni Bachu. Anaejiamini asimame mjadala na Sheikh Bachu sio kujificha ficha ndani mukapiga kelele.

  • @RayRey-ji1em
    @RayRey-ji1em Рік тому

    SHUKRAN KWA WINGI SHEIKH WETU MZIWANDA NA HUYO KIJANA KA KWAMA KWELI LAZIMA DUA MTOTO WA BACHO ANAUMIA SANA TUMUOMBEENI MUNGU ALIPO FIKA PABAYA SANA

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +1

    Waislamu tuacheni bidaa tusiwe kama wakristo kuongezaongeza vitu

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 Рік тому +2

    Makka na madinah hawasomi maulidi wala hitima na huko ndipo ilipo shuka qurani nyinyi mmetowa wapi mtume na maswahaba zake hawakufanya mlinacho fanya na mpaka Leo hawafanyi hivo mkiambiwa wenzenu hawaja Soma nyinyi ndio mmesoma wakati chuoo kikuu ni madina easijuwe mjuwe nyinyi Sasa hivi tumeshajuwa hamtuwambii chochote

    • @alajamiyonlinetv3526
      @alajamiyonlinetv3526 Рік тому

      We mgonjwa subiri mfungo sita ndio utajua kama kweli hawasomi

    • @dullnach2310
      @dullnach2310 Рік тому

      Mwaka Jana mfalme wa Saudia alipinga kusoma maulid na akafanya sherehe zake

  • @canoksancomprehensivelearn7182

    Nabii Sulayman alikosoa hukmu aliitoa baba yake na Allah katuelezea hili. Hapa naye mnasema hana adabu!! Wacheni siyasa akina Mziwanda na wenzake. Dini ni ya Allah wacheni chuki. Katika aya na hadithi kumkosoa mtu au kumrekebisha kwa watu wa sunnah sio kitu kibaya bali unamuokoa pale alipokosea kama binaadam na ili asibebe mzigo wa watakaopotea kupitia yeye maana hakuna binaadam mkamilifu hata kama kasoma, hajamtukana baba yake muogopeni Allah na ondoeni mafundo la sivyo ule muhadhara mngejibu hoja kielimu na sio maneno ya kisiyasa. Sheikh mziwanda naona sana siku hizi nimemuelewa siyasa na falsafa nyingi na dalili za kisunnah atazitumia pasipo mahal pake na mche Allah sheikh. Sijaona mahal ambapo ukimkosoa hata sheikh wako alotoa mawaidha akakosea bahti mbaya ukadai ati sio vizuri kukosoa maana kafa!!! Hii sio dini bali siyasa.

  • @ShaabaniAyyubu
    @ShaabaniAyyubu Рік тому +1

    Annlah amekupa weled wakuogea ila amekunyima uadilifu nyoyo zenu zimebeba chuki na hasadi mmeziweka mbele mbona nyie hamyakemei mazushi yaliyomo katka saffu zenu

  • @AbuuAbdilRahmaan
    @AbuuAbdilRahmaan Рік тому +3

    KWENYE DINI HAKUNA BABA WALA MJOMBA...ALIYESAHIHI KATIKA WANAADAM, PEKEE NI MTUME TU.

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 Рік тому +1

    Bacho atamjibu tu mana mziwanda kuongea anajuwa bacho yeye elimu tu ndo ipo pale chuki zinaanza kwa mtoto hahaha

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 Рік тому +2

    Baba yake nabii ibrahim kasemwa katika Qur'an na bachu kaona makosa ya baba yake Allah amsameh

    • @jufakmedia
      @jufakmedia Рік тому

      Kwani Hujui Kama Nabii Ibrahim alikuwa mtume na baba yake alikuwa kafiri mwenye kuabudia masanamu kwanini unawalinganisha watu wasiolingana

  • @saidhija6333
    @saidhija6333 Рік тому

    Sheikh Muhammad bachu piga nyundo hao masuf mpaka waelewe somo

    • @issaahmad1264
      @issaahmad1264 Рік тому

      Ndivo mulivo wajinga kwa kumkibali mjinga mwenzao huyo bachu ndio shekhe wa wajinga

  • @HassanSalum-pg9yu
    @HassanSalum-pg9yu Рік тому

    dini yq mungu na baba yako bora nini wewe kuku nini

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 Рік тому +2

    Omba niqash ilitukujuwe wewe ni nani.hakki ikija Batwili inaondoka acheni chuki Mashekh tuambieni ukweli.

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 Рік тому

      jua kutofautisha benz na bajaj hata uyo mrehemu baba ake afufuke sasa hivi aweke nikash na mziwanda bachu na mwanae hawamuwez mziwanda

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Рік тому +1

    Hahaa kwel Muhammad bachu amekua akiwapeleka vibaya hawa watu yani mtu anatumia muda wote huo kumjadili yeye haahaa.. kisha shekh Muhammad bachu hakusema baba yake hayup sawa ktk dini bali alisema ktk kauli ya kusema muislam akingia moton atakaa milele. zipo dalili nying tu zinaonesha kua muslam atazibiwa kutokana na makosa yake lkn hatokaa moton milele.

    • @SelemanMakau
      @SelemanMakau Рік тому

      Yahaya,ivi umemtoa baba na Mama yaoko kwenye makafara ya Freemason na unaambiwa baada ya mzishi Mama yako ndo atakuwa mkeo ili Mali izidi,uyo nae vpi hakai motoni milele? Jamaniiiiiiii waislam

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp Рік тому

      @@SelemanMakau hata afany zambi vip akiwa na kalim ya la ilaha illallah bac atatoka tu moton badaa ya kuazibiwa kwa makosa yake

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 8 місяців тому

    Na yeye amemkosoa ndugu yetu katika imani wapi?

  • @saidifukko2671
    @saidifukko2671 Рік тому

    Shekhe wangu Hawa mawahabi wanaelewa sema wamesomeshwa ubishi hata uelezee vp furaha yao mbishane tu

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Рік тому +2

    Mziwanda baba ako akifa deni humlipii wewe.kwa ayo maneno Yako ya kisufi sufi

  • @Abuumustwapha
    @Abuumustwapha Рік тому

    SASA KAMA HADI BABAAKO USHAMKOSOA NAKUSEMA HAKUA SAWA TUTEGEMEE KUA UTATUSAPOTI SISI AMBAO SO BABAZAKO WALA UNDUGU HATUNA NAWATU TUNAJIFANYA HATUONI HATA HADITHI PIA KAMA HATUZISIKII VILE TUNAZIDI KUMPA KICHWA T WATU HATUJUI KUSOMA HATA QURAN VZR ILA KWENY UBISHI NDO TUMEGANDA DAH😭

    • @AminaDodios-ml2lv
      @AminaDodios-ml2lv Рік тому

      Kwa iyo bb yake akikosea! Kwakua ni bb yake aseme kapatiya.

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 Рік тому

      Kuna kukisoa na kuweka sawa
      Kikubwa ni kuwa nani kakosea baba ua mwana

  • @abdulkadirjaylani4693
    @abdulkadirjaylani4693 Рік тому

    Jamani naomba ntajiwe bidaa 10 zilizopo ivi sas au hakuna bidaa asaa man nnavojua bidaa inazushwa katika dini au hakuna bidaa kuna maaswiyaa tuu na kam bidaa zipo tutajieni tuzijuwe au ndo izo izo zinazotajwa na mashekh zet mbon hamuzizungumzii bidaa nynyi au mnajijua mnahusika man sijamuona shekh dizain hii akaelezea kuhus bidaa tutajien bc.

  • @SaidMohamed-xt9yr
    @SaidMohamed-xt9yr Рік тому +2

    Inamaana kama mtu alikosea na akafa
    watu waendelee kufuata upotofu wake kwa kuhofia kumsema maiti?

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 Рік тому

    Bachu anajiweka midomoni mwa mashekhe. Anajisumu huyu mtoto

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 Рік тому +3

    Nilichokiona kwa huyu mziwanda ni kukosa ufaham wa Hadith anatafsir kupitia kichwa chake siyo muhadithina walivyofahamu

  • @babuujamal9949
    @babuujamal9949 Рік тому

    Mashia wamesha mlipa anajiita mziwanda choko

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u Рік тому

    Mziwanda pumbafu tapeli utafiya kwenyebida mukhamad anakusudia ilmu

  • @abousharmalck3971
    @abousharmalck3971 Рік тому +2

    Bachu kawanyoosha kisawasawa

  • @salummruma6058
    @salummruma6058 Рік тому

    Mziwanda kiukweli acheni kumsakama bachu Hali ya kuwa Yuko sahihi

    • @issaahmad1264
      @issaahmad1264 Рік тому

      Bachu anausahihi kwa wale wasio na akili kama yeye!!

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 Рік тому

    Masheikh mkae muisome barzanj kama kuna makosa muwatangazie watu msifate tu kua tumeikuta ubishi hauna faida

    • @ShafiAthmani-bu6hq
      @ShafiAthmani-bu6hq Рік тому

      Siku hizi ukimkufuru mungu unaonekana kidume lkn ukimkosoa shekh unaonekana umemkosoa mungu sababu heshima yake cheo chake kispotee subhaanallahi

  • @abubakarmuhajj3414
    @abubakarmuhajj3414 Рік тому

    Mziwanda kumbe wewe ni boya tu, unaongea vp uwongo mbele ya hadhara ya watu, Bachu alimkosoa babake akiwa anatoa mawaidha ndani ya msikiti tena kwa njia ufasaha kabisa kuhusu watu wa motoni kuwa baada ya adhabu wataingia peponi

  • @IssabakariMagwa-ps3qe
    @IssabakariMagwa-ps3qe Рік тому

    Wote nyie niwaoga tu himizeni watu wasimamishe qoruàn iwe Ni hukmu yetu sio mnalumbana tu mitandaoni jamani nyie mtume wenu Ni yupi hii Ni dini gani mnaileta mtume wetu ametumilizwa Kwa upanga mpaka aabudiwe Allah asishirikishwe kama nyie mnaogopa vaeni misalaba tu sio lazima muwe mashekh

  • @mohammadjaffar2442
    @mohammadjaffar2442 Рік тому

    Mohammad bacho hana ilimu ana wazimu

    • @sultantz7635
      @sultantz7635 Рік тому

      Wewe mwenye ilmu toka mbele utuelimishe

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 Рік тому

    Mziwanda Hatakama anasema anayoyasema moyoni anasema Bacho yupo sahihi

    • @issaahmad1264
      @issaahmad1264 Рік тому

      Wanao ona bachu yuko sahihi ni wale wasio na akili kama yeye mwenyewe!!

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +1

    Masheikh mmekuwa wajinga wajinga kila siku mnapoteza mamilioni kwa ibada ya uzushi hilo huoni hata we mwenyewe unatumia akili vibaya

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t Рік тому +2

    Maneno mazuri kwl ..SWALI JE niusahihi kueka mudhara mzima kumjadili mtu kimafumbo???

  • @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc
    @JUMARAJABUKACHEPA-jp3nc Рік тому +2

    Munamuogopa hamna lolote

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Рік тому +1

    Bachu UNASUMBUA watu huku!!

  • @muhsinabdullah199
    @muhsinabdullah199 Рік тому

    Akili za mashehe wa bakwata bana maneno ya sheik ilunga ALLAH amrehemu kweli bakwata htokei mwenye akili yani