HII ITAKUUMIZA SANA PASTOR EZEKIEL "NENDA KAVUE KUNYWA MWILI WA YESU NA DAMU YA YESU KIMBIA'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 519

  • @LeilaWilfred-zc7gn
    @LeilaWilfred-zc7gn 3 місяці тому +48

    Mungu akushishibishe kwa miaka mingi Pastor' ulikuja Arusha Tz umeniombea namimi sasa Niko mjamzito Na mume wangu Niko naye sasa.Amina

  • @Turum2d
    @Turum2d 3 місяці тому +29

    I was there sitted next to him niliona na macho yangu

    • @daisypeters8579
      @daisypeters8579 3 місяці тому

      Testimony with evidence that why I believe pia Mimi atanitendea.

    • @hylineomambia177
      @hylineomambia177 2 місяці тому

      Hallelujah glory to Jesus

    • @MetrineKabeyeka-f8l
      @MetrineKabeyeka-f8l 2 місяці тому

      Tell me how can I reach pastor Ezekiel please

    • @daisypeters8579
      @daisypeters8579 2 місяці тому

      @@MetrineKabeyeka-f8l go to his church mavueni kilifi county Kenya or listen to his teaching via UA-cam

    • @NasakhuluJaelWangila
      @NasakhuluJaelWangila 21 день тому

      Enda hapo OTC kuna gari za direct,,kwanza ukifika hapo utaulizwa kama unaenda kw EZEKIEL ​@@MetrineKabeyeka-f8l

  • @peninamsuko4858
    @peninamsuko4858 3 місяці тому +38

    Mungu Unaposhisha uhai kwa huyu mtoto Kumbuka ndoa yangu Na nyota ya masomo kwa mwanangu na umjalie mmewangu Nyota ya kazi milele ameni

  • @EmmanuelSadiki-x6e
    @EmmanuelSadiki-x6e 3 місяці тому +22

    Mungu naamin ipo siku maisha yangu yatabadilika tu

  • @JamilaOkwaro
    @JamilaOkwaro 3 місяці тому +17

    Naomba mungu alivyomponya mtoto huyu anifungulie njia zangu za kazi na anitangulie katika ndoa yangu

  • @sabinamasakwe5047
    @sabinamasakwe5047 2 місяці тому +1

    Mimi naomba mnieke kwa maombi na naitaji ndoa nimeangaika kwa miaka mingi cn

  • @fredmambo8500
    @fredmambo8500 2 місяці тому +4

    Madawa zilizowekwa katika shamba yangu sahii naomba zichomeke kabisa ili niweze kulima shamba yangu ushago in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LydiahKemuma-c3v
    @LydiahKemuma-c3v 3 місяці тому +11

    Yesu tuko hapa kwa ajili yako.Mungu mponye mamangu ivyoivyo katika jina la Yesu

  • @ttyy7642
    @ttyy7642 3 місяці тому +2

    From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮natakanyota kwamtoto wangu mukubwa nikijana yukonmyaka10 Akienda shure abingiye pasta nataka umuombeye umulundishiyenyota yamasomo nayakuomba tukiendakanisani aiyingiye anatoka ije 😢😢

  • @godringtonekabwere5833
    @godringtonekabwere5833 13 днів тому +1

    Mungu ni mwema

  • @jojoachieng
    @jojoachieng 13 днів тому

    Amen 🙏, pastor Ezekiel ubarikiwe

  • @JacklinejuliasShirima-ss2oq
    @JacklinejuliasShirima-ss2oq 3 місяці тому +1

    Kwa uponyaji wa hy mtt nm nipone kwajin la yesu

  • @Lydia-xw2cl
    @Lydia-xw2cl 2 місяці тому +4

    Wow God is good all the time mungu nipe afiya na watoto wangu kupitia katika haya madhabahu ya new life kwa jina la yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SuzyThomson
    @SuzyThomson 2 місяці тому

    Ndoto mbaya ziniondoke nifunguliwe kiuchumi na mmewangu apone koo

  • @Mishooh
    @Mishooh 2 місяці тому +1

    Naomba namba ya pastor please km itawezkn

    • @TruphosaKabuchi
      @TruphosaKabuchi 2 місяці тому

      Huwa anakua live Kwa tv ata namba zake zko tu apo Kwa screen WETV channel

  • @Maria-dg6ik
    @Maria-dg6ik 2 місяці тому +1

    Mashallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @aiaiomar5623
    @aiaiomar5623 3 місяці тому +4

    Naomba mungu alivyo mponya hyu mtoto anilindie familia yangu ,na kazini kwangu nisifukuzwe na anipe ndoa🙏🙏🙏

  • @anitarafa
    @anitarafa 3 місяці тому +4

    Ndani ya Yesu Kristo kuna furaha uponyaji na utajiri wa moyo .......kupitia uponyaji wa uyu mtoto watoto wangu pamoja na tumefungulia katika mikono ya wachawi

  • @nuthainajuma
    @nuthainajuma 3 місяці тому +3

    Jamanina Mimi namuitaji mchungaji

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 3 місяці тому +1

      Amesema umwamini Mungu,hata hapo ulipo zidi kumwamini ukifatalia Ibada Mungu atakutendea

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 3 місяці тому

    Kwa kupitia uponyaji wa huyu mtoto naomba niweze kupata hati miliki ya eneo ninaloishiYesu uwe mtetezi wangu.Usinipite unapowadhuru wengine

  • @fancychepkoech-e3u
    @fancychepkoech-e3u Місяць тому +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @ChepkuruiJudy
    @ChepkuruiJudy 7 днів тому

    Asante mchungaji ubarikiwe

  • @silvamoz6299
    @silvamoz6299 Місяць тому

    Yesu anaweza bila shaka.
    Kumbuka wanao vaa miwani huona, viwete waweza tembea bila miti.
    Huyu mtoto amepewa hii kifaa kusupport mgongo ili mfupa ipate nguvu pasipo kujikunja. Si kwamba hawezi inuka na kutembea lakini kwa muda mfupi.
    Yesu aliponya mara moja 100% vipofu, viziwi, kafufua na vilema kuondoka.
    Hii ni shughuli tu iliyopangwa kutoa ujumbe na mwelekeo kwa watazamaji.

  • @RehemaJudika
    @RehemaJudika 3 місяці тому +4

    Naamini ipo siku maisha yangu yatabadilika Kwa damu ya YESU

  • @MadoManda-e8l
    @MadoManda-e8l 3 місяці тому

    Mutupatieko number ya pasta Ezekiel tupate kupata nasiye matunzo mutusaidieko kweli tumupate jamani

  • @susanbonye3133
    @susanbonye3133 2 місяці тому +1

    Amen ❤❤❤

  • @MercyBarasa-b1q
    @MercyBarasa-b1q 2 місяці тому

    Mungu wangu naomba jinsi ulivyo mponya huyu mtoto mponye pia babangu 😢😢😢

  • @lucyngunju8810
    @lucyngunju8810 Місяць тому

    God heald for free hapa bila kukamuliwa pesa hutoki God pray for your people not a man👏👏👏

  • @Janet-xr1ee
    @Janet-xr1ee 3 місяці тому +2

    AmenAmen,Mtoto huyu anaporejeshewa uponyaji naomba watoto wangu warudishwe kwangu katika jina la yesu kristo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @GeorginaMmboshia
    @GeorginaMmboshia Місяць тому

    Kwa nini otuma alikuja kwa pastor ezekiel aliombewa nakupona why

  • @WillingtonOluchiri
    @WillingtonOluchiri 2 місяці тому +1

    Amen

  • @rachaelayodi9297
    @rachaelayodi9297 3 місяці тому

    Kupitia kwa damu na mwili wa yesu nikombolewe na vita pale shuleni

  • @marthakanini5862
    @marthakanini5862 День тому

    Mungu unayeponya mtoto huyu ...ponya na maisha yangu....nipiganie yesu

  • @celinaduka3346
    @celinaduka3346 3 місяці тому

    😢😢Mungu naomba ukumbuke wanangu pamoja na familia yangu 5:32

  • @TumsifuKimaro
    @TumsifuKimaro 2 місяці тому

    Eeee Mungu wangu nikuombae uponyae na kulinda unikumbuke na familia yng

  • @ALPHONCETINDAMANYIRE
    @ALPHONCETINDAMANYIRE 10 днів тому

    Muchungaji naomba uniombee nifunguriwe

  • @SaidaNachiro
    @SaidaNachiro Місяць тому

    Mungu anatosha kwa kisuluhisha matatizo yetu

  • @AshukuriweMeshack-pr2it
    @AshukuriweMeshack-pr2it 3 місяці тому

    Bwana yesu kupitia damu yako na mwili wako ulivomponya huyu mtoto na Mimi nipone Kama huyu mtoto na naomba atangulie kazi yngu

  • @JULIAMutheu
    @JULIAMutheu 2 місяці тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu ponya kilio cha moyo wangu

  • @linahkoki3326
    @linahkoki3326 3 місяці тому +1

    Huyu ndiye Mungu ninaye taka mimi

  • @MARCOTSUUT
    @MARCOTSUUT 3 місяці тому

    Kama slivyofunguliwa huyo mtt naomba mungu amfungu mwanagu na kazi yangu

  • @PeninaJames-t4d
    @PeninaJames-t4d 3 місяці тому

    Mungu ulivyo mponya kijana huyo ponya familia yangu bwana

  • @umutoniclaudine1090
    @umutoniclaudine1090 2 місяці тому +1

  • @BarakaKaviha
    @BarakaKaviha 3 місяці тому

    Nlifungua kibanda tsunza kwa sku moja nlikua pesa elfu saba na sasa nkiuza elfu moja nimefanya kazi imeisha kabisa nahitaji nyota

  • @johnmwenda-b6v
    @johnmwenda-b6v Місяць тому

    Kweli kunaye MUNGU❤❤❤

  • @JudithDaud-f6g
    @JudithDaud-f6g 2 місяці тому

    Miujiza hy kwer au maandko yametimia

  • @lucasnjau6235
    @lucasnjau6235 3 місяці тому

    Amenn

  • @LoycePeter-i8d
    @LoycePeter-i8d 2 місяці тому

    Nikumbuke nami katik huduma yangu nimtumikie mungu katka roho na kweli

  • @shilajanji4690
    @shilajanji4690 3 місяці тому

    mungu kama ulivyo mponya huyu mtoto hata mm nifunguliye mafanikio yangu

  • @TumainiENgasa
    @TumainiENgasa 3 місяці тому +1

    Amen

  • @GjKn-y6h
    @GjKn-y6h 15 днів тому

    Ee Mungu wangu mtoto huyu alivyopona kupitia damu ya yesu namimi nanaomba Mungu wangu wasaidie wazazi wangu uwaponye kupitia mimi mtoto wao kuwatch hii healing kwa mtoto maumivu nyote anayohisi babangu na mamangu pamoja na mtoto wangu Abubakar pamoja na ndugu zangu ndugu zangu kwa ujumla Aaamin

  • @lydiamwende1810
    @lydiamwende1810 28 днів тому

    ❤❤❤❤❤ Ameeeen ameeeen ameeeen ameeeen

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 3 місяці тому

    kuponya c kuwa anatumiwa na mungu shida wanadamu Wana akili finyu kwakutosoma maandiko

  • @hildanyevu562
    @hildanyevu562 2 місяці тому

    AMEN MUNGU NIPONYE KIDONDA HIKI 🙏🙏🙏

  • @HusudaMgeni
    @HusudaMgeni 2 місяці тому

    Napokea uzao ktk jina la yesukristo

  • @LidyaSilaa
    @LidyaSilaa 2 місяці тому

    Kupitia huyu mtoto naomba mungu mwanangu atembee asimame na aongee

  • @CynthiaNyarabandu
    @CynthiaNyarabandu Місяць тому

    Naomba Mungu alivyomponya huyu mtoto aniponye kutokana na laana za ukoo

  • @NaomiNgute-gu8wc
    @NaomiNgute-gu8wc Місяць тому

    Sifa qw mungu siku zote

  • @JohnsonMushi-zu6uy
    @JohnsonMushi-zu6uy 3 місяці тому

    Yesu nikumbuke na mimi nipate watoto mapacha wawili wakike kwa wakiume

  • @BentaAmukhuma
    @BentaAmukhuma Місяць тому

    Pastor kuna mtu amenitumia msg akaniambia nitume pesa ndio aniombee sikutuma

  • @janet4582
    @janet4582 3 місяці тому

    Najinsi Mungu amemponya huyu mwana nami ,nyota yangu irejeee na afya njema iwe kwangu

  • @AngelithaShio
    @AngelithaShio 22 дні тому

    Ninajiungamanisha kwa damu ya Yesu

  • @NancyNyanggena
    @NancyNyanggena 2 місяці тому

    Mungu uliye ponya huyu mtoto aniongoze kwa hii nyumba yenye nafanya kazi roho ya kuonewa kazini mungu ondoa kwa jina la yesu amani itimie mungu

  • @EmmanuelHarrison-bd1rk
    @EmmanuelHarrison-bd1rk 3 місяці тому +2

    Mungu azid kukuinua Mtumish poster Ezekiel..n Emmanuel kijana wakidato Cha tatu God bless you so much.

  • @Dalmasotwane-bi6dn
    @Dalmasotwane-bi6dn 2 місяці тому

    Ameeeen Ameeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @TumpesKimorgo
    @TumpesKimorgo 3 місяці тому

    Imo nguvu damuniii msalabani mwa yesu

  • @mableminayo
    @mableminayo Місяць тому

    Ameni ameeeen damu yayes inatosha🙏🙏🙏

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 2 місяці тому

    Ameni barikiwa Kwa kipaji chako

  • @GloryEdson-m1v
    @GloryEdson-m1v Місяць тому

    Nimepokea kwajina la Yesu amenii

  • @AsanteJérémie
    @AsanteJérémie 25 днів тому

    Naomba MUNGU Ani okoe na umaskini Nina hamu ya kutoa lakini sina kazi n'a pesa

  • @AngelithaShio
    @AngelithaShio 22 дні тому

    Na mm minapoke uponyaji kwangu na familia yangu Amen

  • @user-gh8xd9mm6c
    @user-gh8xd9mm6c 2 місяці тому +1

    Asifiwe Yesu, naomba anifunulie tamanio la moyo wangu.

  • @EdinahOsoro-s1g
    @EdinahOsoro-s1g 2 дні тому

    Mungu naomba uponye mama na mtoto wangu vile umeponya huyu mtoto amina

  • @naisetiaeeneloldapash2995
    @naisetiaeeneloldapash2995 2 місяці тому

    Mungu kweli uponya yesu apewe sifa

  • @JacklinejuliasShirima-ss2oq
    @JacklinejuliasShirima-ss2oq 3 місяці тому

    Kwa kupitia uponyaji wa hy mtt nm nipone na mam yng apone kwa jina la yesu kristo

  • @SmilingBassetHound-li6vi
    @SmilingBassetHound-li6vi 24 дні тому

    Hakuna Mungu kama ww pia mm utanishindia pamoja na familia yangu

  • @PhiniasAnjago
    @PhiniasAnjago 2 місяці тому

    Kama mungu atendanyo afungue familia yetu

  • @RehemaMbeyu-lu6iq
    @RehemaMbeyu-lu6iq 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏 Wacha mungu aitwe mungu

  • @OnyanchaElijah-g8b
    @OnyanchaElijah-g8b Місяць тому

    Pastor mungu akushishbishe walai god bless you so much postor🙏🙏💯💯💯💯💯

  • @Okwomib
    @Okwomib 20 днів тому

    😂😂😂Hata mimi naweza kimbia mara saba hapo kanisani

  • @NaomiNakhumicha4636
    @NaomiNakhumicha4636 3 місяці тому +3

    Uhimidiwe milele Adonai kwa makuu unayotenda kwa haya Madhabahu kupitia mtumwa wako🙏🏻🙏🏻

  • @MagdalineKasyoka
    @MagdalineKasyoka Місяць тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏 ameeeeen

  • @malkiavalente4736
    @malkiavalente4736 Місяць тому

    Naomba uponyaji wa mapepo na majini uchawi.

  • @kwayayamt.gemmakisongo7287
    @kwayayamt.gemmakisongo7287 2 місяці тому

    Acheni kuwadanganya watu mtakuja kuulizwa na mungu nawambia😅

  • @DavidNdii-in5ih
    @DavidNdii-in5ih 15 днів тому

    Barikiwa Sana mtumishi wa mungu

  • @ChristabelShumira
    @ChristabelShumira 3 місяці тому +9

    Naomba mungu alivyo mponya huyu mtoto anifungulie njia ya mafanikio katika maisha yangu na afungue ndoa yangu na watoto wangu wafanikie shuleni Amen 🙏

  • @malkiavalente4736
    @malkiavalente4736 Місяць тому

    Nimpate wapi huyu pastor? Maana naumwa sana

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر 3 місяці тому

    Ameni ameni ameni jina la bwan liinuliwe

  • @onesMuendo
    @onesMuendo Місяць тому

    Mungu akubariki pastor

  • @DoreenLibutsi
    @DoreenLibutsi Місяць тому

    Naomba mungu anifugulie njia

  • @onesMuendo
    @onesMuendo Місяць тому

    Mungu naomba nyota ya somo milele

  • @PrincessSharleen-c6e
    @PrincessSharleen-c6e 3 місяці тому

    Na kama huyu yesu ak yaani yeye hajagui tajiri wala maskini

  • @BentaAmukhuma
    @BentaAmukhuma Місяць тому

    Huyu ni mungu tunaye mwabudu bora kuamini tu.

  • @evakikove
    @evakikove 3 місяці тому +1

    Kupitia hiyo damu ya huyo mtoto naomba Mungu anisaidie kwenye masomo yangu anilipie Ada nifanye mtihani

  • @AnneMajuma
    @AnneMajuma 2 місяці тому

    Wengi nakimbilia miunjiza

  • @roseofficials7189
    @roseofficials7189 3 місяці тому

    😢😢😢Amina

  • @madarakadeche305
    @madarakadeche305 3 місяці тому +1

    I was there seen it with my two eyes Kuna Mungu mbinguni

  • @EvaeGesare-m8z
    @EvaeGesare-m8z 3 місяці тому

    Ameeeeen 🙏 🙌 🙏 🙌

  • @flezzyroshan9380
    @flezzyroshan9380 2 місяці тому

    Naomb Mungu pia mpiganie mamangu wakati huu mgumu ❤🙏🙏🧎

  • @SaidiMsuya-wo8lq
    @SaidiMsuya-wo8lq 2 місяці тому

    Mungu simamia uzao wa tumbo langu