Day2_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.3878783
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 45

  • @user-ct6vr6go4b
    @user-ct6vr6go4b Рік тому +5

    Asante mungu mekutma julisha watoto wake

  • @nyamweruhuruma9628
    @nyamweruhuruma9628 11 днів тому +1

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu Kwa mafundisho mazuri,

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому +1

    Kuhusiana na sadaka kumtolea Mungu ktk Agano jipya, kama ulivyofundisha tunapaswa kuongozwa na moyo wa kupenda (tuongozwe na dhamiri), si kwa kulazimishwa kwa namna yoyote ile. Aidha, tunafundishwa tutoapo tuwe na kiasi. Utoaji ktk Agano la kale ilikuwa kikwazo kilichoharibu uhusiano kati ya Mungu na wana wa Israel. Ili kuondoa kikwazo hiki Bwana Yesu Kristo alijitoa fidia ya milele. Kinachotakiwa ni binadamu kuokoka tu. Kuhusu baraka, mtu baada ya kuokoka anabarikiwa na baraka zote za rohoni ktk ulimwengu wa roho ktk Kristo Yesu. Changamoto ya umaskini ktk Kanisa la Mungu inaletwa na uvivu na ujinga.
    Aidha, si vizuri aslani kulinganisha au kufananisha utoaji anaotolewa shetani-ibilisi na Bwana Yesu Kristo. Siyo hekima. Ni dhana inayosababisha watu watilie mashaka uwezo, wema, na, upendo wa Mungu, hivyo, wamchukie kwa namna moja au nyingine.

  • @ChantalKahambu-ei6sp
    @ChantalKahambu-ei6sp 2 місяці тому +1

    Asante kwa kwa somo yangu niko kingo butembo

  • @AlexAliane
    @AlexAliane 7 місяців тому +1

    Asante saaana kwa mahibiri🙏🙏🙏,I didn't know about this (Sadaka)

  • @kakaemanuelelias6963
    @kakaemanuelelias6963 Рік тому +2

    MUNGU akubaliki sana mch amieli uwepowako ktk hiidunia nineema kwa wengine

  • @kizandume3015
    @kizandume3015 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mungu azidi kukuhinuwa

  • @bitihaywajean3563
    @bitihaywajean3563 Рік тому +1

    Barikiwe sana promover team kwakutufikishia Siri za ufalme wa Giza kupitia mtumishi Amiel. Mungu wa mbinguni awawezeshe Kwa kila jambo. Coz rohoni ni vita ila ushindi ni ahadi ya Mungu Kwa waaminio.

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 10 місяців тому +1

    Yes roho mtakatifu hakai mahali pachafu yaani dhambi na roho mtakatifu ni madui ila pia kuonywa hatutaki

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Рік тому +1

    Amen
    Barikiweni sana watumishi wa Mungu kwa ujumbe nzuri juu ya maisha yetu Bwana akawafunike na damu yake takatifu

    • @esterpeter8295
      @esterpeter8295 Рік тому +1

      Mim naomba kwenye kila ibada muweke namba ya matoleo ya sadaka Ili tunaosikiliza mtandaoni tuweze kujiungamanisha na madhabau MUNGU awabariki sana

  • @anthonymaina7100
    @anthonymaina7100 Рік тому +2

    Mafundisho mazuri Sana...nafuatilia kutoka Kenya....nguvu ya sadaka...

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 Рік тому +1

    Barikiwa sana mtumishi

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому +1

    Amen nimepokea ktk jina la yesu

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому +1

    Amen ubarikiwe san mtumishi kwa hilo neno

  • @user-rh2xb7cw8x
    @user-rh2xb7cw8x 11 місяців тому +1

    MTUMISHI WA BWANA MUNGU AZIDI KUKUTUMIA SANA, NA NINATAMANI UJE ZANZIBAR KWENYE KANISA LA KLPZ KWAHANI ZANZIBAR

  • @millianmalisa1355
    @millianmalisa1355 Рік тому +1

    Mungu akubarki Mchungaji

  • @NellyRebiam-tu8uf
    @NellyRebiam-tu8uf Рік тому +1

    Yaani basi tu.Mungu yupo

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому +1

    Shida watu husema tunapewa pastor sadaka hawaoni kama wana mtolea Mungu

  • @MarySammy-qt6wh
    @MarySammy-qt6wh Рік тому +1

    Naomba namba ya mtumishi Amiel katekela

  • @JustinahMutua
    @JustinahMutua Рік тому +1

    Ameni

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 Рік тому

    baba mchungaji umenifungua kwa utowaji mungu anisaidie

  • @rerisamba
    @rerisamba Рік тому +3

    Hilo andiko kwa muda nilikua nalitafakari nashindwa kulielewa coz nijiavyo moyo hauendi mbinguni asante kwa kunielimisha nanaomba uzidi kulifafanua

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 Рік тому

      Moyo wa Biblia siyo huu wa nyama iliyo pampu ya kusukuma kusambaza damu mwilini; Hapana.
      Moyo ni Nafsi ya mtu. Nafesh kwa kiebrania. Self kwa kiingereza. Moyo au Nafsi ya mtu ndiyo hubeba hisia, tafakari, maamuzi za mtu. Kiroho, mtu ni roho, nafsi/moyo, na, mwili; roho, na, nafsi/moyo viko ndani ya mwili.

    • @pirminmatumizi5464
      @pirminmatumizi5464 Рік тому

      Kwa tuliosoma biolojia na ni Wakristo tunajifunza Biblia, moyo unaosemwa ktk Biblia ni Ubongo wa mtu. Ubongo ndiyo complex organ kuzidi viungo vyote ktk mwili wa binadamu. Ndiyo power house inayoendesha viungo vyote vya mwili ukiwemo moyo huu wa nyama. Ni kiungo cha ajabu mno ukisoma operating mechanism yake. Very very complex and complicated. Hisia, tafakari, maamuzi vyote mtu hufanya kwa kutumia ubongo wake, brain. Hakika ubongo ndiyo moyo wenyewe unaokuwa referred kwenye Biblia.

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому

      @@pirminmatumizi5464 wewe nawe hata hujamuelewa mtumishi kabisa hebu musikize uelewe kwa taarifa yako moyo unabaki mavumbini sawa sawa na mwili

  • @adventinandyanabo9358
    @adventinandyanabo9358 Рік тому +1

    Jamani naomba namba ya mchungaji katekela

  • @PauloMaona-in4qh
    @PauloMaona-in4qh Рік тому

    asante sana baba mchungaji

  • @user-kr1ew7ds1i
    @user-kr1ew7ds1i Рік тому

    Mungu akusamehe isaya inaonekana wewe sio muombaji

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому +1

    Wakristo tuliookoka na kuzaliwa mara ya pili hatwendi kwa waganga wa jadi. Wanaofanya hivyo hawajaokoka na ni mawakala wa shetani hao. Hawatakiwi kuwemo Kanisani.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Zungumza kazi zote za sadaka hakuna Cha muda we vipi mtmshi,

  • @esterpeter8295
    @esterpeter8295 Рік тому +1

    WATUMISHI NAPENDEKEZA MTUWEKEE NAMBA YA SADAKA ILI TULIOMBALI NA TUNAFATILIA MTANDAONI TUWEZE KUSHILIKI, MUNGU AWABARIKI SANA.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 Рік тому

    Sadaka inampatanisha mtu na Mungu??

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Рік тому +1

    Mm nataka kutuma sadaka naomba namba ya m.mpesa plz

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani Рік тому

    Mtumishi ye yote anayehubiri sadaka na nyota, hayo ni mahubiri ya shetani, mihuri ya shetani ni uongo, kama huo hubiri habari njema ya ufalme wa mbinguni.sio mambo ya mwilini, jiufunze kwa mjumbe wa agano. Na hata hilo kanisa hulijui.wewe ni mtumishi wa shetani mia kwa mia.

    • @masingijasalum1864
      @masingijasalum1864 Рік тому

      Wewe ni ajenti wa kuzimu subiri utumbuliwe!

    • @mjumbewaaganoduniani
      @mjumbewaaganoduniani Рік тому

      @@masingijasalum1864 Imeandikwa utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na haki yake, mengine mtazidishiwa,hiyo ni kanuni ya Mungu, kanuni ya shetani ni ukisujudia uongo kama wako utapewa na shetani.ufungwe kinywa chako kwa jina la BWANA YESU KRISTO.

    • @rebeccamoses6869
      @rebeccamoses6869 Рік тому

      We naye nebda zako wewe ndo mtumishi wa shetani tatizo hamtaki kuhubiliwa kuhusu sadaka mwache ahubiri watu wafungulie

    • @mjumbewaaganoduniani
      @mjumbewaaganoduniani Рік тому

      @@rebeccamoses6869 laiti ungejua karama za Mungu usingejibu makapi ila kwa Sababu ni kipofu, utajua baadaye!

    • @khadijamwenda1851
      @khadijamwenda1851 Рік тому

      Umeguswa penyewe shetan wewe