VITA WAKULIMA NA WAFUGAJI BADO MBICHI/ NGUVU ZA KIUME ZAWATESA VIJANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 чер 2024
  • Wakazi wa mtaa wa Mpomvu kata ya mtakuja Halmashauri ya mji Geita wameiomba serikali kutatua mgogoro kati ya wakulima na wafugaji kutokana na baadhi ya wakulima kudai kupigwa na wafugaji pindi wanapolalamika mifugo yao kuharibu mazao yao.
    Kilio hicho wamekitoa mbele ya mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba akiwa katika mkutano wa adhara uliofanyika mtaani hapo ambapo wamemuomba mkuu wa wilaya kutatua mgogoro huo ili wakulima wa mtaa huo waishi kwa amani.
    Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • Спорт

КОМЕНТАРІ •