Mim nilifungua duka lalejaleja lakini kila kukicha naambulia maumivu mpaka nakatatamaa nkasema ntapauza lakini kila nkitaka kupauza nafsi inakata jee unanishauli nini
Tafakari kama ulitekeleza yafuatayo: >fursa ya biashara ya duka >Uchaguzi sahihi wa sehemu ya biashara > Uchaguzi sahihi wawateja > Uchaguzi sahihi wa bidhaa >Upangaji sahihi wa bei za bidhaa > Kiasi cha mtaji sahihi wa kuanzisha biashara > Uwekaji wa hesabu za biashara > Uchaguzi sahihi wa mfanyakazi wa duka > Kuchanganya matumizi yako binafsi na fedha za biashara Nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kuanzisha biashara endelevu
1. Angalia fursa ya kufanya biashara ya duka 2. Chagua eneo sahihi la kufanya biashara 3. Chagua kundi la wateja la kuwahudumia 4. Chagua bidhaa za kuuza kwa wateja 5. Wasiliana na wateja ujue wanachopenda 6. Tengeneza plan ya kufanya biashara 7. Tengeneza hesabu za biashara
Hii nimeipenda sana
Ahsante
Safi sana
Karibu tena
nimependaa ❤
🙏
Mim nilifungua duka lalejaleja lakini kila kukicha naambulia maumivu mpaka nakatatamaa nkasema ntapauza lakini kila nkitaka kupauza nafsi inakata jee unanishauli nini
Tafakari kama ulitekeleza yafuatayo:
>fursa ya biashara ya duka
>Uchaguzi sahihi wa sehemu ya biashara
> Uchaguzi sahihi wawateja
> Uchaguzi sahihi wa bidhaa
>Upangaji sahihi wa bei za bidhaa
> Kiasi cha mtaji sahihi wa kuanzisha biashara
> Uwekaji wa hesabu za biashara
> Uchaguzi sahihi wa mfanyakazi wa duka
> Kuchanganya matumizi yako binafsi na fedha za biashara
Nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kuanzisha biashara endelevu
Jmn mm nnalaki 4 nnataman sana biashara ya duka la rejareja la mahitaji ya nyumban mzani nnao na chumba kipo sijui nianze na vipi vya muhim
1. Angalia fursa ya kufanya biashara ya duka
2. Chagua eneo sahihi la kufanya biashara
3. Chagua kundi la wateja la kuwahudumia
4. Chagua bidhaa za kuuza kwa wateja
5. Wasiliana na wateja ujue wanachopenda
6. Tengeneza plan ya kufanya biashara
7. Tengeneza hesabu za biashara
Yote ninamako
🙂