AMPLIFAYA: MAKONDA YUKO WAPI? ALIYEKAIMU NAFASI YAKE AFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 108

  • @maroriventures5322
    @maroriventures5322 Місяць тому +16

    Mimi naitwa Moses from Kenya makoda nampeda sana nasema hivi makoda analidwe na mungu nakuna nyota mungu ameiweka juu yakichwa chake itangaa dunia mzima siku moja mtanikubuka mungu awambaliki

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat Місяць тому

      Tanzania tuna bahati, Zakayo should go mm niko kenya kila kitu kiko juu

  • @FelwusiFelwusi
    @FelwusiFelwusi День тому +1

    ❤kaka sijakuelewa kaka au ndio malipo yetu

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Місяць тому +8

    Milad ninakuamini Sana naomba ufanye namna yoyote umtafute wewe mwenyewe tusaidie jamani tusikie hata sauti yake tu

  • @user-db4cg5mh5b
    @user-db4cg5mh5b Місяць тому +6

    Wampigie cm tumsikie watanzania 😢😢😢😢 hao wana tuchanganya sana 😢😢😢😢😢😢 hila sawa tuu ngoja muda hutaongea😢😢😢😢😢😢 likizo gani bwana mpigieni sm basi tujue yupo wapi

  • @NicholasRasheed
    @NicholasRasheed Місяць тому +7

    Nipo Zambia namtaka mako kwel arudhi plz tunamupenda sana🎉🎉🎉

  • @FelwusiFelwusi
    @FelwusiFelwusi День тому +1

    Apumzike salama+kaka

  • @julietymloka3310
    @julietymloka3310 Місяць тому +4

    Nakubali kazi zako mwana ndugu

  • @AnnaHaule-jg4oy
    @AnnaHaule-jg4oy Місяць тому +5

    Makonda❤

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 Місяць тому +3

    Makonda Mungu amlinde

  • @KhalidSimai-di3no
    @KhalidSimai-di3no Місяць тому +3

    Likizo si mpaka ufikishe mwaka mmoj baada ya kuanza kazi makonda mbona hajafika huo mda au sheria ni tofauti!

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Місяць тому +6

    Tunamtaka makondaaaaaa

  • @adamamin8148
    @adamamin8148 Місяць тому +4

    Kwa iyo frida aujawai kupewa likizo au unajizima data

  • @aziziamimu6011
    @aziziamimu6011 Місяць тому

    Shukran Millard Ayo kwa taarifa.
    Inashangaza sana. Hakuna kiongozi hata mmoja amejitokeza kutoa taarifa zitakazo weka hizi rumors to rest. Inashangaza sana.

  • @SophiaAlly-ih2ss
    @SophiaAlly-ih2ss Місяць тому +2

    Wananchi wote masikio yetu yapo kwa makonda jinsi tunavo mpenda tanzania yote wanampenda sana❤ makonda

  • @FelwusiFelwusi
    @FelwusiFelwusi День тому +1

    Unakumbuka kilicho mkuta yule anculle wa singida

  • @JoyceKutika
    @JoyceKutika Місяць тому +3

    Makonda alikua siyo wakuchua rikizo mapema hivimakonda wetu jamani

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 Місяць тому

    Midam uneongea wewe nakubali.napenda huwa unatoa habari nzuri mno na ukweli❤❤

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 Місяць тому +2

    Siku 28 sio nyingi ukweli utajulikana tuu.

    • @user-ej9xz9dw9p
      @user-ej9xz9dw9p Місяць тому

      Siku hazigandi siku 28 si nyingi. Tuombe tu huko aliko awe mzima

  • @YonaBangili
    @YonaBangili 27 днів тому

    Tanzania tuelekeako ni kubaya sana kwahyo jipangen sana maana kila kiongoz akionesha ushupavu lazma awindwe ufisadi umekthiri mno tz hakuna lolote viongoz wa juu ndo wanaliza wananchi ninyi hamjui

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 Місяць тому +1

    Huyo Nuru angekua mtu poa..angesha mpigia maana kulikua hamna jambo kubwa..sasaiv kuna jambo kubwa je..amempigia..??

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg Місяць тому +3

    Hapa kuna ki2

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 29 днів тому

    Millard Ayo kwenye swala hili nakushauria kutotumikishwa na CCM tambua wana inchi wamechoka na ccm ndivyo mzee magu alihenda CCM iko nakutumia vibaya ila tambua
    Dunia inabadilika unaweza kuja kupoteza vyote shimama kama
    Mtangazaji

  • @PhilbianJohn
    @PhilbianJohn Місяць тому +2

    Likizo haiwezi kumzuia makonda kutowajibu watanzania wenye hofu

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on Місяць тому +1

    Najiuliza mbona sijawahi kusikia mkuu wa mkoa kapumzika na ikaleta tahaluki kwani wew hupumzikagi mbona watu hawajashtuka kwa nini makonda?

  • @FrankhabibuLunenge-vp8ho
    @FrankhabibuLunenge-vp8ho Місяць тому

    Ayo tv taalifa zenu zimenyooka sana hongereni

  • @doctormitishamba
    @doctormitishamba 28 днів тому

    Nimekaa miaka yangu yote sijawah kusikia mkuu wamkoa yukorikizo jamani ngojatusubiritu

  • @JSquare-p9e
    @JSquare-p9e Місяць тому +1

    tz kila kitu nni tetesi hata mtu akaiamua kutokuonekana watasema kafa

  • @ethanethan4437
    @ethanethan4437 Місяць тому +3

    mna balaa sana

  • @abidonndumieni1211
    @abidonndumieni1211 Місяць тому

    Inamaana kama makonda kachukua likizo ni tr 15 mwezi wa Saba nawaomba Sana serikali ya Tanzania hususan kuto kuwawakweli na wawzi kama mtatudanganya kuhusu hiki basi itakuwa mnatudanganya watanzania napia itakuwa kunamengi pia mnatudanganya kuweni wakweli jamani yasemwayo yaponakama haypo mungu ayaepushe.@mungu ibariki Tanzania mungu wabariki viongozi wetu

  • @Aman-vx6xb
    @Aman-vx6xb Місяць тому +1

    Sasa kama yupo likizo wana arusha tunaomba makonda wetu ajitokeze hata kwenye media tumwone hukohuko inaposemwa ni likizon

  • @sanaanimaisha4072
    @sanaanimaisha4072 Місяць тому +1

    Hivi, hana simu kiasi cha kutokumpigia moja kwa moja watu wakasikia sauti yake? Hii taharuki itatupeleka pabaya sana.

  • @JoyceKutika
    @JoyceKutika Місяць тому +1

    Ivi makonda kama Una afya nje na cm taka umezima bac tumia hata cm ya mkewako tu uangalie watu wanavokulilia

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 Місяць тому +1

    Halafu unatoa majibu marahisi kwenye maswali magumu unakosaje kuwasiliana na mtu ambae kwa sasa unamsaidia majukumu??

  • @nzuna5049
    @nzuna5049 Місяць тому +1

    Majibu tu ya Nurdin yana changamoto, mapumziko gani akae kimya kiasi hiki? Wakati yupo bench tu tulikuwa tunamwona

    • @estherkimario7940
      @estherkimario7940 Місяць тому

      Hata nashangaa jaman kuna kitu haipo sawa cjui kwann wanaficha haya

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Місяць тому

    Huna baya mkuu Nurdn Babu,huna baya mkuu ubaya n wao

  • @Moshiling
    @Moshiling Місяць тому +1

    Yeye huko kili kamuacha nani

  • @sekelammbelo8311
    @sekelammbelo8311 Місяць тому

    Anavopenda media Makonda angesha jisemea mwenyewe kama yuko likizo wala wasingemsemea

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho Місяць тому +1

    Ngoja tusubiri maana bado kama siku 19 ili Siku hizo 28 ziishe, halafu ndio tujue kama ataendelea kuongezewa likizo. Kikubwa kuomba MUNGU Maana hata MAGUFULI picha lilianza hivyo.

  • @EdwinalmachiusKazabao
    @EdwinalmachiusKazabao Місяць тому +1

    No me sikubaliani na hii habari.

  • @RayyMond-o9d
    @RayyMond-o9d Місяць тому

    Binti alie lawitiwa

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 Місяць тому

    Wap uwongo huo angekuwa yupo angeshajitokeza c kweli makonda hayupo sawa kuna kitu hapa mungu tu atulindie makonda jamani nina hofu kuna hatar hapa aidha hali yake cyo

  • @vevotz6442
    @vevotz6442 Місяць тому +1

    Kwahyo mama Samia akiwa likizo Ruto atakuja kukaimu hapa bongo cndio?
    Inamaana ktk mkoa wake hakuna wasaidizi wake wa chini ambao wanaweza kukaimu hadi aje mkuu wa mkoa jirani?

    • @GlorydavidJeremiah
      @GlorydavidJeremiah Місяць тому

      Hapo Sasa umenena hatujui nini kilimpata

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 Місяць тому

      Anaetakiwa kukaimu ni mwenye uteuzi wa raisi katika cheo kilekile

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Місяць тому +1

    Nauliza hata km yupo likizo kwann hapigiwi simu tukamsikia km ni mzima kweli. hapa kuna kitu

    • @AbelCharles-co6qb
      @AbelCharles-co6qb Місяць тому

      Hao wahuni2...huu mchezo tayar tumeujua..n kama ule2 wa Maguful...ss hzo cku28 c tayar zmebaki 10...ngoja 2one

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Місяць тому

      umeongea kitu Cha muhim snah

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Місяць тому

    Mnaongoza kama waganga wa kienyeji . Huyo mkaimuji sasa majibu kama anapiga ramli

  • @user-nw6pp8ll6m
    @user-nw6pp8ll6m Місяць тому +1

    Xx kama yupo anaxhindwaje kuatoa w2 wacwac oya 2mepigwa

  • @Evabedu-tf6lo
    @Evabedu-tf6lo Місяць тому

    M nasoma koment tuu.naenda kukala

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Місяць тому

    Mkuu Nurdn Babu huna baya mkuu hp ktkat,achana nao wmlize Bi mkubw SAMIA we huna baya mkuu ubaya n wao,mkuu tuna kushukuru,huna baya mkuu wa muulize Bi mkubw SAMIA

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Місяць тому +1

    Hatumtaki wa. Kilimanjaro tunamtaka wa arusha makonda

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Місяць тому

    Mnatulixha matango pori Watanzania eti Mh Makonda yupo likizo kwanini ukaimu Arusha na kilimanjaro?? Mbona mnatudanganya Watanzania.. Mh mchengerwa, Mh Masauni Twambieni Mh Makonda alipo tujue km mzma ama laah

  • @user-xn3gs9qc8u
    @user-xn3gs9qc8u Місяць тому

    Hmmm kutokumuona na unaskia amepewa sumu sio kitu kikubwa icho

  • @GradnessMuba
    @GradnessMuba Місяць тому

    Kwanini amekaimu? Kaacha mkoa wake hapa sielewi vzr

  • @user-rw6vl4kz2b
    @user-rw6vl4kz2b Місяць тому

    Apa kunanamna sio kweli

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv Місяць тому

    mnaogopa kuhoji 😂😂😂

  • @benjaminjohn1819
    @benjaminjohn1819 Місяць тому

    Ivi ni kweli nyie waandishi amuwez kumtafuta makonda nakuongea nae kama kweli yupo

  • @user-mn2et2pf6z
    @user-mn2et2pf6z Місяць тому

    Huyu anae mwiita amplifier unatakiwa ukapime akiri Yako pumbuvu sana .

  • @DenisDonat-lg4gh
    @DenisDonat-lg4gh Місяць тому

    Ata magufuri ilianza iviiiiii😢

  • @JonasMbuyah
    @JonasMbuyah Місяць тому

    Kwahiyo mtu akiwa likizo huwa ana potea duniani? Kama yupo likizo, kwanini haonekani popote? Au hiyo likizo kaenda Mbinguni?

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 Місяць тому

    Likizo hiii veeepiiii

  • @ismail-vf4zw
    @ismail-vf4zw Місяць тому

    Mmmmh! Yale yalee,
    Mapunzikoo, mapumnziko gani ya kuto onekana Kwa asijitokeze na kuongea na WaTanzania ili kuondoa hofu, kusema mapumnziko ni uongoo, nyie wandishi nenden nyumbani kwake mpate ukweli, na namba ya makonda hamna???

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 Місяць тому

    Milad Ayo na Frida Amani mnafaa kuwa mke na mume.! Fanyeni kweli basi

  • @user-hz5dv2el4m
    @user-hz5dv2el4m Місяць тому

    Kuna wasiwasi. Ata majirani zake hawajitokezi kutujuza, wapi haripo?

  • @wilsondotto9332
    @wilsondotto9332 Місяць тому

    Likizo gan? Uongo

  • @erickjosephat863
    @erickjosephat863 Місяць тому

    Balaa Zito 😢

  • @resmankalulu3399
    @resmankalulu3399 Місяць тому

    Tunaomba asimame mwenyewe aongee

  • @HassaniHusseini
    @HassaniHusseini Місяць тому +1

    Why would you include music when reporting news ? Ayo, be a professional, bro!

  • @MaikoIddy
    @MaikoIddy Місяць тому

    Sasa hyo taharuk kwa wananch wa Arusha kwa nin asijitikeze sasa km ni kwel Yuko likizo

  • @DonaldkilianiMmbaga
    @DonaldkilianiMmbaga Місяць тому +1

    Makonda ni jembe na anavita vingi sana jaman makonda kawa mtetezi wawatu naana pendwa na watu

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 Місяць тому

    bas muulize mchengelwa

  • @user-nc7by6hd7b
    @user-nc7by6hd7b Місяць тому

    Huui

  • @Danielmsigwa-x7f
    @Danielmsigwa-x7f Місяць тому

    Tutaaminiaje

  • @DPW665
    @DPW665 Місяць тому

    Si mngempigia simu yeye badala ya watu wengine, watu wasikie.sauti yake

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo Місяць тому

    KWA MAGU WALISEMA HIVIHIVI 😢

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo Місяць тому

    Hakuna shida tunahesabu siku

  • @mauwashadrack8624
    @mauwashadrack8624 Місяць тому

    Makonda hupo wapi?

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein Місяць тому

    Hata kipindi alipokua sio mkuu wa mkoa au mwenezi tulikua tunamsikia movements zake....sembuse sasa hivi ni mkuu wa mkoa tusimsikie? huu ni ujinga mtupu, tunataka ukweli.

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj Місяць тому

    Majibu yenye we ni uongo

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu Місяць тому

    Wamesha muua baadaya wiki utasikia 2 dalili zimesha onekana

  • @danyboy571
    @danyboy571 Місяць тому

    Nani mwingine kapenda kicheko cha frida amani?😅😅😅

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Місяць тому

    Miladiayo wewe si uende nyumbani kwa makonda? Shida nini tunataka kumwona, likizo gani hata nusumwaka hajamaliza, watwambie tu, pia kama kweli yupo likizo asirudie tena makonda kukaa kimya bila kutwambia kuwa analikizo maana atatuua kwa presha ya kuwaza yupo wapi

  • @googleus4903
    @googleus4903 Місяць тому

    Alipoteza wenzie
    Malipo hapa hapa duniani
    Watu wasiojulikana wamejisahau wamepita nae😀😅

  • @manoramatv858
    @manoramatv858 Місяць тому

    Kwann mh asitoke akaongee kwenye ukarasa wake wa Twitter au insta?

  • @YustaGerald
    @YustaGerald Місяць тому

    I'll q 😊

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 Місяць тому

    Mkuu wa mkoa mbona km unajitafuna

  • @lutegogospelteam1939
    @lutegogospelteam1939 Місяць тому

    Muda utaongea

  • @karama99
    @karama99 Місяць тому +3

    Wiki ijayo Arusha kutakua na maandamano kwaajili ya kushinikiza serikali kutoa taarifa kuhusu alipo makonda
    😅😅😅

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv Місяць тому

    upngo huo

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf Місяць тому

    I'm from Africa I like good leaders like makonda I beg these social media to be open to work with Africans politics will end africa no one will be alive because of poor leaders and the money you are stiling you will use them in grave

  • @anzurunindume
    @anzurunindume Місяць тому

    Huyo jamaa nimjinga kweli
    Hata yeye hajui alipo
    -utakosaje mawasiliano na mwenye office?
    -

  • @MeryMathias-od5mu
    @MeryMathias-od5mu Місяць тому

    Waandish wa habar nenden bas ht kwa familia yake pia tuwasikie wanajua kitu gn

  • @flamesnomaki5743
    @flamesnomaki5743 Місяць тому

    Fxk

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Місяць тому

    Mnaongoza kama waganga wa kienyeji . Huyo mkaimuji sasa majibu kama anapiga ramli

  • @JoyceKutika
    @JoyceKutika Місяць тому

    Makonda alikua siyo wakuchua rikizo mapema hivimakonda wetu jamani