🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • 🔴#Live: ''ANATUITA MBWA'' - WAMACHINGA WAMLIPUA DC BOMBOKO MBELE ya RC CHALAMILA - MGOGOGORO SOKONI
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 55

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u Місяць тому +2

    MACHINGA MSIMUAMINI SANA HUYU MKUU WA MKOA....MANENO MENGI!

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 Місяць тому

    Wabongo mnachukuliwa poa sana. Mnapelekwa pelekwa tu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Місяць тому +3

    DC Bomboka Kwa kuwakamata machangudoa amejitengenezea maadui wengi sana!

  • @listamaswaga5289
    @listamaswaga5289 Місяць тому +2

    Mnaharibia mama utawala wake harafu kumbuka tunaelekea kwenye uchaguzi ebu acheni kuwasumbua wapigakula haoo

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Місяць тому +2

    mnashagilia kama mazuzu inamaana akienda kuongea na hao aliowataja wanapanga namna ya kuja kama timu waongee sauti moja na mtaumizwa mpende maipende

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n Місяць тому +3

    Daaah siku mbaya kazini kwa mkuu wa wilaya najua maumiv aliyopitia kwa siku ya leo atakapofika nyumbani na kukaa mwenyewe na kujifikiria atakua na mawazo sana vdio hyo ikimfkkia mh Rais nn kitafata kwake kama mwanaume na bado umri wake ni mdgo ndo kwanza alianza kuaminiwaa na wananch pole yake sana binafsi kama baba sipendi kuona mwanaume mwenzangu amefukuzwa kazi kisaikogy inatesa sana.

  • @EzekielLaizer-hj3ri
    @EzekielLaizer-hj3ri Місяць тому +2

    Tatizo mnashangilia siasa badala msubirie vitendo ao watu waongo sanaaaa

  • @BobNasa
    @BobNasa Місяць тому +1

    Kwakweli siasa ni kitu kizuri sana😮

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 Місяць тому +3

    Kama hajachaguliwa na wananchi anawezaje kuwaongoza😂,huo mbona ukatili

  • @onesmomalifedha4709
    @onesmomalifedha4709 Місяць тому

    Hili jamaa lina saikolojia kali sanaaaa

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 Місяць тому +4

    Mama Samia huyu jamaa anajazba hafai kuwa kiongozi

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 Місяць тому

      Anajazba nani?

    • @Mwachuomo
      @Mwachuomo Місяць тому

      Jazba gani mbonA anafanyA kz vizuri

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Місяць тому

    Nice RC

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому +1

    Wewe hujitambui mama umeleta mabadiliko hawa ndio viongozi kweli

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Місяць тому

    Ccm ni mchwa kila bumunda linabiringika na rushwa ni aibu kwa uongozi huu wa sasa

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Місяць тому +1

    Uwingi wa watu hawa sio uwingi wa watu huu Rc

  • @karyori69
    @karyori69 Місяць тому +2

    sijaelewa yaani wamachinga wanataka kukaa vituo vya DART? ama? Huu ni upumbavu sasa!

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 Місяць тому +1

    Aaa kumbe wa (W)Ubungo!

  • @PASCALJUMANNE-s7w
    @PASCALJUMANNE-s7w Місяць тому

    Picha linaendelea Wale waliokamatwa madada poa wamemtafuta mganga mmoja tu piga kazi tuone atafika wapi ndo mnacho kiona kila anachofanya watu wanamuona kama mdudu washa

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Місяць тому +2

    Nilitabili kua magufuli alivisha kitanzi ccm machinga muliokalibisha balabalani milangoni mwawatu kupikia babalabalani mukakiuka sele za nchi itawagalimu machinga ndio wataleta mabadiliko na vita nchi inaendeshwa na sele siyo polojo za chalamila

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      Hongera sana upo sahihi mno,katika kosa kubwa alilofanya ni hili .Yaani limeharibu nchi nzima sio Dar es salaam tu bali Tanzania nzima. Chalamila anachezea watu akili yeye mwenyewe kachaguliwa kwani na watu ?yeye mwenyewe kachaguliwa na Raisi ila watanzania kwa kukosa Elimu wanadanganya kama watoto wadogo. Hawa wamachinga ni shida kubwa nchi nzima miji yote imeharibika kabisa kabisa. Itabidi iwe isiwe CCM wasiangalie ushabiki wa kura waangalie mipango miji usafi wa mazingira wawatafutie sehemu maalum za kufanya biashara. Kuna Mkoa fulani badala ya kuwatafutia sehemu ndio kwanza wamewaambia watoe sh alfu sabini ili tu wakae mabarabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu.

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому

      Lugha sasa ndugu yangu!! Duh!! Tz kuna kazi

    • @justardzelphine6526
      @justardzelphine6526 Місяць тому

      Kawavuruga wateja wa watu!

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Місяць тому

    Laana za wanawake zimeanza kazi

  • @BrunoRufulenge
    @BrunoRufulenge Місяць тому

    Wasiyo mpenda mkuu wawilaya ubungo niwale watejaa wanao nunua dada poa

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 Місяць тому

    We mjinga tutaenda popote sio lazma kuish Kariakoo shez ww

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Місяць тому +1

    Huyu ni Chawa tu hana Jipya musiwe Wajinga.Komaeni ili mupate haki zenu Musimkilize huyo Mlevi.

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab Місяць тому

    Asikwambie Mtu Uchaguzi Ukikalibia Usiwaze Eti Machinga Kufukuzwa Uyo DC Sijui Ajui Kuongoza Yeye Mawazo Yake Kwa Machangudoa2 Ajui Sifa Za Kuongoza Mkuu Wa Wilaya Achana Na Makahaba Isipokua Ukiwaona Inje Ya Nyumba Yako Timua Lakini Uko Walipo Achana Nao

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Місяць тому

    Hajakosea ni mbwa tu

  • @emmanuelreuben1863
    @emmanuelreuben1863 Місяць тому

    Ukahaba tu, umalaya aaaaaaaaah

  • @sanjaypandit3790
    @sanjaypandit3790 Місяць тому

    Mkuu kumbe mnatambua umuhimu wa wafanyabiashara...Sasa bona 2015 hadi 2020 hamkuona Hilo na mliwamaliza wafanyabiashara wote

  • @EzekielLaizer-hj3ri
    @EzekielLaizer-hj3ri Місяць тому

    Kueni kama ma Genz uku Kenya anaongea ty utumbo na ndio maana Kuna haja ya katiba mpya Leo hii asingekua mtu wa kuteuliwa bali awe wa kuchaguliwa angewa anawatumikia wananchi ingewa ilo swala ni la gavana ama senator ama diwani katiba mpya ni muhimu

  • @user-wr7io8lh6j
    @user-wr7io8lh6j Місяць тому +1

    Watanzania aliewaroga.....😂😂😂😂

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 Місяць тому

    Yuko vzr alosema Jiwe yuu mzima,na kuwa aliongea nae jana yake usiku na akamplekea hela za maendeleo?
    Lbd useme:kwa hili yuko vzr' maana hata mbya ni mzr pengine!

  • @zuberiismail2972
    @zuberiismail2972 Місяць тому

    Wamachinga wanadharaulika sana na wenye maduka wakati wenye maduka nao walitokea kwenye umachinga waacheni wamachinga wafanye kaz watakuwa kama nyie tu n wao hawapendi haya manyanyaso wanajitafuta ili wawe na mitaji ya kuingia kenye maduka waanze kulipa kodi haise kuweni na huruma nchi yangu

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein Місяць тому

    siasa tu hizi

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c Місяць тому

    Anawaita watu mbwa mbona mkuu wa mkoa hapo husikilizi watu kuwa kwann wanalalamika ? Kwann usingesikilza?

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 Місяць тому

    Huyo kama anovoonekana ndie mkuu wa (W) kinondoni?
    Ndie alowakamata "wa dada/mama wafurahishaji"
    Kazi ipo!

  • @user-wk8yl6jp9i
    @user-wk8yl6jp9i Місяць тому

    Chalamila umemkingia kifuwa mkuu wa wilaya

  • @PeterBaton
    @PeterBaton Місяць тому

    Uyo DC Mbn kama Kanywa dabo kiki🤣🤣🤣

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 Місяць тому

    Unaweza kufikiria uongozi kama ni kazi kuuuubwa!!!Kumbe ni busara tuuuuu!! Kwa akili za kawaida mtu mmoja huwezi kushindana na kundi kubwa la watu.Watu wakiwa wengi wanakuwa na mawazo meeeeeengi.Nishauri tuu viongozi jamani tumieni busara kushughulika na watu. Ebu jadilianeni kupata makubaliano. Hongera comrade Chalamira

  • @hamadsalim5641
    @hamadsalim5641 Місяць тому +1

    dar Salam wamepata mkuu wa mkoo Yuko VIZUR na wab

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 Місяць тому

    Bomboko anachukiwa kisa kawakamata makahaba

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 Місяць тому

    Wamemsingizia hizo ni bifu za watu kwa vile aliwakamata machanguo doa mkuu wa wilaya kwa nafasi yake kuwaita wananchi mbwa ni uongo mtupu wamemsingizia lazima sasaiv hawe na maadui wengi

  • @EzekielLaizer-hj3ri
    @EzekielLaizer-hj3ri Місяць тому +1

    Angewa mtu wa kuchaguliwa angetumikia wananchi katiba mpya ni ßssss

  • @MyahudiMgalilaya-vh6ss
    @MyahudiMgalilaya-vh6ss Місяць тому

    Ili likuu la wilaya cjui uyu Mama kaliokota wapi? Yani Halina hata maono Yani maono yake nikutafutaga machangudoa tu