Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimependa Sana maneno uliyomwambia Tariq i hope akiiskia anapata faraja Sana in'sha'Allah yawe ni maneno yanayompa furaha siku zote 🤲
Waoo ndo ww kumbe mbarooq nashukulu kkujua 🌹❤️
Maisha safari ndefu sana toka radio imaan moro Hadi hapa ni hatua kubwa sana
Waoo ubarikiwe kka unasauti nzur wallah
Nice voice Khan 💞💞💞💞💞
Kaan Mbaruku Hongera sana ukovizuri
kaka unasauti nzuri sana leo ni mefurai kukuona
Napenda sana sauti ya huyu kaka 💕💜💜
Hata mie huwa napenda niirudie zaidi ya mara moja
Kuliko yangu
Mmmh!!sauti ya kusisimua aisee💃💃💃
My brother khaan kila lakheir
Asante sana my brother from another mother kwa hakika video zako nazipenda sana ndio maana nimehifadhi video zako zaidi ya mia NNE
Mwanangu demu wangu anapenda sauti yako hadi na mimi nimeiigiza ili nipendwe
Unasawuti nzuri😍😍😍
Ata mii napendaga sauti hii yaani acha kabisa😍😅🔥🔥👍
Masha allaah
Napenda Sana sauti yako jamni ubarikiwe Sana kaka👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Anatumia jina gan
@@zaykipini4761 Mbarouk Khaan
Namkubali sana
Upo vizur
wowoo nice sauti
asalm aleykum bro mm naitwa Mohamed natokea nchi ya Oman Muscat 🇴🇲 🇹🇿 hongera sana kweli My bro kazi yako ni nzuri sana kweli kweli
Hıyo sautı hatar sana nakuombea kaka ufıke mbalı yaanı ungekuwa kwa wengıne dah ungekula shavu sana.
Wow!!!hiyo sauti kaka !!!inanibamba,Kwa kweli unafaa kuwa mtangazaji,,,,aaaaai huba huru
Ni mtangazaji mbna wa clouds
uko sawa nilisikia sauti nikawa lakn mtu simuoni lakni nimefurai kukuona 🥰🌹😍
Yaan Hua napenda msikiliza lkn cmjui
Wow napendaga sana sauti yake huyu kaka mash Allah
nasikiyaga sautiyake tuu, Leo nimefurahi kumuona,
Nice voice
Mimi shabikiyako nakupenda sana
Mimi kabisa mwanaume nilienae sijawahi mpenda kumbe wapo wengi
Uyu na mo j wanasaut nzur sana
Such a lovely voice 🔥
Kumbe hii sauti ni yako hongera sn👏👏
Jamanu mbarok kwa kweli upo vuzuri
Yuko vizuri namsikiaga tu sauti yake
Kaka anasauti uyu
Kweli Mungu akupi vyote jamani aaaiii 😂🙌🏻
Hahahahaaa ni kweli ni mbaya ila kajaaliwa saut jaman😂😂
Kumbe sauti ni yahuyu mwamba!! Aliwahi kusema kama unampenda mke wako usifanye jaribio la kumfumania
Duuh kaka anasaut. Nzur
Anajua sanaaaa
Jamaa ndo nimemuona live leo kumuona kwa picha
Napenda Sana huyu kaka ishi sana
Big up bro 🇰🇪
Kwa hiyo hata ammonaize mlimsaidia kumpa mistari ya kumludisha kajala
daaaaa sijui ata niongee ninii mahan nijikuta km nimeishiwa lakuongea ivii,sababu maneno Yako kilaaa nikisikiyapo nayaona Madhuriii pia yanafundisha sanaaa"pia ongera kwakuwa nasauti yakiume🎤
Asante
Mroo ww mkal sana hongera sana .
❤hiyo sauti
Kumbe n ww hukusikia tu Leo nkakuona Morris county Kenya
Kumbe nihuyu tunasikia tu sauti
Kaka naomba no zake za huyu mwamba
Hii saiti na maneno kwa Dem hachomoki
jamani unasauti nzuri jamani
Bro habari za wewe,,,nifanyie na mm moja kakaa
Mbon unasaut nzur snaa kuliko ulivo jmn kwel mung akupi vot
Mwanaume aweje mzuri zaidi ya hapo?
Unamajungu sana ww yupje?
ni moshi sio arusha
Sio sauti tu,Huwa anaongea maneno ya busara Sana.
Huyu mshenz bdio mn kamuoa luludiva kwa mineno tuu watu wafupi wanashida sana kkkk
Heee Khan Ndo wewe
Nisaidie no ya khanaaa