MBUNGE AMTAJA MAKONDA MBUNGENI SAKATA LA USHOGA “Watoto wa Kiume WANAKATA Viuno”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 138

  • @alicerugambage6245
    @alicerugambage6245 Рік тому +1

    Hongera kaka umeongea kwa uchungu Mungu atusaidie

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 Рік тому +10

    Ma Shaa Allah! Well spoken! Tumuombe sana Mwenyezi Mungu asije tuangamiza kwa laana za hawa viumbe 😢 Nawa pongeza sana ndg zetu wa Uganda kwa hatua na sheria kali waliyo pitisha dhidi ya Ushoga na usagaji 👏

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga Рік тому +9

    Lazima wapatikane watu kama hao ambao watasimama bila hofu wala mashaka kulikemea na kulikataa jambo hili nchi nzima. Hongera, mheshimiwa, kwa kazi nzuri.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому

      ANATOSHA KIUTENDAJI KAZI
      . HAPA KAZI TU. KWELI AMESTAHILI NYADHIFA. HASWAAA!!. MWEZI MTUKUFU SHAHIDI. AMEWAKUMBUSHA WAUMINI. ALHAMDULILAH. IN GOD WE TRUST.

  • @lilianalex6671
    @lilianalex6671 Рік тому +15

    Umeongea sahihi kabisa mbunge , Mungu wa mbinguni akuinue

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Рік тому +1

    Asante Kaka

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 Рік тому +1

    Mungu akulinde mbunge umeongea point

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 Рік тому +8

    Safi kabisa Mbunge Mungu akubariki

  • @GuerschomOmollo-wz9ly
    @GuerschomOmollo-wz9ly Рік тому +11

    Mungu akubariki Baba🙏🙏

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +20

    Asante mbunge wetu kwa kuongea kwa hisia kubwa sana pia inaumiza sana mwanaume kwa mwanaume kweli

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому +1

      MBUNGE NI MWANA HIP-HOP. ''Hip-hop is the positive WAYS OF LIFE''. HIP HOP NDIO MAKAVU. REAL HIP HOP HAIPINGWI. (SIO WABANA PUA). Imeisha kihivyo. ABSOLUTE.

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 Рік тому +1

    Wabunge rekebisheni hiyo sheria ya ushoga ilezee banana ushoga sio kuingilia kinyume cha maumbile. Ushoga ni ngono ya mume na mume au mke na mke ,ni ndoa za jinsia moja amukeni wabunge rekebisheni hiyo sheria mara moja muweke bayana makosa haya .
    Mwenyenzi Mungu atawauliza wabunge na wote wenye mamlaka ya kuzuia ujinga huo .
    Nyie wenye mamlaka hili jambo Mwenyenzi Mungu atawauliza dhambi hii .

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 Рік тому +2

    Safi sana kijana mwenzangu na bro wangu ki umri umenena vyema sana mh.

  • @mariosigala8760
    @mariosigala8760 Рік тому +2

    Asante Msemaji makonda ni Mmoja ya viongozi mfano wa kuigwa Ktk maamuzi magumu.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Рік тому +6

    Huyu mbunge amenifurahisha sana, serikali ipeleke muswada , bunge litunge sheria kali juu ya ushoga na mashoga, hatutaki huu ushenzi ndani ya nchi yetu afrika na dunia kwaujumla

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Рік тому +16

    Mtamkumbuka Sana makonda

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому

      Na ndio uzuri wa kusoma na kuelimika. SOME TIME YES SOME TIME NO. SOLUTION DISTINCTIVE..

  • @allykanju2416
    @allykanju2416 Рік тому +6

    Asante mtoto wa fundi cherehani umenena vema tuokoe Taifa letu na hiyo laana

  • @msunjigfx8644
    @msunjigfx8644 Рік тому +1

    We kiongozi wakuchongeshee sanamu

  • @peterbujari5128
    @peterbujari5128 Рік тому +1

    Afrika Mashariki tuungane kupinga USHOGA NA USAGAJI.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 місяців тому +2

    Habari tulizonazo ili muendelee kupata mikopo lazima ushoga na usagaji mkubaliane na hilo

  • @dr.bonye1
    @dr.bonye1 Рік тому +11

    Abubakari Asenga Mwamba wa wilaya ya kilombero🔥🔥🔥🔥🙏

  • @bethinaalphonce8724
    @bethinaalphonce8724 Рік тому +3

    Mungu akubariki

  • @peterbujari5128
    @peterbujari5128 Рік тому +1

    Tungeni sheria ya ishahidi wa mazingira... Sherehe, kuvaa, kujitangaza n. K

  • @newbrandstudios4700
    @newbrandstudios4700 Рік тому +8

    Well said 🔥🔥

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 Рік тому +7

    Mbunge huyu anangea point 100%

  • @bilaalmuhammad9499
    @bilaalmuhammad9499 Рік тому +12

    Mungu ibariki Tanzania

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 Рік тому +1

    Safi sana mbunge umeongea bonge la point wakionekana na viashilia vyovyote kamata

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +1

    Kiongozi wewe ulichaguliwa na watu ongera sana kwa kuwasemea watu wa aina iyo ubalikiwe na mungu kwa maneno ya ekima na busara zako

  • @estherfred1071
    @estherfred1071 Рік тому +1

    Asante Sana kwa kupaza sauti

  • @revocatusmagezi2235
    @revocatusmagezi2235 Рік тому +1

    Mmeshindwa Sheria ya mimba kwa wanafunzi, mpo huko mpo wengi, ila inaonekana Sheria imetungwa na mtu mmoja. Eti Binti anaonekana hakufanya kosa lolote lile. Kweli?
    Kama mmeamua Binti kuwa huru, basi na mtoto wa kiume aachiwe huru automatically. Chunguzeni na nchi za wengine wanafanyaje ktk hili. Mf South Africa, msumbiji, nk.

  • @lizybagamba2067
    @lizybagamba2067 Рік тому +1

    Hacyekuelewa mjinga'iv ndo vichwa kunavovitaka bungeni,c hawa wanaozunguka tu ktk viti..

  • @jacksonsimon5020
    @jacksonsimon5020 Рік тому +5

    Mungu akubaliki kaka kwa mchongo MZURI kabisa

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 Рік тому +1

    Safi kabisa! Aksante sana

  • @anickashasha
    @anickashasha Рік тому +6

    Asante sana Mbunge. Hii umepasuka vizuri sana. Wanaume wanavaa heleni na kusuka nywele. Mambo gani jamani Mheshimiwa?

    • @ankotemba7369
      @ankotemba7369 Рік тому

      Lakini hizo sio points 😂😂😂

    • @anickashasha
      @anickashasha Рік тому

      @@ankotemba7369 kama na wewe unavaa heleni na kusuka nywele basi huna marinda, yalikwishafumuliwa. Dawa yenu ipo jikoni. Hatutaki huo ushetani.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Рік тому +1

    Sahihi kabisa sheria ni nyepesi sana

  • @hellengwopundo4927
    @hellengwopundo4927 Рік тому +1

    Umeonae ,makonda aliongea saaaana wakamwona Kama kichaa , mjinga, mpumbavu,tena viongozi wakawa wanamzushia maneno kila siku ili akamatwe sasa Leo mnamkumbuka,mkiona mtu anakemea Jambo ambalo halifai inatakiwa muwe kitu kimoja ona leo,makonda MUNGU akubariki popote pale yupo

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 Рік тому +1

    sheria ya ushoga ipitiwe upya na kuongezwa vipengele na makali kama tunataka kutokomeza huu ushetani

  • @zainabsuleiman-8757
    @zainabsuleiman-8757 Рік тому

    Uko vizuri sana natamani nijue mbunge wa wap mungu akulinde

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 Рік тому +1

    Halafu Kuna mtu kiongoz anakuja kusema fanyeni wakubwa tu watoto muwaache,. Kweli? Sijui tunaenda wapi

  • @mubinaledroos9161
    @mubinaledroos9161 Рік тому +2

    Very very true this must stop this is dirty game this must stop cleen our country long live tanzania

  • @scottgeorge5677
    @scottgeorge5677 Рік тому +1

    On point kabsa

  • @MrMwadila
    @MrMwadila 3 місяці тому +1

    Hiyo ya “ wanaume kubinuka binuka “. 😂” imeniacha hoi. Mwanzoni nilifikiri kwamba wanabinuka sarakasi. Mibinuko haramu lazima ikome

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Рік тому +1

    Au wangekamata mashoga 5 tuu then wakawabana wataje mabasha wao kisha wahasiwe na kutangazwa adharani na itangazwe ndio sheria mpya tuone km wataendelea

  • @bichulopaulo2366
    @bichulopaulo2366 Рік тому +1

    Asanteeeee simemeni iwekwe sheria

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 Рік тому +9

    Nisahihi kaka Serikali ifanye kazi yake

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 Рік тому +1

    Nimekuelewa sana

  • @bahaticharles2013
    @bahaticharles2013 Рік тому +1

    Mungu akubariki umesema vyema

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 Рік тому +1

    Big up sana

  • @rosehinju2330
    @rosehinju2330 Рік тому +1

    Amina

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 Рік тому +4

    Kweli kabisa umeongea kweli

  • @EricaVenance-uw8kv
    @EricaVenance-uw8kv Рік тому +3

    Tuna kushukuru baba kwahoja mungu akutangulie.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому

      Huu wakati si wakati wakuleteana makuzi wala upuuzi. TUWAONE SASA! KWANI SISI UJINGA TUNATAKA!!. WANATURUSHIA STIMU. MADEMU SIO HADIMU, MAMENI SIO HADIMU SASA NINI? LAANA?... WANAZINGUA VINAOWAWASHA.

  • @dorotheafrancis2865
    @dorotheafrancis2865 Рік тому +5

    Safi wakatwe wote

  • @ShabanMrisho-im4rh
    @ShabanMrisho-im4rh Рік тому +3

    Viongoz mnakula hela za magharibi, mabalaa mnatuachia watoto wa wanyonge,ila kwa uwezo wa mungu na watoto wenu wataingia kwenye hili inshallaah ili na nyiny viongoz muone uchungu wa mambo haya

    • @fokashendry3035
      @fokashendry3035 Рік тому

      Malipo ni hapahapa duniani, viongozi wenye dhamana ya kutoa kauli ya mwsho wanazingua Sana Yani,....sijui wanachukuliaje hili taifa...

  • @adammmanga1664
    @adammmanga1664 Рік тому +1

    good kiongozi

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 Рік тому +3

    Nikazindugu.
    Kulisema hilo linawapa watu uzito kwakua kuna.....
    Mzungu anatifanya watumwa ila tunamuona ndie msitaarabu.
    Huyu Allah atachoma wengi.
    Ewe mola wetu onesha nguvu zako dhidi ya wapuuzi wenye kutuletea mambo haya.
    Allahumma aaamiiin.

  • @Frajuu
    @Frajuu Рік тому +1

    Safi sana

  • @williamdeus7348
    @williamdeus7348 Рік тому +2

    Nipo Tayar kujitolea kwajili ya nchi yangu

  • @dykonshazi9104
    @dykonshazi9104 Рік тому

    Smart brain

  • @Nyotaafrikamusic
    @Nyotaafrikamusic Рік тому +2

    Allah Azid Kukiweka Mchango wako Adi Utakapo Ishia Unatija Sana Maana Iivita N Kubwa Aiwezekani Bunge Lina Wabunge 300 na et Mamb Kama Haya Wamerilax Tu Mung Akupe afya Na Akushindie

  • @fokashendry3035
    @fokashendry3035 Рік тому +6

    Watanzania inabidi tufunge na kuandamana nchi nzima ndo viongozi wajue tunamanisha....bila maamuzi magumu mambo hayaendi coz haiwezekan viongozi wanaruhusu wapuuzi Kuna kufanya kampeni za kishetani hapa nchini half mzazi unaambiwa mkanye mwanao, hatupo serious for sure!!!

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 Рік тому +5

    Mungu akulinde sana babaaaaa

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +4

    Asante mbunge tunaumia jamani hili swala lipigeni vita jamani

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Рік тому

      Shua , wataumia wasiojielewa. Serikali ya vichwa vyao. SHOBOZ

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 Рік тому

    Asante Sana mbunge wasipochukulia hatua selikali tutajua Hawana lolote

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 Рік тому +3

    Laiti angekuepo anko jp nazani saizi mishoga yote imeshakimbilia marekani

  • @iet_tanzania
    @iet_tanzania Рік тому +2

    Well said

  • @sharifaoctavian6478
    @sharifaoctavian6478 Рік тому

    SAFI MBUNGE SAFI SANA

  • @comedyhanje640
    @comedyhanje640 Рік тому +1

    Kama taifa sisi tusimame kupinga huu uovu.😭😭😭
    Pia sheria kali zitungwe na kufuatilia kwa undani.😭😭😭
    Isitoshe watengwe kabisa na jamii maana watawafundisha na wengine.😭😭😭😭
    Daaa Ee mwenyezi Mungu turehemu tunaangamia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed Рік тому +1

    Kweli kabisa umeongea

  • @godfreysizya3711
    @godfreysizya3711 Рік тому +3

    Makonda arudishwe anyooshe jiji

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Рік тому

      yaaan makonda na sabaya ndo walikua jembe kukomesha hayo jaman warud kazin wafanye kaz

  • @WilsonDanieGerald-e8r
    @WilsonDanieGerald-e8r 2 місяці тому

    Kabisa

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 Рік тому +2

    100%🔥🔥🔥🔥🔥

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 Рік тому +2

    Asante mno mbunge ulindwe na Mungu ww😭😭😭

  • @fahminasser3855
    @fahminasser3855 Рік тому +2

    Hao ukiwapeleka magereza ndio watafirana mpaka wakihema mavi yawatoka itungwe sheria ya kuuliwa tu

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Рік тому +3

    Tumechukia sana kauri ya rais kuhusu ushoga

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Рік тому +1

    WEWE MBUNGE UPO SAHIHI MAKONDA ALILIWEZEA SANA HILI JAMBO NA DAR ILIKUWA SHWARI SANA SASA HV PANYA RODI WAMAJAA. MAMA SAMIA MRUDISHE MAKONDO ILI NCHI IWE NA AMANI.

  • @meshackmwalongo9798
    @meshackmwalongo9798 Рік тому +3

    Wasanii wakiume wanavaa sketi hivyo niviashiria vyaushoga.

  • @MR_NONAME_TZ
    @MR_NONAME_TZ Рік тому

    kamata aisee dah!! wakamatwe kwa kweli

  • @SanareLaizer-en5it
    @SanareLaizer-en5it 5 місяців тому

    Kweliiii??

  • @WilsonDanieGerald-e8r
    @WilsonDanieGerald-e8r 2 місяці тому

    Aisee jmn

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 Рік тому +5

    Hapo umesema. Kiukweli viongozi wetu wakubwa hawajawa serious na hili jambo. Museven kalikalia koona hana mchezo.
    That's what we need for TZ, do mtu unaogopa hata kutuma mtoto dukani. Seriously!!!

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 Рік тому +1

    Sasa nyie si ndiyo watunga sheria?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Makonda ni mwanau m e .Tumuheshimu😊

  • @seifkipwasa1353
    @seifkipwasa1353 Рік тому

    Jamaa kaongea ukweri

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 Рік тому

    Amejenga hoja vizuri

  • @sherallysherally1203
    @sherallysherally1203 Рік тому

    Nakuunga mkono Mh. Mbunge. Mimi ni kiongozi wa kidini. Nakubaliana nawe.
    Sheria zetu ziwabane zaidi Mashetani hao. Hukumu ya kunyongwa HADHARANI TU, ndiyo itatokomeza Vitendo vya Kaumu Luut. ( Wafanyao Liwati). Vinginevyo Madhara yake ni makubwa .

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 Рік тому

    IPO siku nipo tayari kupinga ushoga

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 Рік тому

    Magufuli baba na Makonda kaka mambo yameharibika sasa mtakumbukwa sana

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +1

    Pointi mbunge wangu

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 Рік тому +2

    Mbunge una akili nyingi sana. Hili jambo ni zito mno!! Viongozi/ wakuu wa nchi jueni huko ahera swali mtakalo kutana nalo ni hilo, ushoga ulipotamalaki nchi kwako mlichukua hatua gani kupambana nao! Kwa hili Afrika Mashariki lazima tuungane kuwakomboa vijana wetu na vizazi vijavyo .

  • @NadiaNas-yk8ym
    @NadiaNas-yk8ym Рік тому

    Wengi wao wanogopa kuongelea kwsababu wasije nyimwa viza kwenda marekani

  • @manjaruu1575
    @manjaruu1575 Рік тому

    Umeongea point ila kmmke itasaidia hiii mbona kama nahisi wataku ignore aseeee

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Рік тому

    Mm naona haita saidia kuwafunga sababu wakienda gerezani wataendereza tabia hiii kwahyo Chakufanya jengeni gereza Rao ikishindikana mturuhusu sisi wanainchi TUANZE KUWAUA taratibu wataisha tuuu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Tundu Lissu alikuwa na mpango wa kujenga hotel ya kitalii huko kusini na hela kapewa na wasenge Amsterdam nk.FUATILIENI SANA.HATARI

  • @neemavenance5524
    @neemavenance5524 Рік тому

    Safi mbunge konywa soda

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 Рік тому +1

    Anzeni na juma lokole

  • @shadiathemedshadiathemed8699

    Yn aibu jmn

  • @hallowkij5677
    @hallowkij5677 Рік тому

    umeiangea vzur

  • @ezekieltemba8145
    @ezekieltemba8145 Рік тому

    Serikali tungeni Sheria Kali dhidi ya vitendo hivi mbunge ameongea vizur sana chukueni hatua Kama kweli mnachukizwa na vitendo hivi

  • @barakakings
    @barakakings Рік тому

    Anzeni na hawa wanao jipost , hawa wenye followers insta,hawa wanao wanao fanya kazi kwenye Tv na Redio. Wengi wana waiga hao , hii kitu inaonekana ni kawaida

  • @geofreysolomon3728
    @geofreysolomon3728 Рік тому

    😅😅😅😅😅tundu la huyu kaka unaweza kuingiza vidole viwili

  • @jacksonmakasi
    @jacksonmakasi Рік тому

    Wapigwe kiberiti tu

  • @shabanmwasopo1469
    @shabanmwasopo1469 Рік тому

    Tungeni sheria nyinyi ndo mmepewa mamlaka ya kutunga sheria, kwani hoja binafsi peekaboo bungen