DARAJA LA JANGWANI KUJENGWA KISASA WAZIRI BASHUNGWA AELEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 Місяць тому +1

    Napenda Mtu simple kama Bashungwa

  • @ahmed-shakirmwamba4992
    @ahmed-shakirmwamba4992 Місяць тому +1

    Wizala, Dalaja.Balabala, Ofisi ya Laisi,Ishilini. Ulefu. Kisalawe .Hili tatizo la L na R tunalichukulia poa lakini linatushusha hadhi na uwezo wetu wakujigamba kama wazungumzaji wa Lugha fasaha ya Kiswahili.

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 Місяць тому +1

    Mbona mmetusahau huku mikoani hasa Mkoa wa Arusha, mlisema mwezi sita mwaka huu mngejenga barabara fourway ya kutoka soko la kilombero mpaka bypass ya kisongo lakini mpaka sasa kimya,wananchi tunateseka na foleni kubwa barabarani kwani magari yamekuwa mengi kuliko barabara

  • @djbegge_tz
    @djbegge_tz Місяць тому +1

    Mimi siamin...ni uswahili uswahili tu...

  • @rojatv167
    @rojatv167 Місяць тому +4

    Ety poch la mama Samia Yan pesa za wana nchi zinaonekana ni zamtu mmoja duuh

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 Місяць тому +3

    Haya maneno yakusema mama kutuwezesha eti pochi la mama Samia, kama vile hela zake vile ni upuuzi sana

    • @MhinaKulewa
      @MhinaKulewa Місяць тому

      Ilivyokuwa inasemwa Magufuli katuwezesha ilikuwa ni zake? Hizi ni kauli za kawaida Kwa kuwa ndiye Mkuu wa nchi, mambo yakiharibika kiongozi ndio analaumiwa, vivyo hivyo likifanyika jambo pongezi zinaenda kwa kiongozi

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 Місяць тому

      ​@@MhinaKulewakwanini asiseme Serikali itajenga badala ya kumtaja Rais?,au ni Kujipendekeza?!

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy Місяць тому

      ​@@MhinaKulewaapparently anayefaa kutajwa Ni Magufuli tu, kwa mujibu wa Hawa watu

  • @PatrickKahindifundisha
    @PatrickKahindifundisha Місяць тому +1

    Vinavyoonekana kwenye ramani na kitakacho jengwa unakuta madudu tu

  • @PatrickKahindifundisha
    @PatrickKahindifundisha Місяць тому +1

    Kwenye ramani na kitakachojengwa unakuta madudu tu

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Місяць тому

    Wabongo na ugonjwa wa kuchanganya L na R 😂😂😂😂😂

  • @dicksonmtandi8806
    @dicksonmtandi8806 Місяць тому +1

    Jaman ivi kimahesabu imekaa sawa kwel kujenga daraja la 300m kwa sh bil 94.1 na barabara za mita 700 halaf ujenz mwingine daraja la kigogo lenye mita 50 tu kwa bil 125? Mbona kama sijaelew hapo😂😂

    • @NPY2024
      @NPY2024 Місяць тому

      Bil 125 ni hela itakayotumika kujenga madaraja mengine DSM na kisarawe kwa ujumla

    • @NPY2024
      @NPY2024 Місяць тому

      Bil 125 ni hela itakayotumika kujenga madaraja mengine DSM na kisarawe kwa ujumla

    • @richard2218188
      @richard2218188 Місяць тому

      Mimi mwenyewe sijaelewa, ina maana miaka yote hii tunateseka kwa gharama ya Bil 97 tu

    • @Skomi-0nedayyes
      @Skomi-0nedayyes Місяць тому +1

      Tumepigwa kweupe hapo maerezo yenyewe tu ayapo sawa ya kubabaisha tu mungu ajarie tu mama samia apumzike 2025 tupate baba kma Magu tusonge mbele inshallah🙏

    • @hassanlikwenangu8471
      @hassanlikwenangu8471 Місяць тому +1

      Hamsikilizi vzr halafu mnataka kuelewa