LAZIMA UCHEKE, TIN WHITE AKIELEZEA UNDUGU WAKE NA RICH MAVOKO, ANANIAMKIA SHKAMOO KAKA ANAPITA HIVI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 46

  • @towecax
    @towecax Рік тому +10

    Fact sana Tin White. Presenter jifunze kuhoji hapo umezingua sana maana mnakariri jinsi ya kuhoji

  • @zakhialibanangu9490
    @zakhialibanangu9490 Рік тому +19

    Nimecheka 😄😄 eti mbona nyie amutangazi ndugu zenu

  • @emmanuelmashauri1430
    @emmanuelmashauri1430 Рік тому +10

    Uyo n kaka lazima aoneshe utofaut na mdg wake

  • @Vematv248
    @Vematv248 Рік тому +5

    Tin yupo sawa kabisa

  • @user-rf3bu4qi4w
    @user-rf3bu4qi4w Рік тому +2

    Tin is the best, ninamkubali Sana, nesikia yeye akiongelea kuusu manatengeneza movie kwajiri yawa Tanzania, lakini mimi ninataka nimsibitishie kwamba sio Tz tu lakini movie zake zinaangaliwa inje pia ya inshi. Kwa mfano Mimi ninacoment ninaishi Mozambique na uku pia tuna fatiliaga Sana movie zake.

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Рік тому +5

    Umewajibu vizuri watangazaji wambeambea

  • @ramadhankakai7303
    @ramadhankakai7303 Рік тому +26

    Na nyinyi watangazaji swali ni lile lile tu kwa huyu mwamba..kila siku mnamuuliza kuhusu undugu wake na Rich Mavoko then ukaribu wake na Ringo..hamnaga maswali mengine ya msingi? Kila interview ya tini caption ni ile ile

    • @dianerditto
      @dianerditto Рік тому

      Wanakeraaaaa

    • @IsHenryTz
      @IsHenryTz Рік тому +1

      Ndio watu wanachopenda kusikia

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 Рік тому

      @@IsHenryTz ko watu wanapenda swali hilo hilo na jibu hilo hilo moja?

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +5

    Mbona nyiye hamtangzaj ndugu zenu 🤣🤣 Tin kachok nahili swali kila siku

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 Рік тому +2

    Ndio mjifunze sasa kwa kuona na kusikia sio kila jambo lazima uweke to the public wakati ni issues personal 🤔😄😄😄😄🤔

  • @poleclassic
    @poleclassic Рік тому +4

    Wakati mwingine mnashangaza,,Utamuulizaje Tin swali moja leo kesho keshokutwa wiki mwezi,,Maanake nini sasa😂😂😂

  • @azaziazawardmwachai1069
    @azaziazawardmwachai1069 Рік тому +3

    Huyu jamaa ukimuangalia lazima ucheke maan anachekesha

  • @user-do8jp4tc4p
    @user-do8jp4tc4p 9 місяців тому

    Kweri

  • @DILLYDONEWIZ
    @DILLYDONEWIZ Рік тому

    Sawa

  • @paulpetroupdates6173
    @paulpetroupdates6173 Рік тому +1

    Ata akiwa serious anachekesha😂

  • @kubwalaodancers
    @kubwalaodancers Рік тому +1

    👁️🔥🔥🔥

  • @Simulizi_nzuri
    @Simulizi_nzuri Рік тому +4

    Wale wapenzi wa simulizi za mapenzi na mikasa karibu kusubscribe ukurasa wangu

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 Рік тому +13

    Mtangazaji kasema “potraytation”🙆🏾‍♂️ hiyo ngeli ya wapi😢😢

    • @bwanabrainex433
      @bwanabrainex433 Рік тому +1

      🤣🤣🤣Ya kiuandishi🤣🤣🤣

    • @juliusmaricha8836
      @juliusmaricha8836 Рік тому +1

      😂kidhungu bhana…

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 Рік тому +1

      Dah bora tu kuendelea kiswahili coz hawajui jinsi wanavyotuonesha kuwa hamna kitu kichwani😥 ndo walikuaga wanasugua mikono darasani afu wananusa ka inanuka mavi ya kuku😁😁

    • @joshua.mhando
      @joshua.mhando Рік тому

      Sifa ya lugha ni l kukua, kukua ni pamoja na kuzaliwa vocabularies mpya, kama potraytation, mi nimemwelewa kamaanisha nini, ametisha 🙌🏼

    • @mudathirubwa
      @mudathirubwa Рік тому

      Maana yake ni uchafuzi nenda katranclate

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Рік тому +2

    😅😅😅😅😅😅

  • @henrybaraka5258
    @henrybaraka5258 Рік тому

    Potreitesheni..........😂😂😂
    Watangazaji achani kulazimisha kingereza wakati hamjui
    Eti potreitesheni 😂😂😂😂😂😂

  • @guccij6236
    @guccij6236 Рік тому +2

    😂😂😂

    • @HimidKombo-di6yt
      @HimidKombo-di6yt Рік тому

      Ni kweli na nynyi Kwann watangazaji hamsemi family zeny

  • @Scott_adi
    @Scott_adi Рік тому +1

    😂😂😂😂

  • @QuickerMan
    @QuickerMan Рік тому +4

    Tin mkal

  • @mkp8455
    @mkp8455 Рік тому

    😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому

    😂😂😂