UTACHEKA UFE: RINGO AMWANGA MACHOZI AKITANGAZA NDOA YAKE/ MKOJANI , TIN WHITE WAVUNJA WATU MBAVU
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2024
- Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv - Розваги
Great love @RINGO @COMEDIANS.. Ringo amekuwa na stability kubwa na consistency ya muda wote... anastahili hii recognition 🎉
Nilitamani kumckia Mkojani kale kamsemo kake "e bwananee shughuli kaipata Kenge hii Mamba mtajuta"🤣🤣🤣
Mungu ambariki sn Ringo na na ndoa yake ikawe njema.
Allah atuafikishe salama bwana shemeji nawaombea kheri vipenzi vyangu tuko pamoja sanaaa shem
Uyu RINGO KANICHOSHA KWENYE ICHO KILIO🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Hii kwel comedy
Jaman cku ya harusi yenyewe naomba San asikosea mjeshi kofia (NDAROOOOO)
Ringo hajawai kuwa serious hata sekunde 😅😅
Hongera sana Ringo
🤭😂
Umeona eeeh😂😂
Jamaaaaaaniii kaa thaaanaaaaa Ringo lini anaowa hata mm naitaji niende
Sawa Ringo oa baba
NDOA TAMU BHANA ,Ringo lia tena nitakusaidia, napaelewa hapo ulipofika😄😄😄😄😄😄💞
so dope
Nawapenda saana wazee wa hizi kazi
Sawa hongera lingo
Siyo lingo Ni Ringo😂
Sabufa baba baba baba huyoooi😂😂😂😂😂
Kila la kher inshaallah
Mkojani Haachi kuongea km redio free africa anawo🤣🤣🤣🤣
Hawa bhana 😂 wao kila jambo kicheko🎉😂
Mungu awe nanyiny nawakubali xana jaman
😅😅😅 ningefurahi sana ringo angekutekenya kama kuleeee kwenye movie ya utani
❤❤❤❤
Jamani 😅😅😅
Wekeni namba ya sabufa jmn tumchangie
Mara paaaap mchungaji ni tin white siku ya harusi......😂😂😂😂😂
😂😂😂
Ringo walia nini sasa😂😂😂😂
ndoa lini iyo
😂😂😂nacheka kabla harusi
Sasa mlikuwa mnatuandalia kichekesho tena😂😂😂😂😂😂 tunawapenda wapendwa
Ha hahaha ha haha ha dah hiko kilio kimenichekesha sana
Ringo mimi naomba nipewe number yako ili nidanye chochot kutoka cape Town south Africa
Dume la pwani linajua sanaa
Mpen game
*Waandishi wa habari, Habari za saizi😂😂😂*
Huyu lingo😂😂😂😂😂😂
Na sisi Kadi tunazitaka jmn tuchangie
Ila ringo😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂nilijua tu Ringo lazima alie
😂😂😂😂😂
Aje sio haje😂
Nipeni kadi niwachangie
😂😂😂😂😂😂😅dah uyo ndo ringo
Cku ya harus c atalia sana😂😂
Ukanong'onezwa lia kidogo nawe ukalia kweli 😂😂😂
Jamani Hy muvi inaitwaje? IPO yutubu au?
Nipo zanzbar shabiki wenu no! 1 plz plz plz niwepo
Wekeni no tumchangie ringo❤❤
No
Hii imenifrahisha kama shabiki wa ringo
Pumbafu za jenyewe mpaka linong'onezwe ndo linalia
😅😂😅
Haito nipita hiii
Ni nikimuona Ringo tu nacheka
jamani' tupeni' iyo namba yenu' bas na ss tunataka kuhudhuruia' katika' harusi' ya kipenz chet ring
😂😂😂 ringo nikweli anagubu
Alusi au harusi?
Mbona amjatoa number ili tuweze kuwaslian nanyi kwa ajili ya mchango
Sasa tunawasilianaje na hamja weka namba?
mi jilan yake pale ila anijdai kunikaushia
Haha Ringo kulia vp
Tin White anavyomuangalia Ringo ni kama ni Comedy
Vipi kuhusu zimwi kwann izo pesa zisiende Kwa zimwi
Iki nacho kichekesho we mwali mwali na mwali anaimba
Muweke namba
Ivi ni alusi wala arusi,lingo ao ringo.jaribuni kutafsiri lugha vizuri.ongera ringo kwakuonyesha ubabe wako ila una bonge la wife ndugu yangu.
sio arusi ni harusi
Mamaaaaaaaa hata kuandika tu hujui
Mkosoaji akosolewa😂
hongera sio ongera
Au basi 😂😂😂😅
Huyu jamaa alipona
Kama umemuona mkojani namiwani yake nyeusi 😂😂😂like hapa ebwaanaaaa ehhhhhh ng'ombeeeeee kumbe hunijuwi
Pili
Usikute anaigiza
Njooni na tanga ringo mwenetu sana jamani.
Naitaji na mm nimchagie naitaji number please
🤣🤣🤣
Mtupatie Kadi jmn tuchangie
Tupeni kadi
mwenza wako mrefu au mfupi
PILI KASEMA MUME WAKE ZUNDE 😂😂😂😂😂
Kwani huyu si ameoa na anakaa mlandizi
Huyu lingo😂😂😂😂😂😂