Asante sana kwa kutupatia elimu ya fursa,,nina maswali 2 japo hii post nimechelewa kuiona, 1; Ni tsh ngapi zinahitajika kukamilisha ujenzi pamoja na mtaji wa kuanzia 2; Hao mafundi wapo kila mkoa,mf. mi nipo Geita wilaya ya Mbogwe.Naomba majibu bosi wangu.
Habali wa talam wa changamkia fursa,mimi nimfugaji wa kuku wakisasa wa mayayi, na ninapenda kufyatilia changamkia furusa tv, naomba kujuwa kwanini kuku wangu wanakufa saana hadi 15 kwasiku au zaidi, nimejitaidi kutumiya watalam mbali mbali lakini tatizo linabaki pale pale na kunawakati ndoo linaongezeka,nawana mwezi 4kwa sasa nimeanzana nao 2weeks na walikuwa 1300vifaranga vifo vilianza kwa wingi mara-tu walipo fikisha 8weeks mpaka sasa nimebakia na kuku 620.ijapo walioniuzia vifalanga walinidangamya nikapewa dizaini mbili tofauti za vifaranga ambavyo vilikuwa vimetotolewa kwa aawamu 2tofauti ,bila mimi kujuwa nambegu tofauti ila zote zamayayi. Bazi yakuku kwa sasa kuvimba tumbo na makolomea, na kushindwa kucheuwa, kushindwa hata kula kukaa wana zubaa tu na kufa.
@@changamkiafursa natamani kuwa mfugaji nina eneo zuri. Pamoja na maelezo mazuri hapo juu nahitaji kuwaona wataalam physically niwahoji zaidi na wanisaidie kuanzisha huu ufugaji kuanzia ujenzi wa banda bora.
Habari yako? Asante kwa somo zur naomba kuuliza huo wavu huko chini ya banda hivo panavyobakia wazi hapajazibwa je wa dudu au wanyama kama nyoka hawa wezi kuwaangilia kuku kupitia huko uvunguni?
Samahani sijaelewa vizuri ulposema tuangalie upande Jua linakotoka na kuelekea na pia upepo. Ni kwanamna gani sasa tujenge. Tuvikwepe au tuelekeze vilipo. Naomba ufafanuzi.
Habari me natamani kufuga kuku wa mayai swali langu ni hili je nisawa kununua vifaranga vya miez 3 au ni bora nianze kulea kwanzia vifaranga vya siku moja
Kiukweli mm pia naitaji kufuga kufuga ila eneo langu dogo pia natamani kufuga kuku wakienyej nawale wanyama ila sijajua galama itakost kias gani yakujenga banda lenye uimala kuepuka vibaka
Mungu akubariki kwa masomo mazuri unayotupatia ndugu yetu, naomba unisaidie Kama Nina chumba tuu nikatengeneza Banda la kuku ndani itakuwaje kwa habari ya mwelekeo wa upepo na jua? Au haifai kutengeneza Banda ndani ya chumba? Naomba kujua
Hujambo mimi natokea kenya na nko Qatar.Hivi karbuni nataka kuanza iyo project .Naomba ushauri wenu in terms of construction shade pia kutoka mwanzo hadi mwisho.Naomba nambari yenu ya whatsapp Ndio tuweze kuongea saidi.Wakati mwema
Mimi apa naitwa Erick lewanga swali kwa kuna changamoto hali ya mtu labda ametokea katika familia ambayo ipo chini kiuchumi je sasa nitafanyeje ili nipate mtaji wa kua nzisha huu mradi wa kuku kama ujengaji wa mabanda,chakula,nyavu nk??
Sasa Mimi nikihitaji aina hii ya Banda na fundi wa kunijengea ntapataje?na mfano nikajua itagharim bei gan mpaka kutengeneza Hilo Banda kwanzia mbao bati mpaka mwisho ... Makadirio ya gharama.. Mimi nipo Moshi kwa takribani ya kuku 100
Huyo wakutengeneza banda bora anapatikanaje.
Elimu ni nzuri sn,inabidi vijana waache kukaa mtaani,kulaumu hawana ajira hii ni ajira tosha amkeni vijana
Ahsante kwa mafundisho yako je kuku 10 wanaweza kufugiwa kwenye banda la ukubwa kiasi gani
Mbona amekujibu vizuri fuatilia tena
Asante sana kwa kutupatia elimu ya fursa,,nina maswali 2 japo hii post nimechelewa kuiona,
1; Ni tsh ngapi zinahitajika kukamilisha ujenzi pamoja na mtaji wa kuanzia
2; Hao mafundi wapo kila mkoa,mf. mi nipo Geita wilaya ya Mbogwe.Naomba majibu bosi wangu.
Jmani mm naitwa frank,niko Dodoma, nina kuku wangu wa mayai,lkn tatizo wanashida ya kupinda kwa shingo,nimetumia vitamin haijasaidia,chakula nachukuliaga SILVER LAND, naombeni msaada,unamkuta kuku mwingne kapooza miguu,wengine ndo hizo shingo,nitashukuru sana endapo tatizo langu litapatiwa ufumbuzi
Asante kwa swali zuri, nitaandaa video kujibu swali hili
Wapatie DCP. Wana uchache wa Calcium
Asante sana kwa mafunzo hayo. Mpo wapi nije kuwatembelea.
Hongereni sana kwa elimu hii muhimu
Asante kaka mm nashida na shazi Fundi mabanda nitampataje nipo mwanza
Chukua namba uwasiliane naye
Naimba nisaidie namba zake
Shaz +255622460105
Na vipi sehemu ya kulala inakua hapo hapo au sehemu nyingine?
Asante kwa somo la Banda. Kuku anatakiwa be kula kiasi gani(kg) kwa siku? Hasa wa kienyeji
Somo zuri sana
Nashukuru sana bro kwa somo zuri
Tuko pamoja
Hongera sana mtaalamu
Nimekuelewa sana mkuu
Nimefurahishwa sana na maelezo yako nimejifunza mengi sana hongera sana Kaka ila tunaomba namba yako tutakuitaji ili utujengee
Upo mkoa gani mkuu??
ahsante kwa somo hilo.swali langu ni kwamba. je inawezekana kufuga kuku wa aina zote katika banda moja.?
Sio sahihi kwa sababu utopoteza kiza kwa kuchanganya vina Saba vya kuku tofautitofauti
Ni meelimika sana nitaanza kufuga najipanga asanteni
Habar za hapo mjengon mim naitwa anna nipo Arusha majiya chai napenda ufugaj wa kuku wa kienyej naomben mbinu
Niko Dar nahitaji msaada wa kujengewa banda kuku wa kienyeji
KAZI nzuri sana
Ahsante sana
Habali wa talam wa changamkia fursa,mimi nimfugaji wa kuku wakisasa wa mayayi, na ninapenda kufyatilia changamkia furusa tv, naomba kujuwa kwanini kuku wangu wanakufa saana hadi 15 kwasiku au zaidi, nimejitaidi kutumiya watalam mbali mbali lakini tatizo linabaki pale pale na kunawakati ndoo linaongezeka,nawana mwezi 4kwa sasa nimeanzana nao 2weeks na walikuwa 1300vifaranga vifo vilianza kwa wingi mara-tu walipo fikisha 8weeks mpaka sasa nimebakia na kuku 620.ijapo walioniuzia vifalanga walinidangamya nikapewa dizaini mbili tofauti za vifaranga ambavyo vilikuwa vimetotolewa kwa aawamu 2tofauti ,bila mimi kujuwa nambegu tofauti ila zote zamayayi. Bazi yakuku kwa sasa kuvimba tumbo na makolomea, na kushindwa kucheuwa, kushindwa hata kula kukaa wana zubaa tu na kufa.
Asante kwa swali zuri.
Nitafute what's app 0752209073 tuongee zaidi
Pole kaka mungu atakujalia utafaulu pia mm nataka nianze kufuga pole Sana usife moyo
@@changamkiafursa nahitaji kujenga banda bora gharama bei gani?
@@changamkiafursa natamani kuwa mfugaji nina eneo zuri. Pamoja na maelezo mazuri hapo juu nahitaji kuwaona wataalam physically niwahoji zaidi na wanisaidie kuanzisha huu ufugaji kuanzia ujenzi wa banda bora.
Please do u have any English translation for this video
Asante sana he? Mtaji was kujenga banda ni sh ngapi?kwa kubwa UPI?asante H
Mimi nimefurahia sana.nitafanya mini nanataka kufuka kuku mia moja za kienyeji
Video hii itakusaidia
ua-cam.com/video/UTImzNqRzb8/v-deo.html
Habari yako? Asante kwa somo zur naomba kuuliza huo wavu huko chini ya banda hivo panavyobakia wazi hapajazibwa je wa dudu au wanyama kama nyoka hawa wezi kuwaangilia kuku kupitia huko uvunguni?
Hawawezi kwa sababu unajenga banda halafu ndani ndio unaweka uchanja
Nimepanda huo ujnzi wa banda
what are those plants they are feeding on?
Naitwa Aloyce Richard kutoka iringa naomba kujua tathimin ya gharama ya Banda la kuku 100
Samahani sijaelewa vizuri ulposema tuangalie upande Jua linakotoka na kuelekea na pia upepo. Ni kwanamna gani sasa tujenge. Tuvikwepe au tuelekeze vilipo. Naomba ufafanuzi.
Naitwa abduli juma nne na kaa nzanzib mm tatizo langu kuku wangu wana umwa ndui ya macho nitumiy daw gan na otc nime tumia na abado
safi sana
ongera sana
Habari me natamani kufuga kuku wa mayai swali langu ni hili je nisawa kununua vifaranga vya miez 3 au ni bora nianze kulea kwanzia vifaranga vya siku moja
Kiukweli mm pia naitaji kufuga kufuga ila eneo langu dogo pia natamani kufuga kuku wakienyej nawale wanyama ila sijajua galama itakost kias gani yakujenga banda lenye uimala kuepuka vibaka
Mungu akubariki kwa masomo mazuri unayotupatia ndugu yetu, naomba unisaidie Kama Nina chumba tuu nikatengeneza Banda la kuku ndani itakuwaje kwa habari ya mwelekeo wa upepo na jua? Au haifai kutengeneza Banda ndani ya chumba? Naomba kujua
Unaweza ila zingatia ukubwa wa chumba na idadi ya kuku
@@changamkiafursa Asante ndugu yangu
Bei ya vifaranga vya kuku chotara?
Jamani mbona tunataka namba ya sim halafu hamtumi.
Namba naomba
Je naweza kufuga ktk chumba cha binadamu?
Unaweza kuchanganya kuku wa aina tofauti katika banda moja?
samahani mbona hizo wire mesh za chini ukiwawekea luku wanavimba kwenye nyayo tatizo ni nini tafadhali
Naomba na yakoo kaka samahani nataka kujenga banda kama lako
Nice video. Nilitaka kufahamu unahitaji kufuga angalau kuku wangapi Ili ufugaji wako uwe na tija.
Me niko mwanza nampataje fund wa banda?
Mimi Naitwa Paschal kutoka Dodoma Naomba kuuliza je ni mtaji kisasi gani (kwa kiwango cha chini) ninaoweza kuanzia ufugaji???
Bro asante kwa elim japo Niko nyuma naomba kuulizia nitampataje Hugo shazi mtaalamu wa mabanda ya kuku Niko mwanza mkuu
Mimi nimefuraia hiyo video
Asante sana
Hujambo mimi natokea kenya na nko Qatar.Hivi karbuni nataka kuanza iyo project .Naomba ushauri wenu in terms of construction shade pia kutoka mwanzo hadi mwisho.Naomba nambari yenu ya whatsapp Ndio tuweze kuongea saidi.Wakati mwema
Asante njtawalpata wapi
Nashukuru kwa elimu je nawezaje kukupata mwalimu?niko Morogoro
Safi sana naipenda
Pamoja
Ahsante sana kwa video , Tafadhali naomba namba ya mtu ambae anaweza kunijengea mabanda Zanzibar
Kuku wangu wanahara nyeupe je niwape dawa gani Niko Arusha ,naitwa Anna
Kuku wangu ni wa chotara wako 80
Naomba mlioneshe banda lote vitu vi n avyokuwepo ktk banda yaan mfumo mzima uliooko bandani
Habari mnapatikana wapi na mnatengenez mabanda mtu akihitaji mm nipo dar
Niko Arusha je ni mgawanyo kiasi Gani ninaotakiwa kuweka Kwa kuku wa mayai?
Kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji, kuku hawafunguliwi kutoka bandani?
Tunaomba kuona sehemu ya kutagia kuku kweny banda la aina hyo
Naomba kuhulizia kuhusu ayo majani wanakula kuku ni majani gani?
Mimi apa naitwa Erick lewanga swali kwa kuna changamoto hali ya mtu labda ametokea katika familia ambayo ipo chini kiuchumi je sasa nitafanyeje ili nipate mtaji wa kua nzisha huu mradi wa kuku kama ujengaji wa mabanda,chakula,nyavu nk??
Nahitaji kujenga Banda la kuku wa Nyama Chotara 500 wa Nyama na 300 wa mayai. Naomba ushauri wa mahitaji
Niko Morogoro nitakupataje uje kunijengea Banda Bora la kuku?
naomba namba za mtaalamu wa mabanda ya kuku
unapatikana wapi
Gharama za kujenga banda hili ni kiasi gani?
Nataka kujenga banda kuku 600 nahitaji kujua mita ngani na nitafugakwa intensive systems niko mbeya
naeza kufuga kuku wa nyama kwenye banda la mabanzi?
Je ni sahihi kwaachia kuku wa kienyeji wajitaftie chakula na Hiyo Hina madhara!?
In a limited space will it be possible to build two storeys for more chicken?
Ahsante sana, naomba namba ya simu yako
Pia nitahitaji kujuwa zaidi kutokana na ufugaji kwa ujumla , kama vile uchanganyaji chakula kwa kupunguza gharama na madawa
Asante tutaandaa
Naomba namba zen niwe napat ushaurii
Mnatoa huduma ya ujenz wa mabanda
nawezaje kupata mtaalam wa kudizain banda nikiwa hapa musoma Mara? maana maelezo mazuri lakini vitendo ni ngumu
Nahitaji kuwasiliana na Charles Kwa ajili ya kunijengea Banda plse
Sasa Mimi nikihitaji aina hii ya Banda na fundi wa kunijengea ntapataje?na mfano nikajua itagharim bei gan mpaka kutengeneza Hilo Banda kwanzia mbao bati mpaka mwisho ... Makadirio ya gharama.. Mimi nipo Moshi kwa takribani ya kuku 100
Niko Kenya kuku chotara kwa kizungu huitwa aje?
Improved kienyeji chickens
nadhani hybrid
Asanteni sana na je nikizihitaji nitaweza zipata aje?niko Kenya Nairobi.
Banda hili ni zuri.
Habari nilikuwa nauliza hii video ya Banda la mwisho naweza pata wapi hivyo vyombo vya kama ndoo kubwa nahitaji ASAP.. Asante
Arusha kuku farm wanavyo
Changamkia Fursa it means hiyo farm iko arusha? Coz Niko dar
Kwa Dar nenda machinga complex zipo nyingi
Changamkia Fursa Asante sana your a big help 🙏🏽
@@changamkiafursa mim niko kahama ntavipata wapi?
Niko kilombero najiandaa kujenga mabanda ya kufuga kuku wa kienyeji kisasa nahitaji ushauri eneo langu ni kama sqm 15 kwa kumi
Ninaishi tegeta naomba unisaidie kumpatafundi wa banda let kuku
Habari nahitaji fundi was banda.tafadhari tuwasiliane
Sisi tulio zaziba.tukihitaji fundi wa kujenga banda tutampataje?
Wasiliana Naye, anakuja mpaka Zanzibar
0768347759
Naitwa shoddy mm ninatoka nianjakujenga Banda la kuku nifanyeje
Mtampateje hiyo mjenga banda nipo mkowa wa geita masumbwe
Nipo Arusha ninahitaji kupata Fundi wa kijenga Banda la kuku
Nimependa sanaaa .mafunzo mazuri
Share na marefiki na wao waipate elimu bora ya ufugaji wa kuku
Naomben namba za fund wa banda kama hilo plz
Naitaji kupata kuku chotara nawapataje Niko Kilimanjaro siha
Mm nipo moro ila sijawahi kufuga kuku wa mayai je naazaje kufuga
Nahitaji huduma ya kujengewa banda bora la kuku, tafadhali naomba msaada wako@ changamkia fursa
B
MIMI NINA SWALI NAHITAJI BANDA LA KUKU 1000 NAPENDA KUTUMIA MBAO NA MABATI JE GARAMA LA BANDA HILO LA KUKU 1000 NI SHILINGI NGAPI ?
naomba nambar yakoo tuwasiliane
Naomba kuwa mfugaji mzuri WA kuku nianze aje nko kenya
Nahitaji kujengewa banda la kuku 200 wa nyama niko Dar naomba contact za fundi
Naitaj nipate elimu ya ufugaji naomba mnipe namba za cm kwa anae jua
Good work and illustrative
Thanks
Masomo mazuri nimeelewa vzur sana ukubwa wa banda na idadi ya kuku
Asante sana kwa mrejesho wako
Tunapataje namba yako ili tukiitaji ijenzi tuweze kukipata
Kuku uwa wana penda mahili pa joto ama pabaridi?