@@allyfaki8773 natowa jambo kaka naitwa Eric niyungeko mimi niwa burundi ila naishi korea du sud naitaji kufuga kuku ila nataka kujuwa wapi nitazipata zile nyumba zao kwasasa mabanda niko namaliziya
ASANTE KWA MAELEZO MAZURI YA KITAALAMU KTK UJENZI WA BANDA LA KUKU. NAOMBA TU TUREKEBISHANE MATUMIZI YA MANENO YA KISWAHILI FASAHA.... NENO HIKI NI CHOO SI SAHIHI SANA, NENO SAHIHI NI HUU NI MSALA (NAENDA CHOONI,, HAPANA SEMA.... NAENDA " MSALANI ") KISWAHILI LUGHA YETU.
Ujenzi wa banda bora la kuku 👉 ua-cam.com/video/0XmXo-8o5DY/v-deo.html
Vipi kuhusu kinyesi, nimeona mabanda mengi yanakuwa yapo juu, kinyesi kinaenda chini kupitia wavu, je aina hii ya Banda haiathiri afya za kuku? Asante
Asante sana kakangu kwa somo ,,,nita wafuatilia mpaka nizoee ufugaji niko na nia sana na ufugaji 🎉❤
Nimejifunza kwako mambo mengi sana siku moja nitakualiaka kwangu your my role model
Hakika nimependa sana hili somo,Mungu awabariki sana.
Tubarikiwe sote
Liko poa sana hilo Banda ufugaji unagharama sana unahitaji kujioa kwa moyo mmoja
Yap, ili ufanikiwe kwenye biashara ya ufugaji wa kuku unatakiwa kuwa na hobi ya ufugaji wa kuku
Very informative video. Ningekua nafanya kazi UA-cam hii video ingeingia kwenye trends za Tanzania
Hahaaaaa
Napenda kuuliza kwa banda kwa ajili ya broiler unaweza weka nyavu chini
Banda shafii hewa ya kutosha yaingia na kutoka
🙏🙏🙏
Njoo uninengee Banda la kufugia kuku wa kisasa na wa kienyeji , broiler
endeleeni kutuunza mungu awabark sana
Hilo ni somo tosha kwa mfugaji
You people real doing gud.........mbalikiwe
Thanks
Hongera sana kiongozi kwa kazi nzuri sana ,nami najipanga and then nitakutafuta
Karibu Sana
Kiongozi hongera kwa darasa zuri.
Shukrani sana
Jamani mbona hamuweki mawasiano
Ubarikiwe kaka nikapo aanza nahitaji ushauri kutoka kwako
Unakaribishwa sana
Lina ukubwa wa mita ngapi hilo banda?
@@allyfaki8773 natowa jambo kaka naitwa Eric niyungeko mimi niwa burundi ila naishi korea du sud naitaji kufuga kuku ila nataka kujuwa wapi nitazipata zile nyumba zao kwasasa mabanda niko namaliziya
Njoo what's 0752209073
safi sana
gharama za ujenzi wa banda hilo ni shilingi ngapi
Je naweza kulitenga banda ndani kati ya futi nane kutenga nusu kwa nusu na nikafugia kuku wa mayai na wakapata hewa ya kutosha.
NAMBA HAZIPATIKANI HIZO..NAHITAJI KUJUA GHARAMA ZA HAYO MABANDA NA KUJENGA PIA
0768347759
Number zako naitaji kwamana nataka kujenga banda la kuku.
Naitaji kama hilo tuwasiliane
Kwa kawaida kuku anafungwa muda gani mpaka kumtoa/kuzeeka
Miaka 2
Naomba kufaham makadirio ya gharama za ujenzi kwa banda kma hilo 120sqm
Wasiliana na fundi 0622460105
Nipo mwanza fundi wa kunidizainia hili Banda ntampataje???
Je kuku (100) wa mayai wanakula kilo ngapi kwa siku
ASANTE KWA MAELEZO MAZURI YA KITAALAMU KTK UJENZI WA BANDA LA KUKU. NAOMBA TU TUREKEBISHANE MATUMIZI YA MANENO YA KISWAHILI FASAHA.... NENO HIKI NI CHOO SI SAHIHI SANA, NENO SAHIHI NI HUU NI MSALA (NAENDA CHOONI,, HAPANA SEMA.... NAENDA " MSALANI ")
KISWAHILI LUGHA YETU.
Shukrani sana kwa marekebisho ya lugha yetu
Nahitaji kujiunga na group la changamkia fursa mkuu naomba utaratibu wake.
hao aina ya kuku anavyo wataja wangine tunashindwa kuelewa
1. Broiler ni kuku wa nyama wa kisasa (wale weupe)
2. Layers ni kuku wa mayai wa kisasa (mayai ya kisasa)
3. Chotara mfano kuroiler, sasso n.k
Hilo banda linagharimu shilingi ngapi?
Kiongozi Naomba kuuliza kuku wa bloier(kuku wanyama) unaweza kuwafuga kwakutumia cages?
Ndio huwa zipo cages za kuku wa nyama
Nahitaji kujua gharama za ujenzi wa banda moja km hilo inagharimu kiasi gani
Chukua namba ya fundi mwisho wa video
Je ukihitajikufuga wa kienyeji kabisa inakuaje kwenye banda hilo
Can the language be translated into English for us to understand since we are interested in project
Buddy, I understand him just fine.... I speak Zero Swahili All I know is the word KUKU :)
VIP kuhusu garama yake inakuaje ?
Kipindi cha mvua lipo wazi hivyo inakuaje?na mvua zingine huwa na upepo
Amesema linawekewa nailoni madirishani kipindi cha baridi na mvua
Ok
@@changamkiafursa ndugu mimi niko Kenya lailoni hazitumiki zikipigwa marfuku nitaeka nini?
@@saidhamisi2795 Tafuta japo turubali au kitu chochote cha kuzuia baridi na upepea
Gharama ya hili banda ni kiasi gani?
Tunaomba namba ya simu ya huyo mtaalam wa mabanda
Angalia video mpaka mwisho katoa mawasiliano yake
Asante sana
Nimeona