Mbunge azua kizaazaa baada ya kuibagua Simba Bungeni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Mbunge wa kiteto (CCM) Edward Ole Lekaita amezua kizaazaa bungeni baada ya kuitakia heri timu ya Yanga pekee inayocheza mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sondown na kuisahau timu ya Simba kabla ya kuhojiwa na Spika kuhusu yaliyosemwa kwamba ni uzalendo.
    Hayo yamejiri leo Ijumaa Aprili 5, 2024 wakati Mbunge huyo akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
    Lekaita amezitakia Klabu za Simba na Yanga mchezo mwema na amezitaka kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao ili zifuzu kwenda hatua ya nusu fainali.

КОМЕНТАРІ • 12