Yaani ni hatari kutikisa mzinga wenye nyuki wakali waliotulia. Hii nchi tunakoelekea kama kweli kuuana tunataka tuliingize kwenye destroy ya Taifa ambayo haikuwa desturi yetu Tanzania hii ni hatari sana hata nchi za jirani watakuwa wanashangaa heeh! Tumwombeni Mungu sana hii ni hatari sio kwetu sisi Kizazi cha sasa ila Si salama kwa Vizazi vyetu vijavyo. Shida ni nini mzee kama yule unamuuaje jamani laana sana.
Alipofanyiwa ukatili binti aliebakwa na gang Tanzania nzima ilipiga keleke leo watu wanatekwa,wanapotezwa nakuuwawa watanzania ukitowa upizani na wanaharakati kimyaaa ila watanzania wajue kuwa ukatili huu unaoendelea ni ukatili kana ukatili mwengine nahali hii wajue kuwa itaendelea na kumuathiri yyte anaelia leo mwengine akafurahiya kilio chake atalia kesho
Watanzania ni kwa vile hatujitambui. Hao watu waliomkamata ndani ya basi na kumchukua wangetakiwa wapate kipigo cha kweli maana hawakuja kama polisi bali majambazi. Tatizo watanzania hatujitambui na ndio maana jeshi la polisi na usalama wa taifa wanaendelea kufanya huu uhuni wa kinyama
Duuuh!!!!! so sad, mimi binafsi sioni aliye salama zaidi ya wanaccm hivyo ni kheri kufa ukiwa umesimama kuliko kufa ukiwa umepiga magoti, nashauri huyo mzee hasizikwe bila kueleweka kwani serikali imeshaona na kuhalalisha kuua raia ni kitu cha kawaida tu.
Mmmh wakubwa wa nchi wako bize watu wanatekwa wanauawa wanateswa lakini wenye mamlaka kimya tuseme nini tujizuie kuwaza tuwe wananchi wajinga tusioweza kufanya chochote Ee Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi wewe waweza wewe wajua mambo yote yanayoendelea nchini na wewe ndiyo Hakimu tazama usalama wetu watanzania
Mimi ni mpiga kura, sitaki kuamini au kukiri kama wengine wanavyosema rais nchi imemshinda, lakini, mheshimiwa rais, hebu nishawishi kidogo ili mwakani kama utagombea nikupe kura yangu, swali, Usalama wa nchi hii upo sahihi?
Ahhh unachekesha unamkingia kifua rais utafikiri huyo ni man Yako Kumbuka majeshi yote yapo chini ya Rais wakuu wa majeshi wanateuliwa na Samia suluhi Hasan Pia wanafanya maagizo ya Samia Mfano wewe unawatoto halafu watoto wako niwachokoz wanapiga watu Taarifa zinajufikia ww hauchukui hatua Unajua mzazi anaweza kumtuma mtoto nenda kaibe au kafanye jambo flani Taarifa zikifika halafu we mzazi humkanyi au kumchapa mwanao lazima ww mzazi utakua unawapa kiburi watoto wako Lkn ukimshika mtoto ukamchapa viboko ukamnyima chakula watu tutasema kweli huyu mama hapendi watoto wake wafanye ushenzi Mm nilitegemea Samia angemfuta kazi mkuu wa polis pia angehakikisha watu wasiojulikana WANAJUKIKANA Lkk Samia hafanyi hivo Sasa ww unamkingia kifua mshenzi ww
HV kweli it means ktk basi hakuna watu waio chukua video ya watekaji ktk basi!??. Mbona watu ktk mambo ya upuuzi huwa Ni wa kwanza kuchukuaa picha au vidio!!! Kama hakuna abiria hata mmoja alichukua vidio au picha ya hawa watu walio Fanya Tukio hilo ,,,,,,,, basi ifakuw mpango umefanywa tokea zamani hata ,,,,,,,Thanks
Hata hivyo hata hivyo mimi si tetei uovu wa namna hii jeshi la police wanachokipanda watakipata hata kama watachelewa maana wao ndiyo wenye dhamana tutavumilia lakini Mungu yupo.
Hawa wote wanaolitupia lawama police nadhani wanatumia makamasi kufikiri badala ya ubongo. Tume huru iundwe na ifuatilie pia huko ktk chama chake kulikuwa shwari kwake kwa kiasi Gani. Kwani kumbukumbu zinaonyesha hata huyu anayeongea alishawahi kuteswa na wafuasi wao sababu tu alikuwa tofauti na wenzake. Hivi Serikali au polisi Gani juzi tu wanalalamikiwa hadharani juu ya utekaji halafu kipindi hichohicho wamteke mtu hadharani wamuue na kumtupa hadharani kwa iwe kwa lengo Gani hasa. Hivi hamuoni tusiwatilie shaka wanaotowa dhutuma ndiyo wanaofanya ili kupalia mkaa Lile wanalolitaka. Hasa kunufaika kisiasa. TAFAKARI.
@@adammbaruku2499 kama wao wanatumia kamas bac wewe unatumia matako kufiria, Kwa mazingira ya yanavyoelezewa pia ukiunganisha matukio ya nyuma unaona hapo mshukiwa wa kwanza atakuwa nani. Jinga la mwisho au unajaribu kupotosha ukweli
SAHIHI KABISA MAELEZO AMBAYO DR. SLAA ALIYOYASEMA ; SERIKALI INAHUSIKA NA KIFO HICHO NA VIFO VYA JINSI HIYO.
Mhuuuu Mhuuuu hawa chadema ni shida sana
Msigwa .pole utajibu kwa jeova
Yaani ni hatari kutikisa mzinga wenye nyuki wakali waliotulia.
Hii nchi tunakoelekea kama kweli kuuana tunataka tuliingize kwenye destroy ya Taifa ambayo haikuwa desturi yetu Tanzania hii ni hatari sana hata nchi za jirani watakuwa wanashangaa heeh!
Tumwombeni Mungu sana hii ni hatari sio kwetu sisi Kizazi cha sasa ila Si salama kwa Vizazi vyetu vijavyo.
Shida ni nini mzee kama yule unamuuaje jamani laana sana.
Alipofanyiwa ukatili binti aliebakwa na gang Tanzania nzima ilipiga keleke leo watu wanatekwa,wanapotezwa nakuuwawa watanzania ukitowa upizani na wanaharakati kimyaaa ila watanzania wajue kuwa ukatili huu unaoendelea ni ukatili kana ukatili mwengine nahali hii wajue kuwa itaendelea na kumuathiri yyte anaelia leo mwengine akafurahiya kilio chake atalia kesho
R.I.P Mw, Ally Kibao nilikuona Kwa Macho yangu ukua na neno namtu ukua na tatizo kwanini uyu mtukufanyiwa hv..😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
AGP ajiuzulu tu hakuna jinsi sasahivi mambo yamezidi sana
Hawezi kukivunja jrshi la polisi maana litamsaidia kushinda kwa kiahindo 2025😂😂
Jeshi la polisi ni kitu gani me sioni sbb y kusemapolisi wafanye chunguz hapna kwani wao wak wapo adi watu wanauliwa
Pole wanna familia
God have Mercy
Mbona sijaona mahali dr smesema chadema imehusika
Sasa wanatafuta wengine wa kuteka, ukila nyama ya mtu hutaacha by Mwl. JKNyerere
Watanzania ni kwa vile hatujitambui. Hao watu waliomkamata ndani ya basi na kumchukua wangetakiwa wapate kipigo cha kweli maana hawakuja kama polisi bali majambazi. Tatizo watanzania hatujitambui na ndio maana jeshi la polisi na usalama wa taifa wanaendelea kufanya huu uhuni wa kinyama
Nchi imekuwa ya hovyo sana hii
Biblia inasemaa apandacho mtu ndicho atakacho unavaa,,, na auwayeee kwa upanga atakufa kwa upanga,, simple like that
Be. M
trh 23 mbona aifiki jamani
Jee bado tanzania ni nchi ya amani?swali kwa yoyo
Duuuh!!!!! so sad, mimi binafsi sioni aliye salama zaidi ya wanaccm hivyo ni kheri kufa ukiwa umesimama kuliko kufa ukiwa umepiga magoti, nashauri huyo mzee hasizikwe bila kueleweka kwani serikali imeshaona na kuhalalisha kuua raia ni kitu cha kawaida tu.
Msigwa hapo vipi sawa?
Wanaotekwa ni wana chadema tu ,kwa hiyo wanachadema ni lazima watembee na vitu vya kujihami kama mapanga ,
Msigwa.hiki.ndio.chama.unachokipenda..utajibu.mbele.ya.mungu.endelea.kula.bata.kwa.mda.mfupi.lakini.utajibu.pamoja.na.maccm.wenzio
hivyo mauaji yamesha wekewa green light
🙆🙆🙆❣️❣️❣️❣️💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭
😊😊 1:44 I
👍
Kama serikali inashindwa kulinda watu najeshi lake nani awajibike ?
Kwa hapa tulipofika,nategemea mheshimiwa raisi awawajibishe wafutao,waziri wa mambo ya ndani,mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa na IGP.
Na Hawa anawaua JPM?
Unamanisha nini
Sela ya chama tawala.nani hawajui
Tatizo tuna serikali na utawala wa ovyo mno.
Nchi ishakuwa sudan hii
Tumepata uhuru bila kumwaga damu Leo tunamwaga damu wenyewe Eeee mora tunusuru
Mmmh wakubwa wa nchi wako bize watu wanatekwa wanauawa wanateswa lakini wenye mamlaka kimya tuseme nini tujizuie kuwaza tuwe wananchi wajinga tusioweza kufanya chochote Ee Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi wewe waweza wewe wajua mambo yote yanayoendelea nchini na wewe ndiyo Hakimu tazama usalama wetu watanzania
Hili tukionLinashanhaza Yani Ndani Ya basi Watu Wa njiani Na Wapiya Njia Hakuna Hata mmja aliepata picha ya hili Tukio
Mimi ni mpiga kura, sitaki kuamini au kukiri kama wengine wanavyosema rais nchi imemshinda, lakini, mheshimiwa rais, hebu nishawishi kidogo ili mwakani kama utagombea nikupe kura yangu, swali, Usalama wa nchi hii upo sahihi?
Ahhh unachekesha unamkingia kifua rais utafikiri huyo ni man Yako
Kumbuka majeshi yote yapo chini ya Rais wakuu wa majeshi wanateuliwa na Samia suluhi Hasan
Pia wanafanya maagizo ya Samia
Mfano wewe unawatoto halafu watoto wako niwachokoz wanapiga watu
Taarifa zinajufikia ww hauchukui hatua
Unajua mzazi anaweza kumtuma mtoto nenda kaibe au kafanye jambo flani
Taarifa zikifika halafu we mzazi humkanyi au kumchapa mwanao lazima ww mzazi utakua unawapa kiburi watoto wako
Lkn ukimshika mtoto ukamchapa viboko ukamnyima chakula watu tutasema kweli huyu mama hapendi watoto wake wafanye ushenzi
Mm nilitegemea Samia angemfuta kazi mkuu wa polis pia angehakikisha watu wasiojulikana WANAJUKIKANA
Lkk Samia hafanyi hivo Sasa ww unamkingia kifua mshenzi ww
Raisi Nchi imemshinda na hasa kiujumla CCm wapishe Kwa amani tu ,
1:52 😢
HV kweli it means ktk basi hakuna watu waio chukua video ya watekaji ktk basi!??.
Mbona watu ktk mambo ya upuuzi huwa Ni wa kwanza kuchukuaa picha au vidio!!!
Kama hakuna abiria hata mmoja alichukua vidio au picha ya hawa watu walio Fanya Tukio hilo ,,,,,,,, basi ifakuw mpango umefanywa tokea zamani hata ,,,,,,,Thanks
Mmh umeambiwa walikuwa na siraha nzito unaanzaje
User,hivi kweli utakuwa na roho ya kuchukua video au picha wakati walioteka walikuwa na silaha za moto?
Walipigwa bitii Kali Halafu wakiwa na silaha za moto,hakuna wakupiga picha
Çhama hicho kifutwe kwa sababu kimeshindwa kupeleka malalamiko ya mauaji popote na watu wanaendelea kuuawa tu
Unataka hayo malalamiko wayapeleke wapi ndg yangu
This is immediately cause work on it!!thus all!!
Sasa nyie niviongoz wajuu mnaona kunauhalali wakuishi pamoja nawatekaji mnalichukulieje hili mana hatuelew maishaetu
Atakae sema inchi ii ni ya amani ntampinga kabisa ccm imeleta vita
WakwanZa naomba like zangu🎉🎉😢
Yawning watu wanauwawa we unaomba like!😮
Kwakweli
Hivi hizo like mnatumia kulia ugali au so sad
Msigwa wewe siyo muchungaji ulikuwa unatengeneza njiya ya vifo vya wana chadema ndomana ulijificha kama mwana chama chadema
NI kweli kitabu chako Dr slaa.
Kimeandikwa kuwa chadema ilikuwa ikiteka watu?
We unamuuliza slaa unategemea atasema nini, anashangaa eto hajasikia viongozi wamesema nini mbona yeye mpaka umemuuliza ndo anasema
Yeye asema kama Nani?na tujiulize wewe ni Nani ana mamlaka ya ulinzi wa Raia!na nini kazi ya Watawala!mbona inaonesha Una ubongo wa Samaki!
Tukuulize wewe
Yeye sio kiongozi mkuu wa taifa au chombo chochote cha usalama ndio maana amesema alipoulizwa hatujitambui ndio maana tunafikia huku
Polisi wa samia wanaua watu
AKUMBIKE TAARIFA ALIZO WAHI KUTOA CHADEMA ILITEKA MTU TEMAKE
Wewe padre slaa ni mtekaji namba moja ulimteka na kumtesa mlinzi wako mbwa wewe
Makala zenu ndefu mno hazitamiki fupisha makala
Acha ujinga basi
Mitano tena kwa samia
Muwaji
MZEE ACHA KUROPOKA ...
WALIOMCHUKUA SI WAMEONEKANA? SI WATAJENI
GARI MAMBA MGAPI SI MMEONA HACHENI KUISEMA POLISI VIBAYA
una akili za ajabu sana au tatizo D mbili amna
Tuambie umesikia wameonekana wapi, gari zilikuwa na utambulisho gani au ndo ninyi mnaongea tu vitu Kwa ushabiki